Muhimbili Yaanza Kutibu INI, KONGOSHO, Bila Upasuaji

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024
  • Muhimbili Yaanza Kutibu INI, KONGOSHO, Bila Upasuaji
    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya mfumo wa chakula na ini kutoka hhospitai ya Taifa ya Muhimbili Dkt John Rwegasha, amesema kuwa kwa sasa wanao uwezo wa kufanya matibabu ya Ini bila kuhusisha upasuaji wowote.
    Akizungumza na waandishi wa Habari, Rwegasha amesema kuwa, kupitia mafunzo mbaimbali waliyopata nchini India miezi kadhaa iliyopita, sasa wamerudi wakiwa wamebobea na utaalamu huo wa kutumia kifaa cha Hadubini katika kuchunguza na kutibu bila kfanya upasuaji wowote.
    Pia amesema huduma hiyo ni ya kwanza kufanyika Afrika Mashariki ambapo Kenya watafanya mapema mwezi wa nane mwaka huu kwa ushirikiano na watu wa Marekani.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Subscribe / uwazi1
    Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Комментарии • 9

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 5 лет назад +1

    Kwa raisi Dr. JPM tutafanya mengi tu , Mungu ampe maisha marefu na azidi kumpa hekima nyingi sana za kuamua yaliyo mema kwa nchi yetu na afrika

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 8 месяцев назад

    Sauti ndogo mno hata aina maana yoyote

  • @enrouteviaggitanzania2061
    @enrouteviaggitanzania2061 6 лет назад

    Dr. Rwegasha aka Rumburia hongera

    • @upendolukio3816
      @upendolukio3816 3 года назад

      Jmn naomben no ya huyu doctor

    • @DidacianaPeyton-xc4ts
      @DidacianaPeyton-xc4ts 7 месяцев назад

      Hii huduma bado ipo Muhimbli je mgonjwa akifikia hatua ya end stage with ascites anaweza kupata huduma hii?? Hongreni Mungu awabariki.

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 Год назад

    Sauti ipo chini

  • @upendolukio3816
    @upendolukio3816 3 года назад

    Nina mgonjwa Wa lni dogo nifanyeje pls

  • @upendolukio3816
    @upendolukio3816 3 года назад

    Mung awape marifa jmn

  • @mussaabdalamussa7494
    @mussaabdalamussa7494 6 лет назад

    ailkida