ZUMBA | EP6 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 59

  • @BemolPaul-z8o
    @BemolPaul-z8o 2 часа назад +1

    Kali sana bro

  • @HassaanMustafa-q5h
    @HassaanMustafa-q5h 2 часа назад +1

    Big up kwa zumba team Mombasani

  • @FrankLuhaha-p4l
    @FrankLuhaha-p4l 2 часа назад +1

    Zumba movie ❤❤❤iko Good congratulations for you❤❤❤

  • @WenedyMwende
    @WenedyMwende 2 часа назад +1

    Kazi nzuri sana nzumba

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI 4 часа назад +2

    Da! Unyama 2 wanangu kwa Zumba 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 5 часов назад +4

    *Kaka ake Shey Shey nimeshawahi 😁✌ YALIYOPITA, KWENYE ZUMBA. Hii kazi naifatilia kwaumakini sana*

  • @YoungDanBoyOfficial
    @YoungDanBoyOfficial Час назад

    Unyama wenyewe ndo kama hv absalute Zumba

  • @SkeetoSsaa
    @SkeetoSsaa 57 секунд назад

    😂😂😂😂😂zumba anatak kuwageuk mapolice dadekiii

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 5 часов назад +5

    🙌 *HII NDIO LEVO YA TAMTHILIA ZA BONGO INATAKIWA KWENDA. Salut kubwa kwako ZUMBA, mzigo umekaa vema sana* 🙌

    • @ZUMBAVEVO
      @ZUMBAVEVO  5 часов назад +2

      Shukrani sana

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 4 часа назад +1

      @@ZUMBAVEVO shukran pia ndugu yangu Zumba. Kazia buti humu humu usitembee na aidia nyepesi nyepesi kwalengo la kuwafurahisha watoto wasiojua sanaa. Piga za international namna hii. Ukipata muda tembelea filamu za Nigeria japokuwa hauna pesa nyingi za kuandaa Tamthilia za ghalama kubwa utapanua wigo wa fikra ktk kuandaa kazi zenye ubora. 🤝💥

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 часов назад +5

    Yaani mwasi hafai kabisa kua polisi maana swali dogo tu anababaika 😂😂

  • @AUTRISFILMPRODUCTION
    @AUTRISFILMPRODUCTION 56 минут назад +1

    Zumba umecheza sana😂😂😂😂😂

  • @MnambengaJr
    @MnambengaJr 2 часа назад +1

    Zumba heshima kwako

  • @E.Success
    @E.Success Час назад

    Episode tamu sanaaa🎉❤❤.

  • @StevenMpalia
    @StevenMpalia 6 часов назад +1

    Leo nmewhy big up zumba ❤❤

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 5 часов назад +15

    *NIMEENDELEA kuamini kazi ili iwe kubwa na yenye ubunifu 1: stori iwe na ubunifu 2: director awe anafahamu wajibu wake 3: waigizaji wafate maelekezo 4: bajet. 🏆 Waigizaji wote humu ndani wanaonekana wanaweza sana kwasababu hizo. Hii kazi imekaa kimataifa zaidi* 🙋‍♂️

  • @BonifasPaskal
    @BonifasPaskal 5 часов назад +1

    Nawakubalisana wakubwa ❤zangu mapambano yanaendelea kazi nzuli💯

  • @CharlotteMutambala
    @CharlotteMutambala 2 часа назад +1

    Kazi nzuri sn 🎉🎉

  • @icemusic2713
    @icemusic2713 2 часа назад +1

    Maji yamelowa na moto umeungua

  • @KikwetuMedia
    @KikwetuMedia 16 минут назад

    ZUMBAAAAAA! @254 nakukubali sana bro

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 2 часа назад

    Zumba keep it up good work ❤️ like za team Zumba ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @athumanbirya8419
    @athumanbirya8419 3 часа назад +2

    Nimependa sana umakini wa hii filamu mkopoa timu ndzima

  • @FurahaKulapha
    @FurahaKulapha 3 часа назад +1

    Kazi nzur zumba 🎉🎉🎉🎉❤

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 4 часа назад +1

    ZUMBA my favorite 🎉🎉🎉

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 часа назад +2

    Kwa Zumba kumecangamuka😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 5 часов назад +4

    Afu zumba ungefungialia sehemu ya like bas fanya hivyoo

  • @ChausikuAli
    @ChausikuAli 6 часов назад +1

    Mambo ni moto 😂😂😂😂

  • @Winniepaul-l6l
    @Winniepaul-l6l 5 часов назад +2

    Kazi nzur sana kaka zumba

  • @MendeBahati
    @MendeBahati 6 часов назад +1

    is the best movie ever

  • @lucasmkambu8227
    @lucasmkambu8227 6 часов назад +2

    Unyamaaaa

  • @lucasmkambu8227
    @lucasmkambu8227 6 часов назад +2

    Osaaaa

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 Час назад

    salute

  • @jumamohamedi8388
    @jumamohamedi8388 Час назад +1

    Hii movie ni yamoto sanaa..

  • @JerlasMuhindo-b1q
    @JerlasMuhindo-b1q 6 часов назад +1

    Wa kwanza Leo kutoka 🇨🇩🇨🇩

  • @FannyMugisha
    @FannyMugisha 5 часов назад +1

    Zumba na Zumba❤❤❤❤

    • @ZUMBAVEVO
      @ZUMBAVEVO  4 часа назад +1

      ❤️❤️❤️❤️

  • @jivankulikwa24
    @jivankulikwa24 3 часа назад +2

    Zumba unaingia kwenye mtego bila kujijua

  • @EmilianKunambi-f8u
    @EmilianKunambi-f8u 5 часов назад +1

    Watu mko fasta sana

  • @Bigirimana-o6r
    @Bigirimana-o6r 4 часа назад +1

    Kazinzuri zumba

  • @HASHMANTZ7
    @HASHMANTZ7 2 часа назад +1

    ZUMBA HUJAWAI KUFELI

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 5 часов назад +2

    Mapema Leo wakumi na Moja like hapa

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 часов назад +2

    Hawa askari bado level zao za spy ni za chini kabisaaaa

  • @OmanOman-hj7tv
    @OmanOman-hj7tv 5 часов назад +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lilianmnkondya150
    @lilianmnkondya150 5 часов назад +1

    🎉🎉❤❤

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 6 часов назад +1

    ❤❤❤

  • @alhimnamussasaid3619
    @alhimnamussasaid3619 5 часов назад +1

    Polisi wameingia kwenye mtego wa majambazi

  • @VumiliaOmary
    @VumiliaOmary 4 часа назад +1

    🎉🎉🎉

  • @fatuuhndunekuvuna9242
    @fatuuhndunekuvuna9242 4 часа назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉❤❤🇰🇪

  • @JeffM-nl1ph
    @JeffM-nl1ph 4 часа назад +1

    🎉

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 4 часа назад +1

    Hii kiboko

  • @RehemaMwango-xy8qo
    @RehemaMwango-xy8qo 4 часа назад +1

    Mlipo tupo

  • @JohnKingBrax
    @JohnKingBrax 5 часов назад +1

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @yuui1878
    @yuui1878 5 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦

  • @NgekiMgara-zw8bw
    @NgekiMgara-zw8bw 5 часов назад +1

    Kipara Vp hatumuoni

  • @Agnesmbuli-xq6pk
    @Agnesmbuli-xq6pk 5 часов назад +1

    ❤❤❤❤❤❤