PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 61 | Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #love

Комментарии • 2,9 тыс.

  • @hhhhy-qf8su
    @hhhhy-qf8su 7 дней назад +95

    Asalamu alaikum warhamatullah wabarakallah nawapenda kwa ajili ya Allah 🙏 nimewai Leo nipeni like kumi tu 🎉🎉😂😂 familia ya kina Tina yapigwa na kitu kizito

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 7 дней назад +3

      Wallaikum Sallam Warahamatullah Wabarakatuh Alhamndulillah ❤

    • @WakoGuyo-m1l
      @WakoGuyo-m1l 7 дней назад +1

      Waleikhum Salam warahmatullah wabarakatuh

    • @irakozeshela1809
      @irakozeshela1809 6 дней назад

      Walaikumsalam warahmatullah wabarakatuh ❤

    • @HalimaHalimaomary
      @HalimaHalimaomary 6 дней назад

      Wa'alaykum msalam warahamatulah warahamatulah

    • @kibthwiyaswaleh4533
      @kibthwiyaswaleh4533 6 дней назад +1

      Waalykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @babynaash
    @babynaash 7 дней назад +147

    Namba one tumpe kelvi maua yake🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @JullethCosmas
    @JullethCosmas 7 дней назад +496

    Mim wa 300 sitaki kuwa muongo 😅😅😅 maan Kila mtu anasema yeye wa kwanza haya mnipe like Yangu ♥️

  • @michaelambuto9081
    @michaelambuto9081 7 дней назад +38

    Asante Sana Denise but usimusaau Kelvin Hana kosa jameni 🎉🎉🎉 mike mkenya nawafuatilia Sana

  • @Dokii-pn2du
    @Dokii-pn2du 7 дней назад +62

    Mm huyu denisi ana nifurahisha sana 'mcheza picha nae kuchezewa picha hatari sana aisee😅

    • @Fatmabakari-x2j
      @Fatmabakari-x2j 6 дней назад

      Denis nae kitamramba😂😂😂

    • @nurumasoud6947
      @nurumasoud6947 6 дней назад

      Mke wake sijui ndio kamchezea huo mchezo pamoja na kelvi mbn weoooooo😂

  • @ValerianaKhiwili
    @ValerianaKhiwili 7 дней назад +54

    Usimwamin mtu😂😂😂 denis kitakuramba ni suala la muda tuu lati nakupenda bure❤❤

  • @SalhaNdutwe
    @SalhaNdutwe 6 дней назад +66

    Kwakweli hii movie inatupa mafunzo, hongereni sanaa waandaaji wa hii filamu

  • @AishaIbrahimu-z5n
    @AishaIbrahimu-z5n 7 дней назад +114

    Wow!! Nimekuwa wakwanza leo kila anayesoma comment hii Mungu akubarik ukawe mkombozi wa familia yako🙏

  • @IsmailMohame
    @IsmailMohame 6 дней назад +27

    Anaeumizwa na kilio Cha Kevin tujuane kwenye like

  • @JosefatyAfonsojoseMponda
    @JosefatyAfonsojoseMponda 7 дней назад +23

    Wewe ni kichwa sana Kelvin.mungu akubariki sana na sana ufanye zaidi na zaidi.

  • @Mzitomatelephone
    @Mzitomatelephone 7 дней назад +455

    Msiba wa kendi umeniuma sana ,kama na wewe umeguswa gonga like hapa

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 7 дней назад +75

    Tulio subili kwashauku sana kumuona mr gamba anapukutika yeye na family yake tujuane .pia tulioguswa na kendi 😢😢😢 tuipe pole family ya kelvin kwa msiba😢😢😢

    • @dellislema7033
      @dellislema7033 6 дней назад +1

      Sawa kabisa na yeye Gamba avune matunda kazi yake

  • @aminamohammed-rq7ew
    @aminamohammed-rq7ew 7 дней назад +250

    Hapo kwenye kufa kwa candy wameharibu bhn angetakiwa amwambie bony ukweli ili ajue atakubali au laa wanagap wanaish na maambukizi na maisha yanaendelea 🙃🙃

  • @TulMunawar
    @TulMunawar 6 дней назад +9

    Pole sana family ya mzee maroo kwa kunyanganywa mali ambayo mlipata kwa njia ya mkato Tina pole sana marigo yote kushiney😂😂😂 pia pole sana family ya kelvin Khan kwa kumpoteza cendy 😭😭😭

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 6 дней назад +10

    Miongoni mwa vipande vilivonickitisha sn ni hiki cha kumuona Kevi anatoa chozi dah kwl hili limemuuma sn broo wetu.Pole sn kaka na familia yako.

  • @galby-shuuh1357
    @galby-shuuh1357 7 дней назад +380

    Waliohuzunika😢kama mie kwenye kipande hichi tujuane kwa like❤❤

  • @ZulfatHamisi
    @ZulfatHamisi 7 дней назад +367

    1:01 Machozi ya mama kendii kama yamekumiza tujuwane

  • @kerubotrizah3445
    @kerubotrizah3445 7 дней назад +214

    Much love guys from Kenya 😍😍wa kwanza Leo msininyime likes ❤

  • @RachelMonanka
    @RachelMonanka 7 дней назад +34

    Mungu awatie nguvu familia ya kina kelvin 😢😢😢😢

  • @thechallangeboystheawadh5195
    @thechallangeboystheawadh5195 6 дней назад +8

    Mie nipo bz hapa namyamazisha mke wangu kulia tutakumiss DaCandy Poleni sana wana familia

  • @RubiHiblahimu
    @RubiHiblahimu 7 дней назад +150

    Wanao mpenda kevn toa like❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NoorChizi
    @NoorChizi 7 дней назад +109

    Dennis hataki mchezoo,Tina anachapwa makofii,na anasema nisiguswee😂😂

  • @luciatungwa4039
    @luciatungwa4039 7 дней назад +365

    Kama wewe mkenya🇰🇪 gonga like hapa🎉🎉🎉

  • @deborahngoliga
    @deborahngoliga 7 дней назад +17

    msbawa kendy umenifanya niione series imepoa kama unaungana na mm kwa hili gonga like hapa❤❤❤

  • @HidayaMwakalobo
    @HidayaMwakalobo 6 дней назад +6

    Umepambana Incharge bravo...mnazid kutufurahisha.😊

  • @MercyKahindi-go2nr
    @MercyKahindi-go2nr 7 дней назад +27

    Wooow 14 mnts agoo Na kumejaaa kuonyesha how much we love Kelvin ❤❤❤❤from kenyaa Maua yake Kevin ❤❤

  • @ZipporahSabina
    @ZipporahSabina 7 дней назад +52

    watching from Kenya no one today..msininyime like jamani.... pole kelvin na loveness na mama kwa wakati huu wa machozi..tutakumiss sana kendi

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  7 дней назад +714

    Aya jamani leo nimewahi au nimechelewa???

    • @SonahIssah
      @SonahIssah 7 дней назад +19

      We unaonaj hap hatakam sip tz lakin hii so sa6 bro😂😂😂

    • @karebwambugu5532
      @karebwambugu5532 7 дней назад +16

      umetuweka sana

    • @viviankemunto4435
      @viviankemunto4435 7 дней назад +16

      Umechelewa na leo ndio umenipa nimelia kweli familia ya marwa inaisha jamani ila mungu yupo❤

    • @Wamwakera254
      @Wamwakera254 7 дней назад +5

      Umechelewa sna ata ningekua mwalimu ningekupa surspp

    • @Phoebenafula
      @Phoebenafula 7 дней назад +12

      Pole Kevin Kwa kumpoteza dadako kendy 😢

  • @rtpowercell-h1p
    @rtpowercell-h1p 7 дней назад +7

    Dense ndomukoko walieka mauwa utajua hujui na wewe piya ukicheza kikurambe kuwa mupole uwone muchezo wapaka napa nya ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @SibomanaAsthaman-v6u
    @SibomanaAsthaman-v6u 4 дня назад +7

    Kevin kanzi nzuri ppa wangu rwanda kigili tunagupenda sana ndota tv

  • @PeninaMururumururu
    @PeninaMururumururu 7 дней назад +106

    WA Kwanza kutoka Kenya ,🇰🇪🇰🇪🇰🇪napeda donta TV ❤❤naomba like zennyu tafadhali

  • @HabibaKhamisi-xo8tz
    @HabibaKhamisi-xo8tz 7 дней назад +576

    Birth Day Yangu Leo Naomba Like👍 Hata Moja1 Ya Kuni Wish Mimi Ntajisikia Furaha Sanaa Na Mungu Awabariki Woteeeee🙏🙏🙏🙏

    • @JudithSimiyu-ps7ee
      @JudithSimiyu-ps7ee 7 дней назад +4

      Happy birthday sweetheart 💓 💗 💖

    • @saidiyahya6460
      @saidiyahya6460 7 дней назад +3

      Happybirthday

    • @Marim-sj7oi
      @Marim-sj7oi 7 дней назад +3

      Hbd 🎂 🥳 kipenzi ❤❤❤

    • @IrankundaAnit
      @IrankundaAnit 7 дней назад +2

      Happy birthday too you ❤🎉

    • @Arafa-dt9sh
      @Arafa-dt9sh 7 дней назад +3

      Happy birthday my love uishi miaka mingi ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @CHARLESOTIENOMAYENDE
    @CHARLESOTIENOMAYENDE 7 дней назад +46

    Watching from Kenya. Furaha ni kuona maisha ya kina Tina yakipitia shida kama ya Mzee Maro na Mali yote yarudi kwa Kelvin. Wapi likes 👍 zangu

  • @StellaMelina-e8i
    @StellaMelina-e8i 6 дней назад +12

    Mamakevini.polesana
    Munguagupeuvumilivu
    Niaimaniatapita😊😊😊😊

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 7 дней назад +23

    Tunae mwamini mwenyezi mungu na kumtegemea tafazari usipite Bila kumwaga mauwa 🎉🎉 naitwa Grande PiQui kutoka Moçambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿👏👏👏

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 7 дней назад +24

    Kelvin walia najikuta pia mm nalia aki naulizwa nalia nn weeeeh huruma hapo ❤❤❤❤

  • @NuruAli-ip9wn
    @NuruAli-ip9wn 7 дней назад +15

    Ilah Leo mmetuweza jmn, tumeanza na Furaha ya Mr gamba kutapeliwa na mwisho msiba , sijaenda cerd kufa daaah ❤🎉🎉🎉

  • @QweenNickson
    @QweenNickson 7 дней назад +58

    Hii scene ya Denis hapo kwa familia ya baba Tina nimeipenda sanaaa🥰🥰🥰🥰

    • @samuelsimwawa7493
      @samuelsimwawa7493 7 дней назад

      Sema unapenda pakichangamka😄😄😄😄😄😄😄

    • @QweenNickson
      @QweenNickson 7 дней назад

      @samuelsimwawa7493 sanaaaa😃😃😃

    • @Eliabthmwambeke
      @Eliabthmwambeke 7 дней назад

      😂😂😂​@@samuelsimwawa7493

    • @PhostineWaswa
      @PhostineWaswa 7 дней назад +1

      Tina's family wastahili hivo walichokipanda

    • @QweenNickson
      @QweenNickson 7 дней назад

      @@samuelsimwawa7493 sanaaaa 😃😃😃😃

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 7 дней назад +5

    Nyinyi mwaniliza na sehemu ya candy wangu jamani😢😢😢😢,alafu Denis nmeipenda sana hio take your Flowers babaa🎉🎉🎉

  • @HajiKichawi
    @HajiKichawi 6 дней назад +5

    Jamani Kendy bora awe amezima tu kwani sipendelei tumkose episode zijazo kutokana na umuhimu wake ivo bac lakini denisi umetisha kaka hongera kwa nafasi yako kuitendea haki

  • @Nicklassdirector-56
    @Nicklassdirector-56 7 дней назад +286

    Walioumizwa na kifo cha cendy tujuaneee

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 7 дней назад +60

    Denis kumbukumbu zangu zinaniambia hata wewe Lati anaweza akaja kukuliza mbeleni maana wakat wewe ukifanya harakat zako za nyaraka hata yeye pia alikuwa na harakat zake so ni swala la mda tu denis utalia😂😂😂😂❤❤❤

  • @LuffyLuffy-z7h
    @LuffyLuffy-z7h 7 дней назад +23

    Waah kimeumana huku ,Tina zmu yko sasa maisha ya slayqueen kwisha ,,aky nawapenda xn Donta tv kaz nzur ALLAH awazidishie vipaji vyenu ,nimejifunza mmb meng xn kutokana na hii series wallah ,CONGRATULATIONS🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @RaamaLometo
    @RaamaLometo 3 дня назад +1

    Kwa kweli nimejifunza mengi kutokana na kila mhusika hongera sana kwenu❤❤❤🎉 ningependa muendelee vivyo hivyo

  • @ArshanaEsthy
    @ArshanaEsthy 7 дней назад +11

    mumearibu movie kufa kwa kendi, mimi nasimamiya apa, nawatakiya safari njema😢😢

  • @VioletGikenyi-n8d
    @VioletGikenyi-n8d 7 дней назад +56

    Weeee ni huzuni kwa familia ya kina kelvin , pole sana

  • @تاتوالمعمري
    @تاتوالمعمري 7 дней назад +26

    Poleni sana mama kevi love nes boni kevi nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😢😢😢😢😢

  • @BamakoMagarya-u9r
    @BamakoMagarya-u9r 7 дней назад +21

    Nimeingia kulike na kucoment, coz sahii sina salio but badae nitacome kuona🔥🔥

  • @YOUNGAMBELE
    @YOUNGAMBELE 7 дней назад +5

    Wahooo ongela Sana kwakuwaisha movie love our

  • @alijira9660
    @alijira9660 7 дней назад +7

    Yaani mtu analia cha ukweli na ni drama tuu daaaaaaaah pongezi kwenyu

  • @mariegoretteshondingarugam3714
    @mariegoretteshondingarugam3714 7 дней назад +21

    Kwa hii filamu jamani😢mumenipa uchungu sana Kelvin hongera mara 100

  • @stellamsuya1178
    @stellamsuya1178 7 дней назад +35

    Usiri wa Loveness umemuondoa Candy,, bora angemwambia hata Kelvin

  • @Lissahford
    @Lissahford 7 дней назад +58

    Denis nae ajiandae soon kitamramba maana Latifa sio mjinga mjinga ni mwanamke nanusu😂😂😂

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 2 дня назад +2

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI🇧🇮.

  • @CianahNgotele
    @CianahNgotele 7 дней назад +16

    20:51 ama Denis kikurambe, umjui lati vzuri😅😅

    • @IreneFrancis-di5ct
      @IreneFrancis-di5ct 6 дней назад

      I know😂

    • @Mwendemitchellle
      @Mwendemitchellle 6 дней назад

      Vile namwona lati ana mpango Dennis kitamramba😅

    • @olicej7837
      @olicej7837 6 дней назад

      ​@@Mwendemitchellle😂😂😂😂ila anaweza akasema amuache maana ni baba wa mtoto wake😂

    • @NancyMgonja
      @NancyMgonja 6 дней назад

      Denis kitamlamba😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 3 дня назад

      Lati mjanja sana😂

  • @VeenVv
    @VeenVv 7 дней назад +42

    Team strong wenye tumeiba wifi kuwatch kevo na lovenes nipeni maua jameni❤❤❤

  • @UMMYMAINGU
    @UMMYMAINGU 7 дней назад +61

    Kwa huruma to naombeni like jaman😢

  • @AplA-x9b
    @AplA-x9b 7 дней назад +16

    Bado lati nae ampokonye Dennis mali na azirudishe kwa kina Kelvin.
    Yanayokuja yanafurahisha mpaka huku 🇰🇪 Kenya kwetu😂😂😂😂

    • @tesh523.
      @tesh523. 7 дней назад

      Kasongo yeye 😂

    • @olicej7837
      @olicej7837 6 дней назад

      Apo ndo patamu😂😂😂😂

  • @Deloveally-o8g
    @Deloveally-o8g 7 дней назад +3

    Jaman msiba wa cendy umeniuma😭😭 xna kwann xax kafa c wangefanya awe hai t mana ih family y kina kevn majanga t kila cku majanga aya inaxtair wangepata wakina tina co kina kevn imeniuma xanadaah😢

  • @CharlesMutheti
    @CharlesMutheti 7 дней назад +3

    Wakenyaaa nipo kabisa alf hii familia ya kelvin imenifanya nikatoa chozi dipo nikakumbuka ni kuact but hii seris kama waifuatilia kutoka mwanzo inamafunzo mengi mbarikiwe sana donta tv

  • @JerolinaLuwagila
    @JerolinaLuwagila 7 дней назад +20

    Hahahahahahaha tina with her family kimewarambaaaa🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Mwendemitchellle
    @Mwendemitchellle 7 дней назад +22

    Finally the most waited part imefika...lakini kevi ulisema saa sita...nilifika youtube mbele yako nikasubiri mpaka nikachoka

    • @hawamwamlima7085
      @hawamwamlima7085 7 дней назад +1

      Leo Tina 😂😂😂😂😂😂

    • @hawamwamlima7085
      @hawamwamlima7085 7 дней назад +1

      Hivi jamani kendi nae utafanyeje tena
      Sijapenda

    • @hawamwamlima7085
      @hawamwamlima7085 7 дней назад +1

      Mama kelvn anatia huruma sana

    • @Mwendemitchellle
      @Mwendemitchellle 7 дней назад

      B​@@hawamwamlima7085kwa kweli😢

    • @Mwendemitchellle
      @Mwendemitchellle 7 дней назад

      ​@@hawamwamlima7085nakwambia kimemkuta leo nataka iendelee tuone akiteseka😅

  • @MichaelAndrea-qv9sc
    @MichaelAndrea-qv9sc 7 дней назад +13

    Kazi nzuri sana , MUNGU awape maixha marefu 🙏🙏

  • @KelvinJoseph-k6c
    @KelvinJoseph-k6c 5 дней назад +1

    Hongera sana wajina wangu Kevin nainjoy sana kuangalia tamthiliya yako najifunza mengi sana ktk life ya kawaida of course nainjoy napenda sana maisha kama yako mungu anilindie ww na akupe maisha marefu my brother hakika unawafunza wa2 wengi jinsi ya kuishi katika jamii tamthiliya hii imetisha sana congratulation kwa kaz nzur watu kama ninyi mnatakiwa sana by kelvin joseph or masunga joseph 19 years

  • @eunicewambui-v7k
    @eunicewambui-v7k 4 дня назад +1

    😂😂😂wangapi wamengoja Denis kimrambe pia kama familia ya gamba😢😢..tumpe loveness mauwa yake kwa kujitolea msaada kwa familia ya kelvin🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Marlenapilikitsao-gk9je
    @Marlenapilikitsao-gk9je 7 дней назад +9

    Humchezo unataka Makini kweli hongera bro mungu akufungulie mengi na makubwa mazuri ❤❤❤❤❤.R.I.P daa candy 😭😭😭😭😭😭🌹🌹🌹🌹

  • @ernestraymond4006
    @ernestraymond4006 7 дней назад +15

    Team Donta Tv tupo hapa au nipo hapa nawakilisha toka Masasi Mtwara..
    Kiukweli mnfanya kazi mzuri sana kazi zenu nimezipenda sana kiukweli endeleeni na ubunifu story mzuri na kujifunza makosa na kuna baadhi ya matukio mfano thamthilia ya Before I met smith na mwenzako mlikuwa bar na pia hamkugandua lebel sasa sijuhi mmeingia matangazo na hiyo bia??
    Ila Big up sana mnatupa burudani mzuri sana.

  • @sharonmercy8379
    @sharonmercy8379 7 дней назад +41

    Najua team fulus mko huku😂 gonga like tukisonga team hamam Denis amenipamba wakai🤣🤣kimemkuta Tina

    • @waridiyusufu
      @waridiyusufu 7 дней назад +1

      😂tupo team strong
      Team hammam

    • @RukayyaGoodluck
      @RukayyaGoodluck 7 дней назад +1

      Fulus tumejaa hapa 😂

    • @ZamraniSuleiman
      @ZamraniSuleiman 7 дней назад

      Innalillah wainnailah rajighun; Polen Sana Kwa msiba ndugu zetu

    • @Dama-h6v
      @Dama-h6v 7 дней назад +1

      Tupo kama kawaida ❤from Saudi 🇸🇦

    • @Sylvia-x7y
      @Sylvia-x7y 6 дней назад +1

      Haha nikajua npo mwenyew naomben like basi team strong 💪 😅

  • @FATMASULTAN-j2p
    @FATMASULTAN-j2p 7 дней назад +6

    Mmetuwek kweli heh kila mda nlikua nachungulia tuuu😅me naomb muwe mnawahi

  • @Gracekadzo-ix4zt
    @Gracekadzo-ix4zt 3 дня назад +1

    AK nifurahia Leo kazi Iko sawa hongera kwenu donta Tv🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @sebastianmelkiory4488
    @sebastianmelkiory4488 7 дней назад +12

    Kweli hamna cha bure ukipenda cha bure ujue kunagarama yake
    Nimetoka na kitu na mwisho wa ubaya ni aibu😢😢life is like simple

  • @RashidKhanOmar
    @RashidKhanOmar 7 дней назад +10

    Wakwanza leo wanangu nipeeni hata lake 10 tu zinatosha duuh familia ya tina imegonga mwamba wanangu😂😂😂😂 wapi maua ya denis🎉🎉🎉

  • @PhilisOngayo
    @PhilisOngayo 7 дней назад +15

    Love uuu guys from kenya❤ msininyimee like aky woshee

  • @EssauDaniel-r3o
    @EssauDaniel-r3o 5 дней назад +2

    Daaaah hili limeniliza sanaaaa kiukwel kwann kend jamn na so tina

  • @JaelOkoth
    @JaelOkoth 6 дней назад +1

    Mmmmh napunga mkonoo donta tv episode hii ya 61 mumetuamulia imekujaa moto zaidi tena ya kuvutia......hicho ndicho kinacho wafaaa familia ya tinaa .....hongera bi lati na bw deno muko vizuri kweli....poleni sanaa kelvin kwa msibaa wa dadako kebdi laiti kendi angewaza kumsikkilzaa mamako haya hayangewasibu.....tunasubiria episode 62

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 7 дней назад +8

    leo nimewahi mapema 🙏😁 nipeni maua yangu. This is first love from Mozambique ❤🇲🇿

  • @DolphineIngosi-v4k
    @DolphineIngosi-v4k 7 дней назад +10

    Kazi nzuri sana denis amecheza kama yy🎉🎉🎉🎉from 🇰🇪

  • @ChambulaMedia1
    @ChambulaMedia1 7 дней назад +32

    Aseee Mimi Wa Kwanza 😂😂😂😂
    Nani Alikuwa anasubiri ukweli juu ya kifo cha Kendy

    • @AminaNgumba
      @AminaNgumba 7 дней назад

      Sasa kinakuchekesh nn kifo ni jamb la kuchek?

    • @DanielVangota
      @DanielVangota 7 дней назад

      Ila uyo tina atumiki kevi japo hiyo ni kaz bas fanya kitu

  • @YassaNahama
    @YassaNahama 5 дней назад +2

    Natokea pande za mtwara see nakubali sana kazi zakoo😊😊

  • @KanezaClaudine-of2oo
    @KanezaClaudine-of2oo 6 дней назад +1

    walah toka naona hii moovie leo ndio naipenda ❤❤❤❤❤❤❤

  • @Aminahamady-o9u
    @Aminahamady-o9u 7 дней назад +15

    Loveñes kweny before I meet you ka uso kapo soft adi Raha uku mbona upo tofauti usoni

    • @shaydebby5678
      @shaydebby5678 7 дней назад +1

      Anacheza uhalisia dear huoni huku yupo kwenye maisha magumu ata hela ya mafuta na ya kwenda kinyozi hana😂😂😂

    • @AsnathsevelineKidungu
      @AsnathsevelineKidungu 7 дней назад

      Nilichogundua mwanzo hata kev na mama kev na kendy hawakuwa kama asaiv maana yake asaiv wapo kwenye maisha magum kila kitu kinabadilika

    • @FloraCalisty
      @FloraCalisty 7 дней назад +1

      hyo ndo xura halisi zile makeup

  • @joanbwahama-rx3tc
    @joanbwahama-rx3tc 7 дней назад +13

    Kifo cha Candy kimeniumiza sana😢😢😢😢
    Na nahisi hata Denis mali nae zitachukuliwa ngoja tuone😮😮

  • @BinwaTiba
    @BinwaTiba 7 дней назад +38

    Amakweli malipo nihapahapa duniani Napole sana kwa musiba wakedy nawapenda kutoka burundu😭😭🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💙💙💙💙

  • @BrendaMenza
    @BrendaMenza 6 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉maua yaende kwa donta tv 🎉🎉🎉na watazamaji wa donta tv 📺 ♥️ wote 🎉🎉❤❤❤nawapenda sana 🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉💞💞💕💕❣️❣️🥰♥️

  • @shavakhantz7960
    @shavakhantz7960 7 дней назад +1

    😢😢😢kifo cha kendy kimeniliza toka ile ep ya 60 nililia sana naleo nimelia sana plus huo wimbo moyo pole duh naumia sana jamn😢😢😢

  • @VelaVerma
    @VelaVerma 7 дней назад +45

    Kwanzia nianze ku comment sijai pata hata like moja naomba leo mnipatieko hata ka like natoka Kenya

  • @florencebalimuchabo3023
    @florencebalimuchabo3023 7 дней назад +17

    Wakwanza kutoka congo.hata tukiwa ndani ya vita🎉🎉🎉.like zangu

  • @KalumeMohammad
    @KalumeMohammad 7 дней назад +9

    Familia zote mbili nyote mko n majonzi kaaeni pole 😭💔n mungu amptie nguvu 🙏👍

  • @eunicewambui-v7k
    @eunicewambui-v7k 4 дня назад +1

    Leo imekuwa nzuri sana maana Tima kimemramba kweli ila hii machozi ya kelvin naumia sana😢😢😢😢

  • @LatifaSeif-cs6rd
    @LatifaSeif-cs6rd 4 дня назад +1

    Mama Calvin anajua anajua tena kama kweli yani.❤

  • @HajiMaster-fz1hq
    @HajiMaster-fz1hq 7 дней назад +20

    Wa kwanza Mimi From msasani Like Zangu jamani

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 7 дней назад +15

    Jamani jamani eee😂😂😂Joo muone kapuni ma lesn za nyumba 😂😂ila pole sana kwa jamaa ya Kelvin kwa kupoteza kendy😢😢inauma na hivi Trump amesema hakuna msaada wa ma ARV alioba mbora nife mapema😢😮

    • @MelvinMmbeyi-ql6xf
      @MelvinMmbeyi-ql6xf 7 дней назад +1

      Umesema Trump 😂😂

    • @Babelia-b6v
      @Babelia-b6v 7 дней назад

      😂😂😂😂😂​@@MelvinMmbeyi-ql6xf

    • @Justin_Nano
      @Justin_Nano 7 дней назад

      @MelvinMmbeyi-ql6xf hakuna msaada wa ma ARV ku African 🤣🥺

    • @Lyza-s4e
      @Lyza-s4e 7 дней назад +1

      😂😂😂😂😂

  • @SophyAssenga
    @SophyAssenga 7 дней назад +15

    Wa kwanza leoo❤❤❤

  • @FatumaBakari-c3l
    @FatumaBakari-c3l 4 дня назад

    Denis❤❤❤❤umeupiga mwingi bro ....nimefurah cna kuona familiar y Tina ikinyanyasika leo🎉🎉🎉🎉wana donta

  • @BorisNiyonsaba
    @BorisNiyonsaba 6 дней назад +1

    Kazi njema sana wakali wangu 💪
    Nawapongeza sana mimi kutoka Burundi 🇧🇮

  • @SiwemaChikawe-dv6iu
    @SiwemaChikawe-dv6iu 7 дней назад +10

    Denis anagawa dozzii😂😂😂.hii nimeipenda😘

  • @JennyRenald
    @JennyRenald 7 дней назад +30

    Yani hii movie ukiwatch unaeza Lia mtu akikuona atadhani movie inakuliza kumbe unayako yanayokuliza 😂😂😂

  • @VeenVv
    @VeenVv 7 дней назад +20

    Please 🙏 na Leo msininyime like nimejaribu jameni kutoka kenya❤❤❤

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 6 дней назад +1

    Wow nyuki aka denis 😊😊i like how you act😊😊🎉🎉❤❤ Congrats❤❤

  • @deborahngoliga
    @deborahngoliga 7 дней назад +5

    mm ni wa 1000 sasa jmn ndo mtu wa mwisho naombeni like zangu hata 30 tuuu.