LULU DIVA AMPENDA MR RIGHT ALIYEWAKATAA WAREMBO WOTE | KASEMA HAJAONA MWANAMKE MZURI S04E19

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Комментарии • 430

  • @ponyoduguru
    @ponyoduguru 9 дней назад +81

    Nilikuwa naisubir kwa hamu kubwa sana hii show ya huyu mwamba najuwa tulikua wengi tunaisubiria Basi tujuwane kwaku gonga like hapa

  • @KagendoPionah
    @KagendoPionah 17 часов назад +2

    Rajji from last chance ❤🎉 watching from Kenya 🇰🇪

  • @BongoKinoXtra
    @BongoKinoXtra 9 дней назад +124

    Uyu jamaa anaigiza last chance 😂🎉

    • @RehemaMussa-r7l
      @RehemaMussa-r7l 9 дней назад +5

      @@BongoKinoXtra kwel c ndo Raji uyu

    • @BongoKinoXtra
      @BongoKinoXtra 9 дней назад +2

      @RehemaMussa-r7l ndo uyo uyo ndio 😂

    • @RehemaMussa-r7l
      @RehemaMussa-r7l 9 дней назад +1

      @BongoKinoXtra kwaiyo kajipata Sasa ivi mn mm ndo yule tausi najilaumu ningejua ningemkubal t

    • @BongoKinoXtra
      @BongoKinoXtra 9 дней назад +2

      @@RehemaMussa-r7l Af naona kama kaja kuzuga tu uyo... sidhan kama anakosa dem uyo na kuigiza kote kule

    • @RehemaMussa-r7l
      @RehemaMussa-r7l 9 дней назад +1

      @BongoKinoXtra hhhhhhhhhh

  • @safiunamugen7476
    @safiunamugen7476 9 дней назад +10

    Kutokea Kenya,,, following from Doha Qatar lulu nakupenda sana msuper wa jua kali❤

  • @JosephinaMsagala-m1l
    @JosephinaMsagala-m1l 9 дней назад +20

    Lulu diva ,usiwaze mungu atakujalia na ww kupata kababy Kako.

  • @Daniella162
    @Daniella162 9 дней назад +8

    Watu mnaofatilia this show kutoka GOMA
    We put in our everyday Prayers
    🇹🇿❤❤🇨🇩

  • @edwardpaulo3351
    @edwardpaulo3351 9 дней назад +14

    Tangu huu ujinga tangu uanze leo ndotumeona mr mwenye uelewa ametu wakilisha vyema🎉🎉

  • @IreneMwinuka-u7z
    @IreneMwinuka-u7z 6 дней назад +24

    Kumbe tunaoangalia Last Chance ni wengi😂 me nilimuona tu kwenye ep ya kwanza nikauliza akasema niyeye Raj wanna man😂😂

  • @JacklinebosiboriMomanyi
    @JacklinebosiboriMomanyi 4 дня назад +4

    We wakenya sisi tuna roho ya kupenda na tukiamua kujitoa ni mara moja😂😂😂😂wapi like za wakenya

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 6 дней назад +6

    Ths mr Right is young but wth intellectual mind,n mature upstairs,congs young man

  • @noelydembe5040
    @noelydembe5040 5 дней назад +16

    Kama umemuona Zuwena wa Diamond like 😂😂

  • @KolisNgwembele
    @KolisNgwembele 2 дня назад +4

    Zuwena au nimemfanisha😂😂😂😂😂

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 9 дней назад +19

    Sema siku izii sifatiliyi sana kipindi hiki kisaa vita ya huko nyumbani Goma,
    Jamani tunaomba Duwa zenu

    • @Daniella162
      @Daniella162 9 дней назад +1

      @@dariusshukuru8490
      Watu wa GOMA we in 🇹🇿 are with you.
      Tunawaweka kwenye Dua Zetu kila Cku
      Je Taime

    • @ndogolofadhila6203
      @ndogolofadhila6203 3 дня назад

      @@dariusshukuru8490 Itaisha kwa uwezo wa MUNGU

  • @biancaqui1810
    @biancaqui1810 9 дней назад +44

    Natokea Kenya nawapenda Tz😂😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 9 дней назад +4

    Natoka Drcongo Lubumbashi
    Napenda sana chow ya Mr Right sana❤

  • @MashaSogoma
    @MashaSogoma 4 дня назад +1

    Huy mr right nimempend bure jmn napend wat wa serious kam hawa😘😘😘😘

  • @SusanMutika-nl8sq
    @SusanMutika-nl8sq 9 дней назад +2

    Kura juma icho love's from kuria nawapenda,,❤❤🎉🎉san ,wapi like jamani

  • @SalmaSalmaissaissa
    @SalmaSalmaissaissa 4 дня назад +7

    Jmn nimemuona zuwena wa diamond 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 6 дней назад +3

    Mbona uyu kaka Iko smart san awowanaake siaelei kbx mwanaume mupole san uyu nimemupenda anasema kweli 💪💪🔥🥰🥰🇴🇲🇧🇮

    • @Raj-lastchance
      @Raj-lastchance 5 дней назад +1

      waoo asant mamy🥰🥰

    • @Itsrems24
      @Itsrems24 4 дня назад

      @@Raj-lastchance ndo wewe Raj wa teacher😂😂😂😍

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w День назад

    Masha Allah siwema she's beautiful ❤❤❤

  • @HappySimon-r8h
    @HappySimon-r8h 3 дня назад +2

    Hyu Mr.right c ndo kaigiza Last Chance ya RK😂

  • @JudithKitumbika-v4q
    @JudithKitumbika-v4q 4 дня назад +2

    Walomuona zuwena gonga like hapa😂😂😂😂

  • @MariamKimbugwe
    @MariamKimbugwe 2 дня назад +1

    Nimeipenda iyo waziguwa oooooyeeeeeeeeeeeeee😂😂😂

  • @AbellaKatakuzi
    @AbellaKatakuzi 4 дня назад +5

    Tunapenda wanaume weusi lakini tunataka kuzae watoto weupe😅😅😅

    • @jenfan8781
      @jenfan8781 3 дня назад

      @@AbellaKatakuzi hii comment nilikuwa naitafuta sana Toka 1901

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 2 дня назад

      ​@@jenfan8781 WANAWAKE WANA TABIA ZA KUDANGANYANA, WANAPOMKOSA MZUNGU NDIO HUDIDAI WANATAKA MWEUSI AU MARA NYINGI WASHATEMBEA SANA NA WATU HAO

  • @OctavianMbunda
    @OctavianMbunda День назад +1

    Wabongo kwa ubunifu noma

  • @PaulinaJoshuw
    @PaulinaJoshuw 21 час назад +1

    Jamn dada kaaibika so pow 😂😂😂

  • @Gifttebe-e6w
    @Gifttebe-e6w 5 дней назад +3

    😂😂 jmn wanawake tunatia aibu tunawaza ela tu mda wote jmn

  • @JamesBahati-i6w
    @JamesBahati-i6w 19 часов назад

    Hapo man of the match ni uyoo Abdul 😅😅

  • @NasrahAbdul-d2v
    @NasrahAbdul-d2v 6 дней назад +4

    Wanajiogopa hao kuwa nae coz kaka wawatu nimzr haendani nao 😂😂😂

  • @JayJax-t2o
    @JayJax-t2o 3 дня назад +1

    Natural is natural

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 5 дней назад +9

    Uyo raji fundi wa last chance 🎉🎉🎉

    • @Raj-lastchance
      @Raj-lastchance 5 дней назад +1

      asant sana

    • @AllyBabu-kr6lg
      @AllyBabu-kr6lg 5 дней назад +1

      @Raj-lastchance mwenetu raji tunakukubali kama tunavomkubali konde boy

    • @YuvistaSarimu
      @YuvistaSarimu 4 дня назад

      @@Raj-lastchance wanakupenda ao kakaangu sema wameogopa kukuchagua labda utawakataa

  • @gadafimuemede2985
    @gadafimuemede2985 9 дней назад +2

    Sucesso para sempre from Moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @handenitakuru6696
    @handenitakuru6696 18 часов назад

    Wazgua Mashallah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @brightnsaligwa3533
    @brightnsaligwa3533 4 дня назад +2

    HUYUU jamaaa ana confidence ya Hali ya juu na Yuko smart sana,
    But sitak kujua Kam ana act maisha au ndo hualisisa wake ila Yuko smart san

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz 4 дня назад +1

    Safi sana mr right 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DjumaCuxHkz-fv3zx
    @DjumaCuxHkz-fv3zx 9 дней назад +3

    Nimeyipenda Bongo

  • @AishaRashed-m5o
    @AishaRashed-m5o 17 часов назад

    Nimeipenda hiy

  • @Lucy-em5xg
    @Lucy-em5xg 3 дня назад +2

    Jaman rusheni hiki kipindi na dstv ni kizur

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 9 дней назад +4

    Uyu Mr Right anacho ongea sio saw,kwa sababu kazi ni kazi

  • @doganidogani-i4z
    @doganidogani-i4z 6 дней назад +3

    ..huyu kaka nampataje😢hacheki na wowote..😂angenifaa

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 5 дней назад

      Hutaki acheke hata na ww

  • @salamambarouk5761
    @salamambarouk5761 9 часов назад

    Heeee Mr right Kaua 😂😂😂😂😂🙌

  • @Officialunclebaiby
    @Officialunclebaiby 5 дней назад +1

    Mr Michael AKA gara B ..naomba umuambie lulu diva me pia natamani kumgeuza awe mama 😢😢

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 6 дней назад +1

    Mr right ya mwisho 😂😂😂😂😂 aki ameweza hawa ma dem ❤❤❤😂😂😂😂

  • @estherchoni-yq6dr
    @estherchoni-yq6dr 4 дня назад +1

    Mr rights n Raji wa last chance❤❤🎉

  • @JackiJaday
    @JackiJaday День назад

    Mm nampenda huyu kaka jmn

  • @HadijaSaid-b6z
    @HadijaSaid-b6z 5 дней назад +2

    Umetisha kaka

  • @Stafamuigizaji
    @Stafamuigizaji 9 дней назад +4

    Ila ami na lulu akilieni wadada siku moja wasije kuzichapa mana naona sunu kilikuwa kinaenda kunuka🤣🤣

  • @EusebioEduardoAntonio
    @EusebioEduardoAntonio 9 дней назад +2

    napenda sana show ya Mr Right🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @SadickAbel-b8r
    @SadickAbel-b8r 2 дня назад +1

    Zuwena naye yupo

  • @HUSNAALLY-q8e
    @HUSNAALLY-q8e 3 дня назад

    Mr right Madam lecturer anakusubiri😂kwenye last chance😅😅

  • @CatherineAdamu-e2d
    @CatherineAdamu-e2d 5 дней назад +2

    Abdul ana point sana

  • @SaadaHussein-c1t
    @SaadaHussein-c1t 9 дней назад +4

    Kafanya vizur kweli na hao wanawake wangekuwa wanaulizwa Kaz zao maana kazi kunyambua kazi tu za wanaume badala ya kuangalia mume bora

  • @nayvannynayvanny9530
    @nayvannynayvanny9530 6 дней назад

    Nitakuja kutry hii show ya Mr right Tanzania ❤,,ningependa sana nipate mume kutoka Tanzania

  • @NafisaHeradi-o1z
    @NafisaHeradi-o1z 3 дня назад

    Mon frère vraiment courage ♥️✌️

  • @Aveth-z7o
    @Aveth-z7o 16 часов назад

    Jamn nimefel like me ndo huyo mwanaume kiufupi nimeumia,, kumkandia live na weupe wake😢😢

  • @ERICAIRANEZEZEREJE
    @ERICAIRANEZEZEREJE 5 дней назад +1

    😂😂😂😂 majibu ya huyu kaka nikama majibu ya mume wanguuu😂😂😂 jamani

  • @NuruIbrahim-ue1if
    @NuruIbrahim-ue1if 6 дней назад +4

    jamani nimempenda sana huyo kaka kwa mwaswali yake kamjbu vizuri

  • @Fatma-xm8ej
    @Fatma-xm8ej 4 дня назад

    Kaa ambae nimemuona zuena vile😂😂😂😂😂.. Au macho yangu.. 🧐..? Kaja kutafta Mr right😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @HadiaMwidan
    @HadiaMwidan 3 дня назад

    Safi san bro safi

  • @gamarahmed3258
    @gamarahmed3258 2 часа назад

    😂😂😂😂😂Sijui kwa nini wanawake wabaya wanakuwaga na mashaauzi

  • @AmanKirway
    @AmanKirway 3 дня назад

    Ahhh nimeipenda hii

  • @Lissahford
    @Lissahford 4 дня назад

    Mbona Raj yupo smart with brain sana jaman sema hao madem wanajiogopa wala hawaendan nae hata kdg my favorite actor kwa LAST CHANCE❤

  • @stellammari4922
    @stellammari4922 5 дней назад +3

    Nimependa sana Mr. Right vzr sanaa

  • @SharonRobert-nx3pq
    @SharonRobert-nx3pq 8 дней назад +1

    Nimefurahiswa sana na Ramadhani👍👍👍

  • @SalmaZuberi-q8m
    @SalmaZuberi-q8m 5 дней назад +2

    Mr right 😂😂😂😂😂 kajua kunyoosha mtu😂😂😂

  • @ZuhraAlly-l2g
    @ZuhraAlly-l2g День назад

    Kwamajina naitwa kareem
    Nitunzieni mlembommoja. Nimempenda {siwema} nampenda sana jamani

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 5 дней назад +1

    Mwanamke mwenye heshima utamjua tu, kwa maongezi yake

  • @AliySaidi-i2r
    @AliySaidi-i2r 3 дня назад +1

    Uyu MWAMBA ni balaaa 😎😎😎

  • @MaryanMaryam-lc1et
    @MaryanMaryam-lc1et 8 дней назад +1

    Tanga hawatok maboya😂😂😂 asantee bro wamezid hao

  • @AbellaKatakuzi
    @AbellaKatakuzi 4 дня назад +1

    Hii ndo inaitwa ubaya ubwela😅😅😅😅

  • @japhetmajiba6299
    @japhetmajiba6299 День назад

    Huyo jàck hafanyi kazi bar kwéli

  • @MwajumaMohammedi
    @MwajumaMohammedi 7 дней назад +3

    Nimempenda bule Mr light

  • @OscarSipriani
    @OscarSipriani 9 дней назад +5

    Mm nimempenda amigali nawishi angekuwa mke wang

  • @mandelatv-e3b
    @mandelatv-e3b 6 дней назад +1

    Kbx uyo kaka nimwana ume kbx🙌wew una anza ku uliza pesa ukombali kaka ninge kutumia Gft😢🎉🎉❤❤❤

  • @josephpeter2627
    @josephpeter2627 4 дня назад +1

    Tausi umekosa ata patient aya mfamasia mwenzako nipo hapa

  • @VerowDeUniqueGal
    @VerowDeUniqueGal 6 дней назад +5

    asa zuwena wa diamond alikuw anafany nin hapo🤣🤣🤣

    • @DeboraMillanzi-f8g
      @DeboraMillanzi-f8g 5 дней назад

      jmn c kutafuta mr right😂😂😂😂

    • @VerowDeUniqueGal
      @VerowDeUniqueGal 5 дней назад +1

      @DeboraMillanzi-f8g kaona tumeanza kumsahau 🤣🤣 kaenda kutukumbusha kuw yupo

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 9 дней назад +1

    Hapo hakuna mwanamke wote niwale maringo ya peni moja eti oo sitaki mwanamume mweupe nyefu nyefu😂😂😂😂😂😂

  • @AishaZuber-z6g
    @AishaZuber-z6g 7 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kaka umetisha 😂😂😂😂😂😂😂

  • @NafisaHeradi-o1z
    @NafisaHeradi-o1z 3 дня назад

    Je vous aime fort 🇨🇩❤️✌️

  • @KoksinaFrank
    @KoksinaFrank 3 дня назад

    Jomon Raj!!!!! Mi nakukubali sana usurious wakoo daah

  • @AshleyAminah-u4s
    @AshleyAminah-u4s День назад

    Uyu jamaa wa last chance ama😂😂😂😂

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 6 дней назад +1

    Mr nimependa sna yan kanyooka kwa majib♥️🇹🇿

  • @ChristineKesi-k9r
    @ChristineKesi-k9r 6 дней назад +3

    Huyu sini Davis wa jua kali au naota??

  • @AmaniMgalla-eb2ll
    @AmaniMgalla-eb2ll 5 дней назад +2

    Tupo nae kwenye last chance 😊

  • @KelvinMrema-y9i
    @KelvinMrema-y9i 9 дней назад +3

    Zuwena in the house😂😂😂

    • @SimaNaji-b1f
      @SimaNaji-b1f 3 дня назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 watyu mna machoooo

  • @Shazmasogoma
    @Shazmasogoma 2 дня назад

    Mr right hachek na yeyote 😅
    Hawa wanawake wanaletaga usanii kwny jumba la Sanaa 🤣
    Leo wamekutana nacho 😅

  • @janissam5187
    @janissam5187 4 дня назад

    Huyu jama come back zake noma see you in the last 😂😂😂

  • @vincentgazire7212
    @vincentgazire7212 5 дней назад +1

    Acha mzee wanawake niwabaya sana wanazarau sana

  • @EmmanuelYohan-t7x
    @EmmanuelYohan-t7x 2 дня назад

    Naalivyo smati anicheki 😂😂😂😂

  • @anatreziakatawanya9575
    @anatreziakatawanya9575 День назад

    Mh! Anadharau sanaaa uyo mwamba

  • @rachelndaki5642
    @rachelndaki5642 17 часов назад

    Hii inaitwa weka tuwek ila huyo si ndugu yake chik wakwenye last chance 👏👏

  • @Mariam-d4s3p
    @Mariam-d4s3p 3 дня назад

    Dharau mwenzake kibur maaninaa😂😂😂wameenyooshwa leo na Mr light

  • @RehemaYona-cm2yx
    @RehemaYona-cm2yx 6 дней назад +2

    Nani kamuona zuwena 😂

  • @Nasastraissa
    @Nasastraissa 3 дня назад +2

    siwezi ishi bila huy mr rigihit

  • @FatmaMussa-t7c
    @FatmaMussa-t7c 9 дней назад +5

    Alivyo sema ni kwli wanaweke tunaringa sana

  • @naomikisaba5785
    @naomikisaba5785 9 дней назад +14

    Mnataka wanaume weusi haraf mnajichubua mkizaa watoto weusi mnaanza kuwaficha😂😂😂😂😂

  • @AmosJohn-d1x
    @AmosJohn-d1x 6 дней назад +1

    Tatiz madada weng wanapenda wanaume wenyepesa so upendo

  • @MaishaNgolomwa
    @MaishaNgolomwa 6 дней назад

    Kwamim sikubalian nao kujikoboa wakat rangi aliyokupa mungu inatosh from mozambique

  • @Cutebeyb
    @Cutebeyb 2 дня назад

    Ukujee kwangu nipo 😂😂😂mm stakii ata mia we kak

  • @NassorMohd-v5o
    @NassorMohd-v5o 4 дня назад

    Uyo xiwema na recho wanazinguwa maan kaambiwa chai ni ya maziwa😅😅😅😅