DOCTOR MOSES trailer EP 05

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • #babajoan #lovestory #love
    Namna yakuelewa hii movie ifuatilie Sasa kuhusu Mila na destul

Комментарии •

  • @PillyEliasa
    @PillyEliasa 5 дней назад +3

    Baba Joan...baba Joan
    Naona unaleta utani

  • @FudidohwcbOfficial
    @FudidohwcbOfficial 6 дней назад +5

    Kazi mzuri 🔥🇲🇿 Mozambique msumbiji 💪💪

  • @mughishajohn3287
    @mughishajohn3287 6 дней назад +4

    Kazi nzuli baab Joan na team yako ❤❤

  • @tabihaauko9146
    @tabihaauko9146 5 дней назад

    Kaxi nzuri Sana doctor moses

  • @ZulphaMsangi-s9g
    @ZulphaMsangi-s9g 6 дней назад +2

    Kazi nzuri ❤❤🎉🎉

  • @Ibrah_mwemela
    @Ibrah_mwemela 6 дней назад +4

    1 wakwanza

  • @DokaSwamwel
    @DokaSwamwel 6 дней назад +3

    Very nice 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MariammgateBagamoyo
    @MariammgateBagamoyo 6 дней назад +3

    Wow ❤❤❤❤

  • @SafiMaghambo
    @SafiMaghambo 5 дней назад +2

    kazi Nzuri,nikwabafata toka butembo

  • @Mumlion2624
    @Mumlion2624 6 дней назад +2

    Leo umezingua bhna kaah dkk chache mno mno

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 6 дней назад +5

    Kaz nzuri ila dakk chache plz ongezeni dk🎉🎉🎉

  • @BijouxSumahilie
    @BijouxSumahilie 6 дней назад

    Mbona fupi sana ivi duh niatari kweli

  • @NeemaPeter-e3l
    @NeemaPeter-e3l 5 дней назад

    TATIZO LENU HUWA HAMUANZII MLIPOISHIAAAA.

  • @sophiewangu7936
    @sophiewangu7936 6 дней назад

    Mnapea ..maongeo ..mengi ....mda mwingi aiii

  • @ConsolataJohn-e5y
    @ConsolataJohn-e5y 4 дня назад

    Baba joan nipe nafas nikupe story ya maisha yang uitungie silizi hakika uttoboa

  • @m.csundayvin3584
    @m.csundayvin3584 6 дней назад

    Kazi nzuri saaana bwana Doc

  • @Dil-nawadhFt
    @Dil-nawadhFt 5 дней назад

    Mbon imeish 😮

  • @BehindThescene-h3j
    @BehindThescene-h3j 6 дней назад +2

    daaah dakika mingi Sana hizo

  • @WilliamAnaklet
    @WilliamAnaklet 5 дней назад

    Ila hili bit nizuri sana

  • @rashidkamuchinaTv
    @rashidkamuchinaTv 6 дней назад +2

    Leo mmeeka dakika mingi sana😂

  • @HamisiMachinda
    @HamisiMachinda 6 дней назад +1

    Nice work 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @TecklaLozi
    @TecklaLozi 6 дней назад +1

    Dakika sta zenyewe daah😮😮

  • @SaraRobert-io8xv
    @SaraRobert-io8xv 6 дней назад +5

    Hii itakuwa pafu moja yasigara😂😂

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 6 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉mbona fupi sana

  • @hamzarobert2372
    @hamzarobert2372 6 дней назад +1

    😂😂😂lep sijaelewa kabisa

  • @PredigandaMshomba
    @PredigandaMshomba 6 дней назад +1

    Nzuriiii

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 6 дней назад +1

    Nice movie 🎥

  • @Akilimbili-zetufamily
    @Akilimbili-zetufamily 6 дней назад +1

    Daah fajitas sita jamani kweli brother 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MalkaNinik
    @MalkaNinik 6 дней назад +1

    Vp babajoan umetupigaje hapa leo

  • @ajesterkalulu7927
    @ajesterkalulu7927 6 дней назад +2

    Heee dk6😮😮😮😮

  • @wwre-rv7pb
    @wwre-rv7pb 6 дней назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤nice baba joan🎉🎉🎉🎉

  • @hamisichau8975
    @hamisichau8975 6 дней назад +3

    Baba Joab unazingua mbona move aileweki

  • @Stamboy83
    @Stamboy83 6 дней назад +5

    Haya ni malolonso 6 minutes seriously 😂😂😂😂😢😢

  • @LuciaChizinyamawi
    @LuciaChizinyamawi 6 дней назад +2

    Nyinyi nanyi kama hamuna haja na kuleta move heri muache 2 sasa nini hiii haaaa

  • @ZainaSur
    @ZainaSur 6 дней назад +1

    Dhaaa yani mm sielewi klkl mana mulipoishia sihapo😢😢😢😢

  • @NuraMunyasia
    @NuraMunyasia 6 дней назад

    Leo ni kitu gani hiki umetuletea baba joan fupi kama nn jamani😂ongeza iwe lisaa limoja hivi In Shaa Allah ❤

  • @LUCYNTHENYA-ss8be
    @LUCYNTHENYA-ss8be 6 дней назад +1

    Six minutes jamani 😢😂wacheni kuzingua

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 6 дней назад +1

    Hii itakua imejipost😮

  • @Abidana-j7k
    @Abidana-j7k 5 дней назад

    Jambo washikaji wenzangu baba Joan aaribu Mambo filam haieleweki Niko wenu kutoka RDC BENI

  • @stevohmwirihz
    @stevohmwirihz 6 дней назад +3

    congrats ndugu yangu baba joan lakini hii episode imekuwa fupi sana ...
    6mins!

  • @BlaiseMagu
    @BlaiseMagu 6 дней назад +1

    Wa kwanza

  • @carolineachieng554
    @carolineachieng554 6 дней назад

    Mumezingua leo hizo dakika daaa

  • @fredtheorganist1522
    @fredtheorganist1522 6 дней назад

    Nakuru city Kenya tuned in

  • @SaidemuemedeMuemede-wr1un
    @SaidemuemedeMuemede-wr1un 6 дней назад

    Leo nimewahi wakwanza mimi kutoka mozambique

  • @anastasinjerigathoni1833
    @anastasinjerigathoni1833 6 дней назад

    Watching from + 245🎉❤

  • @RamadhaniMshana-gk6vm
    @RamadhaniMshana-gk6vm 6 дней назад

    Dk sita seriuosly

  • @SuzyFidels
    @SuzyFidels 5 дней назад

    Baba joan ile movie ya umaskini wangu imeishia wap

  • @SalmaLivenga
    @SalmaLivenga 5 дней назад

    Leo haijaeleweka hata

  • @LydiaAlfred-k2z
    @LydiaAlfred-k2z 6 дней назад +1

    Jamani sekunde ngapi leo mbona kadogo ivyo

  • @sarahkararinyakinyua3618
    @sarahkararinyakinyua3618 6 дней назад

    Haya mambo gani tena bona fupi

  • @KapendFiston
    @KapendFiston 4 дня назад

    iyo njo nini tena baba Joan umeshinda kazi kwa kweli uki endelea ivyo uta poteza mashabiki wako wengi wa kwanza ni mimi na jamaa yangu umefika ata kuletea watu movie dha 6minute

  • @jeremiekambale23
    @jeremiekambale23 6 дней назад +3

    4 minutes seriously 😂 wacha muchezo

  • @RosemaryWilbard
    @RosemaryWilbard 6 дней назад +1

    Sasa si bora usingepost yan dkk 6 harafu haieleweki kbc

  • @JOANGIKERI
    @JOANGIKERI 6 дней назад

    Baba joan seriously 😳😳😳😳

  • @PeninahKanario-f9y
    @PeninahKanario-f9y 7 часов назад

    Ongezeni dakika jamani mnazingua mjue.

  • @sahadzivo
    @sahadzivo 6 дней назад +1

    Eeeeeh kwani unatuonjesha 2 ilikuwa 😂😂😂😂

  • @TatuMkeso
    @TatuMkeso 6 дней назад

    Dakika sita duh

  • @kanorucarolynekanoru5430
    @kanorucarolynekanoru5430 6 дней назад

    Mrudishe bundles zangu nini hiii sasa

  • @BlaiseMagu
    @BlaiseMagu 6 дней назад +1

    Maua yangu

  • @football-hy6ji
    @football-hy6ji 6 дней назад

    Dakika sita 😢au ndio bac tena

  • @Naboboy-zj4fs
    @Naboboy-zj4fs 6 дней назад

    Sasa movie gan dakika sita kuwa serious

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina 6 дней назад

    Ameanza kushindwa n kutoa movie sasa😂😂😂,,4min. Surely

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 6 дней назад

    Dakika SITA seriously.akafu inaanzia mahali ambapo haikuishia hapo.bora mtuletee baba kipofu season two iendelee.mana hiyo haieleweki

  • @SalmaMakilika
    @SalmaMakilika 5 дней назад

    MIMI SASA HIVI NDIO KANITOA NJE YADIMBA,HATA SIJAELEWA BADO

  • @bigstonemcb9171
    @bigstonemcb9171 6 дней назад

    Wa 12 Leo kutoka 🇲🇿 assente

  • @Ghislainmwamba-zr6pg
    @Ghislainmwamba-zr6pg 6 дней назад

    Wa kwanza jamani naombeni likes zangu

  • @millicentluvai1652
    @millicentluvai1652 6 дней назад

    aaaaiiii babake Joan six minutes jamani si ata ingefika 10mins ivi

  • @hamidasalummohamed
    @hamidasalummohamed 6 дней назад +1

    Sasa hii ni move au utangulizi

  • @Mrsdeertv
    @Mrsdeertv 6 дней назад +1

    Hii ilikuwa trailer ama movie kamili ❤❤
    #mrkey038

  • @BRENDAMOGAMBI-b4q
    @BRENDAMOGAMBI-b4q 6 дней назад

    Hii ndio nn aky 6 minutes tuh😂😂😂

  • @KingNtiharirizwa
    @KingNtiharirizwa 6 дней назад

    Sasa hapa wamtoa movie awo tangazo dakika 6tu 😢😢😢😢😢😢😢

  • @fatihamwandoto
    @fatihamwandoto 6 дней назад

    hii si episode mshaambiwa n trailer😂😂😂

  • @EMMY254k
    @EMMY254k 6 дней назад

    Samahani, nduguzanguni lakini,Wacha tu nikuwe muwazi, na kama nimekosea pia nisameheni tu, lakini
    Iko hivi upande wangu, baba joahn ni heri urudishe babayangu kipofu season two au ulete movie nyingine lakini ainibambi hataaa mimi kama mmoja wa ma fans wako please Mr Jacob hii movie aieleweki tangia ep 1naifwatilia lakini sielewi kitu hadi nashindwa kuimalizia

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa 6 дней назад

    Mbona fup san leo

  • @peterjosephnzegatvnzegaasi5681
    @peterjosephnzegatvnzegaasi5681 6 дней назад +1

    💯💯

  • @Saumu254
    @Saumu254 6 дней назад +2

    6 minutes eti 😢😢😂❤

    • @khalifaallyibnadam9983
      @khalifaallyibnadam9983 6 дней назад +1

      wewe ndo umezingatia sio wengine wana kaz ya kuomba likes tu bila kuangalia

    • @Saumu254
      @Saumu254 6 дней назад

      @@khalifaallyibnadam9983 kwel ndio 😁

  • @willythefireman
    @willythefireman 6 дней назад +1

    ❤❤

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 6 дней назад

    Ndio nini hii baba Joan like seriously 🙄🙄🙄🙄🙄🙄funga hii movie plz amueleweki kbsa😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AliceRama
    @AliceRama 6 дней назад

    6, minutes 😂

  • @AsmaAsma-og6ul
    @AsmaAsma-og6ul 5 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤

  • @m.csundayvin3584
    @m.csundayvin3584 6 дней назад

    Ila dakika 6 nayo hapo unatunyanyaza sisi mashabiki zako

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 5 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MaryNyota-xh9rw
    @MaryNyota-xh9rw 6 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮 🇧🇮

  • @Georgejangoboy
    @Georgejangoboy 6 дней назад +1

    Mimi hapa Gay❤

    • @jacklinejohn5727
      @jacklinejohn5727 6 дней назад

      Shindwa unafaa upigwe kwa mawe ufe kabisa ww n laana kwa babako

  • @EleuterioMangoni
    @EleuterioMangoni 6 дней назад

    Kwani mmekosea Au vp? Mbona fupi sana hii kazi

  • @khalifaallyibnadam9983
    @khalifaallyibnadam9983 6 дней назад

    MMMMMMH DAKIKA 6 kweli mpo serious baba joan????

  • @mariamumdoe1466
    @mariamumdoe1466 6 дней назад

    ❤❤🎉🎉

  • @LeahTeresa-g4x
    @LeahTeresa-g4x 6 дней назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤

  • @aminamwakambiphya
    @aminamwakambiphya 6 дней назад

    Sasa kazi haina mwelekeo 6mins na ata mwisho haueleweki hii nayo yaboo

  • @yuui1878
    @yuui1878 6 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦

  • @SaudaAmos-x5q
    @SaudaAmos-x5q 6 дней назад

    💗💛💚💝💓💖💟🙏🙏🙏🙏🙏

  • @TIPECOPAINTLTD
    @TIPECOPAINTLTD 6 дней назад

    Muache kucheza na sisi 6min only 😡😡😡😡😡 why baba Joan

  • @Angel-g4u3k
    @Angel-g4u3k 6 дней назад

    episode ya leo mmezingua

  • @RahemaOman
    @RahemaOman 6 дней назад

    Habali zenu mko poa wap like ❤❤❤❤😂😂😂😂

  • @AnnastaziaMligo
    @AnnastaziaMligo 6 дней назад

    Episod ya leo ni fup Lakin sijaielewa

  • @FidelisMutui
    @FidelisMutui 6 дней назад

    Bna fupi ivi lakn safi❤❤🎉

  • @SalomeMideva-p4x
    @SalomeMideva-p4x 6 дней назад

    Eee mbona fupy????

  • @janekitetu909
    @janekitetu909 6 дней назад

    Too short

  • @Collow2020
    @Collow2020 6 дней назад

    Dakika sita sio kawaida yenu , what happened with this episode?

  • @Dominic-lt2fw
    @Dominic-lt2fw 6 дней назад

    @aBaba joan ❤❤❤