Tabora United 0-3 Simba SC | Highlights | NBC Premier League - 02/02/2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 142

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 3 часа назад +44

    Nimemuona Kamara Jamaa Anajua timu inahitaji Nini nanikwawakati Gani Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Simba Sports Club Nguvu Moja Kauli yakila Mechi Bado Tunajenga Tumu

  • @allikombo8379
    @allikombo8379 3 часа назад +6

    Ila MPANZU ni 🔥🔥🔥

  • @MchiziBoti-x3v
    @MchiziBoti-x3v 3 часа назад +4

    Mm naipenda sana simba yangu iwe Raha iwe machungu mm nipo nayo❤

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 3 часа назад +4

    Ilove you simbaaaaa❤❤❤❤❤ nguvu mojaaa❤❤❤💪💪💪💪

  • @MameAntaTop
    @MameAntaTop 3 часа назад +3

    Simba is best team in the afriqua🎉❤

  • @youngmnandi2146
    @youngmnandi2146 3 часа назад +5

    Like za ateba hapa wana simba

  • @AishaShaban-s5r
    @AishaShaban-s5r 3 часа назад +7

    Like za ateba hapa wan ubaya ubwela ❤❤

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed 49 минут назад +2

    Mpanzu ameanza kuingia kweny mfumo wa team 🙌🙌

  • @fahadkhelef4307
    @fahadkhelef4307 3 часа назад +2

    Naipenda simba pia Tabora mungu walinde leo simba mmejua kutupa raha tabora

  • @johnmbwambo8204
    @johnmbwambo8204 47 минут назад +2

    Bado tunatengeneza timuu🎉🎉🎉

  • @ChidoManzola
    @ChidoManzola 2 часа назад +10

    Tunajenga team tumeshakubaliana

  • @dullahstudio6168
    @dullahstudio6168 3 часа назад +3

    Dullah Studio hapa misigiri singida like zeduu naitj simbaaaaaa

  • @mussangalawa2403
    @mussangalawa2403 2 часа назад +9

    Huyu Elie Mmh ana balaa

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 2 часа назад +6

    Atebaaa,mpanzu,kibu,ahou ni fire nyingine wtalia watuuuuu

  • @JumbeFamilySingers
    @JumbeFamilySingers 3 часа назад +5

    Kamdomo kamewaponza tabora utd hongera mnyama simba

  • @dicksonkihonza445
    @dicksonkihonza445 3 часа назад +3

    Wa kwanza kuangalia😂😂😂😂

  • @WerlyKazadi
    @WerlyKazadi 2 часа назад +3

    Mpanzu 🎉🥳❤️

  • @CharlesLobulu
    @CharlesLobulu 52 минуты назад +2

    Nimeipenda hii,,, Mbu mwenye kelele Huwa ndio anakufa mapema.

  • @ShukuruMakoko
    @ShukuruMakoko 3 часа назад +2

    Unyama🎉🎉🎉

  • @Nassorjuma-g2k
    @Nassorjuma-g2k 3 часа назад +2

    tunajenga timu.. mpanzu ateba on fire 🔥🔥🔥

  • @adammafuru7971
    @adammafuru7971 4 часа назад +1

  • @williampauson5301
    @williampauson5301 Час назад +4

    Bado tunatengeneza timu, sijui ikikamilika itakuwaje

  • @RebekaDindi-so6ev
    @RebekaDindi-so6ev 2 часа назад +4

    Mnyama tunawaaminia ❤

  • @jamaldaud-e4d
    @jamaldaud-e4d 23 минуты назад +2

    Nilichogundua pale mbele Elie mpanzu ndiyo mtu hatari zaodi na ndiyo mtu wa kuchungwa sana pasi zake nyingi zememuua tabora

  • @CharlesWanyeche
    @CharlesWanyeche Час назад +2

    Mpanzu ni 🔥 🔥 🔥

  • @amosmacompyuta1015
    @amosmacompyuta1015 3 часа назад +2

    🎉🎉🎉🎉 tuliwapa masaa 24 wajaribishie kukaa kileleni muda umeisha tokeni

  • @KhadijaKhatib-l8o
    @KhadijaKhatib-l8o 3 часа назад +2

    Ubaya ubwelaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Zaria2024
    @Zaria2024 3 часа назад +1

    ❤❤❤🦁

  • @fahadkhelef4307
    @fahadkhelef4307 3 часа назад +1

    Hongera Tabora yangu ila bilasimba na yanga bado haijanoga. Nazipenda tim zangu

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed Час назад +4

    Mtatusamehe tunajenga team sasa hivi ina 30% na point3 tunachukua

  • @ShamsiMbago-n2q
    @ShamsiMbago-n2q Час назад +1

    Mikono ya shomari yasema kiko waaap😂😂😂😂mpanzu for life ubaya ubwela 🎉🎉🎉🎉

  • @IshimweAisha-x6z
    @IshimweAisha-x6z 3 часа назад

    Mnyama❤❤❤❤❤❤❤

  • @abdallahal-khaify
    @abdallahal-khaify 13 минут назад +2

    Kwa nini msingewaahidi milioni 100 ili wakakaza zaidi ?

  • @Minjum-j5m
    @Minjum-j5m 2 часа назад +4

    Alhmdhulillah ya rabby❤

  • @TheresiaRaymond-w7e
    @TheresiaRaymond-w7e 3 часа назад +2

    Kweli mbu mwenye kelele ndo hufa mapema😂😅

  • @MwantumuMohamed-q3z
    @MwantumuMohamed-q3z 2 часа назад +1

    🦁🦁🦁🦁💞💞💞💞💞💞💞💞💞

  • @RehemaMohamedi-y5h
    @RehemaMohamedi-y5h 3 часа назад +5

    Bado tunajitafuta ktk ujenz WA simba yetu😢

  • @habarizamichezoleo
    @habarizamichezoleo Час назад +1

    Wale tuliomuona Roberto Carlos DK ya 94 Gonga like

  • @officiallucar
    @officiallucar 3 часа назад +4

    Tunatengeneza timu ila wachezaji hawachoki

  • @MethuselahBoyongo
    @MethuselahBoyongo Час назад +1

    Safi sana wamelambishwa asali Yao wenyewe

  • @TussaneMbilinyi
    @TussaneMbilinyi 33 минуты назад +2

    Wakome,huyu dada anaongea sanaaa

  • @officiallucar
    @officiallucar 3 часа назад +5

    Kuna ule mpira ambao Zimbwe Jr aliwapora Tabora langoni kwa Simba akampasia Mpanzu pembeni halafu akamzunguka mpinzani na akaondoka na mpira, Mbona hamjaiweka kwenye Hii Highlights au shida nini

  • @musamkembela1395
    @musamkembela1395 2 часа назад +5

    Huyu mpanzu hatari

  • @OmyCrez
    @OmyCrez 2 часа назад +1

    Simba nguv moja MUNGU tunakushukulu kwa ushindi huu

  • @VesterboyAmigo
    @VesterboyAmigo 3 часа назад +2

    Kamdomo kamdomo 🤫🤫

  • @anthonyshirima8805
    @anthonyshirima8805 Час назад +4

    Kama kufunga penalty ni rahisi, tumulize Azizi Ki ilikuaje akakosa!?😂

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l Час назад

      Muulize na pacome pia mechi ya Gori Tano na jana

    • @severinlouis
      @severinlouis Час назад

      Alimuona mobeto akidaka akapata wenge

  • @nikky4757
    @nikky4757 2 часа назад +2

    Mutale anaanza kugain confidance now wakati attention imehamia kwa mpanzu inamsaidia maana kacheza vizuri tulifanya vizuri january jutokusajili tumpe kila mchezaji nafasi

  • @prosrm1172
    @prosrm1172 2 часа назад +5

    Ahoua angefunga pale dk ya 95 🤔🤔🤔🔥🔥

  • @EmmanuelRichard-t9l
    @EmmanuelRichard-t9l 56 минут назад +1

    Kazin kwa manula kuna kazi sana

  • @ibrahimmdugwa885
    @ibrahimmdugwa885 2 часа назад +4

    Mpira hata haujatulia unadundadunda tu,hivi ccm haiwez kabsa kuandaa million 100 kila kiwanja chake waweke nyasi bandia?!

  • @fadhilikibode8527
    @fadhilikibode8527 3 часа назад +3

    kwhy simba hii bado tunaijenga tim
    fadlu una zamb sanaa 😂😂

  • @LeahMsengi-s1o
    @LeahMsengi-s1o 3 часа назад +3

    Tatzo kamdomoo😂😂😂😂😂😂😂😂 nyuki wamevamiwa leo

  • @kudrathmohammed
    @kudrathmohammed Час назад +1

    Keep wao amekalibishwa vizr kweny ligi yetu kwa chuma 3 🤣

  • @mariamshibanda3358
    @mariamshibanda3358 33 минуты назад +1

    Hii ndo Simba inayotengeneza timu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 часа назад +2

    Asal tam kwa mnyama

  • @aminaabdalla-uo9zq
    @aminaabdalla-uo9zq 3 часа назад +3

    Jmn twajenga timu musiogope

  • @dalalfundikila507
    @dalalfundikila507 2 часа назад +2

    Ahoua sijui kama ligi itaisha hajafunga gor la mbali.

    • @ToughMBM
      @ToughMBM 2 часа назад

      Ndo nimetoka kujiuliza, thn nikahamia kwenye comments nakutana hii comment.

    • @EmmyBaraka
      @EmmyBaraka Час назад

      Mbona alishafunga

  • @kakore_jr
    @kakore_jr 3 часа назад +3

    YANGA tumewalipia deni lenu

  • @BernardLuanga
    @BernardLuanga 3 часа назад +4

    Team ngumu kwa Utopolo Fc kwa Simba ni wamebana wameachiya 3 bila 3 bila wamebana wameachiya😂😂😂😂😅😅kamdomo kamdomo😂😂

  • @hellensamwel6708
    @hellensamwel6708 50 минут назад +1

    Neno langu moja tu Mungu mkubwa wa mambo yotee

  • @DoyMnyama
    @DoyMnyama 33 минуты назад +1

    Tabola mmekipata mlicho kisubili kwanda polen

  • @isacknyaga104
    @isacknyaga104 Час назад

    Simbaaaa oyeeeee

  • @khamisonambrossy5862
    @khamisonambrossy5862 3 часа назад +2

    😂😂😂 ila diamond bana 🤣 et piga makofi kama haujatumika sana sehem za Siri

  • @dianamsasa6485
    @dianamsasa6485 2 часа назад +5

    Ubaya ubwelaaaaaaaa

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 56 минут назад +2

    Kapigwa nyuki kavimba nzi wa kijani
    Matahira fc (🐸) kweli wajinga
    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ReivanKalindu
    @ReivanKalindu 2 часа назад +2

    Kapombe nooma saana

  • @HamidaSeif-s9n
    @HamidaSeif-s9n 2 часа назад +2

    Budo naona yupo kwenye ubora saivi

  • @ChiyeluRamasane
    @ChiyeluRamasane 3 часа назад +1

    Wagawa utam ndo wamewaponz walina asal wakaw kma mtot anaebareh kisas kil dem humtongoz😂😂😂

  • @SoraMlangu
    @SoraMlangu 2 часа назад +2

    yule mwanamkee alizan ss ni yanga eeh

  • @Paulkessy-j8n
    @Paulkessy-j8n Час назад +1

    Mpanzu kama mpanzu uyu mpanzu alistahili kwenda ulaya

  • @RashidiSebeku
    @RashidiSebeku 2 часа назад +3

    Ubaya ubwela ndo hii

  • @MKUBWAKILONGOMKUBWAKILONGO
    @MKUBWAKILONGOMKUBWAKILONGO 3 часа назад +2

    Kamdomo

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 3 часа назад +1

    Goli la kwanza asist Mpanzu tuta amesababisha Mpanzu goli la 3 priasist katoa Mpanzu

  • @georgealila7003
    @georgealila7003 Час назад +2

    Mpanzu ni hatar

  • @SbClassic-f7u
    @SbClassic-f7u 3 часа назад +2

    Waliyatakaa

  • @clarkcian2857
    @clarkcian2857 Час назад +3

    Kamara ni mtu imara sana golini ,uwepo wa mpanzu umenifanya timu ya Simba ianze kuwa na speed....Mimi ni shabiki wa wa Yanga ila huu moto wenu sijui nani atauzima 😆😆😆

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 часа назад +1

    Na msemaji wao mwenye matiti makibwa km komodo Leo kimya

  • @giftmwamalabila
    @giftmwamalabila 3 часа назад +1

    mashabiki wa mwaka 2000 tatzo wanalo, , , hii ndyo SIMBA BHANA UBAYA UBWELA

  • @stevenhassan269
    @stevenhassan269 2 часа назад +2

    Mkumbuke bado tunajenga timu

  • @LucasMwanga-q7h
    @LucasMwanga-q7h 45 минут назад +1

    Akili ni nywele kila mtu anazo..penati hyo

  • @Aminamayalla
    @Aminamayalla 43 минуты назад +1

    Wangewafunga maisha kamdomo

  • @joelthomas3156
    @joelthomas3156 3 часа назад +1

    Mbu mwenyee mdomo😂😂😂

  • @TibaiganaJohn
    @TibaiganaJohn 3 часа назад +1

    Tumemtoa B wasemaji wa tabora 😂

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 3 часа назад +2

    Hawa waliifunga yanga ya msaliti Gamondi

  • @GucciJackson-q1n
    @GucciJackson-q1n 7 минут назад

    Hapa mtani tawi umepata

  • @shomariulaya8916
    @shomariulaya8916 Час назад +1

    SIMBA NI NGUVU MOJA

  • @tccsfa5490
    @tccsfa5490 2 часа назад +1

    😅😅😅😅

  • @aikaM74
    @aikaM74 3 часа назад +2

    Uwanja umetapika

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Час назад

    Ila marefa Wa kitanzania hawajuagi hata kuficha mapenzi yao sasa huyu refa dah

  • @Awaasha-cn6bx
    @Awaasha-cn6bx 59 минут назад +1

    Kamdomo😂

  • @salumkamsweke
    @salumkamsweke 2 часа назад +1

    aiseeee manula ana sahaulika. na ayoube

  • @kulwastima3993
    @kulwastima3993 Час назад

    Mlipoifnga Yanga mkaona ubingwa mmechkua acha mnyooshwe

  • @AbduliJabu
    @AbduliJabu 3 часа назад +2

    Tatizo kamdomo

  • @BarakaPeter-y2l
    @BarakaPeter-y2l 3 часа назад

    Ubaya ubwela effects

  • @MaheriChristopher
    @MaheriChristopher 3 часа назад +1

    Ubaya ubwela

  • @marselinarweyemamu4034
    @marselinarweyemamu4034 3 часа назад

    Kayobo huyu alituchinja kwa yanga

  • @EbungaLolacha-k9d
    @EbungaLolacha-k9d 3 часа назад

    Siku zot Mbu mweny fujo ndo anayekuf mapem Big up sana Chama langu

  • @shijamakoye6013
    @shijamakoye6013 Час назад +1

    😂😂😂😂😂 kilichonifurahisha. Nijinsi wachezaji Wa simba wanavyojidodosha kwenye box LA Tabora hata hawajaguswa wameshajidondosha yani hii inaashiria kabisa mpango wao Wa kwanza nikupata penalty 😂😂😂😂

    • @MasturaMaico
      @MasturaMaico 51 минуту назад

      Kwahy ww umeumia au

    • @Ally-yr9xn
      @Ally-yr9xn 26 минут назад +1

      nawale kina dube na pakome wenye vifafa hujawaona au huu ni ubaya ubwela safar hii mnapotoa mguu tunatia miguu💪💪💪💪

    • @abdallahal-khaify
      @abdallahal-khaify 19 минут назад

      Huna jipya , usidhani marefa wote ni akina kayoko ukajua watakubebeni NYUMA MWIKO kama alivyozoea kukubebeni .

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 9 минут назад

      Tena zilikua penalty zaidi ya mbili refaree kapeta.

  • @ahmedronga7583
    @ahmedronga7583 Час назад +1

    Ilo ndo pira la tz sasa 😅😅 hile penalt ni dhurma

    • @WillysonShilagwa
      @WillysonShilagwa Час назад

      Cha dhurma hakiliki na ndyo maana ya nyuma mwiko haikuwa goli maana ilkuwa ya dhurma ila ya ubaya ubwela ni haki na ndyo maana imekuwa goli, acha ushabiki wa kishamba

    • @abdallahal-khaify
      @abdallahal-khaify 15 минут назад

      Huna macho ya kuona kua ile ni penalti sahihi kwa sababu wewe ni nyuma mwiko .

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 3 часа назад +1

    TFF Mpeni Simba Kombe Aibu Aibu Mnayo Fanya Sio Marefa Ni TFF...Ndio Mnawabeba Simba Hilisuwali Lazima Mama Aliangalie Vizuri Hii Ndio Inasababisha Kuangusha Kiwango Cha Fotbol Tanzania