Tabora United 0-3 Simba SC | Magoli | NBC Premier League - 02/02/2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025
  • СпортСпорт

Комментарии • 129

  • @Donimushendwa
    @Donimushendwa 3 часа назад +7

    Mi nikiwa WA pili hapa naombeni like zenu

  • @hilalothman5664
    @hilalothman5664 3 часа назад +3

    This is Simba.....

  • @fredyjoackimu-bk1tf
    @fredyjoackimu-bk1tf 2 часа назад +2

    Yes,this is Simba ✍️

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 часа назад +4

    Hii ndo simba ya ubaya ubwela utopolo tumekulipizieni kisasi❤❤❤

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 часа назад +22

    Mbu mwenye kelele ndie anaekufa mapema😂😂

  • @Reherstephanimhanje
    @Reherstephanimhanje 3 часа назад +3

    Asante Mungu tumevuka salama leo

  • @tumaini37
    @tumaini37 3 часа назад +2

    Simba hii jamaniii ahhhhh jamani rahaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @IsackVedasta
    @IsackVedasta 3 часа назад +3

    MPANZU MPANZU 🙌🙌

  • @jumamangombe6493
    @jumamangombe6493 2 часа назад +1

    asante Mungu kwa Muujiza huu wa Ushindi wa simba sc!

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 3 часа назад +3

    Mtangazaji umetisha. " MBU MWENYE KELELE NDIYE HUFA MAPEMA"😂😂😂

  • @amanichaula1
    @amanichaula1 3 часа назад +2

    Sawa nimeipenda hiyo shangilia ya mkush Rasta 🇪🇹🇹🇿 Simba ni Rasta na Rasta ni Simba

  • @boxdad
    @boxdad 2 часа назад +2

    Fadlu Davis the big thinker

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 часа назад +2

    UBAYA UBWELA ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 3 часа назад +8

    Utopolo mwenye shida na asali atoe order tuwaleteee

  • @mathew_Breezy
    @mathew_Breezy 3 часа назад +1

    🐐 of 🇹🇿

  • @Hemedymalunga
    @Hemedymalunga 3 часа назад +2

    Mnyamaaaa👹👹👹👹👹

  • @emmanuelmtalis1590
    @emmanuelmtalis1590 3 часа назад +2

    Simba damdam ❤❤❤

  • @RaymondKanyama-y5b
    @RaymondKanyama-y5b 3 часа назад +4

    mpanzu ni talented man

  • @habarizamichezoleo
    @habarizamichezoleo 10 минут назад

    Wale tuliomuona Roberto Carlos DK ya 94 Gonga like

  • @Shabalangx
    @Shabalangx Час назад +1

    Mpanzu Mpanzu Mpanzu namuita mala3 🔥hii niela kwa mo 2027

  • @RamazoneRamazone30
    @RamazoneRamazone30 3 часа назад +3

    Nimecheka sana Yani Azam TV penalty ilivyo pigwa camera ikaenda kwa benchi la ufundi la tabora 😂

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 3 часа назад +3

    Ubaya ubwela like zangu

  • @RichardIsak-s9g
    @RichardIsak-s9g 3 часа назад +2

    Simba nguvu moja

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 2 часа назад +2

    Manake kwanza nicheke😂😂😂😂 ubaya ubwela ❤😂🎉

  • @FrancessM2
    @FrancessM2 3 часа назад +2

    Mwana lunyasi:🎤🎵🎵🎵Hili dude bwana wee LINAPAGAWISHA, hili Dude bwana we La KIMATAIFA🎸🎶🎶🥰🥰😂😂

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhina 3 часа назад +2

    Elia Mpanzu Catalytic

  • @MahaSaeed-hf3gs
    @MahaSaeed-hf3gs 3 часа назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂etyyyyx nyuki jamaniiiiiii😅😅😅😅😅😅😅 anakumbatiwa vizuriiii tyuuuuuuu

  • @Ismaili-b7j
    @Ismaili-b7j 2 часа назад +2

    Hii ndio simba

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 часа назад +2

    Ukiwaona kama nyuki kumbe senene.😂😂😂😂 Alhamdulillah

  • @AbdallahJambia-fo1tn
    @AbdallahJambia-fo1tn 2 минуты назад

    Ila hinjo shikamooo eti nini mbu mwenye 😂😂😂😂😂

  • @subethchuwa3989
    @subethchuwa3989 3 часа назад +1

  • @blessinggerald971
    @blessinggerald971 3 часа назад +2

    Sema mnachelewa sana kutupa raha wanasimba Niletafuta hii post na bado ile ya Full

  • @kadaharupinda
    @kadaharupinda 2 часа назад +2

    Hapo sio yakufunga Simba zilifungwa timu mbovu

  • @martinmtwale1242
    @martinmtwale1242 Час назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @DaviesGasper
    @DaviesGasper 2 часа назад +1

    🎉Tatizo kamdomoo

  • @MaikoJoseph-ym9ke
    @MaikoJoseph-ym9ke 36 минут назад

    The announcer is a fan of Yanga Jangwanj.

  • @maryobedi6807
    @maryobedi6807 3 часа назад +4

    Ubaya ubwelaaaaaaaaa 😂

  • @kevinpeter50
    @kevinpeter50 2 часа назад +1

    Hii ndiyo Simba mwaka huu 2025.

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 3 часа назад +3

    Simba wamelipia kisasi ndugu zao Yanga

  • @doyentv
    @doyentv 3 часа назад +5

    Kazi ya Mwanaume hatumwi Mvulana

  • @Ibengwe-qn4wl
    @Ibengwe-qn4wl 3 часа назад +2

    Azam ongezen dakika na nyiee hata 30

  • @BernardLuanga
    @BernardLuanga 3 часа назад +2

    Iyi ndiyo Tabora iliyofunga Yanga hama awa ni Yanga ndo wanajiita Tabora😂😂😂😂

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 2 часа назад

      Ndiomaana tumewashona mara nne mfululizo 😂😂😂 tunawasubiri as usual

    • @IbrahimMarco
      @IbrahimMarco Час назад

      😂😂😂yani wewe ulieanza kushabikia mpira juzi baada ya kuletwa azam tv ndio unaona mara nyingi wakati simba ilishafanya hivyo kwa miaka 7 ( 2003-2010) hlafu wewe ndio unaona kama mara ya kwanza hii😂😂😂 ​@@frida-oi6kw

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 2 часа назад

    🦁🔥🔥🔥

  • @suleymanhaji1974
    @suleymanhaji1974 3 часа назад +3

    Hahahahaha Don mecy with Mnyama Yu will meet Ubaya Ubwela maseker

  • @georgemwangi8921
    @georgemwangi8921 3 часа назад +2

    Hatucheki na wowote na yeyote vile

  • @hilalothman5664
    @hilalothman5664 3 часа назад +2

    Sharubu kusafishwa na asali, nyuki kapotea ndan ya sharubu

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 часа назад +2

    Tulizen picha bn au kuna cameraman yanga

  • @officiallucar
    @officiallucar 3 часа назад +3

    Leo mmewahi

  • @NajibAhmed-p8s
    @NajibAhmed-p8s 2 часа назад

    Na kweli 😂😂😂

  • @anthonymilinga8696
    @anthonymilinga8696 3 часа назад +3

    Christina Muhagama hili nifundisho lakuifananisha simba na Yanga tena ukome na mdomo uufunge kabisaaa

    • @frida-oi6kw
      @frida-oi6kw 2 часа назад

      Wewe shona domo Lako....na hauwezi ukaifananisha Makolo na yanga maana tumewashona mara nne mfululizo

  • @crazydaddy9217
    @crazydaddy9217 3 часа назад +4

    Leo nimeona ajabu .
    Kapigwa nyuki alofunga kibwebwe nzi wa kijani.
    Maana matahira fc (🐸) washaannza kupiga watu mitaani

  • @Orgy-go1gj
    @Orgy-go1gj 3 часа назад +2

    Tutoe hilo moja la penat zibaki mbili waache mdomo vyura hawakawii

  • @kudra_mshairi
    @kudra_mshairi 3 часа назад +1

    Bonge mojaa ya gol

  • @StephanoSamson-b2j
    @StephanoSamson-b2j 3 часа назад +2

    Asali ya vunwa mchana kweupe

  • @paschaziapaschal2570
    @paschaziapaschal2570 3 часа назад +1

    Nipo.naangalia hapa

  • @NkushaJulius
    @NkushaJulius 3 часа назад +2

    Mambo mengi yamebaki kuwa marudio unafahamu nini kuhusu panenka

  • @MWATANOMOTEE
    @MWATANOMOTEE Час назад

    Hii Simba ni hatari sana

  • @PriscusRobart
    @PriscusRobart 3 часа назад +2

    Ubwelaaa

  • @DanielAdrian-e7i
    @DanielAdrian-e7i 3 часа назад +1

    DJ piga Ile gidii gidii ya zuchu

  • @UlamaaTz-n6j
    @UlamaaTz-n6j 3 часа назад +3

    Mpanz hatary

  • @aishaDhahabu-q7v
    @aishaDhahabu-q7v 3 часа назад +1

    Kamdomo kanaponza watu 😂😂

  • @propKibali
    @propKibali Час назад

    round hii akikutana na Yanga 7

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 3 часа назад +2

    Ubaya ubwela ukinuna ng'oa jicho

  • @MamytoFaki
    @MamytoFaki Час назад

    Msimu huu hawana chao makolo , Semaj le2 hamna kucheka nao awo kombe 2nalitaka fanya juu chin 2chukuwe msimu huu kivyvyote vile 😅😅😅😅😅

  • @MKUBWAKILONGOMKUBWAKILONGO
    @MKUBWAKILONGOMKUBWAKILONGO 3 часа назад +2

    Kamdomo

  • @rahimmarions5712
    @rahimmarions5712 3 часа назад

    Dj lete wimbo wa t.m.k halisi

  • @PriscusRobart
    @PriscusRobart 3 часа назад +2

    Tumewalipizia utopolo🎉🐸🐸🐒

  • @raymondmartin459
    @raymondmartin459 3 часа назад +3

    Mdomo huponza kichwa

  • @HurumaBugari
    @HurumaBugari Час назад

    Simba damidam

  • @ntulloboy2916
    @ntulloboy2916 3 часа назад +2

    Mpanzu moto mwingine huuu

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 2 часа назад

      Anajua anajua anajua tena
      Kuhusu kufunga ni suala la mda tu ❤❤❤❤❤

  • @NestoryMalyeka
    @NestoryMalyeka 3 часа назад +2

    Ubaya ubwela

  • @AdrofinaShabani
    @AdrofinaShabani 31 минуту назад

    Huu ndo ubaya ubwela

  • @nagkhan6307
    @nagkhan6307 3 часа назад +1

    Kiko wpa

  • @salumtitho1407
    @salumtitho1407 3 часа назад +2

    ubaya ubwela

  • @ibrahimnyomahe9923
    @ibrahimnyomahe9923 2 часа назад +2

    Mpanzu ni Mtu mwingne kabisa

  • @RashidKitabu-s9j
    @RashidKitabu-s9j 2 часа назад

    Kamdomo jamani

  • @GeneralNdembo-rf9mp
    @GeneralNdembo-rf9mp Час назад

    Tumewalipia kisasi

  • @AliAliabdallah-p7x
    @AliAliabdallah-p7x 2 часа назад

    Penant ni yaa Aziz ki 2 jan

  • @NyakisokoroNyakisokoro
    @NyakisokoroNyakisokoro 3 часа назад +2

    Kamdomo kamewapoza hasa msemaji wao amekiona chamoto

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 2 часа назад +1

    Play station

  • @AfidhuJafary
    @AfidhuJafary 56 минут назад

    Hapa ni wapi😂😂😂

  • @haddysophiasson7530
    @haddysophiasson7530 2 часа назад +3

    Mtangazaji unatangaza huku unaumiaaaa

  • @ObeyEmmanuel-lb9lc
    @ObeyEmmanuel-lb9lc Час назад +1

    Mapenati fc

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 3 часа назад +5

    Aikuwa penalty jamani mbona kama kajidondosha au Mimi sijaona vizuri .. msinitukane basi

    • @Namtumbo
      @Namtumbo 3 часа назад +1

      Kwanza refa kasemaje

    • @amosdaudi9793
      @amosdaudi9793 3 часа назад +1

      Punguza kupikia kuni😅

    • @mahadshekh398
      @mahadshekh398 3 часа назад +1

      Punguza kupikia kuni.

    • @mahmoudkinyaiya4979
      @mahmoudkinyaiya4979 3 часа назад +3

      Angalia vizuri amekanyagwa kwa nyuma ,tafsir ni mchexo usio kuwa wa kiungwana akitokea nyuma

    • @CaptoneTzKitambi
      @CaptoneTzKitambi 3 часа назад +2

      Kula karoti😅😅

  • @KausarIdi
    @KausarIdi 2 часа назад +1

    Sasa prnat gan ukuma

    • @mgayan1222
      @mgayan1222 2 часа назад +1

      MWIKO🍑👈NYUMA mnatabu jamaaani 🙌

    • @AminiMsellem-gk3yy
      @AminiMsellem-gk3yy 2 часа назад +1

      Na bado hamjasema
      Tuliwaambia kukaa kileleni utopolo ni kama watsap status masaa 12 inaondoka yenyewe 😂😂😂😂

    • @MgangaMalugu
      @MgangaMalugu 2 часа назад

      Uzuri namfunga tabora analia yanga na kama hutak penat tuitoe bado zindabad mbili

    • @MaldyMaldwex
      @MaldyMaldwex 2 часа назад

      2.0

  • @frida-oi6kw
    @frida-oi6kw 2 часа назад +1

    Mtatamba koteee😂😂😂😂 ila mkifika kwa yanga KIMYAAAAAA😂😂😂😂 mara nne mfululizo fanya mchezo nini😂😂😂😂

    • @MhangwaLIMBU
      @MhangwaLIMBU 2 часа назад +1

      Hasira 😂😂😂

    • @barbiepixie92
      @barbiepixie92 2 часа назад +1

      IPO Siku mtafungwa tu ndo Mpira ulivo hamuwezi kuifunga simba siku zote IPO Siku tu mtafungwa na nyie endelea kuumia huko uliko

    • @VeronikaJoseph-n8i
      @VeronikaJoseph-n8i 2 часа назад

      huna lolote

    • @adelaidadeuskassinda
      @adelaidadeuskassinda Час назад

      ​@@barbiepixie92 Na hyo siku n tar 8 lazm afungwe tu

    • @rukaiyakondo5265
      @rukaiyakondo5265 Час назад

      Na nyie si ndo mmefungwa na hawa nyuki, Kaa kimy usbr Darby ijayoo tukuonyeshe, mbabe wko tumempiga tatu bdo wewe

  • @RuznatRuznat
    @RuznatRuznat 2 часа назад +1

    Utopor.mmewaona wanaume.ao.ubaya.ubwer

  • @StephanoSamson-b2j
    @StephanoSamson-b2j 3 часа назад +4

    Asali ya vunwa mchana kweupe

  • @ObeyEmmanuel-lb9lc
    @ObeyEmmanuel-lb9lc Час назад +1

    Mapenati fc

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 3 часа назад +3

    Ubaya ubwela

  • @ChrissBoy-w6x
    @ChrissBoy-w6x Час назад

    mdomo umeponza kichwa walitukana mamba kabla ya kuvuka mto