Bro GB 64, umefanya jambo la maana sana, ila mshauri hata hilo jina lake analotumia, linyewe lililaaniwa na Mwenyezi Mungu, na hao mashabiki wa utopolo mara wanataka Mwenyezi Mungu awaletee Malaika wacheze na utopolo
Safi sana Gb 64 big up my brother simba na yanga sio ugomvi ni kufurahi yule mjinga mlinz wa kamwe aliyempiga kofi docta moo aonywe aonywe kuwa mpira so ugomvi Gb anzia leo ww ni mwenyekt wa mashabiki wote tanzania umesimama kama baba
Hiyo ndiyo maana halisi ya utani wa jadi. Mshabiki wa Simba kamwe usikubali mtani wako ahalibikiwe na hivyo vivyo kwa shabiki wa yanga usikubali mtani wako ahalibikiwe. Mungu awabariki GB 64 na wenzio kwa kuliona Hilo na kulifanyiakazi mapema
Aise mungu amsamehetu huyu mjawako pia naomba mama yake amsamehetu maana bado nimwanaetu inaumasana aiseh dah Dunia inaeda kasisana mungu tujaalie mwisho mwema sisi na vizazivyetu Amina Asalaam alaykum 😢😭😭
Hongera kwa ulichokifanya GB64 lakini suala la huyo kijana kujiita shetani si jina zuri ,, katika mafundisho mtume amekakaza kujiita majina mabaya. Lakini pili hicho kisa cha Swahaba na mkewe adhabu zake alitakiwa afunge siku sitini mfululizo au awalishe maskini sitini
Pamoja nimefurahi kuonesha uungwana na maana halisi ya watani wa jadi Lakin nacheka kidogo unajua hizo ahead zimesadifu na Jina mtu mwenyewe anaitwa SHETAN
Gb64..nikuombe usifanye press na Mwehu..huyo shetani ukimusikiliza utagundua kuwa Debe liko nusu.. Tunakukubali sana gb64 unaakili nyingi..na hekima..sa unapofanya press na watu wa aina ya Shetani ...unajishushia heshima... Achana na wehu..USHAURI wangu.. Mi ni shabiki wako kindakinda
Muombe Mama yako na Mola wako msamaha, na usirudie tena kitendo hicho, utani tufanyiane sisi tu wazazi wetu tuwaheshimu sana wametutendea mengi sana sana tusiwahusishe kabisa kwenye utani wetu .
Tatizo lipo kwenye jina analotumia (Shetani),Shetani ni kiumbe ambae amelaaniwa na mwenyez mungu,kwa maoni yangu namshauri aache kulitumia Jina hilo (Shetani),mbali na hivyo yatatokea matatzo zaid ya hilo.
Huyo alisha jipa laana aliona jina nasifa nzuri ni za shetani kitu kilicho laniwa na Muumba ,ndio maana mala kwa mala matamshi yake Siya mtu mwenye Akili timam.
Usahihi wa hukum ya aliemfananisha mke wake kwa mgogo wa mama yake alitakiwa afunge siku 60 sawa na miez miwili kabla kumgusa tena mkewe.. Rejea suratul Mujaadila
Huyo Shetani hamunazo.. Ukimfuatilia mazungumuzo yake utagundua Ana tatizo la Afya ya AKILI... Lakin pia gb64 ulitakiwa uite press wewe kama wewe..usingemuita huyo Mwehu aliyechangamka... Anakushushia heshima. Gb64 una busara na hekima nyingi..
Allah akuongoze Braza GB 64, Teacher Kwa Busara zako na Hekima zako na Allah aupokee msamaha wako
Safi sana GB64, huo ndo utani unao leta burudani. Watani wenye furaha Big up sana💯
Broo busara izo mungu akuongezee insha_allah 🎉🎉🎉
Asante GB 64. Mungu aendelee kukupa hekima siku zote. Nashauri afute jina la shetani ili apate busara zaidi
kweli kbs
Mi imeniuma sana...Gb 64 Umeongea point sana...Mungu Akuongezee busara
Mungu akubari kaka kwaushaurili. ❤❤❤❤
Big up sana GB64 we ni mwanasoka mkomavu hongera sana
Gb64 Asante sana kwa busara zako
Hongera gb 64 wewe ni mjanja sana mungu aendelee kukubari uendelee kuwa urlewa
Mwenyezimungu akusamehe, mama akusemehe na baraka zote za Mungu ziwe kwako. Palma-Msumbiji
Respect gb64 saluty sana hekima yahaliyajuu👏👏👏
Big up braza Gb64 kwa advice jamaa kapotea huyo
Allah akubarik sana GB.. Kwa hekima na busara uliyoitumia..
Mungu ASHEMSAMEHE ka TULIVYOMSAMEHE
Umetisha Sana gb 64
Huyu jamaaa abadilishe iyo nick name ya shetani inamponza
Asante sana kaka tumemsamehe tatizo hilo jina la shetani lifute ni Ibilisi
Huo sio utani tena wa jadi hadi kwa mama Mzazi kweli kiukweli imenihuma sana tu . Rahisi ili swala aliingiliye kati maana na yeye ni mama.
Thanks you so much Gb 64 ,mungu akubariki sana
Anatakiwa akamuombe mama yake msamaha naukweli mashabiki wa yanga akili hawana
Jazakllah kheir bra' Gb64
Bro GB 64, umefanya jambo la maana sana, ila mshauri hata hilo jina lake analotumia, linyewe lililaaniwa na Mwenyezi Mungu, na hao mashabiki wa utopolo mara wanataka Mwenyezi Mungu awaletee Malaika wacheze na utopolo
Oya huyo jamaaa wasimba apewe nn Tanzania mbona amuelimisha huyo mjinga daah uyo Simba apewe pongezi lake🎉🎉
Nenda Kwa mamayako kamuombe msamaa
Safi sana Gb 64 big up my brother simba na yanga sio ugomvi ni kufurahi yule mjinga mlinz wa kamwe aliyempiga kofi docta moo aonywe aonywe kuwa mpira so ugomvi Gb anzia leo ww ni mwenyekt wa mashabiki wote tanzania umesimama kama baba
Allah akuongoze baba Rabian uwe unaogea kauli ,
Zenye manufacturing ktk jamii
Hiyo ndiyo maana halisi ya utani wa jadi. Mshabiki wa Simba kamwe usikubali mtani wako ahalibikiwe na hivyo vivyo kwa shabiki wa yanga usikubali mtani wako ahalibikiwe. Mungu awabariki GB 64 na wenzio kwa kuliona Hilo na kulifanyiakazi mapema
Uko vizur
Sisi yanga tutawaombea mabaya ili mharibikiwe
Mungu akubariki
Ishallah tumemsamehe
Safi sna Gb64
By the way hakuna mkamilifu chini ya jua,,,Jamaa aombe msamaha kwa Mungu wake,Mama yake,Familia yake na Watanzania wote kwa ujumla...
Aise mungu amsamehetu huyu mjawako pia naomba mama yake amsamehetu maana bado nimwanaetu inaumasana aiseh dah Dunia inaeda kasisana mungu tujaalie mwisho mwema sisi na vizazivyetu Amina Asalaam alaykum 😢😭😭
Mpira sio ugomvu.tupendane wa Tanzania
Na mke Dada watoto
Hongera kwa ulichokifanya GB64 lakini suala la huyo kijana kujiita shetani si jina zuri ,, katika mafundisho mtume amekakaza kujiita majina mabaya.
Lakini pili hicho kisa cha Swahaba na mkewe adhabu zake alitakiwa afunge siku sitini mfululizo au awalishe maskini sitini
Ubaya Ubwela itawatafuna mpaka wajue
GB64 safi umeonyesha watu waelewe kuwa mpira si uadui,huu ndiyo utani wa jadi nimependa sana
Pamoja nimefurahi kuonesha uungwana na maana halisi ya watani wa jadi
Lakin nacheka kidogo unajua hizo ahead zimesadifu na Jina mtu mwenyewe anaitwa SHETAN
InshaAllah Allah atakusameh
Usikute uyu ndie shetani mwenyewe😊😊😊😊
😂😂😂
Gb64..nikuombe usifanye press na Mwehu..huyo shetani ukimusikiliza utagundua kuwa Debe liko nusu..
Tunakukubali sana gb64 unaakili nyingi..na hekima..sa unapofanya press na watu wa aina ya Shetani ...unajishushia heshima...
Achana na wehu..USHAURI wangu..
Mi ni shabiki wako kindakinda
Waone utopolo walivyo wabaya 😅😂sura zakichawi chawi
Kweli ww shetani 😂😂😂😂
Muombe Mama yako na Mola wako msamaha, na usirudie tena kitendo hicho, utani tufanyiane sisi tu wazazi wetu tuwaheshimu sana wametutendea mengi sana sana tusiwahusishe kabisa kwenye utani wetu .
Huyu jamaa level aliyofikia sasa😡😩😢
Hatimae shetani anamuomba Mungu msamaha 😂
😅😅
Wewe uyo dadaake akaliwetu😂😂😂😂
Leo kawa mdogo kama pilitoni🤔
Gb 64 narudia sana maneno, umeshaongea mpe nafasi aongee
Shetani wa yanga aniletee Mimi huyo mke wangu hapa musoma
Huyo shetani nikuma sana atakua choko huyo
Tatizo lipo kwenye jina analotumia (Shetani),Shetani ni kiumbe ambae amelaaniwa na mwenyez mungu,kwa maoni yangu namshauri aache kulitumia Jina hilo (Shetani),mbali na hivyo yatatokea matatzo zaid ya hilo.
Ndo mahana unaambiwa pale yanga wenye akili ni wawili tyu😂😂
Huyu jamaa kazidi ushamba anasaka umaalufu kwa nguvu sanaa mpaka anavuka mipaka ila wanasimba wastaarabu sana
Ndio maana una ambiwa shabiki 1 wa SIMBA NI SAWA MASHABIKI WA 100 WA YANGA SIMBA HUWA INAONGOZWA KISOMI ZAIDI
Hapa ndo tunamuamini manara kusema yanga wenye akili ni wawili tu ndo kweli mashabiki wengi wa nyuma mwiko hawajielewi Wala kujitambui
Ungemuambia abadilishe jina la shetan linamsababishia maovu
Swahaba ni kufunga miezi miwili sio siku Mia moja. Maskini ni stiini sio Mia moja
Hii kichwa balaa aisee. Hakika kina 64 Gb. Barikiwa bro GB 64 Kwa hekima hii.
Achunguzwe akili huyooo
mimi kwa ushaur wangu abadilishe iyo jina ya shetani kashaa kuwa shetani kweli 😂😂😂
SASA SHIDA NINI WAKATI YY NI SHETANI!
Jaman shetan anatia huruma
Huyo alisha jipa laana aliona jina nasifa nzuri ni za shetani kitu kilicho laniwa na Muumba ,ndio maana mala kwa mala matamshi yake Siya mtu mwenye Akili timam.
Uyo mjinga san arafu jitu zima
Aibu ujueee
Uliwahi ona wapi shetani ana akili,, pumbavuu kabisa!!!
Mwehuu
Umefanya vema sana Gb 64 kwa huyo utopolo
Aache utani wa ujinga ajifunze
Huyo kweli shetani
HUYO JAMAA ANASHIDA KWENYE HALMASHAURI YAKE YA KICHWA .MIMI NAMUONA KAMA CHIZI TU .
Muongo sana huyu Mungu akubariki sana GB64 kweli wewe ni mtu wa mpira
Kwanza jina lake linasadifu na matendo yake ni shetani
Dah Hana moja apo
Asizoweyeee
Mashabiki wa yanga hawana akili gb64 wafundishe kuongea hawajui mpira
Tumsamehe tu jamani shetani kampitia shetani mwenzie
Saiv utaitwa GB68
Chizi hili
😂😂😂😂😂 hana akilii😢😢
Yaani ndio mashabiki wa yanga mujuwe kua hamna akili na muone mashabiki wa Simba kua wako na akili sana na wako sawa sana kiakili
Nyinyi milifungiwa kwa kung'oa viti vya uwanja wenu ndo mnaakili aah aah kweli nyani halione tundule
Shetani kapitiwa na shetani
Usahihi wa hukum ya aliemfananisha mke wake kwa mgogo wa mama yake alitakiwa afunge siku 60 sawa na miez miwili kabla kumgusa tena mkewe.. Rejea suratul Mujaadila
Kwel apa ndio naamini washabiki wa yanga akili awana
Yaani kumsema mama kwa maneno ya kijinga ni laana tosha,hapo amedhihirisha maana halisi ya jina lake shetani.
Alichosema manyara kama kina.ukweli"wenye maarifa nyuma mwiko ni wawili tuu
Hili jina analolitumia ndio shida kwann ajiite shetan naye nibinadaam nashetani ukweli nae anapitia huo mwanya kumfanya aongee vitu vyakishetanshetani
Jamani mumwache uyo jamaa ajakosea kabisa kwani at jina nishetani izo mdotabia zashetani na bado kujiita shetani kutamtesa sana
Mtu mwenyewe shetani😂
Utamweleza nini
Hivi kwanza unajiitaje shetwani, ndo maana hata kauli zinatoka mbali za kishetwani
Shetani limepitiwa na SHETANI 😂😂😂
Hapo ndio kasheshe ilipotokea
Alafu huyu jamaa Kwa nn anapenda kuweka ahadi za ajabu
Huyo Shetani hamunazo..
Ukimfuatilia mazungumuzo yake utagundua Ana tatizo la Afya ya AKILI...
Lakin pia gb64 ulitakiwa uite press wewe kama wewe..usingemuita huyo Mwehu aliyechangamka...
Anakushushia heshima.
Gb64 una busara na hekima nyingi..
Uyu jamaa ana akili ndo maana kajiita shetan
Shekh sio maskini mia bali nimaskini 60
Ana akili uyoo jamaa anafanya v2 kama chizi kila siku
Nenda kaangalie suratul mujadilah
Kumwelewesha shetani sawasawa na kupigia
Mbuzi gitaaa M
Et shetani ni rafiki yangu.
😂😂😂
Muombe mama yako msamahaaa
Kumbe shetani waga ni mpole ivyo 😂😂😂
Ukosawa gb 64 mkumbushe mtani anajisahau