DUUH! MAONO YA MCHUNGAJI WA SIMBA YATIMIA,AWATAJA KWA MAJINA WACHEZI 5 KUIACHA YANGA | HII NDO SIMBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • kuwa wa kwanza kupata taarifa mpya za michezo, burudani, na makala mbali mbali hapa chapesa tv, usisahau subscribes

Комментарии • 21

  • @MartinDismas-ou5oy
    @MartinDismas-ou5oy 6 дней назад +6

    Mchungaji furaha yangu ni kumshukuru MUNGU kwa yote. Nafurahi kuomba kumenipa mafanikio. Nafurahi kukuunga mkono
    MUNGU ni mwema sana. Tuendelee kuomba kwa mechi zijazo
    ❤❤❤❤❤

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 4 дня назад

    Mungu you mwema mchungaji ,mungu aendelee kukupa nguvu yamaono yambele nakutulindia Simba etu

  • @AsiyaOmary
    @AsiyaOmary 6 дней назад +1

    Inshallah kwa uwezo wa mungu tutawafunga tu kwenye daby

  • @davidfelician2903
    @davidfelician2903 5 дней назад

    ubarikiwe mchungaji mwenye maono ya kweli

  • @Shabani-o3g
    @Shabani-o3g 6 дней назад +2

    Hongera

  • @ErnestFaraji
    @ErnestFaraji 6 дней назад

    Mungu ashukuriwe sana mtumishi wa Mungu

  • @ProchesRongoma
    @ProchesRongoma 6 дней назад +3

    Neema ya Mungu yatosha

  • @saidmngai9504
    @saidmngai9504 6 дней назад

    Simba nguvu Moja kwa uweza wa mungu

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 5 дней назад

    Alhamdulillah 🤲❤🦁

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 5 дней назад

    Mchungaji endelea kuiombea Simba, tunalitaka kombe la shirikisho, wote tunaiombea Simba

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 6 дней назад +1

    MUNGU atusaidie simba tushinde mechi za yanga

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 6 дней назад +5

    Mungu amekutuma kuivusha simba 🙈🙉

  • @EmmanuelJumanne-b1d
    @EmmanuelJumanne-b1d 6 дней назад +2

    🎉

  • @KhadijaYahya-f6b
    @KhadijaYahya-f6b 6 дней назад +1

    Yanga tutampiga tu kwenye dabi

  • @Veronica-z6b4t
    @Veronica-z6b4t 6 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 6 дней назад

    MUNGU NI MUNGU TUUASANTE SANA MUNGU

  • @Gaddaf67
    @Gaddaf67 4 дня назад

    Achukui simba kombe ili 😅

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 6 дней назад +1

    Yule wa kipa wa morokovp mbona simwoni golini

  • @PauloMkwama-t1g
    @PauloMkwama-t1g 6 дней назад

    𝑈𝑦𝑢 𝑚𝑐ℎ𝑢𝑛𝑔𝑎𝑗𝑖 𝑤𝑒𝑡𝑢 🔥🔥🔥𝑠𝑎𝑛𝑎