MZEE SAID ATAKA KUMEZA MTU, HII NDIO SIMBA TUNAYOITAKA, SIO KINA SAIDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 112

  • @cassimjohar2663
    @cassimjohar2663 3 месяца назад +15

    😂😂😂😂❤❤mzee said you are soo funny. I like him!

  • @GodfreyJames-zt6ig
    @GodfreyJames-zt6ig 3 месяца назад +17

    Kweli mzee saidi mwaka huu Tim tunayo Wala sio mchezo

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 3 месяца назад +14

    Mzee saidi anazidi kuafundi 🎉🎉🎉🎉

  • @Sallie-bn9cj
    @Sallie-bn9cj 3 месяца назад +9

    Halaaaaaaaaa mzeee side km sideeeeeeeeeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 3 месяца назад +18

    Mzee side Kama side kwenye moja na mbili haujawahi nifelisha mzeee wangu❤❤❤❤

  • @frankmlalila1705
    @frankmlalila1705 3 месяца назад +6

    Kbsaaa,,,Simba nguvu moja❤❤❤😂😂😂😂

  • @KelvinDaudi-z5i
    @KelvinDaudi-z5i 3 месяца назад +3

    Simba simba tupo pamoja sanaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @FadhiliRajath
    @FadhiliRajath 3 месяца назад +5

    Oyaaa we mzee side 🔥🔥🔥

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 3 месяца назад +6

    Ilaaa mzeee said unanikoshaa sanaa

  • @thebrainundefeated4792
    @thebrainundefeated4792 3 месяца назад +8

    Mzee said ktk ubora wake 😂😂😂❤

  • @SHARIFF-N5W
    @SHARIFF-N5W 3 месяца назад +5

    Kazi tunayo Mzee kashakua Star Chagamba kazini kwako kuna kazi mzee Saidi punguza nyodo .

    • @TusajigweMwaipopo
      @TusajigweMwaipopo 3 месяца назад

      Nyodo unazo wewe

    • @SHARIFF-N5W
      @SHARIFF-N5W 3 месяца назад

      @@TusajigweMwaipopo Aaa wewe naona humfahamu Mzee Saidi nampenda sana anajua kushabikia na ni mkweli .sema anajua mpira.nyodo zake tutakoma

    • @ummymuya.2060
      @ummymuya.2060 3 месяца назад

      ​@@TusajigweMwaipopoKabisaaaa! 😂

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 3 месяца назад +5

    Gonga like hapa kwa MO DEWJ

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 3 месяца назад +6

    Side kama side,,si kina Saido na chama walikuwa wanajishenenta tuu😂😂

  • @PriscaNoah
    @PriscaNoah 3 месяца назад +3

    ❤❤❤❤mzee side

  • @manyanyangassa1895
    @manyanyangassa1895 3 месяца назад

    Nakuelewa sana mzee saidi hakika fulaha tunayo simba

  • @BoniphaceCosta-kd2yw
    @BoniphaceCosta-kd2yw 3 месяца назад +7

    Mzeeeee side

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 3 месяца назад

    Hapo huwezi kuongea ungeweza sijui ungikuwajeee😂ila nakupenda mzeee saidi

  • @Asiaomali
    @Asiaomali 3 месяца назад

    Mzee Side upo vizr Sana

  • @msurimtenukila6745
    @msurimtenukila6745 3 месяца назад

    Hahaha mzee said oyeeeeee 😂😂😂😂

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 2 месяца назад

    Sasa Bona unanitazama watu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤲🤲🤲🎉🎉

  • @kamaratsalimsafari8838
    @kamaratsalimsafari8838 3 месяца назад

    😂😂Mzee Saidi bana!

  • @FatumaAmis
    @FatumaAmis 3 месяца назад +5

    Mzee said ❤❤❤

  • @emanuelyngailo6807
    @emanuelyngailo6807 3 месяца назад +2

    Hakika mzee said tunadai ubingwa tu

  • @FrankMakula
    @FrankMakula Месяц назад

    Mzee said omba cheo simba

  • @rehemawamwarami3854
    @rehemawamwarami3854 3 месяца назад +1

    Mzeee wangu Leo umejipakulia minyamaaa ha ha ha ha ha ha ha ha ivyo Ivyoo waamiinishee

  • @ibrahimwilliam-v5o
    @ibrahimwilliam-v5o 3 месяца назад

    unyamaaaaaaaa!!!!!!! mzeeeeee

  • @hamissuleyman
    @hamissuleyman 3 месяца назад +2

    huy mzee😅😅

  • @SaidSalum-d3o
    @SaidSalum-d3o 3 месяца назад

    Kweli mzee side ni fundi

  • @TalibaliMuhajir
    @TalibaliMuhajir 3 месяца назад

    Kumekuchaa mzesaid 😅😂😅😂

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 3 месяца назад +1

    ❤❤❤❤ SIMBA NGUVU MOJA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ UBAYA UBAYA UBWELA UBWELA ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HussenMuya
    @HussenMuya 3 месяца назад

    Kunawakati Said wage haeleweki anayuomba kimazungumzo kesho atawakata wacheza jihahao watakuwa wabaya 2:27 🎉🎉

    • @faridayusufu2045
      @faridayusufu2045 2 дня назад

      Uzur wa mzee said yupo kama mm stak wachezaj wanapokea mishahara alaf wanacheza kama wanacheza bute bwana mzee said saf sana

  • @MauBonde
    @MauBonde 3 месяца назад

    Tunawawubiri Sana kwenye ligi pigeni Kelele.

  • @JohnGoryo
    @JohnGoryo 3 месяца назад +1

    Gonga like kwa magoma wa yanga

  • @KhadijaOmar-j2s
    @KhadijaOmar-j2s 25 дней назад

  • @WiliamMisheck
    @WiliamMisheck 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @clarencemeena1628
    @clarencemeena1628 3 месяца назад

    Mzee Said umetisha😂😂 😂

  • @OscarMsuya-m6h
    @OscarMsuya-m6h 3 месяца назад

    🦁🦁🦁🦁🦁

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 3 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @IssaallyIssaally
    @IssaallyIssaally 3 месяца назад

    wakishinda wenzenu wamenunia mkishi da nyinyi eti timu yenu Bora kweli jamjitambui Wala hamjui mpira

  • @MauBonde
    @MauBonde 3 месяца назад

    Huyu Mzee ikifika ktk ya league wanafukuzana wote ,kajishau hio game ya kirafiki hawahitaji majeruhi ,hio mechi sio mguu wa shingo mguu wa roho.huko shirikisho papatu papatu.

  • @DorahAlbert-eb9zv
    @DorahAlbert-eb9zv 3 месяца назад

    Huyu mzee hana dogo,akisema ujue sio unafiki ni mkweli😂😂😂❤

  • @salimukassim-f4n
    @salimukassim-f4n 3 месяца назад +1

    Mzee balaaa😅

  • @RehemaJumashilangira
    @RehemaJumashilangira 2 месяца назад

    Wew mzee wew utauponza

  • @didierilombe5572
    @didierilombe5572 3 месяца назад

    Mzee wanao Faidi kwa simba ni watu wengine na wanao teseka kwa kelele ni watu wengine . Subiri league ikomae uta badilo maneno. Wenda wazimu ao nini.

  • @ElishaSamson-n3p
    @ElishaSamson-n3p 3 месяца назад

    Uwiiiiiiiiiiiiiiiii wambie mzee wangu

  • @عمرانالحجري
    @عمرانالحجري 3 месяца назад

    Side kama side. Waandishi wanahoji sauti ya chini wanaogopa. 😂

  • @selemanmpanduji331
    @selemanmpanduji331 3 месяца назад

    Simba ya moto

  • @khamismohammed7867
    @khamismohammed7867 3 месяца назад +1

    Mbona kwenye yanga hakuna mtu anaepiga makelele kama ivi 😂😂😂

  • @عزيزه-ر1ه
    @عزيزه-ر1ه 3 месяца назад +1

    Mzee side napendaga unavyoongea

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 3 месяца назад

    Mzee Mpili unamsikia Mzee Saidi Huyo.

  • @westonyjob1747
    @westonyjob1747 3 месяца назад

    Mzee apepiga kapelo Mzee said ananifurahisha

  • @didierilombe5572
    @didierilombe5572 3 месяца назад +1

    Mzee ni nini ? Taratibu umechanganyikiwa? Mpira siyo vita wala Matusi . Hongea kwa heshima wewe shabiki maskini.

    • @SaadaMuhidini75
      @SaadaMuhidini75 14 дней назад

      Wewe tajiri ujui kiswahili co hongea ongea mzee saidi anaongea kwa viwango ni shabiki Bora anafuraha Mzee wetu ❤️🥰Hana vita pia anaheshima acha wivu

  • @davisbwatwa115
    @davisbwatwa115 3 месяца назад

    anachoongea mzee said ni uhakika ila watu wanajizima tu

  • @controlTheoryChamps
    @controlTheoryChamps 3 месяца назад

    Si mchezo 😂

  • @DamarisOsward
    @DamarisOsward 3 месяца назад

    Leo nimeamini wanasimba wengi hamjui mpira, kama mnajiona simba imecheza vizuri, basi mtapigwa sana na Yanga

  • @Fredmbawala-hq3pd
    @Fredmbawala-hq3pd 3 месяца назад +1

    😂😃😁😇😂😂😂😂eti Emmanuel patite munafurahia sare nyi Subirini mukutane na wanaume

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 3 месяца назад

    Nimekuelewa mzee saidi yanga wachawi

  • @MwaiburuHalisi
    @MwaiburuHalisi 2 месяца назад

    Mzee mpumbavu sana

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 3 месяца назад

    Mechi ya kirafiki tu ile matokeo hayana ishu hata km angefungwa Simba haina shida acheni kukuza mmb waandishi

  • @FaridaMwamlima
    @FaridaMwamlima 3 месяца назад +3

    😂😂😂😂

  • @KaresiamosiMwanjari
    @KaresiamosiMwanjari 3 месяца назад

    Bakisha maneno mzee usije anza kusema viongozi

  • @IsmailMteleke
    @IsmailMteleke 3 месяца назад

    Sema baba hawajui

  • @LindsayIna-r2t
    @LindsayIna-r2t 3 месяца назад

    Clark Ruth Thomas Susan Jackson Amy

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 3 месяца назад

    Kumbe ananafana na kocha IBENGE

  • @khalidkassim3986
    @khalidkassim3986 3 месяца назад

    Piga kelele tu tutakutana mavi yataruka😂

  • @jafarimpawa8237
    @jafarimpawa8237 3 месяца назад

    Fereree free bure

  • @pastorlazarosamwelkilala5795
    @pastorlazarosamwelkilala5795 3 месяца назад

    Poleni sana watani

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +2

      SIMBA HATUNA WATANI UBAYA UBWELA TU

  • @issaismail6153
    @issaismail6153 3 месяца назад +1

    Duh anafurahia sale

  • @SamuelMarwa-z3h
    @SamuelMarwa-z3h 3 месяца назад +1

    Wakulize maswali mzee

  • @mussastephano4938
    @mussastephano4938 3 месяца назад

    haujui jina la beki?? hauna macho??? beki aliyezungukwa na Pouku

  • @SalimRamsei-ok9el
    @SalimRamsei-ok9el 3 месяца назад

    Nomaaa

  • @GenosiaSanga
    @GenosiaSanga 3 месяца назад

    Acha uongo wewe mzee saidi, huna unalolijua wewe

  • @JosephAtanazi-hs3gw
    @JosephAtanazi-hs3gw 3 месяца назад

    Kwa hiyo mzee utopolo ni seleee

  • @MusaJastini-po8hm
    @MusaJastini-po8hm 3 месяца назад

    MTOTO IDY Leo kapaniki kinoma

  • @MADINAKITEMO
    @MADINAKITEMO 3 месяца назад +1

    Kwani utopolo siwalifungwa alhilali

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +1

      WALIFUNGWA NA MAKUNDI HAWAKUINGIA

    • @Emanueli-vz6fd
      @Emanueli-vz6fd 3 месяца назад

      Sio yang hii ssa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +1

      @@Emanueli-vz6fd UTOPOLO NI UTOPOLO HAYO MENGINE UTAJUWA MWENYEWE

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 3 месяца назад

    Mgunda ajiandae

  • @GadafSalum
    @GadafSalum 3 месяца назад

    Nilijuwa unaakiri kumbe hamunamo ubigwa wamama yako kunamupila gani mumechezaubigwa Bado sana kwamupila wenu

    • @chotark1881
      @chotark1881 3 месяца назад

      Acha matusi wewe

    • @chotark1881
      @chotark1881 3 месяца назад

      Jifunze kujitetea kwa point acha kupanic

  • @FabianiNguvumali
    @FabianiNguvumali 3 месяца назад +3

    Dube bul kweli nyiny makor

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 3 месяца назад +1

    Mzee Saidi timu yako bado wacha mihemko mzee Timu yako bado yaaani bado sana

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA KITU 😂😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r 3 месяца назад

      Timu lenu la mchongo sifa tu lakini hamna kitu Simba hatuna kona

    • @emanuelyngailo6807
      @emanuelyngailo6807 3 месяца назад

      Bado yako

    • @BeatriceMusoma-v3u
      @BeatriceMusoma-v3u 3 месяца назад

      Yakwako Bado zaid​@@salimmalaka256

  • @FayabiMushaba
    @FayabiMushaba 3 месяца назад

    Hahahaha

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 3 месяца назад

    Wacha Kutufokea Timu Hamna Hapo. Unatumia Nguvu Nyingi. Furaha Utoe Wapi. Unafariji Lakini Faraja.

  • @AndersonMokiwa-is5ch
    @AndersonMokiwa-is5ch 3 месяца назад +1

    Nasubili malalamiko badae

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +1

      UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA KITU MACHOGOOOOOOOOO

  • @didierilombe5572
    @didierilombe5572 3 месяца назад

    Mzee huyu ni mchawi . Una foka foka sana kama umbwa?

  • @euniceezekiel3701
    @euniceezekiel3701 3 месяца назад

    Mzeee subiri kwanza

  • @salimukassim-f4n
    @salimukassim-f4n 3 месяца назад +4

    Mzee balaaa😅

  • @kisumuniog5275
    @kisumuniog5275 3 месяца назад +2

    ❤❤❤❤❤

  • @FatumaAmis
    @FatumaAmis 3 месяца назад

    ❤❤❤❤

  • @salimukassim-f4n
    @salimukassim-f4n 3 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂

    • @shomarijuma5643
      @shomarijuma5643 3 месяца назад

      Kumbe simba nae kunamakocha wengi akiwemo ma mzree said leo amekuwa kocha.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад +1

      ​​@@shomarijuma5643 UMEKUGUSA EEE 8:26

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 3 месяца назад

      ​@@shomarijuma5643UTOPOLO TIMU LENU BOVU HAMNA KITU MACHOGOOOOOOOOO

  • @PriscaNoah
    @PriscaNoah 3 месяца назад

    😂😂😂