HII NDIYO AIBU YA KWENDA MISIBANI NA WAPAMBE - DEC 27/2024 (HUBBUL HALAL)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 7

  • @thehumblediti4939
    @thehumblediti4939 20 дней назад +1

    Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh, leo niwe wa kwanza kucomment, niseme shukran wa jazakallahu khairan, napenda vipindi vyenu sana mafunzo adhimu, mengine tunajifunza mengine tunajikumbusha alhamdulillah.

  • @Mahfudha
    @Mahfudha 20 дней назад +5

    Ingependeza huyo dada angevaa gloves kwa sbb huyo mwenziwe hata kama ni mwandishi wa habari lakini pia ni mwanamme si vyema kumuonesha iyo hina

  • @mohdahmed5389
    @mohdahmed5389 20 дней назад +1

    Kungwi mtoto,sisi watu wa umri mkubwa hatukubaliani na neno somo munavyolitumia nyinyi hapo studio,sisi watu wazima tumelitumia neno somo kwa mtu ambaye mumefanana kwa jina ,ikiwa mwanamke kwa mwanamke au mwanamme kwa mwanamme,kwahio tunaomba sana musituharibie kiswahili,huyo dada abakie kua kungwi mtoto hicho ndicho kiswahili sahihi,

  • @UlfaRashid
    @UlfaRashid 20 дней назад +1

    Somo anajua kupika chai ya nazi

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 20 дней назад +2

    Kuna kikundi maalum kule kinondoni kinafanya kazi hiyo ya kulia kwenye misiba na ni kazi yao ya kujipatia kipato