FAHAMU MAMBO AMBAYO UKIFANYA KWA MKE MWENZA UTAPATA PEPO | JAN 10/2025 (HUBBUL HALAL)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 янв 2025
  • Kutoka AL FATAH TV .
    Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
    #AlfatahTvOnline​​​​​​​​​​​​
    #AlfatahCharitableAssociation​​​​​​​​​​​​
    #ZANZIBAR​​

Комментарии • 17

  • @DadiMohammed
    @DadiMohammed 18 дней назад +1

    Wanawake mjistiri sasa kila unapotembea unakutana na mwanamke yuko uchi na mitandio haikustirini tafuteni shungi au mitandio mitefu Allah Akuongozeni Aamiin

  • @rasadsaid1818
    @rasadsaid1818 18 дней назад +1

    Keep it up AlFatah! Endeleeni kutuelimisha!!

  • @saudakayanda
    @saudakayanda 18 дней назад +3

    Habari zenu wazima nyote naomba kutoa maelezo yangu.kwanini wake wengine wanapenda kuwalisha waumme zao chakula cha usiku wali ambapo anarudi kazi usiku

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 18 дней назад

    Masha Allah nime ona somo kainamia chin kwaz kumbe maada jamn wee mabarikiwe na asnten sna kwa maada nzr

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 17 дней назад

    Nimependa hichi kipindi somo ahsat ❤❤

  • @nadhifamohammed7749
    @nadhifamohammed7749 3 дня назад

    Ama na mimi naumia mke mwenzangu mume akiwa kwangu sim za kipumbavu nachukia sana mana mimi huwa simpigii labda kwa sababu muhimu sana

  • @fatmahamdoun74
    @fatmahamdoun74 17 дней назад

    Ukewenza huu huu

  • @safiasuliman5136
    @safiasuliman5136 18 дней назад +2

    Jman mm naupenda uke weza ila tusikae karibu 😅

  • @DadiMohammed
    @DadiMohammed 18 дней назад +1

    Mm jamani nina mke mmoja lkn nataka wa 2 lkn nahitaji mwenye dini na awe mtekelezaji na mapenzi ya kweli, sbb mm kila nikiangalia hali ya wanawake walivyo sasa inanitisha

    • @FatimaMohamed-n5h
      @FatimaMohamed-n5h 17 дней назад

      Medhali wabaya wapo na wazuri hawakosi viumbe wasingekuwepo fata maadili ya dini na mlongolo WA utekelezejii utalipata ulitakalo jipange tuu vizuri wanaume ndiyo wanawake usiseme Akhera zamani

    • @ShamimShamy
      @ShamimShamy 17 дней назад

      Niko hapa 🎉🎉

  • @saudakayanda
    @saudakayanda 18 дней назад

    Na nyengine mke anaporudi mume kazi wakati anapokula huwambia mtoto wake amuandalia chakula baba ake kwa hiyo amemuowa mtoto or mama

  • @saudakayanda
    @saudakayanda 18 дней назад

    Mume anatoka toka asb kwenda kazi kurudi kwake usiku atokeo yake analishwa chakula cha mchana wali

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 6 дней назад

      Hivi wali kwenu nicha kula cha mchana tu?😂basi mbona ukisemi hiko chakula cha usiku nini? 🤔 mikate'mahamri'sambusa, katilesi chapati nini tambi'au muhogo wa samaki, ndizi tamu au niviazi karai😂tuambie bwana hicho upendacho au supu ya pweza?

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 6 дней назад

      Sasa mume ameoa apikiwe nini,watuambia sie huku siumwambie huyo Mke apate kubadilisha upishi wa usiku 😂