Richard ndasa ni alikuwa wa Jimbo la sumve mwanza, siyo kigoma. Mungu awaweke mahara pema makamanda wetu, sisi sote ni wapitaji , Mimi na wewe umeandaaje safar yako? Kila kitu ni Mungu Kwanza .
Huku magufuli akisema Tz tupo salama nchi haina corona, tuogope viongozi aina ya magufuli Taifa linaweza kuingia katika janga kubwa halijawahi kutokea ulimwenguni.
Corona ni jina la ugonjwa, lkn lipo jina lipitalo majina yote nalo ni jina la Yesu Kristo. Watanzania tuzidi kumsihi Mungu, maombi ni dawa, huku tukitumia ufahamu Mungu aliotupa kwa kufuata ushauri wa wataalamu wa afya, hawa Mungu amewaeka pale watuongoze.
Kiswahili ni kigumu.tunaposema "aliweza" inamaanisha alikua na nia au alikuwa jitihada za kutekeleza lengo alilojiwekea.hivyo akifanikiwa tunasema "ameweza". Sasa unaposema FULANI '"aliweza" kufa kwa kovid inamaanisha alijiwekea malengo hayo ya kufa kwa COVID?
Hata hivyo siyo wote sababu ilikuwa Covid ila marathon mengine tofauti, na kuna waliokufa kwa corona wengi tu wazito hajawataja, mfano mme wa Vick akamata na wengine wengi. Huyu mwongo😮😮
Richard ndasa ni alikuwa wa Jimbo la sumve mwanza, siyo kigoma. Mungu awaweke mahara pema makamanda wetu, sisi sote ni wapitaji , Mimi na wewe umeandaaje safar yako? Kila kitu ni Mungu Kwanza .
Huku magufuli akisema Tz tupo salama nchi haina corona, tuogope viongozi aina ya magufuli Taifa linaweza kuingia katika janga kubwa halijawahi kutokea ulimwenguni.
Alichangia vifo vya watanzania atajibu siku ya kiama
Wewe,Akili ya kuambiwa ongezea Naya kwako.kwanini wawe viongozi.siyo sisi walala hoi.?
Mbona wew hukufa iv kwer una akili wew alichangia vifo🤔na wew upo jinga sana wew
We msege wacha ujunga mpk leo tunamachungu na kiogozi wetu km huna lakusema kakojoe ukalale alizikwa na watu km wote na hakufa kwa korona mshezi wee
😂😂😂😂yaani umenichekeza
We muongo Magufuli hakufa kwa korona mbona watu walikuwa wengi siku yamsiba wake
Kwani sasa watu hawafi tena?? Ebu acheni habari Za kichoko
Aliweza kufariki kufariki ndiyo nini jifunze lugha
Corona ni jina la ugonjwa, lkn lipo jina lipitalo majina yote nalo ni jina la Yesu Kristo.
Watanzania tuzidi kumsihi Mungu, maombi ni dawa, huku tukitumia ufahamu Mungu aliotupa kwa kufuata ushauri wa wataalamu wa afya, hawa Mungu amewaeka pale watuongoze.
Viongozi tu,ndo walio kufa na corona.tumuachie Mungu,ndo anajua ukweli wa vifo vya hao viongozi wetu.
Duh watu walikufa wengi sana awamu ya tano
Inamaana waliokufa kabla ya korona walikufa na ugonjwa gani ? Au wanakufa sasa ni ugonjwa gani ?
RAIS Magufuli alifariki tarehe 17 siyo 19.
Duh waongo hawa
Uwongo Mwingi haufai TULISHUHUDIA MAALIM SEIF KAZIKWA NA MAAEFU YA WANANCHI NA VIONGOZI....
BORA.....NYAMAZAA...BU SHEETS
Wacheni uongo jaji Augastino hakufariki kwa corona wacheni uongo.Kama mmekosa kazi katafuteni kazi za kuandika acheni upuuzi.
Umetumwa siyo
Itakuwa Unaumwa wewe hiyo corrona
acha usenge na uwongo. eti Magu wetu alikufa sababu ya corona
Wasenge waongo hao magu walimuua.
Wasenge waongo hao magu walimuua.
Huyu mwongo kweli kweli.
Muongo Maalim Seif hakuzikwa na watu wachache katika mtu alie pata watu wengi ni maalim Sefu mjinga wewe sema ukweli tu
Au umetumwa
Acha uongo wengine maradhi mengine wewe ni msemaji waserikali
Ivii nikweli 😂
Uongoo huo magufuli walimuuaa
Acha uwongoooooooo wewe au mnatuongopea
Kiswahili ni kigumu.tunaposema "aliweza" inamaanisha alikua na nia au alikuwa jitihada za kutekeleza lengo alilojiwekea.hivyo akifanikiwa tunasema "ameweza". Sasa unaposema FULANI '"aliweza" kufa kwa kovid inamaanisha alijiwekea malengo hayo ya kufa kwa COVID?
Acha ujinga kwahiyo Kila Mtu akifa ghafla ni Corona,na isitoshe hiyo kusema Kwamba mfugale,JPM,na wengne walikufa kwa Corona umesema ww
Malin sefu alizikwa na watu wengi sana ! Acha uongo msenge wewe
...mtoa taarifa KUMAAMAKO!!!.......TARIFA NI YA UZUSHI......MAGUFULI HUYO KAFA NA KOVIDI ULIMUUA WEWE??!!...MSENGE MKUBWA WE!!
Matusi sasa ya nini na ili ufaidike nini!! Ama kweli dunia inavituko
Kwa maana hiyo rais ni muongo una uhakika?
Tangu nizaliwe sijawahi kumuona wala kusikia mwanasiasa mkweli
We vip kwan nani ugonjwa wa covid ulikua rafiki kwake! Tuliza kichwa hicho unavyotoa habari zako
Hata hivyo siyo wote sababu ilikuwa Covid ila marathon mengine tofauti, na kuna waliokufa kwa corona wengi tu wazito hajawataja, mfano mme wa Vick akamata na wengine wengi. Huyu mwongo😮😮
So walvokufa hao na korona ikatokomeaaaaaa