Huyu mzee ni mtu muhim sana katika jambo la kumbukumbu. Ameandika na hakuna aliye simama kumkosoa hadi sasa hii inaonyesha history tunayo soma ina mapungufu mengi mno
Huyu wala siyo bingwa wa maarifa,isipokuwa ni bingwa wa historia inayotokana na uvumi na taarifa nyepesi nyepesi.Hana historia inayotokana na utafiti wa kisayansi.
@kimalingano..... Muhammad said aliandika kitabu cha historia "MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKS" mimi nimejaaliwa kukisoma. na kwa kauli yake alimpelekea Mwalimu Nyerere, na anasema aliahidi kukijibu, kwa bahati mbaya hakukijibu. kama wewe ushakijibu tuambie jina lake tukitafute ili kupitia kwako tusahihishe yale ambayo kayazungumza unayoona si kweli.
@johnchoma....Padre dr. civalon. Yeye aliandika kitabu"KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA...." humo ndani kazungumzia harakati za kanisa tangu Nyerere kuingia kwenye siasa hadi alipojiunzulu mwaka 1984. humo ndani hakutaja waislaam. ingekuwa vizuri ukaandika na wewe au ungetusimulia historia ya kupigania uhuru ambayo haitakuwa na udini tukaiyona.
Muun'gano hajakataa Jumbe tuu bali Wazanzibar wenyewe walikataa tokaa day one.thanks
Mazungumzo mazuri..tunayajua tusoyajua...keep it Bwana Mohd.
Huyu mzee ni mtu muhim sana katika jambo la kumbukumbu. Ameandika na hakuna aliye simama kumkosoa hadi sasa hii inaonyesha history tunayo soma ina mapungufu mengi mno
Ni kweli tupu ndiyo maana hawapingi
😅
Wewe hakuna Historia ya kweli katika nchi hii ni ujanja ujanja tuu
Siku hizi hauko TBC?
@@Salisalum yupo
Huyu wala siyo bingwa wa maarifa,isipokuwa ni bingwa wa historia inayotokana na uvumi na taarifa nyepesi nyepesi.Hana historia inayotokana na utafiti wa kisayansi.
Huyo mzee humjui fatilia utajua
@kimalingano..... Muhammad said aliandika kitabu cha historia "MAISHA NA NYAKATI ZA ABDULWAHID SYKS" mimi nimejaaliwa kukisoma. na kwa kauli yake alimpelekea Mwalimu Nyerere, na anasema aliahidi kukijibu, kwa bahati mbaya hakukijibu. kama wewe ushakijibu tuambie jina lake tukitafute ili kupitia kwako tusahihishe yale ambayo kayazungumza unayoona si kweli.
Anaijua historia lakini he is so prejudiced kwa mtazamo wa Dini.
Historia yake inaelemea udini sina uhakika kama yuko impartial
@johnchoma....Padre dr. civalon. Yeye aliandika kitabu"KANISA KATOLIKI NA SIASA ZA TANZANIA BARA...." humo ndani kazungumzia harakati za kanisa tangu Nyerere kuingia kwenye siasa hadi alipojiunzulu mwaka 1984. humo ndani hakutaja waislaam. ingekuwa vizuri ukaandika na wewe au ungetusimulia historia ya kupigania uhuru ambayo haitakuwa na udini tukaiyona.
Hii ni historia ya pwani ya Africa mashariki inatokana na uislam na wenyewe ni waislamu
Mbona habari yako fupi? Habari hii haikidhi maana ya kichwa cha habari hiki.