Yakub Nassoro bado ni mwamba saaaana. Hakuna ladha kama yake. Anayoyapitia ni njia ambayo ina mikwaruzo ambayo hata ww huwa unapitia kwenye shughuli zako ila unapambana n unarudi kwenye mstari. Nina imani atarudi tu, uwe na imani pia
Aaah!! Yeahh!! Haha!! La Familiaaa!! Tanzania, King Kong!! woooh! Uzito mdundo wa hindi, anga, na enzi za sancho Ni sawa na ubishi wa goli, kutoka kwa mbishi pancho Mashuhuri toka mtoto toka msoto toka studio joto Sahau kuhusu AC Eti Flani mbishi wa mboko, halalali anawazo soko Siku nae aje auze kama vile Jay Z Ama keeping rankin, keepin drumping, keepin rock the show Keepin jumping, keepin pumping, keepin smoking doe Spigiwi nacheza, pakavu nateleza You can′t stop mee!! Sana sana nitakupoteza One love, kwa mashabiki Asante kwa wanafiki, bila ninyi Hasira zisingekuwepo kichwa hiki Aisee Mi ni mkali, sina afadhali Na ndio mana bifu haziishi kwa wale wasio rijali Chidi! Wacha waropokwe Wacha wachomoke, wacha wavimbe, wachonge (Stick) Wala usiondokee! Hahaa!! Dar es saalaaama, dar esa salama stand up PRE-CHORUS Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands (Aaaaah!! Ahhhh!!) Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe, ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don't stop And please keep this rockin Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don′t stop And please keep this rockin Mikono juu Mafan mnao feel hili goma, Mmelisoma, na mna feeel kinoma Mikono juu Mafan mnao feel hili goma, Dar es salaama stand up, put your hands up MC mkali, MC peace MC kipato kiaina MC mkali, wanan dis ila wanan kubali kiaina Kubali kiaina, kubali kiaina, kubali kiaina Sijali, bado chenga nawakomba, mi na beat natoa radha Kama muumini na komba Kama shilingi na konda, kama kicheche na Ng'onda Mlio wa "Vuum" na Honda, spirit na kidonda Spigani nkang'ata sa si bora nikimbie Sing′ang′ani kunata bali uwezo wangu ndie, Napanda siku baada ya siku, Spandi mchana nishuke usiku, Naamini bora kitu, kuliko kukosa kitu. Love kwa wasanii, love kwa wanajamii Love sana mpaka kwa kina hihi!! Kwa kina nanii. Msintenge mi mwanenu jamani, chondee Nawawakilisha nyinyi mtatoka, msikonde Hey my African people tukaze, tusonge mbele Tusisahau hii iko, yaliyopita si ndwele Tugange basi hayoo, tuache kupiga mihayo Tufikiri kwa urefu sio size ya Zakayo PRE-CHORUS Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah Stand up, put your hands (Aaaaah!! Ahhhh!!) Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe, ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don't stop And please keep this rockin Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae Mpaka watu wapagawe ee aa eee Pull Up Pull up, tell the DJ don′t stop And please keep this rockin Naona DAR inafuka moshi wa majani Ma sister duu wameji mix na ma rastaman Kamata toto mwanangu besa kitu gani Hili... Mipini watu wanakaa Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Waakubali kiani, wanakubali kiaina. Po!! Poo! Poo!! Yeaah King, kong, yani ah!! Ah!! Wamekaa
ningekuwa na uwezo wa kurudisha muda nyuma arafu chidi yule aje sasa 2018 amini nakwambia ilikuwa hakuna cha wasafi walla wachafu. na nahisi chidi hawamsaidii kwa hofu ya uwezo wake kuna madogo wanasafiria nyota ya chidi wanaimba kumgeza chidi wanatunga mistali inayofanana na ya chidi hawa wote watapoteza ajira endapo chidi atarudia 100%kama zamani
Asa kwani kuna waimbaji now? Kuna rapper bongo? Chidi Dah!!! Siku nakuona Fiesta ya sjui 2000/2002 nliwewesekaaa my cuzin akatu introduce coz eeeeevryyy one knew nnakupendajeee and chuo Moro you came to perform Moro aseeeee i made sure my BF now Husband ananipeleka asee...i met you back stage the fact that ulinikumbakaaaaaa and you even showed me my number ulii save Wow!!!!! Always will be...your No 1 Fan...upone usipone...
Rashid alikua mkubwa sana na game alikua kaimali, nakumbuka kipindi hiki show zote za TV na radio zilikua zake. Alikua mpaka na reality show yake EATV nadhani, ila kama walivyosema waswahili mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji, ishabaki historia! Bonge ya vocal na mistari. Maisha mengine yaendelee
Zaman watu walikua hawatumii yt kama Leo kwahio mgom kufik 1m 12yea jua ilitamba saana angalia ata ngoma ambozo zilihiti zakina alikiba ray c dully unakuta haizid 3m vews
Kila nikitazama the real Chidi Benz akiimba nakumbushwa mbabe wa ukweli wa Bongo Hip Hop. Nahisi kulia lakini nifanyaje. Nilikuwa shabiki chizi wa Chidi nilipokuwa shule ya upili na forever a Chidi fan,. Nawish angeachana na maisha ya dawa za kulevya. no one like Chidi just yet.
Hii ngoma ilitolewa miaka 12 iliopita,,punchs zake zilitengenezwa kwaajili ya next generation imean hata saiv 2023 Bado hatuja ifikia hio targeted generation kwaajili ya kuenjoy huu mzik mzuri,,respect sana CHID BENZ✌️✊
Chidi anamiliki ghorofa kipindi hichi anamachawa kibao wamemzunguka dhaaaaa .......!!!!! Bado chidi ni mshindi2 kwetu watoto wa mtaani hatuwezi kumpinga habadani hasilani na hakuna haja ya kujutia alichopitia maana haibadilishi kitu kikubwa ni kusonga mbele2 Chumaaaaaaaaa .....!!!!!!!🫡🫡🫡🫡🫡
tuliofungua 2024 na hili dude la kibabe achia like apa
😂👍
Kimoja ✌️✌️✌️
Daah mwanangu chid, ngoma bado ina vibe kama imetoka jana...gonga like kama unamkubali chidi benzii
One of the best song
King Kong ya chid Benz wangap tupo had ss 2024
Hii ngoma naisikiliza nikiwa hukuuu ALASKA BARIDI KALI NOMA NAKULA NGOMA ZA KITAMBO ZA BONGO TZ DAAAAH KITAMBO SANAAA 22/05/2024.
Huyu mwana amezingua sana kwa kweli na maishu yake ya madawa.
Aneemkumbuka mwana ChidBnz kwa ngoma kali kama hii apige like hapa
Yakub Nassoro bado ni mwamba saaaana. Hakuna ladha kama yake. Anayoyapitia ni njia ambayo ina mikwaruzo ambayo hata ww huwa unapitia kwenye shughuli zako ila unapambana n unarudi kwenye mstari.
Nina imani atarudi tu, uwe na imani pia
Chd Yuko vzur had now chuuuuuuumaaaaaa
Mungu atamhidi aongoke
Maishaa bro tumuombe duaa akae poa mwenetuu
nawakubali chid
Hii ngoma ni noooooma yani haipoi mpaka kesho itasikilizwa mpaka nawajukuu zetu nasikiliza mwaka 2024 🔥🔥🔥🔥
Enzi hizoo ngoma ilitambaa kweli kweli..kama bado waisikiliza ngoma hii pita na like 👍ya nguvu
, ,
Noma sana uyu mwamba
King kong
La familia
Sauti ya chuma kamili...nakumbuka 2009 aliingia Mambo Mseto na hii ngoma ilkua 🔥 na Willy M Tuva
Kwa wale wanao mkubali huyu mwamba CHIDI BENZ 💪💪💪na wanao sikiliza hili goma 2021 gonga like hapa... Tujuane 💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nani anaskiliza goma hili 2019
Ngoma yanifanya nikumbuke weekend feever. Bado yaendelea?
Oyoo
Baba lao
Izi ndizo bongo hiphop ambazo zimetulea. Mob love from🇰🇪
Kumamake madawa ya kulevya tumepoteza msanii mzuri sana mpk nimelia
Best of the best!!TUNAOMBA HII NGOMA IWEKWE ROUND ABOUT YA POSTA YULE ASKARI ATOLEWEEE!!🔥🔥🔥🔥
2021 signatures
🤣🤣🤣
Cool song
Achaa hizoo,unamjua huyo wewe aliyewekwa round about,au unachonga tuu
2024 hakuna ngoma itashusha hii miaka buku chiddy👹
Aaah!! Yeahh!! Haha!!
La Familiaaa!! Tanzania,
King Kong!! woooh!
Uzito mdundo wa hindi, anga, na enzi za sancho
Ni sawa na ubishi wa goli, kutoka kwa mbishi pancho
Mashuhuri toka mtoto toka msoto toka studio joto
Sahau kuhusu AC
Eti Flani mbishi wa mboko, halalali anawazo soko
Siku nae aje auze kama vile Jay Z
Ama keeping rankin, keepin drumping, keepin rock the show
Keepin jumping, keepin pumping, keepin smoking doe
Spigiwi nacheza, pakavu nateleza
You can′t stop mee!!
Sana sana nitakupoteza
One love, kwa mashabiki
Asante kwa wanafiki, bila ninyi
Hasira zisingekuwepo kichwa hiki
Aisee Mi ni mkali, sina afadhali
Na ndio mana bifu haziishi kwa wale wasio rijali
Chidi! Wacha waropokwe
Wacha wachomoke, wacha wavimbe, wachonge (Stick)
Wala usiondokee! Hahaa!!
Dar es saalaaama, dar esa salama stand up
PRE-CHORUS
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands (Aaaaah!! Ahhhh!!)
Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae
Mpaka watu wapagawe, ee aa eee
Pull Up Pull up, tell the DJ don't stop
And please keep this rockin
Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae
Mpaka watu wapagawe ee aa eee
Pull Up Pull up, tell the DJ don′t stop
And please keep this rockin
Mikono juu Mafan mnao feel hili goma,
Mmelisoma, na mna feeel kinoma
Mikono juu Mafan mnao feel hili goma,
Dar es salaama stand up, put your hands up
MC mkali, MC peace MC kipato kiaina
MC mkali, wanan dis ila wanan kubali kiaina
Kubali kiaina, kubali kiaina, kubali kiaina
Sijali, bado chenga nawakomba, mi na beat natoa radha
Kama muumini na komba
Kama shilingi na konda, kama kicheche na Ng'onda
Mlio wa "Vuum" na Honda, spirit na kidonda
Spigani nkang'ata sa si bora nikimbie
Sing′ang′ani kunata bali uwezo wangu ndie,
Napanda siku baada ya siku, Spandi mchana nishuke usiku,
Naamini bora kitu, kuliko kukosa kitu.
Love kwa wasanii, love kwa wanajamii
Love sana mpaka kwa kina hihi!!
Kwa kina nanii.
Msintenge mi mwanenu jamani, chondee
Nawawakilisha nyinyi mtatoka, msikonde
Hey my African people tukaze, tusonge mbele
Tusisahau hii iko, yaliyopita si ndwele
Tugange basi hayoo, tuache kupiga mihayo
Tufikiri kwa urefu sio size ya Zakayo
PRE-CHORUS
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands
Dar es salaama stand up, put your hands up!! Aaaah
Stand up, put your hands (Aaaaah!! Ahhhh!!)
Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae
Mpaka watu wapagawe, ee aa eee
Pull Up Pull up, tell the DJ don't stop
And please keep this rockin
Eee Aaa Eee Ngoma itambae, mzuka upae
Mpaka watu wapagawe ee aa eee
Pull Up Pull up, tell the DJ don′t stop
And please keep this rockin
Naona DAR inafuka moshi wa majani
Ma sister duu wameji mix na ma rastaman
Kamata toto mwanangu besa kitu gani
Hili... Mipini watu wanakaa
Waakubali kiani, wanakubali kiaina.
Waakubali kiani, wanakubali kiaina.
Waakubali kiani, wanakubali kiaina.
Waakubali kiani, wanakubali kiaina.
Po!! Poo! Poo!! Yeaah
King, kong, yani ah!! Ah!!
Wamekaa
❤
❤❤
Thank you ❤
Tanzania Kuna raper wengi ila chid afikiwi mpaka kesho
ningekuwa na uwezo wa kurudisha muda nyuma arafu chidi yule aje sasa 2018 amini nakwambia ilikuwa hakuna cha wasafi walla wachafu. na nahisi chidi hawamsaidii kwa hofu ya uwezo wake kuna madogo wanasafiria nyota ya chidi wanaimba kumgeza chidi wanatunga mistali inayofanana na ya chidi hawa wote watapoteza ajira endapo chidi atarudia 100%kama zamani
Akiwa kama binadamu let us give home second chance and standup.I respected yo Child "ni Changamoto Tu"
Haji Muhidini htr xn..
This remains a masterpiece from one of the greats to ever do it under the sun in.
Crystal clear in Nairobi, Kenya.
Ngoma itambae ,,,,,,kal sana 2018
Stil watching in 2023.Chidi benz my all time best.Daresalam stand up.from kenya
Siku hii ngoma inachukua tuzo ngoma Kali ya Kila siku tusimsahau Pancho Latino tumpe nayeye🎉yake🇹🇿💯og
2024 hakuna ngoma bongo itashusha hii miaka buku chidy
Best song ever, gonga like hapa kama unaisikiliza 2024
Kabisa moto kama DMX more love from Kenya chid benz
2024 still a banger
Daaahhh kweli maisha ni duara mbovu leo hiii brother chid benzi huwezi kumzania kama ni yeye
Nyimbo znazoishi mpk mwisho wa dunia...
Feb 2023 still naisikiliza ngoma hii
Nani 2024
Chid chid why why why brother😭😭😭😭
2018 mpaka 2019💪💪💪 tunatamba Nayooo akuna kama chidi sema amezingua na madawa mshkji uyu daaaah😞😞
KAMA sio madawa jamaaa hodari sana n sauti ya kipekee ktk gem y mziki wa tz hii ni 2023/1/1 NA BADO namsikiliza
Ngoma kali ya muda wote ikipigwa kwenye steji tamasha lolote,watu wote wananyanyuka🔥🔥🔥
2023 lets gather here.... ngoma kali kinyama❤
nataka kuattend live concert ya chidi an aperform hii banger.
2024 Dar es Salaam standup 🔥🔥🔥🔥
Chidy utakuja kuandika nyimbo kama hii
Twaiba Hamza hakika naamini hivyo, anayoyapitia ni changamoto za maisha tu. Ila atarudi na atafanya zaidi ya hapa
Kweri kabisa
NGOMA KALI SANA BIG UP & PULL UP KWA WASAANI NA WAJAMI
KUTOKA INCHINI SUDAN 🇸🇩🇸🇩
So sad Drugs can drown such talents. Lots of Love from Kenya to the U.S.A
Coasto inaitwa Mondo
Uyu mshikaji alikuwaga na roho yake ya pekee...
Aliwatoa wengi sana bila kujali
Chidi benz fanya urudi legend mashabiki tunakuhitaji
Asa kwani kuna waimbaji now? Kuna rapper bongo? Chidi Dah!!! Siku nakuona Fiesta ya sjui 2000/2002 nliwewesekaaa my cuzin akatu introduce coz eeeeevryyy one knew nnakupendajeee and chuo Moro you came to perform Moro aseeeee i made sure my BF now Husband ananipeleka asee...i met you back stage the fact that ulinikumbakaaaaaa and you even showed me my number ulii save Wow!!!!! Always will be...your No 1 Fan...upone usipone...
Irada Style dah
😔😔😔😔
Rashid alikua mkubwa sana na game alikua kaimali, nakumbuka kipindi hiki show zote za TV na radio zilikua zake. Alikua mpaka na reality show yake EATV nadhani, ila kama walivyosema waswahili mgema akisifiwa sana tembo hulitia maji, ishabaki historia! Bonge ya vocal na mistari. Maisha mengine yaendelee
Everyday i listen to this song. Chid benz aka mista faco sheñz
Enzi hizo bhana Chid alikuwa Mtu kweli dah! Maisha haya!!
Mkono wa Pancho ndio ulihusika. Ila 6 , 10/2018. DAH. R.I.P PANCHO HATUPO NAE TENA KWA KIFO CHA MAJI
ngoma Kali sana brother chid
Kipindi hicho k vant hamnaa mamae bongee mojaa ya ngomaa🎶🎶🎶🇹🇿🇹🇿🇹🇿15/02/2022👊👊👊👊
Tufikiri kwa urefu sio kwa size ya zakayo. Asante king Kong mc mwenye sauti ya kipekee.
King of EA🇰🇪
niwekee ngom yoyte inayoweza funika hii ngoma ya sas hv kweny top 10
Daah chid Benz alikuwa anajua
Je comprends pas swahili mais ce qu'il y a dans cette chanson je comprends 😁 big up à CHID BENZ
NYIMBO BORA KUWAHI KUTOKEA TANZANIA
The only one king .....KING KONG ...CHIDI
The best CHIDI VERSION EVER!🎉❤
Mbonge la ngoma halichuji🔥🔥
12 yrs 1 milion jmn oneshen sapot 😂😂
Zaman watu walikua hawatumii yt kama Leo kwahio mgom kufik 1m 12yea jua ilitamba saana angalia ata ngoma ambozo zilihiti zakina alikiba ray c dully unakuta haizid 3m vews
Daaah hiii ni 2019 ila ngoma bado inatamba,,,, dar put your hands up!!!!
Wilson Lyatuu nouma sana
Namm nipo miongoni jmn watoto wa 92 ma ss tupo
Hakuna msanii kweny rap atamfikia chid never
Who is here 2024
Aliemfunza Chid kula madawa alilikosea sana taifa..Nyimbo nyingi nzuri zaidi ya hii aliuwa.
Kila nikitazama the real Chidi Benz akiimba nakumbushwa mbabe wa ukweli wa Bongo Hip Hop. Nahisi kulia lakini nifanyaje. Nilikuwa shabiki chizi wa Chidi nilipokuwa shule ya upili na forever a Chidi fan,. Nawish angeachana na maisha ya dawa za kulevya. no one like Chidi just yet.
Tunamkubar uyu mwamba
Hii ngoma ilitolewa miaka 12 iliopita,,punchs zake zilitengenezwa kwaajili ya next generation imean hata saiv 2023 Bado hatuja ifikia hio targeted generation kwaajili ya kuenjoy huu mzik mzuri,,respect sana CHID BENZ✌️✊
Hiii ilitoka 2008 au 2009 hii naikumbuka skonga azania 2009 ilipigwa kipind niko form 1
Chidiiiiiiiiiiiiii dha!!!! Rudi bro madogo wanazingua hakuna wanacho imba huku 😧😧😧😧😧 rudi chidi kwenye game.
Sio poa 🤙.., mnyama'a anjua'a bala'a 👍👍
Jan 2023... still a banger 🔥🔥🔥
Humu lameck Ditto alifanya role kubwa sana
Chidi anamiliki ghorofa kipindi hichi anamachawa kibao wamemzunguka dhaaaaa .......!!!!! Bado chidi ni mshindi2 kwetu watoto wa mtaani hatuwezi kumpinga habadani hasilani na hakuna haja ya kujutia alichopitia maana haibadilishi kitu kikubwa ni kusonga mbele2 Chumaaaaaaaaa .....!!!!!!!🫡🫡🫡🫡🫡
JAMAA ndo mtu ninae mkubali ktk mziki wa bongo wakati wote....2023/1/1 MWAKA NA CHID BENZ
Wajina nakubalii San kazii zakooo
Chidi flow zake 🔥
We used to get high and rap along to these bars back in high school.. Good times
Mimi nilikuwa namsaidia Hk kipindi iko mpaka video ikatoka Hk my boss
Ngoma la Kimataifa
Bado linatamba na tunaishi Nayo
Naumia sana ninapo muona chidi Wa kitambo na Wa sasa daah
Huyu ndio Pac wa bongo!
Mwananguu chid Tisha ile mbaya xana
Waaaaaat🤓 hakunaga km father chid bn
2019 nani yupo gonga like
best living hiphop song
Hili goma si la kitoto aisee jamaa noma sana,
Nipo naingalia nafunga mwaka na king kong
Lengend uko vzr mkuu💪💪💪💪👊👊👊👊
Anaemfatilia chedy gonga 👍🏽
Ngoma bado kali 2025🪓
Hii goma tupo naro adi 2024 sasa 🙌🙌🙌
Daah! Huyu jamaa alikua anajua sana, inaniuma sana cku hz alivyo, Mungu amrudishe tu akae sw
ama kweli chid benzi sasa sitori mungu anamuona
Woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo woyoooooooo saut ya chid noma ❤❤❤❤❤❤
King kong legend la familier chid benz ... komba ilitambaa kwel
hii ngoma daah cjui nisemeje,ila dah ngoja nikae kimya
Much respect to this living legend ❤❤❤❤
Inaumiza sana sana sana kumuona brother alivyo sasa. Anyway Mungu akupe mwanga utoke kwenye mitihani unayo pitia mzee. Pambana. Chid ni mmoja tu
daaaaaah huyu ndo chid benz
kinkon chuma chazamani kimeriwa nakutu dah
ilitambaa kikuzi ❤❤❤❤❤😂😂
Nikiwa na akili timamu hii nyimbo nimeirudia Mara 20 Leo tarehe 6/9/2024
the king of bongo hip hop,
Man of the best chid kama Benz moto mwingine @2007/2021 mambo nimbaya alooo *@kuna namna A.twn tuna kula yechu#
Kweli tunakubali kiaina
I believe ipo siku chid Benz Atarudi kufanya mambo ka hizi
Rest in peace Pancho Latino
Still banging on 2018
Broh….2023😢
Chichichichichi chidi Benz chuma, dare Salam stend up, noma sana 💥💥🤙🤙
26 naaami me...EMBAA MOSHOSION KWENYE MOSHOSION...
The hiphop best rapa sijaona
Kama chidi benz kiboko wao