Juma Nature - Mtoto Iddi (Visualizer)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 718

  • @chacha-255
    @chacha-255 4 месяца назад +136

    Mnaosema video irudiwe jueni kwamba Nature katoa hii video kwa lengO la kutimiza ndoto ya vijana wa 2000 kuja kuiona video ya mtoto Iddi, Ndio maana kaifanya kwa kujitolea kwa bajeti ya kawaida, Mashabiki wa muziki wa sasa ni kizazi kingine kabisa cha hawa generation Z watoto wa 2000 wenye miziki yao, Kufanya video za milioni 20 ni uwekezaji na inabidi uwe na mashabiki wa kizazi cha Generation Z uwe na uhakika wa kurudisha pesa kwenye shoo zinazojaa hao watoto wa 2000. wasanii wengine nao waige huu mfano wa Nature kuna ngoma kibao ziliwahi kutamba hazina videos, It's a nice video that preserves the legacy of one of the greatest of all time in Bongo Flava.

    • @budahman2908
      @budahman2908 4 месяца назад +8

      Umeielezea vizuri sana

    • @nickhd1857
      @nickhd1857 4 месяца назад +2

      Hii point sio mzee kuna ngoma za zamani tunaona watu wanaruka nazo sahv tiktok mfano viviano na ile ngwonko nko .. ni ngoma za kitambo bambo comedy zake za kitambo ila social media imemrudisha tena kuna namna hii angeifanya ingerudi kua trend .. niko pamoja na wanaosajesti baga awekwe au nagwa . Wale wana influence sasa siriaz kwa nature ya nyimbo kuna kaunyama kakiongezeka watu wanaifanyia challenge hii

    • @aziziabeid6052
      @aziziabeid6052 3 месяца назад

      Kaka inaweza kuwa bajeti hiyo hiyo ikawa tofauti

    • @gloryeliaita8938
      @gloryeliaita8938 3 месяца назад

      Sina cha kuongeza apo yan umemaliza yote. 😊

    • @onemoja1
      @onemoja1 3 месяца назад

      Umeongea✅✅✅

  • @MZEEWA255
    @MZEEWA255 3 месяца назад +12

    Legends wameamua kutuokoa from the curse of amapiano 🙌🏾 🔥🔥🔥 True Bongo flava 🇹🇿

  • @josephsilayo4927
    @josephsilayo4927 2 дня назад

    Mwamba sana huyu jamaa ametoa vibao vikali sana huyu ndiye meaning sio hawa wa 2000 wanaimba matusi

  • @elifazmpozayo2930
    @elifazmpozayo2930 3 дня назад

    Kumbe alishawai mdhurumu Mr Joseph Kusaga mtoto Iddi ni noma 😂😂

  • @FrankIbrahim-z1x
    @FrankIbrahim-z1x 3 месяца назад +26

    Video hii imefunika video trending zote za mwez huu,gonga like km waamini

  • @isasilemani2384
    @isasilemani2384 3 месяца назад +1

    Sa nechaaaaaaaaaaaaaa,stay strong brother

  • @zuberimohamed43
    @zuberimohamed43 4 месяца назад +223

    Ungempata mtu km Kitale, baga au Nagwa then script ingejumuisha matukio yaliyo imbwa hii ngoma ingerud upya sokoni huyo IDD mlio tuwekea kapoa kinoma

    • @alfredlaurent1728
      @alfredlaurent1728 4 месяца назад +7

      Hasa Kitale

    • @Ali_Manzu
      @Ali_Manzu 4 месяца назад +13

      Kitale ingemfaa! Above all we are happy now that Bongo Records is giving us the videos. Asante sana Majani. Wazo Zuri ambalo naomba utengeze video kali za miaka ya nyuma. 👏🏿👏🏿

    • @directornumz8225
      @directornumz8225 4 месяца назад +17

      washashoot sana hamchoki kuwaona kila siku .?

    • @directornumz8225
      @directornumz8225 4 месяца назад

      ​@@alfredlaurent1728analipwa 2M kwa project unaweza kulifanikisha hilo

    • @directornumz8225
      @directornumz8225 4 месяца назад +1

      ​@@Ali_Manzutruee

  • @MussaAmisse-r7y
    @MussaAmisse-r7y 8 дней назад

    wasanii wazamani wakijuwa sana sio binadani mondi dah

  • @DilanFamous
    @DilanFamous 3 месяца назад +4

    Mzikii huu nimzuli sana nakama utalud Bax wasanii wetu wale wote walikua wakifanya vizuli zamani Bax watakuwa mastaa tena namziki utawalipa ❤

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 4 месяца назад +1

    Kideo kali banah nliisaka kumbe bwana wagwan sana!#Juma nature🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HadidjaAlly
    @HadidjaAlly 3 месяца назад +1

    Bado Feruz uko vizuri tu ! Love you from 🇷🇼

  • @ShariffCharlesSangabo
    @ShariffCharlesSangabo 2 дня назад

    Nadhani kuba ukwel unafichwa kuhusu mtoto idd, hivi kwa umri wa mtoto idd alikua na mchongo gani kwa Mr Joseph kusaga hadi kufikia hatua ya kumdhurumu

  • @dullare
    @dullare 17 дней назад

    Zilizopendwa 👌🏽👌🏽

  • @chipyanatory701
    @chipyanatory701 3 месяца назад +3

    Ngoma nzuri....vipaji vilikuwa vikubwa dis time...siku hizi matusi mwanzo mwisho...solo solo kakosekana

  • @ammyskills5588
    @ammyskills5588 4 месяца назад +17

    Kipindi hicho my brother anapambana naye atoke ila ikashindikana ,alikuwa anaipenda sana hii nyimbo daah🔥

  • @AbouNkurunziza
    @AbouNkurunziza 4 месяца назад +16

    Irudiwe iyo nyimbo tumpate kitale apo nagwa. Na baga itakaa Sawa ngoma kubwa iyo bwana irudiwe

    • @GraceMarine-vo9hu
      @GraceMarine-vo9hu 3 месяца назад

      Kweli hii aisee Idd awe kitale kideo itakaa sawa sana

  • @neemammbaga227
    @neemammbaga227 4 месяца назад +2

    Video ni nzuri sana thank you sir nature🎉 hawa watz hawajui hata kushukuru kwa kidogo mtu akijitahidi mtieni moyo sio kukashfu daily mnamvunja moyo inabid aanze atafika pale inatakiwa huwez kumuweka idd mnayemtaka nyie na hela ya kumlipa uyo idd wenu anatoa nature either hela ni kubwa hatuwez kujua why msishukur ata kwa hii video 😢ndo mana wasanii wanapataga depresion

  • @AdamManda-wl2yd
    @AdamManda-wl2yd 3 месяца назад +1

    daah safi sana ferooz kurudia hili pin mmtisha sana

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 3 месяца назад +1

    Sana mkongwe Sir Nature 🥂💪🏽🙏🏼
    Tukumbushie Enzi hizooooooooo
    Sitaki demu👊🤗

  • @chansonkelly
    @chansonkelly 3 месяца назад +1

    Nakumbuka hii nyimbo walio fanya ze comedy ya kinampoki waliifanya vizuri sana tena sana nyimbo nzuri Mnoo videoimezingua sana

  • @youngbona3804
    @youngbona3804 4 месяца назад

    Director mkaliii sanaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥 🔥

  • @athumaniahmad8632
    @athumaniahmad8632 3 месяца назад

    Nice bro imekata kiu🙏

  • @pfranklyon1230
    @pfranklyon1230 3 месяца назад

    Ngoma kali vidéo mbaya

  • @Jayvanillah
    @Jayvanillah 7 дней назад

    Bado amjui kuwekeza" apo idd angekua nagwa au yyote kama chado

  • @nobertalex7476
    @nobertalex7476 4 месяца назад +1

    hii ngoma ni pumbu la milele 🔥🔥🔥

  • @mrinformer65
    @mrinformer65 4 месяца назад +1

    The authentic bongo sound we've been listening too since history. Ii sound ndo natambua Sana...big up legend. Kali Sana. Wakenya tunakupenda.

  • @FrankIbrahim-z1x
    @FrankIbrahim-z1x 3 месяца назад +1

    Kizuri kinaishi milele👏👏👏👏👏

  • @JosephNdumia-ny3ow
    @JosephNdumia-ny3ow 3 месяца назад

    Twende nalo nature you legendary Bongo 👑

  • @saidahmedpongolani4391
    @saidahmedpongolani4391 3 месяца назад

    Big up brother p funky, keep doing we nee those old schools into this world

  • @Collie19
    @Collie19 4 месяца назад

    Awesome 👍 Sir . Nature King 👑 Of Old Bongo Flavor ❤🎉

  • @storytownTv
    @storytownTv 4 месяца назад +1

    Angetafutwa p didy umu ,matukio yangekuwa unyama xana

    • @254trucks8
      @254trucks8 4 месяца назад

      😂😂😂😂😂

  • @amigoznz8760
    @amigoznz8760 4 месяца назад +1

    Dah asee Juma nature urudi kwenye ngoma mzee 🔥🔥🔥🔥

  • @shebydazen7870
    @shebydazen7870 3 месяца назад +2

    Top classic the living legend ❤

  • @Tengachanel255
    @Tengachanel255 4 месяца назад

    Apana kwa kweli hi video uwongo bhn

  • @wolterdavid8979
    @wolterdavid8979 4 месяца назад +6

    Hapa ilitakiwa mshuti stori, iwe kama movie. Iddi katika pilika pilika mapurukushani!

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 4 месяца назад

    Salute#❤

  • @jozeejr8896
    @jozeejr8896 3 месяца назад +2

    Good idea sema nn director amezingua sehem moja tu hapo alipokuja juma nature boss angekuwepo hapo na hiyo mikwara ya nature mngetisha sana ila bigup sana

  • @berybenya5610
    @berybenya5610 28 дней назад

    Verse ya Solo Thang ingekuwa Bomba sana kama ingekuwa sehemu ya video

  • @vuvuzelajordankhasindu2963
    @vuvuzelajordankhasindu2963 3 месяца назад +1

    I dont know who is behind this projects and i must say am a happy man. Thank you kwa kutukumbushaa enzi zetu. Mtoto IDDI is one of the Natures song and Bongo family na full message. In the song we can fully relate and learn from it. Hakuna Nudes, Hakuna matusi, hakuna abcd. Hongera sana. Peace.

  • @jaymicky4011
    @jaymicky4011 3 месяца назад

    ❤❤❤😂. Ahsantini sana 🙏🙏🙏

  • @dailantz4073
    @dailantz4073 2 месяца назад +1

    ❤❤ wimb mzuri sana naona mati super brand ltd una sapoti vipaji vikali sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 3 месяца назад

    Woooow the GOAT sir P-Funk umefanya vizuri saaaana kufanya videos za these greatest TZ songs of all times. Bongo record forever and ever mwanzo mwisho!!! Your Congolese🇨🇩 fun from Manchester UK👏🏾🙏🏾

  • @jeezyboysafi457
    @jeezyboysafi457 3 месяца назад

    Unundu mwingi

  • @evolutionstudiosdbn
    @evolutionstudiosdbn 2 месяца назад

    P anarudisha pesa yake ya 2000 🔥🔥🔥

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 4 месяца назад +4

    Huyu iddi bishoo tu,hakistahili kuwepo kwenye hili goma kiroboto

  • @Deggoo
    @Deggoo 2 месяца назад +2

    This guy used to be popular in East Africa now he looks like he started his career. Ni kama ile miaka ya nyuma miziki haikuwa inalipa poa.

  • @wayyaudientertainmenttv1490
    @wayyaudientertainmenttv1490 3 месяца назад +2

    wabongo washamba kweli hii inaitwa visualizer na iko poa kabisa this is not offical video , good vibes sir nature this one is great respect bongo records watching from kenya

  • @georgebataze6625
    @georgebataze6625 4 месяца назад +1

    Majani hongera kwa video nzuri. Mwanzo mzuri, ila video ilitaka matukio ya utata mengi Legendary wetu P.

  • @ErickElibarick
    @ErickElibarick 4 месяца назад

    Ni kweli brother ngoma irudiwe

  • @meckalex4648
    @meckalex4648 4 месяца назад +1

    Nyimbo kaliiii video ipoooooza 😎

  • @eragang6368
    @eragang6368 3 месяца назад

    #Bongo record tena🎉🎉🎉

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 4 месяца назад +2

    Shida ya ma director wa rahisi ndio matokeo ni hayo...ukiskia msaanii akisema video imemgharamu millions ni kweli

  • @dramataizaplatnumz
    @dramataizaplatnumz 3 месяца назад

    Dhahabu yetu ya Taifa ninoma sana ❤❤❤❤❤❤

  • @BuradaSenedi
    @BuradaSenedi 4 месяца назад

    Nataman sana angekua Ngoma nagw

  • @mwitaprotus7649
    @mwitaprotus7649 4 месяца назад

    Safi sanaa ukimaliza niandalie sonia 😊😊😊

  • @michaelkazungu1987
    @michaelkazungu1987 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 wakwanza leo kwa mchizi wa UK.. BLESSED SANA #LEO

  • @abbykashuba4332
    @abbykashuba4332 2 месяца назад

    Yan nyimbo za zamani daaaah nzuri hutamani iishe yan kama usisikiliza hadith😂

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 4 месяца назад +1

    Nyimbo kubwa sana Video hujaitendea hakiii

  • @graceirenge4243
    @graceirenge4243 3 месяца назад

    Na wa fata toka Congo, iyi ni style ya bongo, n'a penda sana , siyo mziki ya sasa, wana imba bila ku sema kitu

  • @JosephNzogela-u1i
    @JosephNzogela-u1i 3 месяца назад

    Mnanikosha sanaaaaaaaaas mtindo mlio anzisha uwo

  • @UserKeyboard-v2f
    @UserKeyboard-v2f 3 месяца назад

    Solo hayupo mkuu

  • @husaynndasha1225
    @husaynndasha1225 4 месяца назад

    Nice project..dude bado brand 👏👊🫡

  • @kiptereryusuf6377
    @kiptereryusuf6377 3 месяца назад

    Juma Nature...nakutambua Mkuu, this music reminds me my first day in Musoma, August 2005! The song was playing every where in the town.. Two days later I visited Tarime and the same was happening...

  • @Num3er38
    @Num3er38 4 месяца назад +1

    Mmezingua, iyo nyimbo ni kubwa! Ili hitaj invest ya kutosha kufanya iyo video.

  • @EssauGabliely
    @EssauGabliely 3 месяца назад +1

    Mnaraumu sana,, muchangie sasa afanye kitu bora

  • @eliudjoram1504
    @eliudjoram1504 3 месяца назад

    Nature boyyyy, Mziki mzuri unaishi.. Big up Bongo Records

  • @Bombom-ze1sj
    @Bombom-ze1sj 4 месяца назад

    Kiukweli Video mbaya Ngoma ya taifa umetualibia aiseeh

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 3 месяца назад

    Huy director kafeli

  • @souldigito9867
    @souldigito9867 4 месяца назад

    Sijapendaa iludiweeeee😢

  • @aminammanga7712
    @aminammanga7712 3 месяца назад +1

    Ngoma Kali jamani naangalia mpaka nahisi maumivu moyoni

  • @Mossimado
    @Mossimado 3 месяца назад +1

    Daha bonge la videos kubabake safi sanaaa

  • @OscarKiti-c9f
    @OscarKiti-c9f 3 месяца назад

    Eeh bana kali,mtihani

  • @adamsonmwakajinga
    @adamsonmwakajinga 3 месяца назад

    Mtoto idd ngoma kali Sana

  • @AthumanyMvula
    @AthumanyMvula 3 месяца назад

    Aaah mmezingua video ata haiendani na matukio

  • @mussawhite3459
    @mussawhite3459 3 месяца назад

    Ungemueka nagawa umo au baga

  • @hamisisalim
    @hamisisalim 3 месяца назад

    Congratulations guys

  • @Alkebulan-Afrika
    @Alkebulan-Afrika 3 месяца назад +2

    Pure from the bottom of my heart.
    Hii Idean niliwahi kuicomment kwenye interview moja alikuwa anafanyiwa Majani au Master Jay sikumbiki vizuri ni miaka 5 au zaidi iliyopita.
    Asante sana tunaomba mrudie nyimbo zote za miaka ya nyuma zitengenezewe video in new technology 4K+ VERSION.

  • @edwintouches
    @edwintouches 4 месяца назад +1

    STRONG imeonekana mala 6, probably ni AD/wadhamini. Ngoma inanikumbusha mbali sana, alot of memories. Sema naona kama Iddi amepoa, ilitakiwa video ijae vurugu zake uswazi full kukimbizwa na kupigwa na raia. All in all nice video, wazo zuri kuifanyia video hii ngoma!!! 👏👏👏

  • @efchicken2206
    @efchicken2206 4 месяца назад

    Bongoflava to the world 🌎 ❤❤

  • @dynessgodfrey8049
    @dynessgodfrey8049 3 месяца назад

    🔥🔥🔥🔥

  • @marcuskikot5915
    @marcuskikot5915 4 месяца назад +1

    Bora pengo kuliko jino bovu...bonus... story kali ..video bado kabsa! Irudiwe tu ktk usiriaz

  • @saidkhalid5175
    @saidkhalid5175 3 месяца назад

    Bonge la song

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 4 месяца назад

    Natural kama natural much respect

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 месяца назад

    Director achinjwe Christmas 🎄

  • @Blackson_360
    @Blackson_360 4 месяца назад

    Ngoma imegusa sana moyo tuliotokea mbali hongereni sana wakuu mloshiriki japo lwakuchangi hasa upande wa video nadhani haijatendewa haki kabisa natamani sana ninengemuona mtu kama kitale umo ndan independeza zaidi picha flani kama selemani . Kama shabiki naomba kuwakikilisha

  • @pauljamesmwamtekele8003
    @pauljamesmwamtekele8003 3 месяца назад

    Pole sana mzigo ulikuwa moto ila kukosekana sauti ya profesa j dah inanyima raha

  • @edlaidekalinde1753
    @edlaidekalinde1753 4 месяца назад

    Nakukubal sana mzee kiroboto toka kenya

  • @innocentmarco7287
    @innocentmarco7287 4 месяца назад +7

    Juma tuletee video nyingine awemo ngoma nagwa hii tumeikataa

  • @DjsimpleAlitchoki67
    @DjsimpleAlitchoki67 4 месяца назад

    Juma nature msani wa zamani kumbe flow zingali kali ((simple🔥🔥🔥))

  • @rajabrwambow9660
    @rajabrwambow9660 3 месяца назад

    Nilikuwa na subir kipande cha kaka mkubwa ulamaaa dah lakin hongera pia

  • @tembomlawa2065
    @tembomlawa2065 Месяц назад

    Idi mlio tuletea bishoo kinooooo hafai kwa video hiii ludia tena

  • @fredombega998
    @fredombega998 3 месяца назад

    Tangu zama majamaa walituburudisha kinyama na bado naona wako gangari kinoma.💥🌋💣Hawa ni asilimia Mia kwa mia baana.🔥👌🏿 Wagenje kuruka manzeeh. Heshma toka Nairobi 🇰🇪✊🏿👊🏿👊🏿

  • @PeterWilliama
    @PeterWilliama 4 месяца назад +3

    Angalia dunga mawe ya kontawa vyenye nagwa alifunika ww wachukua watu wa bure badala ungempatia nagwa iyo nafasi

  • @salimzuberi8357
    @salimzuberi8357 3 месяца назад

    Wanaume heeeed Nature kiroboto kibla sir nature msitu wa vina

  • @TonnyMaster
    @TonnyMaster 3 месяца назад

    Iddi kumbe mwizi

  • @nadiromar9794
    @nadiromar9794 4 месяца назад +1

    video hajaitendea haki,hii ngoma ni kubwa sana

  • @traytrid9367
    @traytrid9367 4 месяца назад

    Zama zile....Nature🔥🔥🔥🔥🔥 kazi kwako Mh. Temba, toa video ya Sideh Mnyamwezi😅😅😅

  • @NeemaSewando-z9o
    @NeemaSewando-z9o 3 месяца назад

    Ngoma Kali jkm tunataka ya ukimwi pia

  • @Chawamsafi1
    @Chawamsafi1 4 месяца назад +4

    Ngoma ya 90s alafu inakuja kufanyiwa video na vitoto vya 2005 matukio ya kimama na utoto duh nature rudia hii video kama unataka kuheshimiwa

  • @petermsilu
    @petermsilu 3 месяца назад +2

    Feruzi basi ebu tuliza nafsiii...pole sana kwa mkasa wa bosii...😢😢😢 "ENZI SIJAMPATA YESU" ..........😅