Naomba wasanii wasaai waskize! Mnasifu ngono na pombe...,nyimbo za raha tu wakati kijijini vijijini watu wanakufa kwa njaa! Wow! This was a poêtic song...❤
It was a time when the art work is kuelimisha ,kufundisha, kukosoa na kuburudisha , realistic songs with value. Mpaka leo hakuna mkali wa rhymes Kama afande sele. Music wako bado unaendelea kuishi afande sele. Yaah afande sele , majani mbele mtazamo ni uleule darubini Kali.
Kama Unasikiliza Hii 2023 Eka Like Tujuane🍾🔥
Here we are
Nairobi mtaa
Kama umewatch ii ngoma 2024 nipeni likes Nyi ni malegend walai
..Nani mwingine mwenye umri anaikubali darubini kali 22/11/4??? 🇰🇪
nakubali Sana 🇰🇪🇰🇪🇰🇪.unapolekwa tuu unakwenda kama lin,gombe
This Man is so Poetic and Creative..Modern day Bob Marley..Respect JahMan..Morogoro..King of Rhymes..Zed🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Anyone on 2024 listening this mind peace
I wish East Africans knew how iconic this song is! Hii nyimbo yafaa 1 million views! Masterpiece!
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea!
Lilikuwa jibu zuri sana kwa filipo nyandindi(o-ten)
Kwa enzi zako nyinyi ni wasanii tena kioo Cha jamii kweli
Simba wa mologolo na Simba wa kigoma ❤ hatutawasahau 2024
2023 legends mko wapi.likes tukijuana kwa darubini kali.nairobi ndio kwetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Eeeeh! Huyu ndio Mkushi mwenzangu Seleman Msindi a.k.a Afande Sele katika ubora wake🎉❤
Afande uko sawa KABISAAAA...Bado hatujapata kama afande
2023 Bado naiangalia hii song 🔥🔥👍
Naomba wasanii wasaai waskize! Mnasifu ngono na pombe...,nyimbo za raha tu wakati kijijini vijijini watu wanakufa kwa njaa! Wow! This was a poêtic song...❤
Nautazama wimbo huu nkiwa Malindi Kenya. 2024
Hivi bongo fleva iyi iliendaga wapi?
Ahsante sana baba Tunda the King of rymes
Baba Paula hatari sana P MAJANI
Akili kubwa
Jaman wapi afande sele
Nimekuja kujua miaka ya Hivi Karibuni kuwa huyu Mwingine ndo Ditto 😂
Wimbo mzuri sana hongera bado wako kwa nyimbo kweli
Namuona baba Sasha anaruka ruka😀
Hakuna tunachokudai bro
It was a time when the art work is kuelimisha ,kufundisha, kukosoa na kuburudisha , realistic songs with value. Mpaka leo hakuna mkali wa rhymes Kama afande sele. Music wako bado unaendelea kuishi afande sele. Yaah afande sele , majani mbele mtazamo ni uleule darubini Kali.
Bongo hip-hop back then was avibe , ,2023/2024 still slamming hard
24/08/2024 Nani tena anasikiliza?
Tupo wote🎉
Duh old is gold. Nyimbo ya maana na inaishi sana. I wish hawa wasanii hovyo wa sasa wangejifunza kupitia hawa legends
2022 I’m here For all TBT’s📽️
Ata mi Nipo ndani zaidi.. bigup bro!
Huyu Ditto alikua mtam kurap balaa
Big up selle
Ni fanyeni kitu ni kaurudie tena huu wimbo
Kitamboooo Saana
15 yrs ago,the last time I listened to this song,but still makes me love bongo oddies
Naangalia leo tarh 3,10,24
Nani amekuja hapa after kusikia diss ya OG?
Leo 27/11/2023 dondosha komenti au like apo chini
Aiseee ngoma yazamani kabisa ❤️😭😭😂
Kaka vzr san
miongoni mwa ngoma nilizo zikubali
ilikua kilakona na kili mtaa
Miaka zimeenda sana. Ethical music🎶 🎵
Ngoma moja kali sana
Ata burundi buja tunaikubari Sana
2023 ICONIC
Kali sana
Weee hii song nikari
Unaimba uhalisia kaka
big up
Jaamaa ulitisha
Still Julai,2024 wazee sasa
Sasa hakuna kio tena kumekua wapoteza rika
Mzuri sana
2023 top
Tulio soma quba tujuane ezi zetu hizo
Kwer baba
Power
Pamoja afande
2024 here now we go like here
2024 still on fire
So so munch
Yesu😂
True reflection of artistic calling.
Sungu
☺️☺️☺️☺️☺️
Majanii!!
Nice song..
Hip hop
🔥🔥🔥
2024 tupo
2024
Does anyone have the lyrics to this song?
2024❤🎉
❤❤❤
Young Linda Rodriguez Helen Walker Mary
Clark George Anderson Thomas Rodriguez Cynthia
Aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea!
Unaimba uhalisia kaka
2024
2024
2024