CHADEMA WATARAJIE HAYA UCHAGUZI WA NDANI ,,(CLUB ZA SIMBA VS YANGA HALI YA MWAKA 2025 ) 0715645150

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 138

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 10 дней назад +5

    Ubalikiwe Sana nabii

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 18 дней назад +8

    Nabii we ni mkweri ila ngoja uwambie kama hawataki muda utawabia yupo mungu ni msemaji wa mwsho lisu oyeeeeeeeeeeeh🇹🇿✌️✌️❤️❤️❤️🚣🚣🚣🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🙏🙏🙏🙏

  • @ObadiaMwallo-d5q
    @ObadiaMwallo-d5q 17 дней назад +1

    Mungu aendelee kukutuza sana mtumishi wa mungu

  • @boniphacesululu5428
    @boniphacesululu5428 17 дней назад +11

    Mtafute Mungu , nikupe habari tuu nawengine ambao hawajui,Mungu ashughulikii mambo ya mipira ambayo imechangyikana na ushirikina na kingine mpira hauna msaada wowote katika uzima wa mtu tumia AKILI acha uganga

    • @RahmaNuru-tt1kw
      @RahmaNuru-tt1kw 17 дней назад +2

      Mungu anashughurika na mambo mengi yenye ushirikina, hata serikali ushirikina upo, kwahiyo mpira nao anaweza husika kama roho za watu zitavunwa... acha upumbavu kumchorea mipaka Mungu

    • @RahmaNuru-tt1kw
      @RahmaNuru-tt1kw 17 дней назад +1

      Aliekudanganya hakuna wacheza mpira waliookoka amekupoteza..... watu wanacheza mpira, ndondi na wameokoka na wapo kanisa. Na Mungu anawatambua..... kama walivyo wachawi na wanacheza mpira! Huna busara

    • @GraceMarine-vo9hu
      @GraceMarine-vo9hu 16 дней назад

      Naomba nikwambie kitu, mpira nikipaji ambacho Mwenyezi MUNGU kakiweka ndani ya mtu, Mwenyezi MUNGU amempa kila mtu kipaji chake, karama, kipawa, wengine walimu, wengine madaktari, wengine askari, wengine mafundi selemala, fundi Mwashi, fundi ujenzi na wengine wapishi/ cheif n.k n.k
      Unaposema sijui nini unapotosha Mwenyezi MUNGU kawapa kipawa cha uchezaji, lazima wakitumie

    • @Naharmusicrecords
      @Naharmusicrecords 14 дней назад +2

      Wewe, nani kakwambia?

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 дней назад

      HAKIKA HUJUI UNACHOSEMA NA HUFAI KUWAONGOZA WATUMISHI KIROHO WENYE UFAHAMU MKUBWA LABDAUWAONGOzE Wenye UFAHAMU MDOGO SANA na akili kidogo sana. TENA USIRUDIE KULETA UJENGA WAKO HAPA . NI UKANYAMZA KIMYA

  • @emanuellema4617
    @emanuellema4617 6 дней назад

    Mtumishi wa Mungu aliye hai na mimi pia naomba unitabirie kunanini kiko mbele yangu kwani nina teseka sana kiuchumi naitwa Emanueli N Lema

  • @rogatkisanga7496
    @rogatkisanga7496 14 дней назад +1

    Wewe kama mtu wa Mungu, umekosa busara kutabiri nini kitatokea! Nia yako ni nini hasa? Ungeachia mipango ya Mungu ifanyike kama slivyopanga. Ulichofanya siyo kazi yako!

  • @ZiggysebahZiggysebah
    @ZiggysebahZiggysebah 17 дней назад

    Amen, Amen. Nitafurahi sana,sana

  • @amanimmassy275
    @amanimmassy275 6 дней назад

    Ameen mtumishi

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 17 дней назад +9

    Wewe mtabiri sio nabii wa Mungu huna tofauti na shehe Yahya

  • @JosephMURO-d1e
    @JosephMURO-d1e 13 дней назад +1

    Hiyo siyo kazi ya nabii

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 16 дней назад +2

    China na Russia hawana vyama vingi na mbona wana maendeleo

  • @salvatorykimbori7091
    @salvatorykimbori7091 8 дней назад +1

    Umeshafeli yanga wameanguka

    • @stephenkisaka4706
      @stephenkisaka4706 7 дней назад

      Mimi sifuatliagi sana ila hapa ndio mejua hawa wanatabiri kwa kubunia tu uongo

  • @hamisndusu3625
    @hamisndusu3625 2 дня назад

    Lis rais tu halina upishi

  • @EzekielMlinge
    @EzekielMlinge 12 дней назад +1

    Nitabirie na mimi

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 18 дней назад +1

    Njaaaa😂

  • @HurumaPanga-e5k
    @HurumaPanga-e5k 6 дней назад

    Acha unafiki we mwong sana afu simba hatushuki

  • @MushuRwega-qp4zm
    @MushuRwega-qp4zm 9 дней назад

    Huu utabiri wa mwaka gani? Hajui kwamba mwezi Juni msimu unakuwa umeisha? Sasa hao Yanga watashine vipi baada ya msimu?

  • @robertmasatu8423
    @robertmasatu8423 17 дней назад +1

    Mtumishi, Mtafutie Bwana Kondoo, achana na haya

  • @Kisigino
    @Kisigino 16 дней назад

    Mungu na mpira wapi na wapi

  • @JosephMURO-d1e
    @JosephMURO-d1e 13 дней назад

    Mungu ana majira ya kusema na watu

  • @KasangangwenaAnzuruni
    @KasangangwenaAnzuruni 10 дней назад

    Hamna nabii wa Mungu hapa,, ni mmoja kati ya manabii wa uongo wewe ni muonaji tu kama wengine: mnajificha kwa jina la Mungu lakini ushetani tuu

  • @oscargabone8865
    @oscargabone8865 18 дней назад

    Nashukuru nabii wa Mungu Nami naomba unitabilie muenendo wangu make c elewi kabisa

    • @EnockKanduli-cv8yr
      @EnockKanduli-cv8yr 17 дней назад

      Anatafuta MB zetu kwa kisingizio Cha UNABII. HUYU NI NABII WA UONGO WALIO TABIRIWA

  • @CharlesMayagila
    @CharlesMayagila 12 дней назад

    Lakini ayo maono tusubili tuone mwisho nani zaidi wote ni ndugu zetu wa upinzani mungu awape nguvu amina

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 17 дней назад +1

    Nabii wa upngo

  • @JumanneKigori-fm1nn
    @JumanneKigori-fm1nn 17 дней назад +2

    Lissu ni mshindi nyooka bila kupindisha maono moja Kwa moja.

  • @nicholauspaschal5756
    @nicholauspaschal5756 6 дней назад

    Umetabiria yanga kufika mbali nabii naona wamegoma utabiri huu uliwajengea kiburi sn

  • @GidoJohn-ow7jc
    @GidoJohn-ow7jc 13 дней назад +1

    Wew ni chizi

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 8 дней назад

      Unasemaje we kijana

    • @GidoJohn-ow7jc
      @GidoJohn-ow7jc 8 дней назад

      @rogerabdallah439 ww ni tapeli

    • @GidoJohn-ow7jc
      @GidoJohn-ow7jc 8 дней назад

      @rogerabdallah439 na mim nakutabiria utakufa mwaka huu

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 8 дней назад

      @GidoJohn-ow7jc mimi nishakufa tayari unaongea na Roger wa kuzimu kweli kutabili ujuwi

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 8 дней назад

      @@GidoJohn-ow7jc na unatafutwa na jeshi la police 🚔 kwa utabili wa mchongo jisalimishe alaka

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 7 дней назад

    Amekosa mambo ya kutabiri. Ebu mtumikie Mungu wa kweli atakusaidia. Haya mambo hayafai kabisa.

  • @joshuasamson9618
    @joshuasamson9618 17 дней назад +1

    Wewe ni Muongo sana

  • @nicholauspaschal5756
    @nicholauspaschal5756 6 дней назад

    Endelea kutabiri dini ila mpira wa simba tuachie simba na mambo ya chadema mwachie mbowe ile kichwa ya mbowe ni jinias

  • @WILSONMARCO-r3f
    @WILSONMARCO-r3f 17 дней назад

    Amin

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 11 дней назад

    Acha uongo, acha kusema uongo, acha kuzuga watu,unajiita nabii huku ukiwa unaongea uongo, kiufupi mambo yajayo anayejua ni Mwenyezi Mungu tu, na waliopewa nafasi ya maono ni mitume wakweli waliotumwa na Mwenyezi Mungu na wala sio wewe na wenzako mnaojiita manabii kumbe ni manabii feki manabii waongo, acha uongo

  • @FabianMkirikiti-fn9mb
    @FabianMkirikiti-fn9mb 7 дней назад

    Yanga kafeli simba kashine unasemaje apo mtumishi

  • @msemakweli...
    @msemakweli... 18 дней назад

    Amina🙏

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 9 дней назад

    NABII AU MBASHIRI

  • @Danielmaselle
    @Danielmaselle 15 дней назад +1

    Huyu ndg kuna siku yatakuj yamtokee puan

  • @amelialewis7887
    @amelialewis7887 16 дней назад

    Mungu namambo ya siasa na soccer wapi🤣🤣

  • @SethJohn-l1v
    @SethJohn-l1v 17 дней назад

    Mpendwa Mungu wa mbinguni na mpira na siasa? Huyo ni mungu wa kitaa

    • @JibeMwaijibe-p1z
      @JibeMwaijibe-p1z 17 дней назад

      Seth kwenye siasa Mungu anahusika sana mahali pote kwenye biblia soma sana biblia mpwendwa❤❤Ila kwenye mpira!!!!zidi kumshauri nabiiii huyu tata.Ila Mungu alinifunulia na mimi Lissu anashinda kwa kishindo sana😮😮😮😮😮

  • @vicentnyanda828
    @vicentnyanda828 18 дней назад +1

    Nabiii😂

  • @AlcherausMalinzi
    @AlcherausMalinzi 17 дней назад +1

    Toa uhuni hapa.

  • @brownjvmtakimwa5586
    @brownjvmtakimwa5586 17 дней назад +1

    Nyi ndo manabii wa uwongo

  • @ValenceRogath
    @ValenceRogath 16 дней назад +1

    Hawa ndo manabii wa uwongo tunaopaswa kuwakemea vikali

  • @cydemanchester2368
    @cydemanchester2368 17 дней назад +1

    Huyu mganga wa kienyeji na tiba asili

  • @ahmedAwesu-g8o
    @ahmedAwesu-g8o 16 дней назад +1

    Nabii gani , manabii wameisha uko ww ni mtabiri na mpiga ramli tu ucwababaishe watu

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 18 дней назад +2

    Tundu Lisu = 5. Freeman Mbowe = 1. 5> 1. Tundu Lisu anashinda. Mimi natumia Sayansi ya Namba.

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 17 дней назад

      Hii ni sayansi ya mashoga 😂

    • @Afyayamifupa
      @Afyayamifupa 16 дней назад

      Kwa namba ni sahihi kabisa tundu lisu anaungwa mkono na watu wengi, lkn hofu ni kwamba Huyu mzee mbowe mwanasiasa mkongwe na system zingine zinazombeba atakubali pasipo kufanya figisu kweli ? ? Naona lisu atashinda lkn atatangazwa mbowe na Vurugu zitakuwa kubwa sana😢

  • @AlfaMwahasanga-j1q
    @AlfaMwahasanga-j1q 18 дней назад +1

    Tatizo waganga wa kienyeji wengi sana leo wanajifanya mitume na manabii huku wakitari na kupiga Ramli. Pumbavu sana

  • @YunusuKantangayo
    @YunusuKantangayo 16 дней назад

    Kwa Timu ya Simba imetabiri visivyo Simba itangara na itapanda sana

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 17 дней назад

    IS TRUE

  • @LamekiMichael-pz7rv
    @LamekiMichael-pz7rv 8 дней назад

    Kushakucha tayari yaani huna tena mda wa kunena habari za Yesu bali habari za siasa na mpira haya yanga yako jana imetolewana ndio imeanza kushaini

  • @cydemanchester2368
    @cydemanchester2368 17 дней назад +1

    Hebu jitabirie wewe utakufa lini?

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h 18 дней назад +3

    HAYO MABAYA ULIO TAMKA JUU YA SIMBA NA WATU WAKE YAKURUDIE WEWE MWENYEWE NA FAMILIA YAKO MARA SABA SABINIAMENI...NAFUTA NA DAMU YA YESU..YOTE ULIO TAMKA YATOKEE KWAKO PAMOJA NA TIMU YAKO

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 16 дней назад

    This timers god Socer God vifo,god Yanga god Simba,god. Mafuta,god sabuni god keki,god mali,kachanganyikiwa kwakweli

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 8 дней назад

    Awa manabii awatangazi sini sasaivi mnatangaaza siasa kazi ipo

  • @AssahKaluwa-sx9tq
    @AssahKaluwa-sx9tq 17 дней назад

    Ila hapo kwenye Tim usha zinguwa uwongo Thambi baba

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats 17 дней назад

    Nitabirie mtumishi

  • @trueprophet7627
    @trueprophet7627 17 дней назад +1

    tuambie pia utakufa lini

  • @PapaaMashana
    @PapaaMashana 17 дней назад +1

    Mhuu

  • @EdwardJohn-xz5oi
    @EdwardJohn-xz5oi 17 дней назад +1

    Yaani hyu mwamba kagonga kwenye insu zote nizoomba zitimie yaani kwa Lissu na Yanga yangu yaani hapo nasikia moyo burudaniii kabisaaaa...... Lkn bado mashaka kwambaliiii maana unabii unaotokana na Mungu yaani Baba yake na Yesu uchanganywe na mpiraa hapo mtumishi rudia kutabiri tena.

  • @AthumaniAbeid
    @AthumaniAbeid 18 дней назад +1

    Sawa nabii

  • @eliezersifuel3304
    @eliezersifuel3304 16 дней назад

    Neema ya MUNGU toshelevu itawale juu ya SIMBA SC.
    Najua hii timu haipendwi wala kutakiwa yaliyo mema lakini MUNGU MWENYEZI atafanya njia pale pasipo na njia

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 18 дней назад +1

    Yanga = 7. Simba = 1. Yanga itaenda vizuri.

  • @kenethneote891
    @kenethneote891 16 дней назад

    Lini hii

  • @PoliteJustine-s9z
    @PoliteJustine-s9z 17 дней назад

    Unabii wa mipira hahahaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @halikumbeyemsiwayinga9482
    @halikumbeyemsiwayinga9482 18 дней назад

    Baada ya kuona upepo,NDO unatabili we mwehu kweli😂😂🎉

  • @kobelochamanga9757
    @kobelochamanga9757 16 дней назад

    Kwenye uchaguzi huru na haki lisu atashinda kwa asilimia 86

  • @abrahamuisrael6161
    @abrahamuisrael6161 16 дней назад +1

    Yaan wakristo wa nchi hii mnakera sana ,,njaa zenu zinasumbua

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h 18 дней назад +2

    watatoweka watu wako kwa JINA la yesu nafuta na damu ya YESU..UNABII WAKO JUU YA SIMBA HAUTATIMIA MILELE NA LABAYA ULIO YATAMKA JUU YA SIMBA YAKURUDIE WEWE NA FAMILIA YAKO PAMOJA NA TIMU YAKO YA YANGA..NIMETAMKA KATIKA JINA LA YESU

    • @ThomasMmoka
      @ThomasMmoka 17 дней назад

      Kwani Yesu ni mshabiki wa timu ya simba au Yanga?! Aaaaaaaaaàaaaah!

    • @tanzaniamzalendo9615
      @tanzaniamzalendo9615 17 дней назад

      Simba HAKUNA roho ya mauti kwa jina la Yesu na huo unabii dhidi ya Simba TUNAUBATILISHAAAA KWA JINA YESU.
      Kwa Simba unabii wako hautakuwa wala hautasimama law jina la Yesu
      Ameen

  • @timojesus3552
    @timojesus3552 16 дней назад

    Mbona unaitabiliya Simba mabaya

  • @victorronald1449
    @victorronald1449 17 дней назад +2

    Unaangalia upepo hamna nabii hapa

  • @CharlesMayagila
    @CharlesMayagila 12 дней назад

    Ni swala la muda tu

  • @lusajomwakajoka4955
    @lusajomwakajoka4955 17 дней назад

    Simba ten

  • @askarikanzu1054
    @askarikanzu1054 18 дней назад +1

    Nabii wa uongo😁

  • @josephmbele7793
    @josephmbele7793 5 дней назад

    Unabii wako umetimia

  • @FellaMbogela
    @FellaMbogela 17 дней назад +1

    NIMEPINGINA NA HUU UNABII100%

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 17 дней назад

    Wengine tulisoma kuhusu T.B joshwa kwa mganga wake wa ghana

  • @FIDELISMfugale
    @FIDELISMfugale 15 дней назад

    Mbona manj ndo aliondoka kabisaa

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala 17 дней назад

    Mbona china hakuna chama cha upinzani lakini wanamaendeleo zaidi

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 13 дней назад

    Kuhusu simba na yanga ni kama umeongea usichojua ulichosema rudia kusikiliza maneno yako

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 17 дней назад

    Njaa Sasa imehamia chini ya kiuno, utabiri wa kihuni huu

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 17 дней назад

      Ulitaka nini umeshaambiwa mshindi atakua Lisu tusubiri tuone

  • @RoseGabriel-f1w
    @RoseGabriel-f1w 13 дней назад

    Wanaompinga huyu nabii wengi ni maamuma hawajui na wengi wanaju sakrament na kuambiwa inueni mioyo

  • @SmilingFlowerBouquet-hs2hv
    @SmilingFlowerBouquet-hs2hv 18 дней назад

    Peleka ujinga wako huko?

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 17 дней назад

    Nabii pia huwa anatabili

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 17 дней назад

    Tabiri kama hawatamfanyia figisu!!!

  • @UswegeJohn-ov3ym
    @UswegeJohn-ov3ym 16 дней назад

    Simba sasa du!

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 17 дней назад

    Mtumishi asate kwa unabii huo ndo ukweli

  • @laninjeje8290
    @laninjeje8290 17 дней назад

    Nabii wa mashoga 😂

  • @JoramJoram-q3l
    @JoramJoram-q3l 17 дней назад

    Kweli shine haizuliki tumbo likijaa tu mtu anatabili, ulikuwa wapi kutabili mpaka uone upepo unaelekea unatoa unabii hiyo lamuli sio unabii inatakiwa ukamatwe lamuli chonganishi mbowe si atamuua tundulisuahamed atatukana Ali kamwe weeee!

  • @amanyisyemkoma6638
    @amanyisyemkoma6638 17 дней назад

    Mungu hajihudishi na mipira wala vyama vya siasa.Hiyo ni akili yako wala sio nabii wa Mungu wewe

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 18 дней назад

    Mimi natumia Sayansi ya Namba.

  • @AlexEzekiel-kb1ow
    @AlexEzekiel-kb1ow 17 дней назад

    Ukweli ni kwamba Simba itanawili na Sio Yanga!!!

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 18 дней назад

    Auna akili boyaa

  • @richardmakweta8875
    @richardmakweta8875 17 дней назад

    Mtu Kama hujui habari za watumishi nyamaza Usije ukabisha kumbe kweli huyo nimtumishi naikiwa nihivyo ole wako

  • @goodluckypaul-d3s
    @goodluckypaul-d3s 17 дней назад

    Da MUNGU wa mbinguni uketie MAHALI pajuu tusaidie kwani Hawa Manabii sasa ni shida njaa ya tumbo kweli ni hatari

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 17 дней назад

    Sasa itainuka mwezi 7 wakati ligi zote zishaisha au itainika.kwenye usajili pumbavu 😂

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 17 дней назад

    Kwani akishinda shida nn
    Mbona mbowe hana shida,na ameshasema ni demokrasia
    Acheni ujinga

  • @KhalfanChaula-p7y
    @KhalfanChaula-p7y 17 дней назад

    Nyota ni malaika siyo mtu

  • @geofreymilinga2965
    @geofreymilinga2965 18 дней назад

    Iyo uhitaji Unabii Lisu ndio Mshindi

  • @JoramJoram-q3l
    @JoramJoram-q3l 17 дней назад

    Simbishii nabii ila ww uliyecomed kuwa yanga 7 simba 1 ww ni mpunbavu sawa na mtu anayeota utajili mbwa ww

  • @christianmurhula8949
    @christianmurhula8949 16 дней назад +1

    Mushindi ni Askofu Gwajima, na hili ni lazima. Iwe Kwenye chama ao inje ya chama. 🇹🇿 2025 ; na huyu Mudogo wangu Askofu atapendwa saana kuliko Magufuli

  • @NelsonJoel-k4u
    @NelsonJoel-k4u 17 дней назад

    Kuma uyuuu

    • @MiriamKhalid-z6o
      @MiriamKhalid-z6o 17 дней назад

      Kwani ana huyo Kuma?mbona humtukani alicho nacho?