OSCAR: Mzungu Mwenye Asili ya Kimasai, Asimulia Alivyompiga Jamaa mwenye Miaka 20

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • OSCAR: Mzungu Mwenye Asili ya Kimasai, Asimulia Alivyompiga Jamaa mwenye Miaka 20
    (HABARI MPYA DAILY)
    www.youtube.co....
    (HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA)
    www.youtube.co....
    (GLOBAL RADIO TV)
    www.youtube.co....
    (EXCLUSIVE INTERVIEWS)
    www.youtube.co....

Комментарии • 903

  • @lesmanhg.8306
    @lesmanhg.8306 5 лет назад +72

    mmasai umetisha sana kwa iyo rafiki alijipigia boss wake, na mimba juu, tena kamuongeza na offer ya mwingine, hongera sana rafiki umeliwakilisha Taifa vyema.

  • @halimahnah355
    @halimahnah355 5 лет назад +329

    kama umempenda Osca like

  • @graytonndamgoba4805
    @graytonndamgoba4805 5 лет назад +38

    "HUYU BABA YANGU,,,,ALIKUWA MLINZI HAPA" What a courtesy boy! Well mannered. You humbly brought your self to the ground. Simple sentence/expression but it means a lot to us.Keep it up

    • @namirihamisi3899
      @namirihamisi3899 5 лет назад +1

      kwa mtazamo wangu anamaanisha huyo bwana wa mama ake alikuwa mlinzi wao mama akamzimikia ndio wanaendeleza maisha.

    • @josephisaya8166
      @josephisaya8166 5 лет назад +1

      Wamasai sio mchezo mlinzi kachukua na boss mtoto hadi ana lafudhi ya Masai

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 5 лет назад

      Namiri Hamisi babake mazazi(ambaye ni mmasai) aliwahi kua mlinzi hapo ambapo nahisi mamake alikua anakaa
      Ndo wakapendana akazaliwa yeye

    • @christinaayubu7513
      @christinaayubu7513 5 лет назад

      Mmmh noma kweli

    • @feypeace1655
      @feypeace1655 5 лет назад +1

      @@gloriousnp huyo mtoto sio mixed race kabisa

  • @anethbaguma3964
    @anethbaguma3964 5 лет назад +50

    Huyu mtoto kanifurahisha sana, amejikubali!
    Thanks for likes am humbled # Chakula NiAfya

  • @hildakaaya6924
    @hildakaaya6924 5 лет назад +1

    Oscar i really appreciate you...napenda kuongea kimasai sjafankiwa ila ww unaweza saluteeeee

  • @masimejnr2957
    @masimejnr2957 5 лет назад +8

    Nyama ya mbusi!!!!! 😂😂😂 daaaaah!!! Nakupenda bureee Oscar!!! Excellent!!! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 5 лет назад +21

    I like this boy! Creative and intelligent.

    • @premierjoseph9871
      @premierjoseph9871 5 лет назад

      Huyu mtangazaji hajui kuuliza maswali hajui kuvutia watazamaji tunaangalia kwa sababu ya dogo tuu siyo mtangazaji...

  • @justinanthenge619
    @justinanthenge619 5 лет назад +5

    This boy has a great father figure and he loves him. Irrespective of how the couple met, they have nurtured this boy. He has identified himself as Maasai and Maasai he is. The mother said "follow your heart" and I believe her. Fantastic family. When we make our choices please respect them. The interviewer has tried to bring it out but she needs to do some homework on presentation.

    • @shalomkind4575
      @shalomkind4575 4 года назад

      Masai wetu huyu .tena mkali mjasiri hivo ivo .nakupendaaa .enkiti murrani aang sidai .tubula!

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 3 года назад +1

    Hongera sana kijana Oscar . Nilifuatilia wewe ni shujaa na Mungu akubariki utakuja kuwa mtu mashuhuri duniani

  • @sofiaahmed8880
    @sofiaahmed8880 5 лет назад +20

    Mashallah good boy! May God bless you!

  • @fahimally3923
    @fahimally3923 3 года назад +2

    HUYUU SIO MZUNGU NIMMASAI KBS BIG UP YEROOO

  • @halimayusufu6305
    @halimayusufu6305 4 года назад +4

    Namimi naombeni Like jamani hata nisipocoment

  • @beatricewillium9241
    @beatricewillium9241 5 лет назад +33

    we umezaliwa Tanzania au mmasai alieelewa hapo agonge like

  • @ruthwatson3057
    @ruthwatson3057 5 лет назад +12

    He is soooo cute n has a masai accent. Love it.

  • @tompatel849
    @tompatel849 5 лет назад +2

    Safi sana oscar small maasai Lomaiyani true spirit kutoka moyoni

  • @princessj4157
    @princessj4157 5 лет назад +74

    Dogo anasema nyama ya mbusi😂😂 Yani anaongea kiswahili chakimasai🔥🔥🔥

  • @francismuiruri6578
    @francismuiruri6578 3 года назад +2

    This boy is a future leader.

  • @barakamathayo3430
    @barakamathayo3430 5 лет назад +12

    Yan huyu mtoto ni Mmasaai mtupu 🙌🙌🙌

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 лет назад

    Amen amen. Karibu sana kijana. Wamaasai tunawapenda sana watu. Mungu akusaidie. Amen.

  • @reyca_v.i.p
    @reyca_v.i.p 5 лет назад +10

    Smart boy ever😘😘😍😍❤❤

  • @farahatiomaar7999
    @farahatiomaar7999 5 лет назад +13

    Nmempenda cn Oscar

  • @movielecture6366
    @movielecture6366 Год назад

    That Maasai accent, nakubali Sana Karibu Sana ngorongoro home of maasais

  • @dodilasmathias5245
    @dodilasmathias5245 5 лет назад +10

    When i watch this i really proud to be maasai ,always people talk shit about it because they don't know the reality of maasai they jus listen the negativity people spit about that tribe ,anyor olosho lengai 😍🙌

    • @mercynayian3097
      @mercynayian3097 5 лет назад +1

      True osotua lai

    • @susannemakwayanyange7514
      @susannemakwayanyange7514 Год назад

      Be proud but also be aware , time change and you have to let your children go to school, life is NOT cow, 😂sorry, I love you all but also feel sorry because you are more than 100 years back ❤️

  • @shanimhanga7896
    @shanimhanga7896 5 лет назад

    Wamenifurahisha sana hawa watoto,Duuh hako kadogo sasa wametisha,safi sana

  • @rosandasrose7576
    @rosandasrose7576 5 лет назад +33

    He is clever,in 5 years he learnt swahili and kimasai👏👏

    • @Mokiwa
      @Mokiwa 5 лет назад

      Ndagu Rosette it's normal for a child

    • @AP-uk3mq
      @AP-uk3mq 5 лет назад

      For kids its normal

    • @amadabas1535
      @amadabas1535 5 лет назад

      This

  • @fatumahassan8212
    @fatumahassan8212 5 лет назад

    Huyu mama ana upendo wa dhati kbs,piya mungu amempa mtoto mwenye ujasiri na hodari wa kueleza hisiya zake bila woga na kupenda mila ya baba yk,kuvuwa vazi la kizungu na vazi la kimasai " Mungu ampe makuzi mema "

  • @mimizlove6992
    @mimizlove6992 5 лет назад +7

    dogo yuko smart sana!! Big up Oscar

  • @jbmaru96
    @jbmaru96 5 лет назад +1

    Da boy don't look even close like the father you guys amazing make things up

    • @mntwanawabantuacademy4170
      @mntwanawabantuacademy4170 5 лет назад

      facts , his facial look like his father but he is too white, no melanin at all, i feel the same way, perhaps maasai is a step father, I have Kid with white chick and i am lighter skin than Maasai guy, but ma baby look more darker than oscar

    • @Rageedii
      @Rageedii 5 лет назад

      Kwani kiswahili kimewashinda? Mlinzi ni baba wa kambo au stepfather wa huyu kijana. Mama alitoka sweden na watoto wawili tu kisha akaja kuelewana na mlinzi wake. Oscar si chotara.

  • @SSs-tb9yo
    @SSs-tb9yo 5 лет назад +4

    Huyu mtoto nishujaa mpaka kuongea mashaaAllah

  • @wilma1866
    @wilma1866 4 года назад

    Whoah....Whoah. He speaks such sanifu Kiswahili. He is so cute too...

  • @brokenigga2842
    @brokenigga2842 5 лет назад +24

    Huyo presenter sasa😂😂😂🙌

  • @emillyzeeh1173
    @emillyzeeh1173 2 года назад

    Wao kijana Oscar masai, anaongea kiswahili muzuri 🙏🙏🙏🙏mungu amubariki mutoto huyu na wazazi wake asanten 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👍

  • @abdulyabubakar6247
    @abdulyabubakar6247 5 лет назад +3

    KAMA MNAAMINI HUYU DADA HAJUI KUMUHOJI MASWALI HUYU DOGO MASAI MZUNGU GONGA LIKE HAPA

  • @oscarmwacha168
    @oscarmwacha168 5 лет назад

    Asanteh,Sanaa Wajinaa Wangu.

  • @mariamkhalifa1143
    @mariamkhalifa1143 5 лет назад +7

    Nawashangaa sana wanao mkandia huyo mtoto kuiga mila za kwetu watanzania mbona sxsx tunafata mambo yao yakizungu ambayo nimabaya hayampendezi mngu kweli sisi nyelengumu badoniwashamba mtoto huyu anatakiwa angaliwe na serikali ya kwajicho pevu sana hikini kivutio kizuri kwa utalii pia atakuwa na amsha popo kwa wazungu wenzake mngu ametupatia ridhiki big up dogo

    • @evamlay8997
      @evamlay8997 5 лет назад

      Hawana akili maana hata kubusiana wameinga mzungu bora huyu mtoto anaiga mambo ya mila

    • @vanlago7580
      @vanlago7580 5 лет назад

      Asante sana umeongea ukweli kabisa

    • @godblessjrtz.8652
      @godblessjrtz.8652 5 лет назад

      Kwanza mtoto hajaiga mila, Bali amezaliwa na mmasai so ni mmasai

  • @robertkoila1526
    @robertkoila1526 3 года назад

    I like the calture.hongera Oscar

  • @barakakings
    @barakakings 5 лет назад +7

    Du,hicho kiswahili hakija kaa sawa. Sema Mmasai mwenye asili ya Kizungu,asili ndio nature ya Mtu ndugu...

  • @zebede7972
    @zebede7972 5 лет назад +1

    Hajui kuuliza

  • @nancyshamba2441
    @nancyshamba2441 5 лет назад +38

    Duh huyu mtoto mbn Kama mtanzania. Anajua kuongea kupita kiasi na hvo atakuwa ni mtu sio wa kawaida

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 5 лет назад +2

      Sasa km kakulia na waswahili unataka azungumze lugha gani , pia na huyo ni mtoto wa kimasai baba yake ni masai . Ni kawaida sana .

    • @aloycemacha9894
      @aloycemacha9894 5 лет назад +1

      mtoto ni bright mwaka mmoja anaongea kiswahili na kimasai sio rahisi

    • @shabanishabanii6203
      @shabanishabanii6203 5 лет назад

      Nancy Shamba m

  • @veronicasamwel1676
    @veronicasamwel1676 5 лет назад

    Dogo kaniacha hoi jinsi anazungumza kama Masai og kabisa "nafaa" mbusi"yuko vizuri kama unaukubali ujasiri wa dogo nipe like

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 5 лет назад +23

    Watu wengine banaa!! Hivi mlitaka huyu dada amuulize huyu mtoto maswali ypi?..mbona povu jingi tulieni basi.

    • @omarimkuya
      @omarimkuya 5 лет назад

      raha sana

    • @azizimuhibu7771
      @azizimuhibu7771 5 лет назад

      Wana boer

    • @Mfh650
      @Mfh650 5 лет назад

      Hiyo ni poa. Kimila za Africa ni poa sana. Sisi waAfrika ndo tunapenda kusitoroka. WaAfrica wote tusome na tuongea Kiswahili

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 5 лет назад +2

    Wow l like this boy anaongea k8masai vizuri sana

  • @mercynatalia6956
    @mercynatalia6956 5 лет назад +3

    Sooo cute, ata ascent ni kimasaai ..

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 5 лет назад

    Wazungu wana akir sana zakutafuta pesa mama kaona watoto wajifundishe kimasai wakishakijua2 wanaenda piga pesa swiden kupitia mavazi yakimasai na e.t.c daah good Oscar

  • @felixernesto1366
    @felixernesto1366 5 лет назад +7

    Mwandishi umeshindwa kuwa creative

  • @sportsupdatesurebettingpre632
    @sportsupdatesurebettingpre632 5 лет назад +1

    Simba fc mpka kwa mzungu masai gonga like mashabik wa simba

  • @seifdisail3007
    @seifdisail3007 5 лет назад +9

    Yaani apo kwenye kupenda SIMBA tu nimekuelewa mzungu masaai

  • @irenesisamo2184
    @irenesisamo2184 5 лет назад

    Oscar you are the best

  • @nabiilathman2421
    @nabiilathman2421 5 лет назад +6

    Hahaha kama umeskia oscar akisema sijakuelewa ... like hapa🤣🤣

  • @judithodwar7112
    @judithodwar7112 4 года назад

    The best presenter I've ever seen. Talent

  • @shuk-bofficial1081
    @shuk-bofficial1081 5 лет назад +33

    Mbona mtangazaji yuko powa

    • @asmahkibanga5840
      @asmahkibanga5840 4 года назад

      Kwel asili inatoka Kwa baba mzung kawa mmasai

  • @starjay3052
    @starjay3052 2 года назад +1

    mlizi kama mlizi masai kaupiga mwingi

  • @janethkimaro3410
    @janethkimaro3410 5 лет назад +4

    Mtoto ana akili sana. He build his future. Anatengeneza jina atajulikana sana na atakuwa maarufu. Mungu amtunze coz ni kwa nia njema maana ukitaka maisha yakunyokee lazima utafute kitu cha tofauti na wengine utafute title yako pekee

  • @dionisjabir2863
    @dionisjabir2863 5 лет назад

    Karibu Sana tz..

  • @100truth2know
    @100truth2know 5 лет назад +5

    Sema ni kweli uzunguni huku akunaga heshima hakiamungu yaani ni inchi yawa kosefu wa adabu kweli

  • @esterbegina1022
    @esterbegina1022 5 лет назад

    Hongera sana dumisha mila

  • @thebrazz6382
    @thebrazz6382 5 лет назад +3

    The interview though 🤗

  • @venitarugemalila9290
    @venitarugemalila9290 2 года назад

    Yupo vizuriiii saana

  • @dicksonulotu9717
    @dicksonulotu9717 5 лет назад +4

    Oscar upo vizuri mno,hongera sana

  • @shaasaid8164
    @shaasaid8164 5 лет назад

    Ni noma sana

  • @ashaissa501
    @ashaissa501 5 лет назад +3

    Love you tot

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 5 лет назад +2

    Mtangazaji kweli maswali yako hayatoa taarifa kamili kuhusu Oscar. Angekuwa Millard Ayo tungejua mengi zaidi.

    • @queenyahaya3147
      @queenyahaya3147 5 лет назад

      naipenda tanzania sana yani tunge enjoy kwa Millar ayo

  • @oscarjohn477
    @oscarjohn477 5 лет назад +24

    swal la kwanza et nngependa kujua kama ww n mtanzania au n mmasai 😂 😂 😂 😂.. mtangazaji eko sana 💪

  • @abdulazizalrawahi6847
    @abdulazizalrawahi6847 5 лет назад

    Hongera baba yoyo

  • @asiaasia-pl4fl
    @asiaasia-pl4fl 5 лет назад +9

    Naumiya sana @miladi ayo .kukosa apo kumuogi uyu mtot

  • @nelibaba
    @nelibaba 4 года назад

    sijapenda namna unavyomuuliza maswali..

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja2411 5 лет назад +8

    Mbona mtangazaji yuko vizuri tu. Mnataka amuulize nini? Subirini interview ya Mond na idadi ya watoto wake

  • @juliusjohn9453
    @juliusjohn9453 5 лет назад +1

    Ningependa kufahamu maisha ya shule/elimu ya mtoto

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 5 лет назад +14

    Dada mtangazaji ww ni mrembo Mungu autunze urembo wako na husda za watu

  • @Filmz639
    @Filmz639 5 лет назад

    Du är duktig, jag är verkligen stolt över dig Oscar

  • @muliamadi859
    @muliamadi859 5 лет назад +11

    Kweli uyo mtoto mkweli kabisa, ata apa marekani mtoto anaambia mkubwa hi

  • @vitalisndailagije210
    @vitalisndailagije210 3 года назад

    Nakupa heko OSCAR, Masai bwana

  • @mtotomzuri8821
    @mtotomzuri8821 5 лет назад +4

    Kwa maoni na mtazamo wng nahisi CIA wanahusika lkn Mungu inusuru tanzania yetu

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 5 лет назад +1

      CIA na Sweden wapi na wapi ?

    • @mtotomzuri8821
      @mtotomzuri8821 5 лет назад

      @@loner_wolf kua uyaone

    • @allymadunda7931
      @allymadunda7931 5 лет назад

      Haha usiwe na prsha unahisi maandalizi

    • @mardone8886
      @mardone8886 5 лет назад

      Acha woga bro,dunia imechange mwingiliano umekuwa kwa kasi kote duniani

  • @giloogilo6589
    @giloogilo6589 5 лет назад

    Please mueleze Osca maswali mazuri

  • @fredernestonline6011
    @fredernestonline6011 5 лет назад +3

    Wamasai oyee. Atejo asheee Oscar

  • @guracha200
    @guracha200 2 года назад

    Very confident boy

  • @shamimuabubakari3508
    @shamimuabubakari3508 5 лет назад +141

    Yaan hapa ingenoga akutan na millad ayo ingekua tam sana

    • @cosmasevarist6221
      @cosmasevarist6221 5 лет назад +5

      Huyu dada hajui kuhoji hamna kitu

    • @farhafarhan4393
      @farhafarhan4393 5 лет назад

      Kweli shamimu

    • @neemaisaya
      @neemaisaya 5 лет назад

      Shamimu umeona na wewe

    • @Mapitofilm
      @Mapitofilm 5 лет назад +2

      Ainaa maana kwan Millard ni naniii...mbona yuko powah tuu uyo Dada

    • @Mapitofilm
      @Mapitofilm 5 лет назад +4

      Mnatakaa MTU atangazajeeee mmmmmh wabongo bwana mnajifanyaga mnajuaa mnakera

  • @adelamutayabarwa2632
    @adelamutayabarwa2632 3 года назад

    Hongera my wf

  • @paulshija7632
    @paulshija7632 5 лет назад +13

    Itabidi tumtume Millard Ayo

    • @whitedaniel5839
      @whitedaniel5839 5 лет назад

      Paul Shija haswa ndo tutaelewa

    • @caromwende4374
      @caromwende4374 4 года назад

      Watu wa napenda vya Burr lakini ungemuomba wewe ungepewa neno moja tu ukakimbia

  • @zephasafaritv7094
    @zephasafaritv7094 5 лет назад

    mtangazaji ayupo competent kbsa

  • @petrokiyenzenapendamzkihuu596
    @petrokiyenzenapendamzkihuu596 5 лет назад +24

    Watu kwa kupondea mlitaka ahoji maswali gani?

    • @johnkieru6347
      @johnkieru6347 5 лет назад

      😂😂😂😅😅 hawa watu wanashangaza sana

  • @satatv7497
    @satatv7497 3 года назад

    Karibu Tanzania

  • @mankialema6490
    @mankialema6490 5 лет назад +4

    Ashenale oscar
    Yero oscar!!

  • @josephmollel6024
    @josephmollel6024 5 лет назад +1

    safi endelea kudumisha dogo ,atonyora naleng"inamwa

  • @alikhamisame9636
    @alikhamisame9636 5 лет назад +5

    Nimempenda mdogo wake Oscar mana na yy hayupo nyuma kujirusha rusha 😂 😂 😂 😂 😂

  • @simaloyful
    @simaloyful 5 лет назад +2

    I love this! Ashe mbaba lai...

  • @AliOmar-td3yq
    @AliOmar-td3yq 5 лет назад +37

    Nyinyi mbao munasem mtngzaji hajuwi kuongeya mukipew hiyo kz mtaweza mdomotu

  • @rechokezia8213
    @rechokezia8213 5 лет назад +1

    Hongera sn

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 5 лет назад +35

    KWANZA WAZIRI WA UTALII AMTUMIE HUYU MTOTO KUTANGAZA UTALII WA NCHI ILI DUNIA NZIMA WATAMBUE VIVUTIO VYETU, PILI NYIE MNAESEMA HAJUI KUHOJI MBONA ANAMUULIZA VIZURI TU MASWALI YANAYOENDANA NA UMRI WAKE.

  • @officialaizak698
    @officialaizak698 5 лет назад +1

    I really like him👌🏻👌🏻

  • @saidnassormohammed9589
    @saidnassormohammed9589 5 лет назад +3

    Mnarukia kazi za watu za uandishi wala hamujui

  • @azan9629
    @azan9629 5 лет назад +1

    mtangazaji hata hujui kuuliza maswali ya msingi

  • @Sanga_b
    @Sanga_b 5 лет назад +48

    Ananichekesha katoto kdg ako kanakocheza😂😂😂

  • @khadijatonge3636
    @khadijatonge3636 4 года назад +2

    Nampenda Oscar anavyoongea❤️

  • @cosmasevarist6221
    @cosmasevarist6221 5 лет назад +45

    Anapandikizwa huyo, hao ndo wapelelezi wa KIBEPARI,
    Wanaandalowa wakiwa wadogo.

  • @kelvinmpinga5703
    @kelvinmpinga5703 5 лет назад +1

    Manaotetea Mtangazaji huyu kwenye mahojiano haya, hamjui kuwa hii ni taaluma. Na anapaswa kufuata au kujifunza kwanza.
    Pia anaonekana hajajiandaa kwa mahojiano au alikuwa na kutamani zaidi kufanya mahojiano.

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 5 лет назад +9

    safi sana mtoto mzuri wengine wainge

  • @dunsitonik1837
    @dunsitonik1837 5 лет назад

    A thousand likes to u oscar

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 5 лет назад +32

    Huo ni ujanja wa serekari zao, wanawaleta wakisha rudi kwao they use them

    • @shorewanda5635
      @shorewanda5635 5 лет назад +9

      Unadhani watu wanajua basi? Wazungu ni wajanja sana... wanauwezo wa kumpandikiza mtoto mdogo katika nchi fulani, kwa lengo tu la kumtumia kama jasusi, mpaka atakapo zeeka, atakuwa amebeba mwenendo mzima wa taifa wa taarifa za kijasusi.

    • @maimunaathman4664
      @maimunaathman4664 5 лет назад +2

      @@shorewanda5635 exactly

    • @livichakimbo5363
      @livichakimbo5363 5 лет назад +1

      Shore Wanda fact

    • @mwecymk4723
      @mwecymk4723 5 лет назад +1

      Achana na mtu anaitwa Mzungu.wanawaza mbali sana

    • @MikereMio
      @MikereMio 3 года назад

      Kaka umesema uzuri, wazungu wana mbinu nyingi , huwezi huwajua wazungu mpaka usome historia zao , na vipi wanafikiri , wazungu hifikiri na kupanga kitu kwa mia 100 - 200 kufikia lengo na madhumuni yao , fikiria tuu hawa mabwana bara gani katika hii dunia hawakulitawala au kwenda kuiba , kila mtu nimeona yupo kwenye kustaajabishwa na huyu beberu mchana . Mie sio

  • @barakaalmas3399
    @barakaalmas3399 5 лет назад +1

    Mtangazaji kasome