ANAYEDAIWA Kuwa MSUKULE AZUNGUMZA - "MAMA Hua ANAFUNGA MLANGO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • ANAYEDAIWA Kuwa MSUKULE AZUNGUMZA - "MAMA Hua ANAFUNGA MLANGO"
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Комментарии • 1 тыс.

  • @hassaniissa9444
    @hassaniissa9444 3 года назад +220

    Kiukweli ningekuwa na uwezo ningemjengea nyumba ya kujistili na mwanae ila namuombea kwa mwenyezi mungu atokee mwenye uwezo amjengee nyumba ya kumsitili inshaalla

    • @sein.208
      @sein.208 3 года назад +13

      Allah atakulipa kwa nia yako🤲🏻

    • @fatemaligalawa1918
      @fatemaligalawa1918 3 года назад +3

      Kwwkuwa huyu dada mtangazaji wnqhusika nahiyoidara InshaAllah tutajikongojq kwamchango 🤲🤲

    • @ahmedkailu4970
      @ahmedkailu4970 3 года назад +5

      Nimeumizwa na bibi

    • @ashurahaji9115
      @ashurahaji9115 3 года назад +7

      Yaani Bibi ameona afe na mwanae kuliko kumuacha atangetange

    • @idayamataifakey7813
      @idayamataifakey7813 3 года назад

      Ishallah 🙏

  • @salimswedy6114
    @salimswedy6114 3 года назад +105

    Hao wanaosema ni msukule wachukuliwe hatua Kali Sana, tatizo uswahili mwingi kazi kufuatilia maisha ya watu mwisho wa siku kuropoka vitu sivyo

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 года назад +2

      Masikini huyu bibi ana wakati mgumu kweli . kwa nini wanawe hawamsaidii ? basi huyo aliyepo UK anashindwa kushirikiana na wenzake kwa kumsaidia mamaake huyu bibi si wakuishi nyumba za kupanga , jamani tunajisahau duniani ni pakupita tu . mtu utasaidia marafiki umuache mamaako ahangaike hivi ama kweli kuzaa si kupata , wewe unakula nakushiba hujui mamaako kala nini ? Mungu awarudishe nyoyo zao kabla ya mama kufa km sio hivyo watakuja kupata taabu ktk maisha yao .

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 года назад

      @@ullujaffariyohani1186 ni kweli hata wenyeww wanaweza kusearch kwenye face book na mambo mengine . lakini documents zote anazo kwa nini wasende ubalozini ? wangemfanyia application tu huyu ubalozi wangemcontact babaake kwa interview . lakini kwa kumleta nchi km hizo ni jikoni huko hizo drugs ndiko zipikwako , huyu wamtafutiye mke tu apate mwenzake basi . kubwa wamtafute huyo baba amsaidiye tu

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 3 года назад +1

      @@kiri5807 Hata mimi nimeumia sana aisee

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 года назад +1

      @@saloomidd1084 Ndio maisha .

    • @winnieroba4128
      @winnieroba4128 2 года назад

      Huku Kenya Sheria ni tyte hao wenye walimsemea manenoz ya Bure huyu bibi wangeku kotini tayari

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 3 года назад +45

    Iam from germany
    Rohoyangu yaumia sana watanzania wacheni tabia mbaya,Mimi wazazi Wange wamefaliki so naona Huyu Bibi kama Mama Yangu,nitamsaidia😢😢🙏🏽🙏🏽

    • @vijayprashar8507
      @vijayprashar8507 3 года назад +3

      mungu atakuzidishia rizk

    • @michaelakibira9005
      @michaelakibira9005 3 года назад +1

      Mungu akupe wepesi kakangu❣️

    • @mauajuma3762
      @mauajuma3762 3 года назад

      Mungu akujalie umsaidie huyu Mama,mie Roho inaniuma uwezo tu Ni mdogo

    • @daimavlog
      @daimavlog 3 года назад +4

      Pole Kwa kufiwa na wazazi, na Mimi pia sina wazazi. Tushirikiane kumsaidia

    • @filomenabarongo693
      @filomenabarongo693 3 года назад +1

      Wow!safi sana

  • @judytabby2777
    @judytabby2777 3 года назад +10

    Nyanya alikuwa na bahati ya wazungu mashallah kisha ameishia maisha y tabu mskin watu wamsaidie

  • @fatmamoki5269
    @fatmamoki5269 3 года назад +1

    Pole mamaa munguuu akubarikiiii ...unapambana mno....kukaa na mgonjwa wai iviiii ni kaziiii......nani kama mamaaaa ya christian helaaaa ikufarijiiiii mamaaaa

  • @hairounamour5811
    @hairounamour5811 3 года назад +16

    Dah imeniuma mama anateseka namtoto mgonjwa watu wanaleta Iman potofu mungu amtie nguvu azidi kumlea mwanae

  • @meddycr3422
    @meddycr3422 3 года назад +62

    Mama anaumia uyuuu daah... Mamazetu Allah hawatunze,, mnapitia mengi

  • @emmanueldottofimbo9422
    @emmanueldottofimbo9422 3 года назад +10

    Pole Sana Bibi watu anasema siyo kila changamoto inakuja kwa ubaya nyingine zinakuja kwa neema mshukuru mungu kwa kila Jambo. Kikubwa mungu akusaidie Robart apone

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 10 месяцев назад +1

    Jl mwinuka online tv, pole mama munguanakuona,atakujalia

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir9965 3 года назад +50

    Hii family ukiachia mbali umaskini lakini pia kuna shida ya msongo wa mawazo ambao sijui tz tunatibuje,tuwaheshimu sana wazazi ,huyu mama ameniliza kwa hakika,

  • @abuialmarjibi979
    @abuialmarjibi979 3 года назад +16

    Pole sana mama yangu kama ulivosema Mungu atakulipia kikubwa ni subra tu

  • @benadethafrancis5223
    @benadethafrancis5223 3 года назад +12

    Washahili shikamoo! Nawajua wanaweza kukuzulia neno kubwa ushindwe kujua lilipotokea. Niliambiwaga nimeita watu mbwa mtaa mzima wakaandamana, wakaziba njia ya gari hadi leo. Nashukuru Mungu alinipa kusamehe nikaishi nao, na alienifungia njia akiumwa dreva anampeleka hospital usiku anamshusha kwake anaenda kupaki gari anarudi kwa miguu. Ni kuwasamehe tu, watakutia dhambi ufe na kinyongo. Wasameheni tu. Nilijaziwa watu km ninyi na vyombo vya habari nikatolewa. Mwananchi mkorofi. Sameheni ili muwe na amani! Sameheni msamehewe. Mungu aliyewapa jaribu hili atawavusha.

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 3 года назад +12

    Pole mama Kuna tatizo linakuja ukaona ni tatizo lkn ikawa baraka Ukiwa mtu mzima huna nyumba ni shida
    Mungu akafanye njia
    Pasipo na njia

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 3 года назад +4

    Bibi pole usichukie mshukuru mungu kwa kila jambo
    Huenda masimango yao na kejelizikawa sababu ya wewe kupata msaada wa hayo yanayokusibu..sio jukumu letu kuhukumu ni jukumu la Allah

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 3 года назад +7

    Nani kama mama jamani inshaLLAH ALLAH KAREEM Akujalie kheli daima mama

  • @zinilaally2248
    @zinilaally2248 3 года назад +33

    Amakweli uchungu wamwa ajuae mzazi muombeni bibi msamaha mumemkosea sana

  • @veilamoshi9302
    @veilamoshi9302 3 года назад +15

    Kwnza wamuombe mama msamaha My.ngu hujibu kwa haki Hujibu kwa Moto Mama pole Sana

  • @queenlynne4157
    @queenlynne4157 3 года назад +4

    Mungu nakuomba Kwa ajili ya huyu Mama.. please God mpatie sabato Kwa Maisha anayoyapitia..

  • @happymariki4757
    @happymariki4757 3 года назад +1

    Chuki!! Chuki!! Chuki!!
    Walimwengu tupendane, ikiwa huna uhakika na jambo lolote, kaa tu kimya, huo ndo uungwana. Tupendane, tusaidiane, tuache kuchafuana.
    Pole sana mama, Mungu akufariji na akutie nguvu za kusonga mbele na kuwalea wanao.
    KWELI, DUNIA GUNIA.
    Kweli mama MUNGU YUPO, ATAKULIPIA.

  • @abigaelmabuga1315
    @abigaelmabuga1315 3 года назад +27

    Huyu mama amepitia changamoto nyingi,me ushauri wangu apate sehemu nzuri ya kukaa ambayo itakuwa na choo safi ikiwezekana cha ndani.Pia asimfungie sana ndani,muda mwingine amtoe nje hii itamsaidia kurejea ktk hali yake.

    • @upendoabraham2942
      @upendoabraham2942 3 года назад +1

      Waweke namba zake tumchalngie chochote

    • @maryamamour7121
      @maryamamour7121 3 года назад

      Ni roho chafuuuuuuuuu tu

    • @tameemothman8192
      @tameemothman8192 3 года назад

      Upo sahihi! Bibi asaidiwe! Ili aweze kumtunza mwanae!. Amezeeka ameshindwa kumuacha mwanae! She is a real MAMA!. KAMA UNGEPENDA SUCH A KIND OF LOVE FROM YOUR MOM, TUFANYE CHOCHOTE KUMTUNGUZA MUNGU KWA ALICHO TUJAALIA,

  • @naomidaniel7150
    @naomidaniel7150 3 года назад +3

    Pole sana mama. Yote mema, njia za Mungu nyingi, yumkini ndio anajibu mapmbi yako kukupatia msaada

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 3 года назад

    HUO NI WIVU PIA HUSUDA KWANN ANAMTT MZURI MASHAALLAH. MAMA UKIWA NA UMRI FULANI UNAWEZA UKAPATA CHANGAMOTO HADI KUPELEKEA KUUWAWA POLE SANA MAMA

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 3 года назад +6

    Pole mama .
    Akina mama Mungu awabariki kuna wengine huwa wanawakimbia watoto WA aina hii hasa akina baba lakini huyu mama ni jasiri

  • @habibarashid2997
    @habibarashid2997 3 года назад +1

    Pole sana bibi lakn huenda ikawa ndio njia ya kusaidiwa mwanao aponee kwahy mshukur mungu kwa yotee yaliyo tokea, na mungu akusaidiwe upate kusaidiwa na waja wemaa

  • @lujekomtawa328
    @lujekomtawa328 3 года назад +24

    Mungu fanya njia pasipo na njia stori inaumiza myoyo😭😭

  • @awdhatanwar1816
    @awdhatanwar1816 3 года назад +6

    Mama anaweza Lea watoto9 pk wakakuwa lkn watoto9 wanaweza shindwa kumlea Mama yao1 Salute Wamama wote Mungu awajalie Kila la kheer Dunia na ksho Akhera

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 года назад +1

      kweli kabisaa

    • @kungurukingunge2761
      @kungurukingunge2761 3 года назад +1

      Mama hawezi kuua watoto wake lakini watoto wana nafasi kubwa ya kuua mama yao mungu awalinde wamama zetu nawapaenda wamama wote

    • @stephaniabenjamini2848
      @stephaniabenjamini2848 2 года назад

      Maskini Robert anaitwa msukule kweli!!kisa mweupe?mbona kataja jina lake na ubini wa BK.Ila akina Rweikiza tuungane tumsadie bibi.

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 года назад +11

    Mama kazaa watoto wazuri!🙏🏽👌

  • @ndesasausi5901
    @ndesasausi5901 3 года назад +1

    Daah naumia sana iko siku na saa Mungu atawaondolea maumivu yenu

  • @elizabethjackson3865
    @elizabethjackson3865 3 года назад +47

    Nimeumia sana kama mzazi lakin huwezi jua kwa nini Mungu ameruhusu hili litokee lazima ipo sababu huyu mama atapata msaada maana ana maisha magumu sana

    • @mouwanahamisi8216
      @mouwanahamisi8216 3 года назад +2

      Ht me nakubal mung anamakusudio yake hakika watapat msaada Kwa uwezo wake

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 3 года назад +2

      Wakat mwngne Mungu anahubiri kwa njia ya machozi🙄🙄

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 года назад

      ukosawa eliza。kila kitu kinakheri yake Allah amjaalie wepes huyu mama ikiwa yuko sawa iman yake。ameen

    • @aishaomari944
      @aishaomari944 3 года назад

      Kweli kabsa

  • @nancygeorge3749
    @nancygeorge3749 3 года назад +1

    Jmn mkaka wa watu. Ni handsome,mungu amponye Robert

  • @rubenkategere3348
    @rubenkategere3348 3 года назад +3

    Bibi nimeifatilia interview zako Mwenyezi Mungu akunusuru na husuda za walimwengu jamanii hivi unaeza kumuweka mtoto wako wa kumzaa msukule nyie walimwengu Mungu anawaona 🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @SophieSpira
    @SophieSpira 3 года назад

    Huyu Mama amejieleza vizuri sana... Anashida sana wenzangu. Kama inawezekana, ajengewe nyumba aishi na wanawe. Pole sana Robert Mungu atakuponya na siku moja utaona Baba Mzazi. Barikiweni.

  • @marysiom6321
    @marysiom6321 3 года назад +94

    Msaidieni HUYU bibi aonane za ZAHIRI wa maximum tv,aweze kupata support.

  • @massoudaziza4389
    @massoudaziza4389 3 года назад

    Pole sana bibi pole tena. Yani walimwengu wana mambo ya ajabu sana. Mungu akupe subira bibi yetu . Kwani wao hao ndio wanampenda mwanao kuliko wewe uliemzaaa !!!????

  • @caslidajosephat8912
    @caslidajosephat8912 3 года назад +21

    Ila robati mzuri handsome kweli, namuomba Mungu ampe mke mwema apate watoto wazuri kama yeye.

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 3 года назад

      Umeshaambiwa anamatatizo ya akili ataoaje sasa

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 года назад +2

      @@matukiosafaris6508 tuta mtibu tu shida mengi tu ....maana uyo jamaa ni bangi na madawa tu yalio mzofisha

    • @umukulthumu1419
      @umukulthumu1419 3 года назад +2

      @@matukiosafaris6508 huyo matatizo yaakili yamekuja baada ya kutumia madawa akitibiwa anapona sio kwamba nikichaa hajielewi Nimzima huyu kaka jaman akatibiwa anapona na familia atamiliki inshaallah

    • @matukiosafaris6508
      @matukiosafaris6508 3 года назад

      @@umukulthumu1419 well noted

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 года назад

      Nakwel robat muzur kwel

  • @emanuelsinyinza
    @emanuelsinyinza 6 месяцев назад

    Watanzania wanajuwa sana majungu . Hiyo kesi ningenunuwa mimi. Niwapereke mahakamani.

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 3 года назад +37

    Ooh my God so beautiful kids na mama anajitahidi pole Mungu akupianie never Judge naskianga misukule haionekani

    • @zaitonakondo4617
      @zaitonakondo4617 3 года назад

      Labda uwe na majini kichwani ndo unayaona na yanatisha hatar kimuonekano uwez rudia mara mbili kumtazama

    • @sarajohninsoni2288
      @sarajohninsoni2288 3 года назад

      Alaf uwa wanakatwa ulimi

    • @tameemothman8192
      @tameemothman8192 3 года назад

      Life is a very loooooong story!.
      Kitanda usicho kilalia, Allah akupe wepesi Bibi, NO ONE KAMA MAMA HAKIKA UMEONYESHA USHUJAA!.. UMEONYESHA THAMANI YA MWANAMKE, UMEWAFUTIA AIBU zao Wale wajinga wachache!.. You are my SUPER WOMAN 4real.. Nakuombea Dua Allah akufanyie muujiza!

    • @salamajuma5481
      @salamajuma5481 3 года назад

      Msukule ni nini jameni

    • @ameenaameena422
      @ameenaameena422 3 года назад

      Maisha haya maskin

  • @kabintmpase1544
    @kabintmpase1544 9 месяцев назад

    Bibi MashaAllah MashaAllah watoto wote kazaa na wazung ooooh alikuwa wa moto enzo zake

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 3 года назад +12

    Pengine hata huyo wa uingereza hana maisha mazuri..Mungu atunusuru na hizi tabia zetu za ujanani.Tuombe huruma ya Mungu

    • @sharonanyango2057
      @sharonanyango2057 3 года назад +1

      Jameni😢😢

    • @aceofspades3728
      @aceofspades3728 3 года назад +1

      Mungu amtetee lakin lifestyle ya ujanan zina majibu tofauti uzeeni...mkiambiwa mtulie hamsikii Sasa watoto SITA lakin baba watatu tofauti Bado anakwambia aliolewa familia mbaya ya kichawi..ila yeye simchawi azungumze ukwel japo habari za msukule ni Uongo that's life stresses!

    • @pichunakichuna2111
      @pichunakichuna2111 3 года назад +1

      True najua watanzania wengi uku ulaya wengine wanasema awajai Rundi TZ juu ya madawa

    • @happyurassa3174
      @happyurassa3174 3 года назад

      @@aceofspades3728 kwanza kabisa hayupo vzr saikolojia

    • @nantaembanusurupia5674
      @nantaembanusurupia5674 10 месяцев назад

      Niliwahi kumuona huyu wa kike😢

  • @saidatmoshi9363
    @saidatmoshi9363 3 года назад

    Pole sana mamaangu Mwenyez Mungu atakulipa endelea kumpigania mwanao tunajua upo ktk kutaka kumsaidia ila jitaidi awe anatoka nnje apige japo stori na watu na shuguli ya kufanya japo genge tu auze pia dawa asimpe abadilishiwe au apumzike umuangalie kwanza kweli akuna Kama mama

  • @sofyaabdulla8595
    @sofyaabdulla8595 3 года назад +6

    Mungu ata kulipia mama. Iyo ni neema inakusogelea

  • @niwaelmburuja2056
    @niwaelmburuja2056 11 месяцев назад

    Kijana mtanashati, Mungu Amsaidie ajue namna ya kutatua mambo katika jamii. Ujumbe potofu ndio ulioleta taharuki. Mbona kwingineko watu wanahudumiwa na majirani bila kuhukumiwa! Amuombe bibi msamaha, ameumia sana sana.

  • @LEO-uq6el
    @LEO-uq6el 3 года назад +134

    Dawa za ukichaa lazima ulale ni (sleeping drugs) za usingizi ili akili itulie so yuko right bi mkubwa

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 3 года назад +3

      Ni wapuuzi tu mm mtt wamama angu mdogo anakula izo dawa akila a alla mnamsahau kbs

    • @mawaidhaduaquran7702
      @mawaidhaduaquran7702 3 года назад +3

      Kabisa hata mie ndg yang aliwah kuvuta na kulala alikua analala sana na anakua mpole hatar kwahy huy sio msukule jmn

    • @saloomidd1084
      @saloomidd1084 3 года назад +4

      Wabongo ni vichwa maji sana na wakurupukaji hawajui kutafakari jambo,mimi mwenyewe mdogo wangu anatumia hizo dawa muda mwingi analala ndani huwa anaamka muda wa kula tu.

    • @sakinaabdallah7713
      @sakinaabdallah7713 3 года назад +3

      Hiyo ni kweli kabisa

    • @salhanassor5201
      @salhanassor5201 3 года назад +1

      Upo sahihi

  • @Kuruthum-tf1vr
    @Kuruthum-tf1vr 6 месяцев назад

    Daah nimeumia sn wallah shida ya Tz ukiwa mtumzima Bila nyumba mtihani Sana uwezi kueshimika 😢

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 года назад +14

    Hii inshu angeishika zahiri wa maximum tv,tungeifurahia wote

  • @Bikolimanah
    @Bikolimanah 3 года назад +1

    Binafsi Mr Robert nimewahi kumwona mara kadhaa mitaa ya kigamboni kama surviver wengine...Mungu amtie nguvu arudi hali yake ya kawaida....
    Pole sana Mama Robert...walimwengu daima wamejawa na husda pasi hata na kujua lolote......
    Mungu atakusaidia utavuka!!🤲🤲🤲

  • @agnesserasmi1893
    @agnesserasmi1893 3 года назад +38

    😭😭😭Maximum TV walione hili tumchangie huyu mama. Mama anaongea kwa uchungu sana.

  • @mackmtata8277
    @mackmtata8277 3 года назад

    Mama shikamo mungu akupe weps kwa kila jambo lako

  • @daliahassan787
    @daliahassan787 3 года назад +4

    Allah barik in shaa Allah awapatie makazi na uponyaji awajalie maisha marefu ya furaha afya na amani pole sana mama mwenyezi Mungu atujaalie kidogo tupatacho tushirikiane na wenzetu

  • @vanessarobyn4584
    @vanessarobyn4584 3 года назад

    Pole sana mama nmeumia yaani nmeshindwa kuvumilia Mungu amsaidie sana.

  • @hidayachanga4774
    @hidayachanga4774 3 года назад +3

    Eeh Mungu nimeumia Sana kuna vitu vinaumiza moyo jaman dahh Ee Mungu msaidie huyu mama.

  • @lucymacha1902
    @lucymacha1902 3 года назад +1

    Kilichomfanya huyu Kaka awe chiz n..akijiangalia n mzungu,alafu anahisi angekuwa na baba take asingekuwa maskin ndo maana alitaman ku.mtafuta baba yake..pili mama Anahasira hataki kumwacha mtoto aende kwa babayake kwa sababu aliachwa ma mtoto mdogo!!! Mungu Amsaidie jaman Kijana huyu

  • @oldavidasemu2420
    @oldavidasemu2420 3 года назад +7

    Hao wanaomsema vibaya huyu mama Mungu anawaona hivi kuna mtu anayependa dume kama huyu asijitegemee tuacheni kufatiliana jamani tufanye kazi

  • @leahgeorge9402
    @leahgeorge9402 3 года назад +1

    Huyu bibi anastrees sana ndo maana anahasira sana, maisha aliyopitia inaelekea amenyanyaswa sana

  • @gililwise
    @gililwise 3 года назад +30

    Watanzania acheni kushabikia mambo yasiyowahusu.mama usihofu Mungu atakupigania

    • @clementhiddi1486
      @clementhiddi1486 3 года назад

      Well said, na hawa ignorant and primitive presenters ni tatizo kubwa

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 года назад

      Msajil ndo sababu pumbavu ww puuh

    • @neemaelisha5104
      @neemaelisha5104 3 года назад +1

      NIMEJISIKIA VIBAYA MATATIZO YA AKILI YASIKIE TU KWA MTU

    • @lucyhusein4043
      @lucyhusein4043 3 года назад

      @@neemaelisha5104 mungu atusaidie kwakwel

    • @neemaelisha5104
      @neemaelisha5104 3 года назад

      @@lucyhusein4043 MAMA YANGU MZAZI ALIPATWA NA HIYO HALI HADI AMEFARIKI HAJITAMBUI ILIMTESA MIAKA MITATU ALITESEKA SANA NASISI WATOTO WAKE TULIKUWA TUNAJISIKIA VIBAYA MNO TUMEHANGAIKA NAYE WAPI MUNGU NDO ANAJUA BWANA ACHANA NA UGONJWA WA AKILI NI MBAYA SANA KM HAYAJAKUKUTA HUWEZI ELEWA

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 3 года назад

    Pole mumy Mungu akusaidie amponye Robaty kifupi maisha kujiandaa ukifika uzee Huna kitu na unaendelea kupanga basi utaitwa mwanga😭😭😭
    Mama asaidiwe kujenga hata chumba na ukumbi

  • @ramlamasika9664
    @ramlamasika9664 3 года назад +4

    Hii myaka kupanga siyo powa tufanye nabidi kujega maisha yambele

  • @ndesasausi5901
    @ndesasausi5901 3 года назад

    Pole bibi binadamu tunaroho mbaya sana mwenyezi Mungu akutunze bibi yangu

  • @amanielielieza9317
    @amanielielieza9317 3 года назад +40

    Kwa sheria zetu huwezi kumwambia mtu ana misukule tena mtoto wake aliesema aonyeshe (evidence)uthibitiho hawezi sheria ichukue mkondo wake

  • @Neemahaji-it7zp
    @Neemahaji-it7zp 8 месяцев назад

    Watanzania jaman wana maneno sana......mtu ataekaje mtoto wake wa kumzaa msukule...mungu atakusaidia bib

  • @chanziopenschool9456
    @chanziopenschool9456 3 года назад +36

    Zahir anafnya kazi nzuri sana...anahoji na anasaidia

  • @mashujaatv8023
    @mashujaatv8023 3 года назад +1

    Namimi nataka kwenda sweeden na uraya niwazalie niwaachie .lazima nilipize staki ujinga mmi🙇🙇🙇🙇🙇

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 3 года назад +7

    Pole sana familia naamini babaake na robati atapatikana, au jamaa zake in shaa Allah

    • @fettiemaganza2664
      @fettiemaganza2664 3 года назад

      Ulichokifanya kwa mwenzio kitakurudia uzee hauna mmoja ukizeeka nawe utaitwa mchawi

  • @khadijakayuzi8471
    @khadijakayuzi8471 3 года назад

    Mungu atakulipia mama upate asara ya mwanao na maumivu ya kuzingishiwa uchawi

  • @kungurukingunge2761
    @kungurukingunge2761 3 года назад +10

    Alafu bi mkubwa yupo vizuri kakumbuka mpaka chanjo anajali sana afya ee mungu msimamie Hutu mama aondokane na shida hizi

  • @emuhpanda7317
    @emuhpanda7317 3 года назад

    Inaskitisha sana ,binadamu hawaezi kukupa msaada wa rizki wao watakusaidia kwa fitna na umbea,,,,Bi mkubwa pole kwa yaliyo kukumba Mungu Yuko pamoja nawe.

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 3 года назад +9

    Jaman ndg zangu mchangieni huyu bibi ajengewe japo vyumba viwili huyu bibi atateseka sana na mtoto wake ukiangalia ni mgonjwa

  • @niwaelmburuja2056
    @niwaelmburuja2056 11 месяцев назад

    Hongera sana dada Emelda kumuwajibisha huyo kijana aliyepeleka taarifa potofu. Alishindwa nini kumuuliza bibi habari za huyo mwanae ili ajue kinachoendelea?
    Ajue = " Uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi." Amemuongezea machungu anayopitia kulinda mwanae umri huo!
    Bibi ana imani = Mungu Anajali.

  • @lighnessmrisho1525
    @lighnessmrisho1525 3 года назад +4

    Uyu mama amepitia magumu Sana. Lkn hajakata tamaa hakuna kitu kinauma kwa mzazi km kumuona mtoto wake anapitia magumu mama anaumia zaidi yaani walimwengu km wangejua mama ni nani ktk Dunia.

  • @naimamunishi1241
    @naimamunishi1241 3 года назад +2

    WALLAL WABILLAH HUYU MAMA KANITOA MACHOZI YAN😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Eh mwenyez mungu mpe huyu mama nguvu yarabbi ,serikali ya tz imsaidie basi ahengewe nyumba nzur akae na mwanae .....magufuli angekuwepo mweeeh sooo painful
    Mama anatumia nyie

  • @gazaomar9043
    @gazaomar9043 3 года назад +3

    Pole Sana mama duniya haina mtemi mingu atakulipiya mama shukuru kwakila Jambo

  • @anifajumajuma2681
    @anifajumajuma2681 3 года назад

    Pole sana mmaangu yote nikutokuwa na iman watu wanaiman zakishilikina wabongo hebu achen kuzalilisha wazazi wawenzenu ivi msukule mnaujua au mmausikia sijapenda uheshim mzazi wamwenzenu kama mzazi wako 🤕🤕

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 года назад +9

    Bib yuko sawa kabisa bora ujenge ukoooooo mbali maporin pasina msongamano kimyaa mwenyewe huko mashamba

  • @rahimaaaaa8699
    @rahimaaaaa8699 3 года назад

    Jamani vuwanja 20/20
    Mln.2 au 1.8. Nyumba ya mln 15 inawatosha na choo kizuri kinaparikana. Ioatikane TV HUYU MAMA ACHANGIWE AJENGEWE

  • @sakinamsangi3077
    @sakinamsangi3077 3 года назад +19

    Kulea mtoto wa hivi ni shida watu wasiongee tu bibi mungu amtetee

    • @Emmanuela_pius
      @Emmanuela_pius 3 года назад

      Kweli kabisa mama anajitoa sana

    • @eliaikammary7525
      @eliaikammary7525 3 года назад +1

      Tengenezeni choo acheni umbea si mngeuliza kabla ya kumdhslilisha

    • @simontamba1285
      @simontamba1285 3 года назад

      Hakika ndugu yangu ni Kazi Sana tena washukuru huyo ni mpole ss tunae WA hivi akikasirika kila jirani hapo hadi polisi huwa wanachukua kichapoo hadi sisi wenyewe nadhani angekuwa Kama wetu nadhani hao majirani wangeipata fleshi

    • @stephaniabenjamini2848
      @stephaniabenjamini2848 2 года назад

      Jamani mama wanamuonea tu majirani zake kisa wameona mzungu na wana wk 3 wamehamia.ndo maana wanaona Wivu.Tumsadieni ili apate makaazi bora,na wampeleke ubarozini Baba yake ni Mswiden amwijie.hayo yootee ni mawazo ya kukosa baba mzazi.Mama nae ndio hali hiyo,Lazima achanganyikiwe.Hata km aliwahi kutumia masigara machafu ni Mawazo.

  • @Singa-rw9vq
    @Singa-rw9vq 10 месяцев назад

    Mwandishi fantastic msaada wa kupata anuani za bb wa wtoto hao mama etu shida ziishe wabaya waaibike

  • @sumisumi8181
    @sumisumi8181 3 года назад +35

    Wewe mtangazaji kuwa professional sometime unauliza swali moja lisilo natija kila mara msukule , msukule

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 3 года назад +3

      Umeona eeeh tatizo la cause ya miezi 3

    • @doramkolo1745
      @doramkolo1745 3 года назад +2

      Yani mwenye huwa namshangaa huyu mtangazaji c mara moja interview zake nyingi ni zero kabisa

    • @yagwishaheke2524
      @yagwishaheke2524 3 года назад +2

      Yeah mtangazaji mjinga mjinga mama ni mzee ila anamzidi saana

    • @stevenmwakivega4726
      @stevenmwakivega4726 3 года назад

      Mtangazaj ni zero huyu

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 года назад

      😂😂msukule😂😂

  • @turibamweali8661
    @turibamweali8661 3 года назад +2

    Africa hatuna upendo! Ndugu yetu ana mugonjuwa ndani ya nyumba na nyinyi munamupandishiya vimidomo tuu!

  • @lilianurio9781
    @lilianurio9781 3 года назад +4

    Nime notice kuna watu bado wana ubaguzi wa rangi, Mungu tuepushie roho mbaya

  • @samirakhamis7571
    @samirakhamis7571 3 года назад

    Pole sana mama Mola atasimama na ww na kukusaidia,inaskitisha sana .

  • @lujekomtawa328
    @lujekomtawa328 3 года назад +7

    Mungu atakulipia mama.Amina👏

  • @irenemagreti5921
    @irenemagreti5921 3 года назад

    Waswahili watuwabaya sana wanapenda kufatilia mambo yawatu yakwao yanawashinda acheni ushambenga mnamzaririsha bb wwtu nyaunyie

  • @cindypaul5254
    @cindypaul5254 3 года назад +18

    Mungu atawaadhibu wote walomzushia huyu mama..... Nimeumia 😔

  • @faizaomary2036
    @faizaomary2036 3 года назад

    Pole mamangu achana nao mungu anajuwa wewe muachie mungu

  • @malmavoice8989
    @malmavoice8989 3 года назад +17

    Lkn mungu ni waajabu sana. Bibi anaweza kuona kama kaonewa lkn amesaidiwa pia,hapo lazima apatiwe cho chote cha kumsogeza siku maana inaonekana anamaisha magumu mno.

  • @rahmaallymurnis6508
    @rahmaallymurnis6508 3 года назад

    Mama kwanini usiombe misaada wa matibabu mwanao akatibiwa atapona huo, Mwamposa humsikii, kanisa la ufufuo na uzima je? umewahi kufika, Yesu ni mponyaji, pole sana mama.

  • @biommy6700
    @biommy6700 3 года назад +3

    Binadamu wabaya sanaa, msukule anakaa ivi, mwenyewe msafi afu anakili pia kiasi si kajibu vzr hapo, kusema tu vbya na hakuna msaada wwt

    • @tumainikomba9008
      @tumainikomba9008 3 года назад

      Kwakwel wamuombe M'mungu msamaha na huyu bibi wa watu...so sad

  • @mariagodwin7669
    @mariagodwin7669 3 года назад +1

    Duuuh pole sana mama mungu atakulipia haki yko ya kuzalilishwa

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 года назад +9

    Mama à nawapenda watoto wake kweli heshima kwa mama juu siyo rahisi kbsa kujilelea mwanao mzima afu ukubwani aje aruke kichwa kwa kweli nihuzuni MUNGU akufanyie wepesi mama

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 года назад +2

      ndio nashangaa wengine wanavyo sema eti mama anaficha siri hawaelewi huyu mama anapenda mtoto wake anaona atapatwa na matatizo akauawa au akazingiziwa kubaka akafungwa aki

  • @rehemadavid2680
    @rehemadavid2680 3 года назад

    Bibi pole sana mungu atakusimamia kwakweli ni jaribu tuu bibi litapita na mwanao. kwa uwezo wa mungu atapona. kingine mlioongea kuhusu huyo bibi jiangalieni kwanza angalieni na mioyo yenu na mjitafakari mpo sahihi kwa mienendo yenu yote???? mungu anawaona toka lini msukule ukachomwa sindano ya korona jamni!!!!!!!. mhh!!! pole bibi yangu mungu hajkutupa bado atasimama na wewe.

  • @hidayamotto7210
    @hidayamotto7210 3 года назад +8

    Maskin mama anaongea kwa uchungu mnooo, inaumaa jmn kwanini binadam wmafki hivi,dah nataman ningekua na uwezo nimjengee uyu Mama.

  • @ShekhahamedMuhsin
    @ShekhahamedMuhsin 9 месяцев назад

    Dada nakujua vizuri Bora ungeendelea kuishi hukuhuku kigamboni

  • @abdalladawali8969
    @abdalladawali8969 3 года назад +3

    Pole mwanangu Mwenyezi yuko na wewe najua umeptia mazito pole 😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @shakilagunza6156
    @shakilagunza6156 3 года назад

    Jamn watanzani mungu atujarie uyu Bibi anawatoto Kama wazungu wazuri wenyewe ety kaweka msukule mzungu jamani mungu anatuona.

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 3 года назад +72

    Hawa global hawanaga ushu wao Ni kuhoji halafu wanaishia zao ovyo kabisa,Zahir wa maximum ndo hbr ya mjini anahoji na anatoa hitimisho

    • @KIDADAKIDADA
      @KIDADAKIDADA 3 года назад +2

      Umeongea hee maximum ndio inaweza kuchangisha tu

    • @shanimbaruku2071
      @shanimbaruku2071 3 года назад

      Sanaaaa

    • @tiffahenlly8871
      @tiffahenlly8871 3 года назад +1

      Hawa ni wambea wanafiki wanampeleleza mtyu kisha hawamsaidii kwa chochote

    • @joycenicodemus.2232
      @joycenicodemus.2232 3 года назад

      Kweri kabisa Hawa hawana lolote nikuhoji tu,mpaka wanachosha

    • @momobakari1225
      @momobakari1225 3 года назад +1

      Maximum ndio Kila kitu aki, am from Kenya but naipenda sana maximum

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 3 года назад

    Mungu akuinue bibi pole sana watu mahodari kwa kuropoka

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 3 года назад +57

    Don't judge people if you don't know their story, i feel sorry for that grany, tuned 🇰🇪

  • @rosamgaya21
    @rosamgaya21 3 года назад

    Binadamu hawana jema, dawa hizo nazifahamu na huwa zinatumika kwa watu wenye ulemavu wa akili na zinawachosha Sana, mm ndugu yangu anatumia pia dawa hizo, pole mama du mungu akupe moyo wa kuwasamehe bure.

  • @sanisani5266
    @sanisani5266 3 года назад +17

    Mshaambiwa sio msukule ila bado mnaandika kichwa cha habari kilekile ni mtihani nawaandishi nao mmh

  • @rosekweka47
    @rosekweka47 3 года назад

    Jamani kukosa kazi nikiti kibaya Sana watu awako bize na shuhuli zao wamekalia majungu na uongo na umbea ndio kazi zao mama pole Sana wewe mwachie mungu ashulike nao