OSCAR: MZUNGU MASAI ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE / WANANIITA BOYA
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- OSCAR: MZUNGU MASAI ALIVYOSHEREHEKEA BIRTHDAY YAKE / WANANIITA BOYA
Oscar ni kijana wa Kimasai mwenye Asili ya Sweden anayeishi Tanzania ambaye ameamua kuishi maisha ya kimasai, mapema wiki hii alikuwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa, kama ulikosa Interview ya Oscar akielezea maamuzi yake ya kuwa MMASAI hii hapa.... • OSCAR: Mzungu Mwenye A...
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
-----------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:www.youtube.co...
Yani mm ninachosikitika hapa ni hawa wamasai wenzangu wanaotumia muda wao kumfurahisha huyu dogo ,wakati rika lake lipo na ndo walipaswa kuwepo hapo,
Mzee hiyo ni birthday au wakienda kwa mtoto wa dangote mwenye siku arobaini ni kawaida pale c watu wazima nao walikuwepo
Kingine huyo ni baba zake yn rafik za baba zake
@@fahadfaraj1822 kama wew ni maasai kama mm utanielewa ila huwez kuelewa coz nmeongelea mambo ambayo yamekuwa common hasa inapotokea interview ya huyo dogo na media lazima wamuimbie dogo ili kumfurahisha tu,
@@abdulkillya2655 nakuelewa in sense of utaratibu wakimasi huenda kwa rika korianga na wenzie morani na morani but sio issue uyo mtoto si masai
Hapa ni mjini watoto wa kimasai hawapo mjini wapo kijijini kwao
Kama unamkubali oscar gonga like hapa.
Very nice kid.
Oscar is a rising Tz star who has embraced our African way of life. I wish him all the best and join in building Tz like any other wazalendo. Big up kid!!!!!
Kama unakubali kwamba ubaguzi wa rangi hauna nafasi , gonga like hapa
Wanawapanga tu ukienda kule kwao huwezi kujichanganya tu. Wanakuwa wanakuona kha mdudu gan sijui, hasa watoto wao. Nafikiri wengi wanafundishwa chuki kwa waafrika
@@fredducaunt1724 hacha uongo Kama ujawai kuishi nao bora kunyamaza sio kujifanya unawajua sana huku shule wanasoma watoto rangi mchanganyiko na wengi ni marafiki hacha akili za kitumwa
@@mariamdimosso621 mwenye akili za kitumwa ni wewe unayebembeleza urafiki nao na kuwatetea kisa wanakuchekea chekea ukiwa nao yaani hiyo isikudanganye mtoto wa nyoka ni nyoka
@@fredducaunt1724 akili yako ndipo ilipoishia
@@fredducaunt1724 acha uongo wew
Alie sikia baba Oscar unafunga ndoa na mama Oscar Sana 🔥🔥🔥 anipe like zangu jmn
😃😃😃
😂😂
😂😂😂
😂🤣🤣🤣
😂
Wow!! From Kenya I love this boy Oscar, so brave and courageous.
From Kenya I like this boy so amazing
Wamasai wotre gonga like apa!
Tupoooo
Kitii pookin naleng
He even has the spirit of a true maasai.
He is a Masai
Kwa watanzania wote, Kwa kingereza, Hii ndio tunaita “Beautiful Story”
Fact
Hongera Oscar,nimependa ulivyo mcheshi na usivyojiona special zaid ya wengine.
Wow... The boy is so cute and clever🥰👏👏👏
Safiiiiiiiii sana wenyewe ndio maboya wewe una preserve na you maintain our African culture
Congratulations 🎉👏 Mom Oscar
Alisema kuna baridi ulaya...anapenda uku
Wow
Wow I just met him now is so grown I didn’t even know it’s was him 😅I got a shock when I heard him speaking Swahili in the bus , I hope I wasn’t caught on camera coz I as shocked like shocked 😅
That is why I am proud to be African
Allahu akbar mashallah I am proud to muislim
So head strong Oscar Masha Allah
mtoto anajua kiswahili kuliko Baba .
hahaha shenz sanaaa
Agreed aise, daaah😭
Noma sana
Unique couple and unique family...
Uyu mtoto wetu mashallh tunakupenda mno wetu Be blessed yarab
Oscar happy belated birthday to you 😊
Love has no boundaries
Waauu this boy is amazing 💔 the real Maasai
Baba na mama Oscar hongereni sana. Mmeonesha mapenzi hayana ubaguzi. Oscar atakuja kuwa mtu Mashuhuri duniani.
Kuna wapumbavu fran wanaomba like sijuh wanaenda kuombea mkopo
Magufuli
Wanapenda kulipa kodi
Fran au fulani? Unashindwa na huyu dogo anatofautisha R na L
@@salimkhamis3638 unatafuta kiki ww shoga boy
Kudadek wananiuz kama nn
Endasupa engajemasai......we are proud of our tribe
Katoto kazir jamani love osca
What a wonderful boy.
GRATTIS OSCAR FÖR FÖDELSEDAGEN. JAG ÖNSKAR DIG EN TREVLIG FESTEN. Nakutakia maisha marefu .❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿🙏😁
Yaya you go ahead Lady! Wait and see
global tv swali lako yaani ina boo sana...nimevumiliya kumaliza video hii sababu ya oscar
Wow wetu kekinyor iyo oleng 🥰🥰🥰
This boy should have a RUclips channel. Please help him.....
Yaani mzungu anafurahia kuongea kiswahili ila sisi watu weusi tunadharaù kiswahili wakati wenzetu(wazungu) wanakisifia
KWANINI HUKUCHINJA? Anajibu mimi sio muislamu... hakika uislamu ndio dini ya haki WAISLAMU TAQBIR.
Taqbie♥️♥️♥️♥️
But Mungu ni mmoja brother
😂 😂 😂 😂 😂 😂 lol, endelea kujip moy iv iv
Hata mimi nilikuwa naishi na majirani wa kikristo but wakitaka kuchinja kuku ilikuwa lazma waniite mimi niwachinjie👀👀👀
@@cestjolie5574 kujipa moyo eeee!! Vp nyi mnachinja wenyewe? Mnakula kibudu wapeni waislamu wawachinjie.
Duu wamasai wamepata mbegu nzuri. Asanteni wazungu.
Mbegu nzuri?????
Oscar anapiga kiswahili kuliko babaake aisee😂😂😂
Ila kaka masai hapa kwa mama Oscar daah mbona kama Bibi, by the way nimeipenda sana hii familia wako happy sana
This is a LESSON for AFRICAN parents. Teach your children your culture
Kudanganywa ni kupenda baba na mtoto vitu viwili tofauti.
Mashallah asema mbuzi anachinjwa na muislam allahu akbar
Masai mm nawakubali Sana wanajua huyu mtoto wetu wanamrisisha Mila zao nisawa kabisa had yeye kazoea naunaona kabisa humtoi au kumbadirisha Kwanza hatoki
Mashaallah Allah anahakili mutoto huyu
A Swedish boy looking good even dressed up like that and i like his white sandals .
We love you 😘❤️ ❤️😘❤️ our sister in-law (wifi) or African wifi from Maasai tribal
Waoooooo hongera .Masai muzugu
From Juba Sudan osker congratulations 👏🎉
Yaaan dahaaa hakika ubaguzi wa rangi Tanzania kwetu hauna nafasi kabsa binadam st n ndugu
Nimetabasamu mwanzo hadi mwisho wa hii video, asanteni Global TV online
He's preserving his heritage 🤲🏾🙏🏾
Mashaallah hongera
aslm hiyooo Nii mtanzania kiswahili hicho Cha bongo Tz
Great 👍
Hapa Maasai amedanganywa..huyu mtoto hana damu ya kiafrika hata kidogo
Anayo.
Mmnmscheew!
Mi nachojua huyu mama amekuja na mwanaye kutoka nje na ndo wakakaa tanzania kwa muda alaf mama akampenda mmasai. Lakin alikuja na mtoto wake kutoka nje. Huyu mtoto sio baba halisi mmasai, but ame mu adopt tu.. wazungu kwa kawaida ukimuoa basi custody zote za mtoto unachukua na unaitwa baba.
Oscar ❤🎉🎉🎉so mach
Oscar ana akili sana 👏👏👏👏 yeye ajachinja kwa sababu sio muislam
Osca nampenda sana.
Namuomba M.Mungu amuonyeshe njia salama ya maisha yake ya dunia na akhera.
Amin.
acheni upumbavu yeye kutochinja ni kutaka watu wote wale hata wale waislam sio kwamba yeye huwa hali ambazo hazijachinjwa na mwislam.
@@alexlugembe4816 ss povu la nn n mwenyewe dogo kashasema hawezi kuchinja kwakuwa yy cio muislamu
Uislamu Ni Dini Ya Haki Alhadulillah
@@alexlugembe4816 acha kupaniki bir Islamic ndio dini ya haki
Ndugu zangu wa africa tujitambue kuna jambo hapo hao wazungu tunawakaribisha baadae wanakuja kututumikisha angalieni south africa mtapata picha kamili thenkyou
Hapa una maanisha nin
Kwakweli nimevutiwa sana na huyu mtoto.
What is the funny thing hapa? Nothing. He is a young Maasai and growing very well in the community. Good on you young man. You are not a muzungu, you are a maasai!
Ningependa sana dada zetu wanaokimbilia ulaya
MBONA MIMI NATAKA KURUDI NYUMBANI ILA NINGUMU MUME WANGU KUPATA KAZI HUKO SO YABIDI TUISHI KWAO🇰🇪🇨🇿
Mimi niko ulaya..siwezi rundi home...haha...
Nice Nice jamani nimeipenda bure mtoto huyu
Safi sana jamani Mimi nimasai nimefurahi sana kuona mtoto wetu
Mucheki Giva ana ngoma kali sana
I love that 💘💘
I proudly To be Masai
Mashallah mungu waondoshe husda watu hawa waishi melele na wadumu amin
Amina
HAPPY BIRTHDAY OSCAR I LOVE YOU 🇰🇪🇨🇿
He wil live to love African culture rest of his life 🤫🤫🤫🤫
Hongera osika
Hebu eleweni watanzania wenzangu Osca sio Mmasai ila kiranga cha mama ndicho kimemfanya Osca Leo ajiite mmasai,huyu masai nae akome kusema huyo ni mwanae ye kamuoa mama akiwa na mwanae tu,IPO Siku baba Osca atakuja kuchukua mwanae we subiri
Nakubalina na ww
Una uhakika??
Dada Kama Oscar kapenda step dad he will stay with him
True
so awesome ilov it
Woow its good
Babako ni hassan mgonja hax unaact mmasai...duuh noma sanaaaa
Wow.
Mh mapenzi kweli huota popote mzungu na mmasai
This is why I wonder when some afrcan mother s don't teach there children even swahili
Esp. in my country kenya mmmh si wa coast were being undermined coz we are only fluent in swahili. Our friends from the highlands think speaking in english makes you pro. Infact it's so annoying when they tweng trying to mimic the way wazungu speak.
I'm kenyan and have been judged by kenyans for been married to a white guy ...why would I bother teaching my child swahili? For what? I speak swahili but it's not guaranteed acceptance... ooh and of cos my husband gets better services in kenya as opposed to me ... stop the double standards guys
Beautiful beautiful 🤩
Óscar katulia kiswahili anishinda mpaka mimi 😁😁😁🇹🇿🇦🇷
Nimefurahi kusikia kama mimi sio muislaam kwahiyo yaonyesha waisalam ndo wanao takiwa wachinje tuu basi kubari dini ya kislaam ndo dini pekee❤
OK. Uko. Raba. Sana
Kweli
Anakiswahili kizuri sana
Good baby boy
👌👌👌 Happy birthday 🎉🎂🎈 Oscar l wish you many happy birthday to you
Mzungu kaelewa myotoo ya kimasaii😁😁🔥🔥🔥
This is good👍👍❤️😍
What're they drinking?
Tanzania inchi mzuri sana amani u pendo
Baba mbona kiswahili hajui...
Mapenz bana nimeyavuria kapero
😃😃😃kabisa
Hahahahahahahaaaaaa
I love this boy
I love you 🥰🥰🥰😘😘
Na anachagamka kweli kweli😊😄
Kama Umependa Majibu Yaockar Gonga Like Apoo
Sikuwai kumuamini mzungu hata ckiu 1
Ww falsafa zako hazipingani na mm kbxa
Ibraimo Issiaca kabisa
Ibraimo issaica kwani wazungu si watu tu kama sisi, nini cha kujifanya usiwaamini, hata wa Afrika sisi tuna aminika sasa? Watu wote ni sawa.
Nisawa lkn hawa watu wanaubaguzi sana
@@mariammariam6307 inategemea utakavyojiweka nao, ukiona wao ni bora kuliko wewe watakudharau au ukiwaona tu unajiona hufai ndivyo italavyokuwa, sisi wa Afrika Siku zote tunakuwa hatujiamini tukikutana na hawa watu ndio maana tuna ona ni watu waajabu. Mim pia nimeoa huko ni watu wa kawaida tu na tuna mtoto pia. Tukiacha hiyo hali ya kutokujiamini na kujiona hatufai ndo hatutakaa kamwe kudharauliwa. Tujiamini pia kuwa sisi ni waafrika na ni watu wakuthaminika, kamwe hawezei kukudharau.
Hawa Wazungu Wnapandikiza Watu Zao Kila Sehemu Msione Wanawachekea Tu Usoni Hao Ni Maspy Wajao
Spying ni namna pana wala c katika njia iyo yakawaida ambayo hata we mtu wakawaida ukajua izo zilikua old ways
Racism
Acha mawazo potofu unawazia uboya
Fact
Napita tuu ila osca yupo fesh
Watu wanaowatetea wazungu muache kujikomba komba kwao
msione watu weusi wanaishi huko kwao, wanaishi tu kibishi ,
ukweli ni kwamba wazungu wana art ya kupumbaza watu kupata kile wanachokitafuta muwe makini nao muda wote
Beautiful dada imelda
Hio accent ya mama yake 😍😍😍😍😍😍😍❤️👌🏾
Uyo mtto ad kakomaaa👏👏
Hajakomaa bwana.. anasema ana miaka 14.. wazungu wa miaka 14 wako wakubwa. Utafikiria wako na mika 28
Heee kumbe miak 14?...me nlijua mdogo