Ninaposema kwalugazamalaika kama sina upendo nibure utujalie upendo ilitupate kupendana kamawewe ulivyo tupenda sisi ata ukamtowa mwana wako wapekee ili atukombowe sisi tunakuomba utujalie upendo tuishi kwa amani kuomba nikwetu nakutenda kazi nikwako tunaomba ayo kwajinalababa na lamwana na laroho mtakatifu amina
Nimeutafuta huu wimbo mpaka nimeupata. Ni mtamu sana. Mungu awabariki sana kwa uinjilishaji wenu uliotukuka
Nymbo za Kanisa letu Katoliki la Mitume ni mwisho wa maneno. Asante kwa kutuletea vitu laini humu ndani.
Nawapenda sana sana. Mungu azidi kuwa bariki.
UPENDO amri kuu ya Mungu acha tupendane nimebarikiwa sana wanafunzi wenzangu Mungu awabarikiiiiiii
ujumbe mzurii sana Mungu awabariki atupe upendo aondoe Mioyo migumu kati yetuu
Wow,bien vraiment.mwenyezi mungu awabariki
bwana awabariki waimbaji nasi tupate baraka kupitia wimbo huu Amen, kweli kama sina upendo ni bure kabsa
Ninaposema kwalugazamalaika kama sina upendo nibure utujalie upendo ilitupate kupendana kamawewe ulivyo tupenda sisi ata ukamtowa mwana wako wapekee ili atukombowe sisi tunakuomba utujalie upendo tuishi kwa amani kuomba nikwetu nakutenda kazi nikwako tunaomba ayo kwajinalababa na lamwana na laroho mtakatifu amina
Hongereni sana nyimbo Nzuri
hongereni sana,mzidi kumtumikia Mungu kwa njia hii popote mlipo
Beautiful song.
MUNGU wetu tumrudishie sifa nashukuru sana wanakwaya wa Udom,Dice pamoja na Udsm.mm nko saut naitwa John nawapenda wote kwk Bwana.
Mbarikiwe maana kazi mmeifanya hongeren
Hongereni sana Mungu mwenyezi awazidishie baraka
Kuimba ni kusali Mara mbili mungu awape nguvu
mungu wetu ni mwema hongera mnasali mara mbili Kumtumikia Mungu hakuna kikomo
jaman kumuimbia Mungu rahaaaaaaaaaaaaaa sanaaaaaaaaaaa
Good hymn, great music, nice ryithim and content well delivered
Mbarikiwe
Très belle mélodie bien que je ne comprend pas la langue
Nimeburudika vyakutosha Mubarikiwe6
Mmetisha
safi sana
Mko vizuri sana ndugu zanguu...hongereni sanaaaaa
Saf xanaa
Mungu awabariki kwa kuitenda kazi yake!! nice song
mungu awabriki
Mungu in mwenye kufarij mko vizur xana pia karibu kwetu kwaya ya mt theresia wa mtoto yesu parokia ya clavery MBEZ Luis barabara yakuelekea kibamba
waoooooh!!!!
inapendenza xana wana UDSM
I wishes ningekuwepo na mm......
Karibuni xana
Sebastian Kolowa Memorial University.
muukoo vizurii
hongereni sana wana udsm,.I wish na Mimi nije huko
karibun mje muimbe saud jamn nmewapenda bure
congratulations to this young ladies and gentlemen for their great work, i love this choir.
a sweet gospel song about love! Thanks
Asanteni Sana kwanyimbo zuri nauimbaji wenu umetulia San mung azidi kuwatia nguvu Amina 🙏🙏🙏
nassr almaawali
Asanteni waimbanji wenzangu mungu awambariki Sana 👏💟 faith in Jesus name
AMen 🙏💏🌹👍😂 faith
nawakubali sanaaaaaaaa
MZEE WA MADODOSO
Kama cna upendi mm c kitu ama kweli mmenena...
God bless you all.wow
Niceeeee
Peter soka. Mungu awabariki .
Naombeni nota za huu wimbo jameni. email. owuorowuor7@gmail.com
Nimeburudika vyakutosha Mubarikiwe6