Allah awa ongoze majirani wetu. Kufata sana dunia ita waeka mahali pabaya. Wa Tanzania wengi wataka maisha kama ya Diamond na Ali Kiiba. Tatizo ndio hio .
Sharifu wakweli ni yule anae tokana na bwana mtume katika kizazi chake na hata kama hana makarama! Na mawalii wa mungu wapo na hata kama si sharifu , mwenye ezzi mungu ame wataja kwenye Qur'an, na hao wanao jiita masharifu ni majina ya kutapeli watu sababu usharifu mtu ajipi
Allah akupeni uri mrefu na siha nyote munaozungumza haki na kukemea maovu katika dini yetu mejitahid na mungu Allah ameona na Allah awasaidie wale wanaoutuzama ubaya na wasiseme wamekaa na kunyamaza
Jazaaka Allahul khayr Allah akulipe, na wengine wanakenda kununua majini ya wanashirikiana ktk tiba huo ni mkatàbà nipe nikupe afànye mambo anayotàka shetani nae afanyiwe ya kwàke
Adabu... Kweli kabisa sheikh wangu Kondo... Watu hawana adabu siku hizi ....ukiwa na adabu utaweza kuishi na yeyote and popote....mfano mzuri angalia wanaojiita salafi...hawana adabu hata kidogo...na uislamu ni adabu...Allah akuzidshie kila kheri sheikh Kondo
A/alaykum sisi tuliopo zanzibar masharifu wapo weng lakin hawafanyi km huko kil ukikaa utaskia katok sharifu huko tunaon ajabu kweli mamb yanayofanyika kwann inakuwa hivyo
Ww masharifu tanzania hawajaanza 1980 kama unavosema! Usharifu ni kabila ambalo miaka mingi mno wapo hapa tanzania sasa huyu jamaa hana historia za masharifu
Sh kondo hao huwapa watu hela mwanzo wakiulizwa wanamjibia sisi tuliumwa sana lkn sharif kaniombea kanitoa uchawi na jinni eti ndio ushahidi wantoa rushwa haooo
shekh nimefurahishwa na maelezo yako na historia zao unazijua vizuri mm nichangie kwa ufupi katika watu 1000 mmoja anakuwa na uelewa mdogo na vile vile katika watu 1000 mmoja hutokea akawa na kipaji na akili nyingi sasa kosa letu inategemea na watu walio mzunguka watamuekeze wapi lkn wengi huelekezwa kwenye kuombea dua na tiba na ni khatari mno kinacho fata ndio hicho kinacho tusokota
Sharif wa kweli ni yule said John amezaliwa kwenye family ya kikiristo kwa sasa anafanya dua magomen kondoa huyo wa kweli khaswa hao wenyewe niwa kina mwamposaaa tu
Nawashangaa sana mnaacha mambo ya muhimu wangap wanaenda kupiga ramli na mmekalia kimya waganga mnashindwa kukemea zinaa imekuwa maji ya kunywa ushoga umeenea watoto wanaharibiwa mmekalia hili tu kwa nn , tunajidhalilisha waislam
Wewe SZ Bongo mbona unaandama ma Sheikh kwani upande wenu wa ukristo hakuna mazanga? Mbona hauwafuati ? Umengangania wa Islamu kwani lengo ni nini haswa?
Jaman eb tuongelee dini kidogo naitaj mwenye elim tujadil kurogwa kwa mtume.....mm binafs siamin na nina dalil zako kama una dalil zako njoo tujadil siitak kukurupuka
Hao Masharifu 3 Tz ni wa ukoo wa mtume au wamekuwa Masharifu kwa sababu ya maajabuajabu yao?? , au hao wenye karma tuwaijate sasa badala ya Masharifu, na je wale wa huo ukoo wa mtume nao wanatibu au!!?
Kizazi cha mtume kipi,,,,,kabla ya mtume au baada ya mtume....toeni ufafanuzi ...sharifu ni Hussen na hassani au ni kizazi gani? Wale ni wajukuu wa mtume sio ukoo wa mtume wale ni watoto wa ally....
Sharifu anauza maji na dawa. Sharifu akikuombea tu hata bila ya dawa Allah akipenda unapona. Kila akiongea anawatisha mbumbumbu kwa kuwatajia uchawi. Yeye anajigamba kwa kuegemea kwa nani?
Sass sheikh kwan kuzaliwa kwa hao ndio mwisho wakuzaliwa mashalifu ushaidi uo umetoa wapi? Achen chuki bahna mara mseme shalifu alitokana na nasaba ya mtume .ninyi ndio waongo
Jamani huyo sheikh sharifu firdausi hajamtukana mtu na wala hajaanza jana kutoa tiba anamiaka zaidi ya miaka3 hatujawaona masheikh kuongea na kabla hapo walikuwepo masharifu wengina wenye jina la usharifu zaidi ya miaka 20 kuna nini masheikh mnaibuka sasa hivi ama maslahi yamegongana?
Tatizo ni namna anavyonasibisha Mambo yakiganga na ukristo kwenye uislam atupe ushahidi matendo yake ya kulazimisha kuwa Dua zake zinajibiwa papo hapo akimpa mtu maji hapohapo anapona imeshtua watu, huoni maigizo hayo anautakatifu gani yeye mpaka Kila anayemtibu lazima apone
Endelea kutetea waganga wa kienyeji tu uku wakijiita ni masharifu tumuogope mungu tulipo teleza na tunapo stuliwa na mashekhe bas tujutie na tujitaidi kuepukana lakini tukiwa wabishi alafu atuna elimu tunazidi kupotea na tutajiingiza pabaya adhabu za Allah atuwezi kuvumilia
Sharifu Feki huyu amemjibu vibaya shekh KiSHK wala usimteteee anajibu mashekhe wakubwa kama anajibizana na vijana wenzie ? hiyo ni adabu gani? kafundishwa dini ya uislaam na nani ?
@@Mariam-ke4og yani pia anakataa kuwa yy sharifu na sio mshirikina alafu anampingia tutamuamkia usiku wamanane tutamshuulikia we muache tu anastasia shehe kishki kama vile alafu kunamtu anamtetea na kuona sharifu yuko sawa
Shekh kondo mhon huonekan kama zaman vp Shekh wangu
Allah awa ongoze majirani wetu. Kufata sana dunia ita waeka mahali pabaya. Wa Tanzania wengi wataka maisha kama ya Diamond na Ali Kiiba. Tatizo ndio hio .
Shekhe nimekuelewa napenda sana watu ambao hawapendi show off ,,.
Tunaendana kabisa safi sana Mwenyezi Mungu akujaalie kheri katika kazi yako
Mashallah ustadhi wetu Allah akuifadhi
Allaah akulipe sheikh kondo
Ni neema ipi mnaoikanusha kuwa sio neema ya mwenyezi mungu
Sharifu wakweli ni yule anae tokana na bwana mtume katika kizazi chake na hata kama hana makarama! Na mawalii wa mungu wapo na hata kama si sharifu , mwenye ezzi mungu ame wataja kwenye Qur'an, na hao wanao jiita masharifu ni majina ya kutapeli watu sababu usharifu mtu ajipi
Maa shaa Allah. Elmu nzuri
Masha'allah sheikh Juma bungo
Allah akupeni uri mrefu na siha nyote munaozungumza haki na kukemea maovu katika dini yetu mejitahid na mungu Allah ameona na Allah awasaidie wale wanaoutuzama ubaya na wasiseme wamekaa na kunyamaza
Jazaaka Allahul khayr Allah akulipe, na wengine wanakenda kununua majini ya wanashirikiana ktk tiba huo ni mkatàbà nipe nikupe afànye mambo anayotàka shetani nae afanyiwe ya kwàke
Unasema kweli
Adabu... Kweli kabisa sheikh wangu Kondo... Watu hawana adabu siku hizi ....ukiwa na adabu utaweza kuishi na yeyote and popote....mfano mzuri angalia wanaojiita salafi...hawana adabu hata kidogo...na uislamu ni adabu...Allah akuzidshie kila kheri sheikh Kondo
Semeni ukweli masheikhe wetu, Hata km ni chungu km shubiri , ili mpate kuikoa Tauwheed,.
Shekh kondo,, umeongea vizuri sana
UISLAMU NI ADABU
Shukran sheikh bungo
Hapo shekh umesema kweli kabisa nimemshuhudia mwenyewe
Shekh Allah akuhifadh...!!
Hayo maneno kweli ila Dunia
Mtangazaji UWEZO mdogo wa kuuliza MASWALI.
competence
WEW SZ BONGO MBONA HAUWAHOJI WACHUNGAJI NA HUKO KWENO NDIO KUNA MENGI YA HOJI KWA NI UJANJA WA WACHUNGAJI KUENDESHA MA KANISA YAO.
Usiliingize kanisa kwenye mambo ya dini yenu.
Sasa hapa wachungaji wanaingiaje kwenye ubishani wenu?
Ipijeni diniyetu ishaala mungu atawaripa wote wanao paza sauti kwahiri
Hasadi ni mbaya na kutafuta umaarufu
Ukosahihi
Naomba msaada kwako,,,,mwelekeo wa kumtoa jini wa chooni,jalani ,kwa mwili
Asante
Tulifanya nae kazi ya gelegi makanya sikujua kama anakipaji hiki Mungu nikubwa
Mtangazaji fala sana, anayafanya yale yale sheik anakataza...............
😂😂
Zile darsa zetu za wachawi na wanga wenda usiku ziendelee
Kweli kabisa ulo yasema
Tuko pamoja sana kupiga vita sharifu feki
Hawa masharifu wanatumia hilo jina kutapelia watu
ni kweri kbs ninakumbuka historia hiyo shehe unayosema
Huyo namjua vizuri tabora mitaa ya gana kiloleni 1990
@@OmariKidamali wa Tabora Sheikh Sharif Mikidadi Matongo. Wa Arusha Said John 1989
Said John kwa sasa anafanya dua magomen kondoa hata mm huyo ndoo namjua ametokea kwenye family ya wakiristo
@@Ayuminchasi wote watatu wametokea kwenye ukiristo, Hawa wa sikuhizi wametokea kwenye uislam
Naona mtangazaji kazi imekupata waenda kwa kila Shekhe kumhoji😅😅😅. Unakwenda na upepo eee 😅😅
Lkn Si unajifunza kitu kipya.
Anatafuta kujua ukweli, utahoji vipi upande mmoja uridhike?
Nakushukuru sana kwa maelezo yako. Waislamu tuelewe dua ni bora mtu ajiombee mwenyewe. Pia unamuombea baba yako mama na mwanao na hao wanakuombea.
Ndio
😂😂😂😂😂
Huyu naeee ovyooooooooo!
Leo hii kuna mpaka masharifu majini. Hahahaha. Tunapokwenda wataibuka mitume pengine na wengine kujiita malaika na miungu
Yule kwe hatakwetu alishawahifika kwetu shalifu mikidadi miaka ya tisini tabora
alafu piaa kama sio fitina mbona wako waganga wakienyeji wanajitangaza asubuhi namchana mbona hamsemi bora huyu jata anajaja jina la munguu
Nikimuona nakumbuka mwembe chai
A/alaykum sisi tuliopo zanzibar masharifu wapo weng lakin hawafanyi km huko kil ukikaa utaskia katok sharifu huko tunaon ajabu kweli mamb yanayofanyika kwann inakuwa hivyo
Huku bara sisi ni matapeli tu hatuna dini tumekalia wizi tu. Huku hata ukikuta Imam msikitini yupo kwa ajili ya ulaji na sio Dini
Masheghe acheni malumbano watu tunashida sana lakini tukija kwenu mtaka Hela nyingi mtaka twendewapi mungu kawapa karma za Dua tusaidieni
Dua kila m2 ajiombee mwenyewee
Masheikh msimsingizie mtume hakua anatibia watu haya mambo wameanzisha masheikh kwa ajili ya kutengeneza pesa tu
Ww masharifu tanzania hawajaanza 1980 kama unavosema! Usharifu ni kabila ambalo miaka mingi mno wapo hapa tanzania sasa huyu jamaa hana historia za masharifu
Tuliza kichwa uelewe alichokizungumza usipanic
Mtume nae alipigwa chuma ...meaning Alirogwa, 🤔🤔
Sh kondo hao huwapa watu hela mwanzo wakiulizwa wanamjibia sisi tuliumwa sana lkn sharif kaniombea kanitoa uchawi na jinni eti ndio ushahidi wantoa rushwa haooo
shekh nimefurahishwa na maelezo yako na historia zao unazijua vizuri mm nichangie kwa ufupi katika watu 1000 mmoja anakuwa na uelewa mdogo na vile vile katika watu 1000 mmoja hutokea akawa na kipaji na akili nyingi sasa kosa letu inategemea na watu walio mzunguka watamuekeze wapi lkn wengi huelekezwa kwenye kuombea dua na tiba na ni khatari mno kinacho fata ndio hicho kinacho tusokota
Uganga na uchawi na majini ndio zenu. Kabla ya hivyo vitabu sisi tulikuwa na maarifa. Uongo tu !
Wenzenu hao mnaofanana tabia ndio masheikh wa Kweli wamo mbioni kuwasafisha.
Uyu ndio shehe kondo bungo enzi hizo alikuwa ataki masiala uichezee dini
Kweli shekh ni Usharfu wa ugali na kuwaibia watu
Sharif wa kweli ni yule said John amezaliwa kwenye family ya kikiristo kwa sasa anafanya dua magomen kondoa huyo wa kweli khaswa hao wenyewe niwa kina mwamposaaa tu
Nimegundua huyo dogo anaharibu kazi za watu
waislam wasipoelewana wanwaingiza wakristo😂
Kweli sheikh watu hawa ni matapeli tu hasa baada wahadhiri nguli kufeli ktk mihadhara wana watengeneza watu hawa feki
Nawashangaa sana mnaacha mambo ya muhimu wangap wanaenda kupiga ramli na mmekalia kimya waganga mnashindwa kukemea zinaa imekuwa maji ya kunywa ushoga umeenea watoto wanaharibiwa mmekalia hili tu kwa nn , tunajidhalilisha waislam
Amesema ameanza kusomea watu akiwa na mwaka mmoja na nusu clip zake ziko wapi😂😂😂daah huyu firdaus anajikanyaga sana
Wewe SZ Bongo mbona unaandama ma Sheikh kwani upande wenu wa ukristo hakuna mazanga? Mbona hauwafuati ? Umengangania wa Islamu kwani lengo ni nini haswa?
Jaman eb tuongelee dini kidogo naitaj mwenye elim tujadil kurogwa kwa mtume.....mm binafs siamin na nina dalil zako kama una dalil zako njoo tujadil siitak kukurupuka
Hao Masharifu 3 Tz ni wa ukoo wa mtume au wamekuwa Masharifu kwa sababu ya maajabuajabu yao?? , au hao wenye karma tuwaijate sasa badala ya Masharifu, na je wale wa huo ukoo wa mtume nao wanatibu au!!?
Kizazi cha mtume kipi,,,,,kabla ya mtume au baada ya mtume....toeni ufafanuzi ...sharifu ni Hussen na hassani au ni kizazi gani? Wale ni wajukuu wa mtume sio ukoo wa mtume wale ni watoto wa ally....
Sheikh wewe uko wapi
Umeongea vizurii ila hapo kwenye kurogwa mtume Muhammad umekosea hiyo hadith ya kulogwa na mtume ni dhahifu so mtume ni maasumu hawez kulogwa
@@JailanRamadhan alilogwa kwa kwel na ndo maan alishushiwa sura mbili za kujilinda kwa Allah...kasome sababu yakushuka suratu nnas na falaq
Ebo!! Kwamba Allah alisahau kumpa ulinzi kabla!!??
Tatizo ugali kwanza
Simulizi mbona mathayo humtaki siku hizi au umetosheka na elimu yake
@@samxx411 Shehe Mohammed Mathayo Kimbwembwe yupo busy kidogo ila tunaendelea naye baadae inshallah
@@SIMULIZIZONEsimulizi umejuwa kusema inshaallah😂
@@Catherine-mh8sw Inshallah maana yake Mungu akipenda
@@samxx411 kwa kawaida msemo huo wanatumia waislam.
Shekhe MATAYO tumemisi mawaiza yake tuwekee mapya
Yaan mtangazi non sense
Yeye mwenyewe sheikh kavaa pete 4 aya gani imesema kuvaa pete 4 ni suna?
Sharifu anauza maji na dawa. Sharifu akikuombea tu hata bila ya dawa Allah akipenda unapona. Kila akiongea anawatisha mbumbumbu kwa kuwatajia uchawi. Yeye anajigamba kwa kuegemea kwa nani?
Sass sheikh kwan kuzaliwa kwa hao ndio mwisho wakuzaliwa mashalifu ushaidi uo umetoa wapi? Achen chuki bahna mara mseme shalifu alitokana na nasaba ya mtume .ninyi ndio waongo
Jamani huyo sheikh sharifu firdausi hajamtukana mtu na wala hajaanza jana kutoa tiba anamiaka zaidi ya miaka3 hatujawaona masheikh kuongea na kabla hapo walikuwepo masharifu wengina wenye jina la usharifu zaidi ya miaka 20 kuna nini masheikh mnaibuka sasa hivi ama maslahi yamegongana?
Mi3 kwahiyo ni juzi tu kumbe wenye walifanya hivyo nikina nani
Tatizo ni namna anavyonasibisha Mambo yakiganga na ukristo kwenye uislam atupe ushahidi matendo yake ya kulazimisha kuwa Dua zake zinajibiwa papo hapo akimpa mtu maji hapohapo anapona imeshtua watu, huoni maigizo hayo anautakatifu gani yeye mpaka Kila anayemtibu lazima apone
Endelea kutetea waganga wa kienyeji tu uku wakijiita ni masharifu tumuogope mungu tulipo teleza na tunapo stuliwa na mashekhe bas tujutie na tujitaidi kuepukana lakini tukiwa wabishi alafu atuna elimu tunazidi kupotea na tutajiingiza pabaya adhabu za Allah atuwezi kuvumilia
Sharifu Feki huyu amemjibu vibaya shekh KiSHK wala usimteteee anajibu mashekhe wakubwa kama anajibizana na vijana wenzie ? hiyo ni adabu gani? kafundishwa dini ya uislaam na nani ?
@@Mariam-ke4og yani pia anakataa kuwa yy sharifu na sio mshirikina alafu anampingia tutamuamkia usiku wamanane tutamshuulikia we muache tu anastasia shehe kishki kama vile alafu kunamtu anamtetea na kuona sharifu yuko sawa
Mtangazaji ume elewa ? Nawe umedanganyika maana nawe ni katika wajinga
Mtume wa Mungu hajawahi kurogwa sheikh unaongea uongo
Wewe katafute ilimu mtume karogwa katafute mashe uulize
Karogwa
@@kijitamfyomi5598
Itakuwa haujuwi dini ndiomaana waongea hivyo ??
Kasome kijana
Naam, anayesema Mtume (saw) hajarogwa, anadhani anamtetea Mtume. Kasome kwa masheikh upewe Sababun-nuzuuli za Muwaaghadhatayn