The honorable Prime Minister may Allah bless you on this earth and in the hereafter. Today You have put the most practical formula into practice. "POWER+KNOWLEDGE+WISDOM=SUCSESS" MAY ALLAH BLESS YOU AND KEEP YOU PROTECTED. THIS IS THE EXAMPLE OF GOOD GOVERNANCE.
Asante mh waziri kwa kuongoza kikao,kinginene kinacho umiza ni pale unapoenda kuisajiri biashara kama ni mwezi wa 9 wanakwambia inatakiwa ulipia miezi ya nyuma,swali nitalipiaje miezi ya nyuma na wakati hiyo miezi nilikuwa bado cjaanza?naomba hiyo Sheria ibadilishwe,tunaumizwa
Hongera sana sana Waziri mkuu Kasimu Majaliwa kwa busara yako na hekima yako uliyo pewa na Mungu kuweza kutatua mtatizo na kero za Watanzania ktk Taifa letu. Mungu awabariki
Waziri mkuu una busara sana hongera kwa hilo unajali sana, namuomba Mungu uje uwe Raisi badae maana una uwezo huo, hii inchi ni tajili sana lakini wanufaika na utajili huo ni watu wachache wanaochumia matumbo yao, Watanzania haikutakiwa tuwe na balabala za vumbi mpaka leo hela zote wanakula mafisadi na mnawakumbatia tu bila kuwachukulia hatua yoyote mifumo ya kubebana imezidi ndio maana inchi yetu inakwama kimaendeleo. Katiba ibadilishwe ili watu waheshimu hela ya inchi, kila siku ukaguzi wa CAG unabaini ubadhilifu mkubwa kwenye sekta mbalimbali alafu anakuja kukabwa mfanyabiashara kwa kutozwa bei kubwa ya kutolea kontena bandalini kiukweli wananchi hatunufaiki kabisa na matunda ya inchi yetu, muda mwingine muwe mnatupunguzia ghalama za maisha hata kwa kutotoa hela ya kumuona dokta mahosipitalini au hata kwa kutuondolea mavumbi kwenye balabala zetu. Najua Tanzania yetu ni tajili sana kwa sababu tuna vyanzo vingi vya mapato kiasi kwamba tungekuwa tunatibiwa bure au kwa ghalama ndogo kabisa. Mungu ibaliki Tanzania, wabaliki na mafisadi pia ili waache kuingizia hasara taifa letu na tunufaike pamoja wote
HAKIKA.MH.KASSIM MAJALIWA ..MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI MNO BABA UNA HEKIMA SANA. UNAONGEA MPAKA MBINGUNI WANASHANGILIA BUSARA IMEKUJAA BABA MPKA ZINAMWAGIKA UBARIKIWE SANA
Safi sana wazili mkuu kwani kamahapo bandali ya dar ina sumbuwa ukitoka ungija ukingiya dar na tv wanakuliza iyotivi nchingap ivikod inangaliya nchi ya tv uliobeba au wizi napiya hatupewi liasiti za tiyara a unandikiwa kwenye makaratasi unguja tuu ukibeba kitu unalipiya benk chida huku kwetu dar wachukuwa ushulu kwaUluma
Hotel/Guest house levy! 😢😢😢Tunatozwa asilimia 10 ya mapato!😢😢😢Ni unyang´anyi kwa wafanya biashara! Ni mzigo mkubwa kwa wafanya biashara kwani inabidi tutafute fedha za kulipa mishahara,maji,umeme nk! Barabara ni mbovu za kwenda kwenye sehemu husika inabidi mwenye guest ashughulikie mwenyewe kwenye matengenezo😢😢😢😢
Wazili mkuu nimekupenda saaanaaaaa chaps kazi tra nikero wanasema so wabunge wenu wanaotunga Shelia sisi hapa nikazi tu safishacha baba nakusamini Sana baba majaliwa oyeee usisahau kugombea ulaisibababala ziba pengo la sokoine
Swala lkodi za pango zamilango ya maduka ni kubwa sana. Jambo hili lingekabidhiwa kwa wahusika wa serikali ili wafanye tasmini ya ulipaji wa kodi za pango kutokana na maeneo husika bila kuwapa maumivu wafanyabiashara sbb kodi ni juu sana kila mwenyenyumba yake anajipangia anavyotaka naomba lidhibitiwe na lifanyiwekazi kwa weledi kwa maslah ya wafanyabiashara .
Tunakuamini mhe waziri mkuu na wewe ni msaada kwa rais wetu Samia (mama wa taifa). Njia bora ya kuyabaini matatizo ya wananchi katika maeneo yao ni kuwapa nafasi kwa kuwafikia na kuwasikiliza ndipo uchambuzi wa matatizo yao utakuwa halisi na suluhu yake pia itakuwa halisi. Hongera Mhe Kassim Majaliwa, kwani hiyo naamini imeisha. Kazi sasa iendelee sio kwa wafanya biashara tu bali katika nyanja zote.
Kuhusu lessen za biashara wanakomoa sana wafanyabiashara Dukani ukiwa na nguo na viatu vichache au handbags 5tu. ukiwa na perfum lazma uwe na lesseni tatu kwenye duka lako. 1. Leseni ya garment (nguo) 2.leseni ya leather(ngozi) 3.leseni ya food and trugs(perfum) Kila leseni hapo ni 250'000 180'000 150.000 jumla 580,000/= Kweli tutafika katika hali hii? 2
Da nimeishi kariakoo miaka mingi kutokufungua biashara siku tattu ni hatari Sana poleni Sana waziri mkuu mungu akuzidishie tulikuwa wote msibani chiponda kumzika membe ujapumzika kazikazi
Kuhusu police rushwa tatizo me nilikuwa nahama nyumba nipo na kikeli eti police kanikamata anadai mwenye mzigo.wakati ni vitu vyangu vya ndani tu mwisho wa siku anadai hela.sasa nilishindwa kuelewa nn hiki.
Waziri Mkuu Mstaafu Sokoine atakuwa amefurahi kuona Waziri Mkuu Majaliwa anatekeleza Uwajibikaji. Mheshimiwa Rais Samia endelea kutatua Kero za Wananchi ili uweke hazina ya Mbinguni na Duniani. Sisi Wafanyabiashara tunaipenda Serikali yetu na tunapenda kulipa Kodi bila shurti kama Wazalendo. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Ruhusu wafanya biashara halali tu sio hao wanaochezesha makamari ya kichina ya mia 200 na 500 yafutwe hawafanyi biashara bali wamekuja kuibia watanzania wote kimashine za kamari zinafilisi sana watu nawengine kujiuwa nakuacha familia zao kubaki yatima hazifai kbs nichi nyingi zenye kujali wananchi wao washazipiga marufuku lakini tz inanyamaza. Hzo kamari zinauwa biashara nyingi mno waziri mkuu hata wewe huko kijijini kwako wanaumwizwa sana na wanazidi kuwa maskini wakutupwa
Hivi kwanini serikali aifundishi somo la kodi kukazia Darasa la kwanza hata basic tu kwasbabu walipa kodi wengi ni wafanya Biashara na hawajaenda shule
Hakuna anaemwelewa ila kikaango hiki hakimpiti. Lazima aive hata km yeye anajifanya jiwe lisilopikika wala kukaangika. Mipango yake mingi inafocus zaidi matumbo na mifuko yake
Watu wenye elim na wanao weza kusimama kwenye ukwel hawapati nafac tutaendelea kushehelekea miaka ya uhuru na sio maendeleo itoshe tu kusem hiii nchi ya ajab sanaa
Umewaza nn wewe kwan lazma Samia afe Kwan si itafika mda atastaff kama MUNGU alimuandikia majaliwa urais hakuna wa kupinga lakin haina haja ya kuomba rais afe hata mm napenda hyu jmaa awe rais lakin sio urais wa kurithi awe rais aliechaguliwa kwa haki na wananchi na inshaallah itakuwa hivyo amiin
Baba maelezo nimeyaelewa Sana biashara nyingi zimekufa Tra hawapo kuongeza wafanyabiasha Ila kupinguza wafanyabiasha biashara yavitenge waige,Kodi yazambi nikama wavu mafanikio yamfanyabiashal asiinuke Asante majaliwaa ooyeeeeee(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤
@@hatibumohamedi3471 😂😂😂 oyee! Sasa ccm ya nini hapa. Ndio maana tulipata msemo mpya (chagua magufuli) sio ccm. Usiniambie chadema oyee.. Maana na kwenyewe hayohayo mimi hua naangalia mtu mwenye uwezo sio chama chanye uwezo. FUTA ITIKADI YA CHAMA FUNGUA ITIKADI YA MTU/KIONGOZI. NA HAPO NDIO PENYE HEKIMA.... JE KIONGOZI YUKOJE, SIFA ZAKE, MAANA YAKE... UKIPATA MAJIBU WAPANGE SASA. LISSU, MBOWE, ZITTO, LEMA MZEE WA KUFA MIAKA MIWILI BODABODA, NA WOOTE WLAOOKO CCM. UKIPATA MWEMYE SIFA ULIZOZIOROZESHA BASI UMEPATA MTU. FUTA CHAMA KICHWANI MWAKO, UKIMPATA CHADEMA NENDA, UKIMPATA ACT NENDA, UKIMPATA CCM NENDA.. USIPOMPATA USIPOTEZE MUDA WAKO WAKATI WA KAMPENI WEWE LALA TU HOME WAACHE WAPIGE KELELE WAO.
Hongera sana sana Waziri mkuu Kasimu Majaliwa kwa busara yako na hekima yako uliyo pewa na Mungu kuweza kutatua mtatizo na kero za Watanzania ktk Taifa letu. Mungu awabariki
The honorable Prime Minister may Allah bless you on this earth and in the hereafter. Today
You have put the most practical formula into practice.
"POWER+KNOWLEDGE+WISDOM=SUCSESS"
MAY ALLAH BLESS YOU AND KEEP YOU PROTECTED.
THIS IS THE EXAMPLE OF GOOD GOVERNANCE.
😊😊😊😊
Mkuu wetu Mungu akulinde akupe afya njema na maisha marefu.Mungu ibariki Tanzania na wananchi wake.
Damu ya YESU Ikufunike Waziri Mkuu
Asante mh waziri kwa kuongoza kikao,kinginene kinacho umiza ni pale unapoenda kuisajiri biashara kama ni mwezi wa 9 wanakwambia inatakiwa ulipia miezi ya nyuma,swali nitalipiaje miezi ya nyuma na wakati hiyo miezi nilikuwa bado cjaanza?naomba hiyo Sheria ibadilishwe,tunaumizwa
Hongera sana sana Waziri mkuu Kasimu Majaliwa kwa busara yako na hekima yako uliyo pewa na Mungu kuweza kutatua mtatizo na kero za Watanzania ktk Taifa letu. Mungu awabariki
Waziri mkuu una busara sana hongera kwa hilo unajali sana, namuomba Mungu uje uwe Raisi badae maana una uwezo huo, hii inchi ni tajili sana lakini wanufaika na utajili huo ni watu wachache wanaochumia matumbo yao, Watanzania haikutakiwa tuwe na balabala za vumbi mpaka leo hela zote wanakula mafisadi na mnawakumbatia tu bila kuwachukulia hatua yoyote mifumo ya kubebana imezidi ndio maana inchi yetu inakwama kimaendeleo. Katiba ibadilishwe ili watu waheshimu hela ya inchi, kila siku ukaguzi wa CAG unabaini ubadhilifu mkubwa kwenye sekta mbalimbali alafu anakuja kukabwa mfanyabiashara kwa kutozwa bei kubwa ya kutolea kontena bandalini kiukweli wananchi hatunufaiki kabisa na matunda ya inchi yetu, muda mwingine muwe mnatupunguzia ghalama za maisha hata kwa kutotoa hela ya kumuona dokta mahosipitalini au hata kwa kutuondolea mavumbi kwenye balabala zetu. Najua Tanzania yetu ni tajili sana kwa sababu tuna vyanzo vingi vya mapato kiasi kwamba tungekuwa tunatibiwa bure au kwa ghalama ndogo kabisa. Mungu ibaliki Tanzania, wabaliki na mafisadi pia ili waache kuingizia hasara taifa letu na tunufaike pamoja wote
Damu ya Yesu ikufunike baba
Hyu mzee anastahiki kuwa.rais 100%%%% mm ni opposition ila ukigombea uraisi nakuja kwako mkuu
Waziri mkuu kassim majaliwa nakutakia maisha marefu uwe msaada kwetu wanyonge
This man Deserves Presidency.
His leadership Diligence is of great humbleness.
HAKIKA.MH.KASSIM MAJALIWA ..MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI MNO BABA UNA HEKIMA SANA. UNAONGEA MPAKA MBINGUNI WANASHANGILIA BUSARA IMEKUJAA BABA MPKA ZINAMWAGIKA UBARIKIWE SANA
Dawa ya rushwa ni kukabizi nchi Kwa wanachi, sio nchi kuwa chini ya watu wachache. Samia suluhu hoye, Mambo ni bam bam.
Safi sana wazili mkuu kwani kamahapo bandali ya dar ina sumbuwa ukitoka ungija ukingiya dar na tv wanakuliza iyotivi nchingap ivikod inangaliya nchi ya tv uliobeba au wizi napiya hatupewi liasiti za tiyara a unandikiwa kwenye makaratasi unguja tuu ukibeba kitu unalipiya benk chida huku kwetu dar wachukuwa ushulu kwaUluma
Tulijuwa uko vizuri kwenye kampeni tu hi ni kimoyo safi Allah ibariki Amiin.
Wise man
Hotel/Guest house levy! 😢😢😢Tunatozwa asilimia 10 ya mapato!😢😢😢Ni unyang´anyi kwa wafanya biashara! Ni mzigo mkubwa kwa wafanya biashara kwani inabidi tutafute fedha za kulipa mishahara,maji,umeme nk! Barabara ni mbovu za kwenda kwenye sehemu husika inabidi mwenye guest ashughulikie mwenyewe kwenye matengenezo😢😢😢😢
Popote ulipi Man Ubalikiwe This Month Hadi Umekonda My Father Mungu akutunze Milelee
Majariwa baba mungu akubariki baba TRA waachie kabosa hiyo mizogo bureeeee
Wazili mkuu nimekupenda saaanaaaaa chaps kazi tra nikero wanasema so wabunge wenu wanaotunga Shelia sisi hapa nikazi tu safishacha baba nakusamini Sana baba majaliwa oyeee usisahau kugombea ulaisibababala ziba pengo la sokoine
mm binafsi nakuelewa sana
Nakuona Rais wetu wa kesho
Kwakwel huyu jamaa naomba sana mungu hawe the president of republic of Tanzania 🇹🇿 basi tu.. He deserves more than that
A leader is that who doesn't look how things are! But who knows how things could be!
Umeandaa kura nyingi kwa badae naamini wewe ni Raisi wa Watanzania
Swala lkodi za pango zamilango ya maduka ni kubwa sana. Jambo hili lingekabidhiwa kwa wahusika wa serikali ili wafanye tasmini ya ulipaji wa kodi za pango kutokana na maeneo husika bila kuwapa maumivu wafanyabiashara sbb kodi ni juu sana kila mwenyenyumba yake anajipangia anavyotaka naomba lidhibitiwe na lifanyiwekazi kwa weledi kwa maslah ya wafanyabiashara .
Tunakuamini mhe waziri mkuu na wewe ni msaada kwa rais wetu Samia (mama wa taifa).
Njia bora ya kuyabaini matatizo ya wananchi katika maeneo yao ni kuwapa nafasi kwa kuwafikia na kuwasikiliza ndipo uchambuzi wa matatizo yao utakuwa halisi na suluhu yake pia itakuwa halisi.
Hongera Mhe Kassim Majaliwa, kwani hiyo naamini imeisha.
Kazi sasa iendelee sio kwa wafanya biashara tu bali katika nyanja zote.
Eeeh mungu naomba umlinde huyu baba jamani😢,ni rais wangu ajae🙏
God
Kuhusu lessen za biashara wanakomoa sana wafanyabiashara
Dukani ukiwa na nguo na viatu vichache au handbags 5tu.
ukiwa na perfum lazma uwe na lesseni tatu kwenye duka lako.
1. Leseni ya garment (nguo)
2.leseni ya leather(ngozi)
3.leseni ya food and trugs(perfum)
Kila leseni hapo ni 250'000
180'000 150.000 jumla 580,000/=
Kweli tutafika katika hali hii?
2
Tarifa ya habari atv
Asantee baba na huku njombe kunamatatizo mpaka ofisi za tra zimekuwa ofisi za matapeli wanawatapeli wananchii hata kwa kaz ambazo aziwahusu
Jaman, mbona huyu baba anafuata nyayo za anko? Mungu akulinde baba na moja kwa moja nakupa hongera uishi maisha marefu
Ni wajibu wake yeye
Da nimeishi kariakoo miaka mingi kutokufungua biashara siku tattu ni hatari Sana poleni Sana waziri mkuu mungu akuzidishie tulikuwa wote msibani chiponda kumzika membe ujapumzika kazikazi
I loved the winding up || Though was very politically harmonized 😂
Wenye pesa wanavaa simple sana
Duuuh hiyo kamati wengi karibu wanne wanatoka Kanda za juu kusini mama bonge mbeya mpandila njombe fredy vunja Bei iringa hongereni SN
Yaani huyu jamaa angekuwa magu yupo walikuwa wanaendana sana baba pambana kwa ajili ya watanzania mungu atakulipa .
mangufuli part 2
Kuhusu police rushwa tatizo me nilikuwa nahama nyumba nipo na kikeli eti police kanikamata anadai mwenye mzigo.wakati ni vitu vyangu vya ndani tu mwisho wa siku anadai hela.sasa nilishindwa kuelewa nn hiki.
Waziri Mkuu Mstaafu Sokoine atakuwa amefurahi kuona Waziri Mkuu Majaliwa anatekeleza Uwajibikaji. Mheshimiwa Rais Samia endelea kutatua Kero za Wananchi ili uweke hazina ya Mbinguni na Duniani. Sisi Wafanyabiashara tunaipenda Serikali yetu na tunapenda kulipa Kodi bila shurti kama Wazalendo. Tanzania Imara Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿
Wewe waziri mkuu hilipaswa kuwa Rais wa watanzania yaani true fact
Baba usiishie hapo twatamani one uwe mkuu wa nchi yetu unaweza na unakubalika
Viatu vyamangufuli vinakufa na vinakutosha kabisa
Safi sana
Na kuhusu tozo iwe chini zaidi sababu tupo 61, 000000 hata tukitoa sh.200 tosha
Ruhusu wafanya biashara halali tu sio hao wanaochezesha makamari ya kichina ya mia 200 na 500 yafutwe hawafanyi biashara bali wamekuja kuibia watanzania wote kimashine za kamari zinafilisi sana watu nawengine kujiuwa nakuacha familia zao kubaki yatima hazifai kbs nichi nyingi zenye kujali wananchi wao washazipiga marufuku lakini tz inanyamaza. Hzo kamari zinauwa biashara nyingi mno waziri mkuu hata wewe huko kijijini kwako wanaumwizwa sana na wanazidi kuwa maskini wakutupwa
asante waziri mkuu
Mh. tafadhali ondoa majipu hapo wizara ya fedha,,
Pm mikoani huku ni kama sio tz maana dah
Hivi kwanini serikali aifundishi somo la kodi kukazia Darasa la kwanza hata basic tu kwasbabu walipa kodi wengi ni wafanya Biashara na hawajaenda shule
Kuna NCH inaitwa Tanganyika ukinunua mahindi kule wanataka uwe nareseni mbili ushuru marambili kule gachuma wanatutesa
Wazi mkuu tunakuamini Sana zaidi ya wote una msimamo
Ni reflection ya matatizo mengi Tz (uaminifu serikalini questionable).
Majaliwa ustahili kuwa waziri mkuu ww ni Rais wa nchi ya TANZANIA 🇹🇿
Ee kodi kodi iyo rushwa ikitolewa nifisuri sana sana sana sana sana sana sana
Raisi wetu ajaye
👏👏👏👏👏
Mwiguru nchemba simwelewi
Hakuna anaemwelewa ila kikaango hiki hakimpiti. Lazima aive hata km yeye anajifanya jiwe lisilopikika wala kukaangika. Mipango yake mingi inafocus zaidi matumbo na mifuko yake
Tunaomba usafi waziri Mkuu Takayama zizolewe na magari ya Takayama yalipwe pesa zao wanazo fanyiwa kazi bila kubugudhiwa. Soko chafu sana!!
Sawa
Mimi binafsi natamani uwe rais wa Tz kwani Una msimamo kiume
Mbona kagame kaweza kuzibiti rushwa muulizeni amewezaje?
Niko arabuni ninaishi na warwanda wengi wanasema:
swala la rushwa hutolewa ila kwa wakuu tu
Alafu huyu muinguru mchemba Afai kuwa waziri wa watanzania anakiburi mnooo atufahiiiii kabisa out out
My next presdent
Chemba pia idara ya maji ni shida
Watu wenye elim na wanao weza kusimama kwenye ukwel hawapati nafac tutaendelea kushehelekea miaka ya uhuru na sio maendeleo itoshe tu kusem hiii nchi ya ajab sanaa
If ikitokea mama samia akafa huyu si awe rais? Hatuombea afe ila Mungu akipenda afe mbona magu alituachia machungu
Umewaza nn wewe kwan lazma Samia afe Kwan si itafika mda atastaff kama MUNGU alimuandikia majaliwa urais hakuna wa kupinga lakin haina haja ya kuomba rais afe hata mm napenda hyu jmaa awe rais lakin sio urais wa kurithi awe rais aliechaguliwa kwa haki na wananchi na inshaallah itakuwa hivyo amiin
@@fatmacharles369 mawazo ya mtu yaheshimiwe kama huwezi heshimu basi ndoa itakushinda kufa ni lazima kila mtu atakufa
Waanzie makumbusho waje mapema xana maana tabu tupu
Da kawapiga siasa
CCM oyee😪😪
Baba maelezo nimeyaelewa Sana biashara nyingi zimekufa Tra hawapo kuongeza wafanyabiasha Ila kupinguza wafanyabiasha biashara yavitenge waige,Kodi yazambi nikama wavu mafanikio yamfanyabiashal asiinuke Asante majaliwaa ooyeeeeee(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤(◍•ᴗ•◍)❤
@@hatibumohamedi3471 😂😂😂 oyee! Sasa ccm ya nini hapa. Ndio maana tulipata msemo mpya (chagua magufuli) sio ccm. Usiniambie chadema oyee.. Maana na kwenyewe hayohayo mimi hua naangalia mtu mwenye uwezo sio chama chanye uwezo. FUTA ITIKADI YA CHAMA FUNGUA ITIKADI YA MTU/KIONGOZI. NA HAPO NDIO PENYE HEKIMA.... JE KIONGOZI YUKOJE, SIFA ZAKE, MAANA YAKE... UKIPATA MAJIBU WAPANGE SASA. LISSU, MBOWE, ZITTO, LEMA MZEE WA KUFA MIAKA MIWILI BODABODA, NA WOOTE WLAOOKO CCM. UKIPATA MWEMYE SIFA ULIZOZIOROZESHA BASI UMEPATA MTU. FUTA CHAMA KICHWANI MWAKO, UKIMPATA CHADEMA NENDA, UKIMPATA ACT NENDA, UKIMPATA CCM NENDA.. USIPOMPATA USIPOTEZE MUDA WAKO WAKATI WA KAMPENI WEWE LALA TU HOME WAACHE WAPIGE KELELE WAO.
Rushwa hashi bwana
We ulitaka aondoke bila kusema chochote au yote aliyoyafafanua aujajua utekelezaji wake unatakanini
umetuelimisha vyakutosha
Wtf
Mwamba anafaa kuwa raisi huyu
Nchi hiki ktk mikoni yake tutakuwa salama