Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mzee Mkapa alikuwa gentleman May his soul be rested where it deserves
Mungu akupe makazi mema🇰🇪
Heaven couldn't wait for you
Huyu Mzee alikuwa ni kichwa kweli kweli
Speech iliyobeba matumaini makubwa sana kwa wananchi kwa wakati huo dah Mkapa alikua anajua kupangilia saana hotuba zake
Hayati Mkapa alikuwa kichwa haswaa, na hotuba zake zilikuwa zimenyooka kweli kweli
R. I. P BABA. tu nakukumbuka sasa.
Maagizo yao tmeyakataaa naludia tena maagizo yao tumeyakataaaaaaa
Baba.nitalinda ccm daima
Pumzika peponi Hayati
Kiongozi alieweza kukataa maagizo ya makaburu
Mtu anaeweza kusema maagizo yao tumeyakataa alikua huyu mzee, nyerere aliwafokea waingereza na magufuli ndo alikua kiboko yao na nyie ongezen prezda mwingne
Ndoto Si Pato
Umeondoka kichwa umebaki mkia tena kipande kilichokonda
MimiNimwinjilistRobertJonKutokaigomamwanzamzeemkapapumzikakwaamanibaba
Mzee Mkapa alikuwa gentleman
May his soul be rested where it deserves
Mungu akupe makazi mema🇰🇪
Heaven couldn't wait for you
Huyu Mzee alikuwa ni kichwa kweli kweli
Speech iliyobeba matumaini makubwa sana kwa wananchi kwa wakati huo dah Mkapa alikua anajua kupangilia saana hotuba zake
Hayati Mkapa alikuwa kichwa haswaa, na hotuba zake zilikuwa zimenyooka kweli kweli
R. I. P BABA. tu nakukumbuka sasa.
Maagizo yao tmeyakataaa naludia tena maagizo yao tumeyakataaaaaaa
Baba.nitalinda ccm daima
Pumzika peponi Hayati
Kiongozi alieweza kukataa maagizo ya makaburu
Mtu anaeweza kusema maagizo yao tumeyakataa alikua huyu mzee, nyerere aliwafokea waingereza na magufuli ndo alikua kiboko yao na nyie ongezen prezda mwingne
Ndoto Si Pato
Umeondoka kichwa umebaki mkia tena kipande kilichokonda
Mimi
Nimwinjilist
Robert
Jon
Kutoka
igoma
mwanza
mzee
mkapa
pumzika
kwa
amani
baba