Nakupata nikiwa oman 🇴🇲 Shukrani sana kwa mafunzo yako kwa kila unapoposti video mpya Mimi ni mmoja wa member wako Ubarikiwe zaid katika kipaji chako cha kutuelimisha jamii
Jambo lingine ambalo linaweza kumfanya mtu kuwa na furaha na Amani ni kumtanguliza Mungu mbele kwa kila jambo hii itakufanya uwe ni mwingi wa kuridhika ktk kila unalolipitia na ukiwa na iman kwamba litakishwa ukiwa na spirit hiyo basi furaha uja yenyewe kwasbb unakuwa na Imani Mungu yupo na atakuongoza na kukusaidia.
Kumkumbuka mungu,ukiswali kwa ufahamu kuelewa unachokisema kwake na kujua yeye ndiyo kaumba kila kitu mfano bahari,milima vyote kwaajili yetu,tunavitumiaje lazima tuwe na afya na amani
Kuamini Mungu na kumtanguliza kwa kila jambo inasaidia kupunguza uzito wa jambo linalo kukosesha raha au stress so pia iyo ni njia nzuri sana ya kupunguza tress
Yeah mm I am one of the people huwa napenda kutoa vitu ambavyo huwa vimenizidi "For help" Am blessed with that strength maana nikikaa na the hard thoughts huwa naumia sana.
Aisee ndugu Yako wa damu hapa Niko mtwara nakupata vizur sana kaka nimenufaika vitu vingi sana kutoka kwako mungu akujalie sana Yan katika wanafunzi wako waliofanikiwa angalau kidogo na mm nipo❤❤
Asante sana ndugu yangu kwa kufanya kazi kubwa sana zaididi ya sana mimi nakufatilia sana na umekuwa mchango mkubwa sana kwangu mungu akubariki,mimi niko France
MUNGU AKUBARIKI umejibu comments nyingi sana,hii inaonesha ni jinsi gani unajali, hii inampa msikilizaji morality, next tm tutakua wengi zaidi,barikiwa kaka kwa kazi njema.
Ni kwer kabsaaa ukifanya kitu chako mwenyewe unachokpenda utakuwa na Aman . Jambo mhm kuwa na Iman na Allah atakusaidia. Ukiwa na Yakin na Allah kila kitu kitaenda sawa Inshaallah
Nakupata nikiwa oman 🇴🇲
Shukrani sana kwa mafunzo yako kwa kila unapoposti video mpya
Mimi ni mmoja wa member wako
Ubarikiwe zaid katika kipaji chako cha kutuelimisha jamii
Jambo lingine ambalo linaweza kumfanya mtu kuwa na furaha na Amani ni kumtanguliza Mungu mbele kwa kila jambo hii itakufanya uwe ni mwingi wa kuridhika ktk kila unalolipitia na ukiwa na iman kwamba litakishwa ukiwa na spirit hiyo basi furaha uja yenyewe kwasbb unakuwa na Imani Mungu yupo na atakuongoza na kukusaidia.
Maa sha Allah...hivi hili sikulisema eeh. Nashukuru sana Kwa ukumbusho Al akhy, jambo kubwa zaidi hili.
@@successpathnetwork Hili ulisahahu kuliweka bro Allah nikitulizo cha Nafsi pia nimefurah sana kuona umejibu comment yangu Baraka llahu fiika
💯
Hii ndio ninayoiishi yakumtegemea mungu na imenibadilishia sana maisha
Nfurah kuckia nasaha zako ..Allah akuzdshie ...much ❤4rom saudi
Kumkumbuka mungu,ukiswali kwa ufahamu kuelewa unachokisema kwake na kujua yeye ndiyo kaumba kila kitu mfano bahari,milima vyote kwaajili yetu,tunavitumiaje lazima tuwe na afya na amani
Shukran brother from Mombasa ❤
Huwezi amini, this page was one of the things ime treat my brain and life discipline. Asante Sana
Karibu sana na Asante kwa mrejesho
Mimi Niko CONCO RDC 🇨🇩
Kuamini Mungu na kumtanguliza kwa kila jambo inasaidia kupunguza uzito wa jambo linalo kukosesha raha au stress so pia iyo ni njia nzuri sana ya kupunguza tress
Dodoma
Dodoma
Yeah mm I am one of the people huwa napenda kutoa vitu ambavyo huwa vimenizidi "For help" Am blessed with that strength maana nikikaa na the hard thoughts huwa naumia sana.
from Uganda🇺🇬
Aisee ndugu Yako wa damu hapa Niko mtwara nakupata vizur sana kaka nimenufaika vitu vingi sana kutoka kwako mungu akujalie sana Yan katika wanafunzi wako waliofanikiwa angalau kidogo na mm nipo❤❤
Asante naenda masomo yako
Umesahau mungu pia lazima umfikirie kila asaaa utafurahi
Mungu akubarriki- NJOMBE
Asante sana ndugu yangu kwa kufanya kazi kubwa sana zaididi ya sana mimi nakufatilia sana na umekuwa mchango mkubwa sana kwangu mungu akubariki,mimi niko France
Pamoja sana kaka...wape salamu huko France
Mungu abariki kazi yako, nakufuatilia nikiwa Nairobi
Nashukuru sana sana Chris. Wape salamu Naii
Ahsante sana jambo la nane fanya ibada
Mungu akubariki sana iringa
Nipo Dar, nakufuatilia sana bro, uko vzr sana, nifundishe na mm kujiamini
Njoo What'sApp niandikie hiyo comment yako kule. Chukua namba kwenye description
Allah ndio kilakitu katika maisha ya mwanadam tuache aliyoyakataza na tufanye aliyoyaamrisha ukashikamana na ibada utakua na furaha na amani kubwa
United kingdom
Mwanza ❤❤❤❤
Issa ally. Niko Singida shukuran ndugu na elimu unaoitoa, aah ukweli umenifungua mantiki sana. M, mungu akujalie afya na maarifa. p
From ARUSHA, TANZANIA. THANK YOU.
From kenya, napenda funzo chako.asante sana
Karibu sana. Asante sana
Asante sana ndugu am from Nairobi
Pamoja sana Mosses, wape salamu huko Naiiii.
Mungu akubariki zaidi ki
Nipo mbeya❤🎉
Wape salamu wa-Mbeya wote... 😀😀🙌🏽
Asante san Burundi ❤🇧🇮🇧🇮
Am from Kenya kaka nakupata vzr Alhamdulilah
Maa sha Allah... karibu sana
Mwenyezi mungu akubariki kaka kutupa somo sahihi ubarikiwe naendeleya kufatiliya makala Yako
Amiin
Mocambique
From Oman 🇴🇲
Mungu akubariki brother,nakufatilia kutoka masasi Mtwara
Nakupata Sanaa bro kutoka Tanga
Kaka yangu mwenyezi Mungu akubariki ,Nakufatilia nikiwa Dubai 🤝
Thanks listening from Kenya Nairobi
Thank you very much, I appreciate it.
Bujumbura Burundi napenda vdio zako Saaanta Mungu akubariki
Makini sana kaka
Nakupata vizuri kutoka Arusha
MUNGU AKUBARIKI umejibu comments nyingi sana,hii inaonesha ni jinsi gani unajali, hii inampa msikilizaji morality, next tm tutakua wengi zaidi,barikiwa kaka kwa kazi njema.
Nashukuru sana kwa kuona effort zinazofanyika. Karibu sana
Nafurahi sana kutoka inchini German🇩🇪❤❤❤kusikia ushauri wako kaka
Barikiwa kaka nipo Kilimanjaro
Pamoja sana wape salamu Kilimanjaro...
shukran sana
Mwanza🎉🎉🎉
❤Bahareen
Kagera bukoba salute u brother!
Karibu sana Kaka
I am enjoying this sound from oman🇴🇲🇴🇲
Shukrani sana wape salamu huko
Nipo dar
Mie natokea Zanzibar ahsante kwa kutuelimisha
Listening from Kenya Mobasa
Zanzibar 🇹🇿 Allah akubariki
From Netherlands 🇳🇱
8. Smiling/ laughing pia is on among it.
Hey man Ezden you made me to have a good day so well bro,I got u,Thanks
Natazama video hii nikiwa kyerwa, kagera, nakuelewa sana kaka ezden
Bro your the one among of my favourite influencer honesty
Glad to hear it Martin. Thank you so much
@@successpathnetwork BIG UP
From South Africa, Allah akuongoz vyema ktk juudi zako, ongera sana
nashukuru sana...Karibu sana
Ni kwer kabsaaa ukifanya kitu chako mwenyewe unachokpenda utakuwa na Aman . Jambo mhm kuwa na Iman na Allah atakusaidia. Ukiwa na Yakin na Allah kila kitu kitaenda sawa Inshaallah
sahihi kabisa
Saudi Arabia from Kenya 🇰🇪
nawatazama kutoka chalnze kwakwer tunabalkiwa sana nakaz yako kaka
Uko vizuri bro
Nipo Dar
Nawatakia nguvu kwasababu video zenu zinanijenga vizur kierimu nikiwa zambia Lusaka 🇿🇲
Karibu sana...wasalimie Zambia
We love your content from, USA Texas
Thank you very much, I appreciate it. wape salamu huko
Mm niko somalia 🇸🇴Muqdisho .mm ni Mtanzania bro asante kwa kumuelimisha 💯🤝🙏
Mwanza nyegez🎉
Asante natazama tokea Italy
Wow... Wape salamu sana Italy
Aslm alykm kaka , nakuangalia kutoka Omani asante sana
Omani ❤❤
Drc Congo
Ohhhhh kaka mungu akulinde xanaaaaaaa.......❤
Amin
Congo kk
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
Geita
Asalaam Aleykhum kaka shukrani nipo Omani
Nimefurah
Nakupenda Ezden 🎉
Santee
Niko pemba upembani mashallah unaupiga mwingi
Somo zuri,, nimefaidika na soma hili nikiwa italia
Moçambique 🎉
Niko Saudi Arabia ❤❤
Kenya mombasa
From Italy
Asalam Alaykum Nipo Hawasa Ethiopia
3:35 I'm watching you my brother from, Bhago Majra_ INDIA
Thank you very much. I appreciate that. Wasalimie huko
Asanti Sana buro
Habari yako kaka mm nipo zanzibar
Kombolela,,,,nakumbuka utoto ila sawa
Nakupata sana bro nikiwa DSM🇹🇿
nipo arusha
From Saudi Arabia
Kutoka BURUNDI 🇧🇮 Nakufuatilia 5/5✍️
Mwanza
Kenya Mombasa wattamu big up bro unanielimisha
Nikweli ibada ni ya muhimu sana lakin Mungu kaweka maarifa kwa watu kwa ajili ya watu
am in dar es salaaam
Arusha juu.
Us 🇺🇸 hapa na kukubali sana 🔥
Asante 🇴🇲
Asante sana kwa kufuatilia, wape salamu OM
Nipo zanziber
From moshi kilimanjaro
Pamoja sana wape salamu kilimanjaro
Lakini kikubwa kuliko vyote ni kumtanguliza mungu na kusali toka Leo mpaka mwisho wangu navyo vinasaidia🙏🇷🇼
Asante
Nyeri Kenya 🇰🇪