Nilijua tu siku mkifanya wimbo kwa pamoja utakua mzuri jamani dada zangu Mungu awabariki Sana na aendelee kuwabariki ktk utume wenu nawapenda Sana ninyi wadada.
Kazi mzuri sana Miss Anastacia... Mwalimu Benard Mukasa, when you next come to Nairobi come visit us at Christ The King Catholic Church in Kibera. Please
Karibuni kutazama wimbo huu ulioimbwa na Anastacia Muema akishirikiana na Despina Mdende. Organist ni David Benjamin Wasonga. Audio na Video zilifanyika katika studios za Holy Trinity, Dar es Salaam. Please SUBSCRIBE, SHARE, LIKE and COMMENT. One Love!❤️
Kazi safiiiii, Anaother one tena.. Hongera sana Anastacia Muema kwa kazi nzuri, Pongezi kwa Despina Mdende kwa sauti nzuri kabisa, Kaka yangu David Benjamin Wasonga kwa Kucheza kinanda vyema kabisa, Bila kuwasahu waandaaji wa kazi hii, Audio na Video, Holy Trinity Studio. Mungu awabariki sana🙏🏻🙏🏻
A true African girl on top of a hill dressed in the spirit of king David , Am so humbled by this sweet praise to The LORD. A beautiful combination, Despina and The Pianist , a wonderful dress code and dancing to the LORD, its so delightful.👏👏💖🙏.
What a great combination. Two amazing catholic soloists, a legendary contemporary composer, a classic Tanzanian catholic piece by a legendary Composer, with a great production and motion picture studio. Such a marvelous way to evangelize. Congratulations 👏
@@anastaciamuema kabsaaaa yaaan, na KUNA picha Niko nayo nilipiga naye🤣😂🤣😂 nilikutana naye uso Kwa uso na akanifundisha. But nilimfaid Kwa Mwaka mmoja tuu akafariki😭😭😭
These two great soloists are really moving the whole world by their harmonist vocals....(Romans 15:13) This will go a long way in history. May u be filled with the Holy spirit as u proclaim the word through singing.. #alleluialetsrejoicetogether
Kazi nzuri sana hapa Ann. JKUAT CATCOM Alumni is happy and blessed to have you. Congratulations to your team as well and Holy Trinity studios for the masterpiece.
Nilijua tu siku mkifanya wimbo kwa pamoja utakua mzuri jamani dada zangu Mungu awabariki Sana na aendelee kuwabariki ktk utume wenu nawapenda Sana ninyi wadada.
Nimefurahia kazin nzur sana natamani SIku Moja tuwe pamoja katika kazi ya kumtumikia mwenyez mungu
Mungu asifiwe sana kwa hikyo kipaji alico kupa dada nafurahi sana ninapo sikiliza nyimbo zako
Quality music inaingia ndaniya Rho yangu.
Bwana ni mwema kwa wamchao anaweza kwa malisho yake(neno lake)
Aiseee, hongereni sana Annastazia na Despina. Hii kazi ni nzuri sana, among your best. Keep it up.
Apumzike kwa amani huko aliko mzee Mgandu.
Asante sana mwalimu Benard Mukasa.🙏 Be blessed!🤗
AMINA🙏🙏
Asantee mtumishi wa Mungu, kazi yako ni njema na imenibariki 💕
Kazi mzuri sana Miss Anastacia... Mwalimu Benard Mukasa, when you next come to Nairobi come visit us at Christ The King Catholic Church in Kibera. Please
@@philipoqambaweyda346 Amina🙏🙏🙏
Mwalimu mukasa tunakungoja saana hapa mulumba
Karibuni kutazama wimbo huu ulioimbwa na Anastacia Muema akishirikiana na Despina Mdende. Organist ni David Benjamin Wasonga.
Audio na Video zilifanyika katika studios za Holy Trinity, Dar es Salaam.
Please SUBSCRIBE, SHARE, LIKE and COMMENT. One Love!❤️
Asante kwa ustadi huu
@@OrganistjamesKtZ asante sana, Ubarikiwe sana.
Sweet
Congrats Anne and Despina. To many more ahead!
Mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu
Asante kwa kutukumbusha Despina and Ana,Mungu azidi kuwabariki HT kazi nzuri big up sana😍
Niko hapa 2024, kazi nzuri saaana Mwenyezi Mungu awatunze, naomba hii combination iendelee🥰🥰
Waaoooh umenikumbusha Mbali Kaz nzur 🎉🎉
Wimbo unanikumbusha mwanangu anaitimu dalasa la sana lutabo seminary walikuwa wauandaa jaman munaimba vizuri ❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana dada Anastasia na ueendelee kubarikiwa pamoja kikundi chako
Amina🙏
Ubarikiwe sana pia🤗
Despina hakika unasauti nzuri sana,, hongera sana
Shukran 🙏🙏🙏🙏
Kazi safiiiii, Anaother one tena..
Hongera sana Anastacia Muema kwa kazi nzuri, Pongezi kwa Despina Mdende kwa sauti nzuri kabisa, Kaka yangu David Benjamin Wasonga kwa Kucheza kinanda vyema kabisa, Bila kuwasahu waandaaji wa kazi hii, Audio na Video, Holy Trinity Studio. Mungu awabariki sana🙏🏻🙏🏻
Thankyou so much Ray, RAJO PRODUCTIONS. We are so much humbled.🙏🙏
Be blessed.♥️♥️♥️♥️♥️
Asante sana Bro
Nikipita Bila kupongeza ntakua sijawatendea haki hongeren kazi nzuri Sana mmetokrezea👄👌👌👊🙏🎶🎶🎶🎶🎹🎹
Shukran sana. Ubarikiwe sana🙏
Kazi nzuri sana. Congratulations! Anne and your partner.
Thank you so much 😊🙏🙏
A true African girl on top of a hill dressed in the spirit of king David , Am so humbled by this sweet praise to The LORD. A beautiful combination, Despina and The Pianist , a wonderful dress code and dancing to the LORD, its so delightful.👏👏💖🙏.
Thankyou so much James🙏
@@anastaciamuema Am humbled🙏. Blessings upon you.🙏
Very nice song,nicely!!!
Hongereni kwa kazi nzuri Anne na Despina
Asante sana🙏🙏
Such a lovely musical instrument, you played it so nicely Anastacia. Congratulations 👏👏. Nice song 🎵 and beautiful voices.
Thankyou so much my dear♥️♥️
@@anastaciamuema You're welcome sis ❤❤
unaimba safi sana congratulations Sister wetu ubarikiwe
Kibao safi sana...Injili Isonge mbele kupitia kazi yenu nzuri
Amina🙏🙏
Despina kama Despina toka Kwaya ya Malaika Gabriel Segerea Dar es Salaam so Amazing voice hongereni sana...
Asante sana🙏
Sauti nzuri mno Mungu akubariki Kwa kumtumikia katika nyimbo.
Kazi nzuri kweli. Sauti tamu na zenye utulivu wa kina. Hongereni💚💚💚💚💚
Mungu azidi kuwabariki.
Asante sana 🙏. Ubarikiwe sana 🤗
@@anastaciamuema Asante😊🙏
Aky utaenda mbingu serious your voice Ni ya kuita malaika
Laurent Binamungu .hongeren kwakumwimbia mungu
Hongereni sana kwa sanaa hii kwenye hii video, hongera sana pia kwa wataalamu wa video mmefanya kazi nzuri sana yenye ubunifu
Naam, walifanya kazi nzuri sana.
Hongereni sana wana-HOLY TRINITY STUDIOS.👏👏👏🥰🥰🥰
Good job my regards to Despina much love my sisters💕💕💕
Waimbaji tajika ...Bora🤩Nawaenzi.Ahsanteni kwa wimbo huu
Amina🙏
Una Pumzi ya kutosha rafiki yangu nami natamani niweze kuhifadhi pumzi hivyo ! Kazi nzuri
Asante sana Victoria🙏🙏
Nice song Madam Ann na Despina. Keep going keletu❤❤
Thankyou so much, be blessed 🥰
Shukran Anastacia na kundi lako kwa uimbaji bora. Hii ni njia moja ya kuufanya uinjilisti. Na wengi walipate neno kwa jinsi hii.
Amina🙏🙏
Hongera kelitu kaitu.. wanifariji kweli. Keep the spirit gal..
Thankyou so much wamusyi🙏😍
What a great combination. Two amazing catholic soloists, a legendary contemporary composer, a classic Tanzanian catholic piece by a legendary Composer, with a great production and motion picture studio.
Such a marvelous way to evangelize. Congratulations 👏
Aaaaawwww🥰. The description is beautiful 😍. I’m blushing😌😌.
Be blessed Lucas🙏🤗🤗
Great indeed!
Nice!!!!
Hongerà Muema Mungu akubariki Nyimbo nzuri Sana
B blessed more e more guys 🎉🎉🥰🥰
Ameidhihirisha haki yake kweli....mungu azidi kutubariki na kukuongezea ...kibao kitamuuuuu
Amina Amina🙏🙏🥰
Nawapenda sana solo artists wetu wa nyimbo za Kikatoliki, good job keep it up 👏
Hongera sana Anastacia kutoka Kenya na Despina kutoka Tanzania, hii kazi ni nzuri sana
Asante sana Raphael🙏🙏
Aksanti mwimbo nzuri sana nimefurahi na music kabisa
Hongereni Anastacia na Despina...kazi nzuri👏👏💯👌🎶
Tunashukuru sana🙏♥️
Heko 🎊 🎊 🎊 Anne na rafiki yako. Bado tunasonga.
Asante sana rafiki yangu Murimi.🙏☺️
From DRC those Angels voices are too much apprecieted and we say thanks.
Hongera Ann na Despina kazi nzuri hii blessings us through songs
Amen🙏. Be blessed too.
KAZI Safi . Sifa za bwana zizidi kuenea ulimwenguni
Amina🙏
Mbarikiwe sana ninawapenda.
Kuna wimbo mwingine mliimba pamoja naomba link yake maana najaribu kusearch lakini siupati❤
Nimeipenda kofia ya Wasonga… 😄😄
Hongereni kazi nzuri sana…
Asante sana🙏🙏
Amina dada! Ila yaondoe mapambo kama kucha za kubandika ,wiving wanja lipshani, asanteee kwa utume.
Such a beautiful song❤️. Sauti zimenyooka kabisa🎶🎵.
Hongereni sana Ann na Despina
Asante sana Sidi🙏❤️❤️
Kazi Nzuri Sana Kwakweli hongereni sana Anastacia na Despina ..What a sweet holy Music Taste🔥🔥🔥
Thankyou so much🙏🙏🥰🥰
You are my pathway to heaven. How i wish i would see you when i visit Arusha from 25thApril to 30th
This girl is more talented 🙂. . keep the fire 🔥🔥 burning mummy 🥰🥰🥰🙏🙏
Thanks dear🙏😊
Kazi nzuri sana tena sana. Endeleeni na kazi hiyo zaidi na zaidi. Kazi yenu hiyo itawafuateni baada ya maisha yenu hapa duniani!
Amina🙏🙏
Safi sana, kazi tamu sana. Hongera kwa waimbaji na HT kwa ujumla kwa kuitendea hako melody tamu ya Fundi wa muziki
Shukran sana🙏🙏😌
Hongera Annastacia. Keep it up ❤️❤️
Thankyou so much🙏
Kazi nzury🔥🔥🔥
Asante sana🙏😊
Admittedly gifted.
Congratulations!
Kazi nzuri sana mabinti wa Yesu. Mbarikiwe sana.
Amina🙏. Ubarikiwe sana .
Wimbo una ujumbe mzuri.
Sauti nzuri na safi.
Hongera sana.
Asante sana Arnold🙏😊
Nikajua dada umekaa juu ya snow 🤔
Good Job 🤗🔥🔥🔥🔥✌
😂😂😂😂😂na ukapata amekaa wapi?
Asante sana🙏
Karibu ujerumani tushoot pamoja tena huu wimbo
Kuna apo hanisi ni michanga ile ya beach not sure🙈🤗
@@peaceisrael8158 hii ni snow ya huku Africa😂😂😂😂😂
@@peaceisrael8158 asante kwa mualiko🙏🙏🤗🤗
Hongera Ann kazi ni amazingly beautiful inabariki
Asante sana Elvis🙏🙏
Finally 💞🔥💞naupenda Sanaaaaa huu wimbo. Nilibahatika kufundishwa na J. Mgandu himself
Asante sana!♥️
Kwa hivyo ulikutana na huyo mzee mahiri wa mziki eh?😀
@@anastaciamuema kabsaaaa yaaan, na KUNA picha Niko nayo nilipiga naye🤣😂🤣😂 nilikutana naye uso Kwa uso na akanifundisha. But nilimfaid Kwa Mwaka mmoja tuu akafariki😭😭😭
This is an amazing piece of work❤️❤️
God must be happy 😊👏👏
Thankyou so much Siz🙏🙏♥️♥️♥️♥️
This so nice,i love you guys,the voices are so sweet,all the best
@@anastaciamuema you're welcome siz❤️
Good job my sister Anne and Despina👏👏👏👏❤️❤️
Thankyou so much Sr. Cele🙏♥️♥️♥️
Kazi safi sana, you very talented.
Thankyou Zack🙏🙏
wimbo mzur sana😊 mungu akuzidishie kipaji ♥️
Amina. Ubarikiwe sana🙏
These two great soloists are really moving the whole world by their harmonist vocals....(Romans 15:13)
This will go a long way in history.
May u be filled with the Holy spirit as u proclaim the word through singing..
#alleluialetsrejoicetogether
Amen, Amen.🙏
Be blessed 🤗
Dah... nyie watumishi hongereni sana kwa kazi nzr. Mungu azidi kutukuzwa nanyi muinuliwe zaidi ktk karama na utume huu.
Amina🙏🙏
Hongereni sana dada zangu . Mungu awazidishie zaidi kwenye utume huu wa kumuimbia Mungu 🙏 . Kazi nzuri inapendeza sana🎶👏
Asante sana🙏🙏
Nakuelewa Sana dada... Mungu azidi kukuinua..
Amina🙏
hakika wimbo ni mzuri sana mungu awabariki sana waimbaji wote
Anastacia you always rock Despina Mdende you did right to the song Organist pia ako sawa The Production Team kudos sana.... Mtunzi hongera sana.
Tunashukuru sana David❤️
Waoooo hongereniii sanaa kwa wimbo mzuriii 🥀😘🙏🙏
Asante sana Kombe🙏
Congrats my best hymn,reminds me of the goodness of the Lord
Mwimbieni bwana wimbo mpya. Great song @anastacia Muema
Amen🙏
Waooo wimbo mzur dada unabarki ubarikiwe san mung akuzdishie
Amina🙏🙏
Wimbo mzuri na mtamu.pongezi Anastasia
Asante sana🙏
Oooh it's xoo beautiful song Anastasia I have been waiting for a new song that's great endelea hivo and God 🙏🙏🙏🙏❤️ blessed you Soo much
Amen 🙏. Asante sana Hillary🙏
Number 1 fan. Big congrats for this😍
Thankyou so much John🙏🙏
Mbarikiwe kwa uinjilishaji huu. Hongera kwa mavazi ya asili na utulivu wa uimbaji.
Thankyou so much Paschal🙏🥰
Barikiwa sana♥️
Miss Ann the all time queen in this....good work
Thankyou so much Okello🙏🥰
Woow... this is so inspiring,,hongereni kwa kazi nzuri
Asante sana Joseph🙏♥️
I knew it, hii nayo ni 🔥🔥🔥🔥 you just did it perfectly Ann and Despina na wote waliohusika. Hongereni.
Asante sana Davy🙏♥️♥️
Hongera Ann and Despina,,,,,equisitely perfect 👌be blessed 🙏
Shukran sana Richard🙏😊
kazi nzuri Sana hongereni mabinti wa Yesu na muziki Mtakatifu
Asante sana 🙏
This is 🔥🔥🔥 Ann en Despina. Heko kwenu 👏
Asante sana Eunice🙏🙏🥰
Kazi nzuri sana hapa Ann. JKUAT CATCOM Alumni is happy and blessed to have you. Congratulations to your team as well and Holy Trinity studios for the masterpiece.
Thankyou so much CT RONO🙏🙏
Furaha ilioje! Kuskiza utamu huu❤️
Barikiwa Gerald🙏🥰
Huwa nawapenda sana hawa wadada Desp na Anna. Hakika wanaitumia talanta yao vilivyo. Mungu awabariki
Asante sana Celesti🥰. Mungu akubariki sana🙏
Congratulations dada, continue with the Same spirit na injiri iendelee
Amina🙏
Asante sana Sarah🙏
Tunangoja ingine na Edwiga Upendo. Mkiwa watatu
Hongereni sana mnaongeza latha kwenye mziki wa kanisa
My every time prayers song when I wake up continue doing it 🙏
Beautiful voices,proud of you Anastacia 👏👏
Thankyou so much dear🙏♥️
Mbarikiwe sana dada zangu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amina🙏
Wauuuuuuuuuu l really like you song ,zinagusa moto wangu sana , keep up blessings to you
Amen🙏
nice song mungu azidi kuwabariki nawapenda wote🥰
Amina🙏. Barikiwa sana!. Tunakupenda pia.
At least now Kenya we have you proud of you and your friend despina.
Thank you so much 🙏🙏
Good job hongera sana what a blessing song🙏
Asante sana Tapsia🙏🤗
Woooow wow💖💖💖💖💖💖 naupendaa
Asante sana🙏😊😊♥️
May God add such voices for his praise.... Lovely work done and more blessings
Mwenyezi Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Amina🙏🙏.
Ubarikiwe sana🤗