TUKAMPOKEE YESU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 589

  • @judymwaniki-ph1jc
    @judymwaniki-ph1jc 2 месяца назад +2

    🎉❤l love this

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  2 года назад +48

    Ekaristi Takatifu ni chakula cha roho, na ni Yesu mzima ndani ya maumbo ya Mkate na Divai. Wimbo huu unaoitwa TUKAMPOKEE YESU ni wimbo unaotukumbusha kwamba Fumbo la Ekaristi takatifu ni nafasi ya kukutana na Yesu Mzima katika maumbo ya Mkate na Divai. Karibuni ili kwa pamoja tukaweze kubarikiwa. Msisahau kusubscribe, kuLike, Kucomment na pia kushare. One Love❤️.

  • @alphoncemahinya6068
    @alphoncemahinya6068 2 года назад +3

    Ahsante saana kwa nyimbo safi ya Komunio. Tunashukuru Sana kwa uinjilishaji.

  • @fidelisluvanda3585
    @fidelisluvanda3585 2 года назад +3

    Hakika kazi yenu inabariki Sana hongereni Sana

  • @PetroMggalu
    @PetroMggalu 2 месяца назад +1

    Kama mbingu zimeshuka ziko hapa kwetu, Mungu atusaidie kiishi maisha ya uadirifu tuufikie mwisho uliomwema. Amen

  • @wilfredmagetonyaoga519
    @wilfredmagetonyaoga519 2 года назад +1

    Wow.. Napenda nyimbo zenu.... Najifunia kuwa mkatoriki mwema... Pongezi sana.. God bless

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +2

      Amen.🙏🙏God bless you too mkatoliki mwenzetu❤️

  • @muemamarykyangwa3408
    @muemamarykyangwa3408 2 года назад +3

    Naomba mungu akumiminie Baraka tele na akujalie siku nyingi uzidi kutubariki na nyimbo hizi tamu zinazojenga mioyo yetu Sana❣️❤️

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +1

      Amina🙏. Mungu akubariki sana🤗

    • @loisemuthoni6244
      @loisemuthoni6244 3 месяца назад

      Mungu akuzidishie kipaji cha uimbaji, your songs is a blessing to many​@@anastaciamuema

  • @bonifacemotika9721
    @bonifacemotika9721 2 года назад +1

    Asante kwa wimbo mzuri. Asante kwa mwaliko wa kujongea mezani kwa Bwana

  • @KokuKoku-e5c
    @KokuKoku-e5c 5 месяцев назад +3

    Hongera sana dada angu kwa uinjilishaji wako mzuri ambao daima unanivuta niwe kama wewe

  • @ndetichrissantos652
    @ndetichrissantos652 2 года назад +3

    Nashukuru Sana nyie Kwa kutukumbusha umuhimu wa Ekaristia kwetu sisi. Hongera Sana dada Kwa wimbo huu......
    #2022Narokcounty

  • @PJMassawa254
    @PJMassawa254 2 года назад +2

    Great work for God here

  • @murithijames8260
    @murithijames8260 2 года назад +1

    Mungu akupe nguvu uedeleee kuzitunga nyimvo kama izi zilizo na ujumbe

  • @givenmakemba9908
    @givenmakemba9908 2 года назад +2

    🤲🙏 kiufupi huwa napenda uiambaji wako dada cjui nikuambie neno Gani, ila Mungu akubariki sana ili uendelee kutuinjirisha kwa njia nzuri ya kuimba. Hongera 🔥🔥

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад

      Amina🙏
      Asante sana kwa upendo huo.😊

  • @hiramkariuki318
    @hiramkariuki318 2 года назад +1

    Great much blessings muziki maridadi wa komunyo

  • @richardkingi660
    @richardkingi660 2 года назад +1

    Wah moto...haki mko viwango na ngazi ya juu sana kwa tasnia hii ya Muziki.Barikiweni

  • @beatrice254-p2b
    @beatrice254-p2b 2 месяца назад +1

    Hongera saaana Tr adolf this is super 🎉🎉🎉🎉

  • @Patrick_Mndeme
    @Patrick_Mndeme 2 года назад +1

    Wowowowo...........aseeeeee.......💯💯💯💯💯

  • @barrews
    @barrews 2 года назад +2

    My sister and brothers in Christ God bless you abanduntly amen. Hii wimbo nizuri sana asante sana

  • @maliinathan4831
    @maliinathan4831 2 года назад +1

    Hii ni Kali sana

  • @epifanibeckham7742
    @epifanibeckham7742 2 года назад +1

    Nyimbo nzuri sana bado utaendelea kuwa juu hauna upinzani japo kuwa kuna mwimbaji mmoja anajitaidi kuiga sauti lakini bado maana kitu mungu alicho kupa nitofauti nawengine pamoja na mpiga kinanda yuko vizuri

  • @pascalinekanini1365
    @pascalinekanini1365 2 года назад +2

    wow... nice one dear.. more love 💞😍

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +2

      Thankyou Pascaline🙏
      Love you more🥰

  • @danielmuamba5788
    @danielmuamba5788 2 года назад +1

    Sauti nzuri kweli...wimbo wenyewe mtamu sana...😜😜😜

  • @lucywangari3838
    @lucywangari3838 2 года назад +1

    ❤❤❤Beautiful song and great voices. Asanteni

  • @amambiastephen178
    @amambiastephen178 2 года назад +1

    Naombea baraka tele ili muendelee kutubariki jinsi mnavyofanya. Hongera kwa wahusika wote!

  • @JugoMedia
    @JugoMedia 2 года назад +1

    Hongera Sana Annastacia, Wimbo Mzuri Sana Mungu Awabariki Sana

  • @lagatemmanuel1487
    @lagatemmanuel1487 2 года назад +1

    Sina Cha kunena, hongera kwa kazi nzuri dada Muema🥳🥳

  • @christinaraymond1928
    @christinaraymond1928 3 месяца назад +1

    Mimi natamanii sanaa kuwa kama wewe upo vzuri sanaaa Mungu akutunze

  • @thompsonmasologo5093
    @thompsonmasologo5093 2 года назад +1

    Hongereni sana kazi nzuri dada Anne natamani siku moja nifanye kazi na ninyi nyote watatu

  • @imanuelijohn1207
    @imanuelijohn1207 2 года назад +1

    Woooow! Dada nabarikiwa sana na nyimbo zako👏👏 barikiwa sana

  • @winnieavit5985
    @winnieavit5985 2 года назад +1

    Oooh nice. Hongereni nyote kwa kazi hii nzr

  • @vinniemakorie3986
    @vinniemakorie3986 2 года назад +1

    just rewatched again... Wonderful song here..... Hapa kenya tushaanza kuiimba mass

  • @mathewonguti3766
    @mathewonguti3766 2 года назад +1

    Hi ni siri kubwa yesu mwenyewe alituajia katika safari yetu, sisi mitume wake tupate nguvu , na upendo ndani yetu , tuweze kufanya kazi za huruma .. wimbo mtamu ,pongezi kwenu. ..
    .

  • @ronaldstom1267
    @ronaldstom1267 2 года назад +1

    You are a verry good singer

  • @richardwabomba
    @richardwabomba 2 года назад +1

    Leo nimebarikiwa kwa kweli, asanteni

  • @BabaManu2024
    @BabaManu2024 2 года назад +1

    Thanks Ann and your able team..Injili isonge mbele

  • @nicokyaloo9514
    @nicokyaloo9514 2 года назад +2

    Congratulations

  • @samuelkipkurui8230
    @samuelkipkurui8230 2 года назад +1

    Nyimbo zako zapendeza Sana, haswa TUKAMPOKEE BWANA

  • @anithamsoka7603
    @anithamsoka7603 2 года назад +1

    Dada anaa naomba kukujuaaaa man so kwa kukupendaaa ukooo ....mko mumeimba vizuriii

  • @williamcosmas1986
    @williamcosmas1986 2 года назад +1

    Always I play to u anne coz unanifurahisha na kuniinjirisha...be blessed forever.

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +1

      Thankyou so much William. Be blessed🙏😊

  • @Kenyatta-Mpenda-Mziki
    @Kenyatta-Mpenda-Mziki 2 года назад +1

    Good Composition @ Tumaini Swai. Barikiwa

  • @sacconott4585
    @sacconott4585 2 года назад +1

    Good job my teacher🔥🔥🔥

  • @kipchumbakelvin12
    @kipchumbakelvin12 2 года назад +1

    Kazi safi ann, swai, kameza .....always 🔥 🔥

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema  2 года назад +2

    Karibuni kwenye channel yangu ya pili. Kwenye hiyo channel nitawaletea matukio mbali mbali. Please support me. SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and COMMENT.👉👉ruclips.net/video/GSmQt5JksC4/видео.html

  • @sacredmusic9753
    @sacredmusic9753 2 года назад +1

    Wimbo mzuri, sauti zimetulia, kinanda standard.. Ooooh Mungu ATUKUZWE hata Milele. Hongereni sana WAIMBAJI.

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +2

      Asante sana Emmanuel🙏. Ubarikiwe sana🤗

  • @celestinembiku8073
    @celestinembiku8073 2 года назад +1

    Annie nyimbo zako ziko sawa na sauti tamu... Za nipa uponyaji wa roho..mungu akuzindishie na akumiminie neema lukuki

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 2 года назад +1

    Yes here it comes 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @richmdoe5519
    @richmdoe5519 2 года назад +1

    amaizing song👏👍Barikiwa sana kwa wimbo mzuri...

  • @tmasingida2392
    @tmasingida2392 2 года назад +1

    Pamoja sana , na Mungu azidi kuwabariki.

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +1

      Amina🙏
      Akubariki Mungu Mwenyezi.🙏

  • @bridgetmunyiva9586
    @bridgetmunyiva9586 2 года назад +1

    Baraka tele!!baraka tele.

  • @lucymathias8011
    @lucymathias8011 2 года назад +1

    Nawapendaga sana Mungu awatunze

  • @janekinyenje7230
    @janekinyenje7230 2 года назад +1

    Good job!endelezeni injuries kwa njia ya uimbaji ...your voices of the( trio )blend soo well kudos!

  • @fredmhiche3614
    @fredmhiche3614 2 года назад +1

    Hongera sana mkuu Tumaini Swai(FM) kwa utunzi mzuri pamoja na Madam Anne na Lawrence kwa uimbaji mzuri.

  • @mercykivivya5171
    @mercykivivya5171 2 года назад +1

    Wow sauti tamu tamu

  • @kwayayamtakatifugabrielich2472
    @kwayayamtakatifugabrielich2472 2 года назад +1

    Kazi tamu sana

  • @mikeodongo3631
    @mikeodongo3631 2 года назад +1

    Nice music jaber

  • @Vids_N_Clips
    @Vids_N_Clips 2 года назад +1

    Aah, wimbo mtamu jamani🔥
    Continue with the same spirit

  • @mishorithukuh4302
    @mishorithukuh4302 2 года назад +1

    Woooow! Amazing song, congratulations!
    I've a new favorite source of Catholic music...good job!

  • @murimi9645
    @murimi9645 2 года назад +1

    In deed 'TWENDENI KWENYE MEZA YA UPENDO' #injiliiendembele #queoevangelhováparafrente

  • @idahraphael108
    @idahraphael108 2 года назад +1

    "Ingekuwa hivi Leo msikie sauti yake"...how can I be late!?!?!

  • @athanasiuskibiwott1326
    @athanasiuskibiwott1326 2 года назад +1

    Good music, congratulations 🎉

  • @ferdinandokoth5371
    @ferdinandokoth5371 2 года назад +1

    Vyema kabisa, Tuendeni tukampokee chakula kinacho dumisha uhai siku zote. Very nice and sweet song. Kazi nzuri tchr Ann

  • @kiarienjuguna6812
    @kiarienjuguna6812 2 года назад +1

    Tumsifu Yesu kristu!!!! Mungu awabariki sana. Nyimbo zako ni nzuri sana.

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +1

      Asante sana🙏. Ubarikiwe sana Kaka🤗

  • @geraldmutuku3417
    @geraldmutuku3417 2 года назад +1

    Congrats 👏👏👏👏👏

  • @stevenbonephace9691
    @stevenbonephace9691 2 года назад +1

    Amina nimebarikiwa Sana na wimbo huu. Mbarikiwe Sana wapendwa wa Kristo

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 года назад

    Mungu azidi kubariki uimbaji wenu ili muweze kutuinjilisha kwa njia ya uimbaji wenu.

  • @kennedyvuonzema3558
    @kennedyvuonzema3558 2 года назад +1

    soul nourishing thanks a lot anastacia music
    ❤❤👋👋

  • @Selestine52
    @Selestine52 2 года назад +1

    This is really amazing!! Na Lawrence Bwana umetandika nota za alto vema sana kwa ustadi nausafi

  • @raphaelotuke9475
    @raphaelotuke9475 2 года назад

    Mimi tangu nianze kusikiliza nyimbo hizi hata imani yangu kwa Mungu inakomaa kabsa, Anastacia wewe ni mkenya mzalendo na musiki huu ni mtamu sana

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +1

      Asante sana kaka Raphael. Jina la Mwenyezi Mungu Lihimidiwe🙏🙏🙏

    • @raphaelotuke9475
      @raphaelotuke9475 2 года назад

      @@anastaciamuema Amen🙏🙏

  • @quenkimatare2673
    @quenkimatare2673 2 года назад +1

    Wimbo mtamu sana kwakweli mpo vizuri sana congratulations

  • @jayzeem14
    @jayzeem14 2 года назад +1

    Hongera pia kwa Mpinga kinanda Mungu akukumbuke na kukutana na haja ya moyo wako.

  • @enriqueonsakia
    @enriqueonsakia 2 года назад +2

    on another level Ann👌

  • @agathamutuku3788
    @agathamutuku3788 2 года назад +1

    Great gal. Proud of you

  • @janethtesha2513
    @janethtesha2513 2 года назад +1

    Kila mara nipo kusubiri kupata vitu vizuri Kama hivi,siku sio nyingi nami nitakua ulipo kwa nguvu za Mungu aliye juu,proud of you guys🙏

  • @corneliusmusau
    @corneliusmusau 2 года назад +1

    Wow wow Well-done

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 года назад

    Wimbo mzuri saaana,hongereni kwa uimbaji mzuri na sauti nzuri,mbarikiwe kwa kuinjilisha

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад

      Amina.🙏
      Asante sana Magreth kwa kutazama. Ubarikiwe🤗🤗

  • @fabianimashindike3272
    @fabianimashindike3272 2 года назад +1

    Kazi nzuri sana kwakweli hadi naona wivu nawaombea kwa Mungu mzidi kuinnjilisha kwa njia hiyo ya kuimba hongereni sana na Mungu awabariki

  • @kenrotiken301
    @kenrotiken301 2 года назад +1

    Superb, amazing songs my friend, keep up.

  • @ronaldangasa7227
    @ronaldangasa7227 2 года назад +1

    Great tune

  • @dennisimosia9438
    @dennisimosia9438 2 года назад +1

    Kazi nzuri!

  • @ambassadoreliellizwe
    @ambassadoreliellizwe 2 года назад +1

    With love from Zim

  • @young_singers_tz
    @young_singers_tz 2 года назад +1

    Hongera Sana Dada angu,, Nyimbo imekaa poa Sana na Utunzi Bora kabisa

  • @josephineogaro9749
    @josephineogaro9749 2 года назад +1

    Thank you for this beautiful song

  • @rolcangima6611
    @rolcangima6611 2 года назад +4

    Asante sana kwa kumtukuza Mungu kwa wimbo mtamu huu. Sauti tamu sana. May God bless you for inspiring us with the beautiful songs. I love everything about this song, kinanda and the video as well. ❤️Kudos✌️

  • @geroldjacob9845
    @geroldjacob9845 2 года назад +1

    Good and well arranged voice so beutiful songs god give more thinking🙏

  • @antoniizcarlow6160
    @antoniizcarlow6160 2 года назад +1

    Msichana wetu doing nice talent💥💥💥♥️♥️♥️🤩

  • @slizermita252
    @slizermita252 2 года назад +1

    Beautiful song, especially in the lent period

  • @davidkaviti
    @davidkaviti 2 года назад +1

    good work soon. salimia Kameja sana this is the best soo far hapa kazi safi sana dada.

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +1

      Asante sana😊. Salamu amezipokea🤗

  • @JacquesTandema
    @JacquesTandema 6 месяцев назад +1

    I love this song

  • @embatidennis6107
    @embatidennis6107 2 года назад +1

    Glad to listen to it the very day and time it was uploaded

  • @ronaldstom1267
    @ronaldstom1267 2 года назад +1

    Beautyfull song

  • @mjkinuthia386
    @mjkinuthia386 2 года назад +6

    O how sweet and profoundly reverent this eucharistic song is! We're invited to approach the *table of love* and receive Jesus in his body, blood, soul & divinity. The eucharist is not only the source & summit of faith but also the wellspring of goodness that leads to eternal life. Thank you Anastacia & team for yet another stellar job and for reminding us that Eucharist is indeed the highest form of Christian worship & prayer. God bless you immensely 🙏🙏🙏

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +2

      I could not have put it well and better than this Father.🤗
      Thankyou so much and may you be blessed.🥰

    • @mjkinuthia386
      @mjkinuthia386 2 года назад +2

      @@anastaciamuema Karibu na asante. These liturgical songs entertain & nourish our souls immensely because they are deeply anchored in Scripture 🙏👍🙏

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +2

      @@mjkinuthia386 AMEN🙏

    • @markmainaonundu6442
      @markmainaonundu6442 2 года назад +1

      Nicely put! The table of love..a fore taste of heavenly banquet

  • @paulmukhwana5181
    @paulmukhwana5181 2 года назад +1

    Napenda. Nota tutazipataje

  • @philipowili6957
    @philipowili6957 2 года назад +1

    Beautiful song.

  • @magulusweke5868
    @magulusweke5868 2 года назад +1

    Hongereni kwa kazi nzuri Mungu awabariki

  • @luciankiyo6816
    @luciankiyo6816 2 года назад +1

    No comment. Nikisikiliza nahisi naiacha ardhi naanza kupaaaaaaa

    • @anastaciamuema
      @anastaciamuema  2 года назад +2

      Amina😅

    • @luciankiyo6816
      @luciankiyo6816 2 года назад

      Thanks

    • @luciankiyo6816
      @luciankiyo6816 2 года назад

      Kwa sauti yako hiyo natamani uimbe nyimbo za kusifu na kuabudu pia. Una nguvu flani hivi ya kumsogeza mtu karibu na Mungu.

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic3151 2 года назад +1

    Wow what such a melody 😭😭🎶🎶🔥🔥👌

  • @AlfredKhisa
    @AlfredKhisa 2 года назад +1

    Utenzi wa ajabu.ekaristia chakula cha wasafiri wa mbingu

  • @veronicadagharo309
    @veronicadagharo309 2 года назад +1

    Waooh sauti inayoponyo nyoyo za watu

  • @mercykagichu
    @mercykagichu 2 года назад +1

    Woooooow woooooow woooooow..... U guys really are blessed.....the song is on 🔥🔥 I looooooove it

  • @florencendukuantony520
    @florencendukuantony520 2 года назад +1

    Good work Anne. Keep It up.