Je uko na group ya whatsapp au personal link mtu aneza pata mafunzo mengi ya ufugaji huu wa kienyeji,i follow you so much but i need your class for more information ,thanks
Hongera sana brother. Na naomba kuuliza)kujua kitu! Mm niko na kaeneo kadg asee na ninafuga kuku wa kienyeji kwa kiwafungia ndan, je nitapata matokea mazuri maana kuna video ya miaka 4 nyuma umesema huria ndio njia bora kwa kuku kienyeji?
habari za leo,nina swali moja nalo ni nina kuku wa kienyeji ,yaani tetea wana acha firanga wakiwa na miezi miwili lakini sasa firanga vinavyo kuwa si chini ya 6Je nifanye nini ili nipate mavuno mazuri . nini tetea 8 na wote na sifa hiyo
Oya rashid me nakusanya mayai ya kuatamishia ila kpindi namwekea mayai ili ayaatamie baada ya siku 8 nikiangalia mayai nakuta mayai labda 5 ndyo yana mbegu ila kama saba nakuta hayaonyeshi dalili yoyote ya kifaranga naukifikiria nko na jogoo je broo hapo changamoto n kitu gan?
Thanks for your advise bro God bless you so much yes I need aclass
Nimependa iyo kaka❤
Asante kaka umeniongezea maarifa.
Very interesting
Thanks for the video
Can put in the hen which have never layed eggs?
No, this is because for a hen to sit on eggs it must become broody after laying eggs,
Nakukubali sanaaa kk
Naomba kujiunga kwa Hilo darasa km bado mnapokea watyu.....japo nimechelewa kuona video🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Very good ❤
Asante nimekipenda hicho kiota.
Kweli hongera kwa ufugaji
Je uko na group ya whatsapp au personal link mtu aneza pata mafunzo mengi ya ufugaji huu wa kienyeji,i follow you so much but i need your class for more information ,thanks
Bro leo acha ni comment aisee unamifano mizuri iliyonyooka!🙌
Asante
Hongera sana brother.
Na naomba kuuliza)kujua kitu!
Mm niko na kaeneo kadg asee na ninafuga kuku wa kienyeji kwa kiwafungia ndan, je nitapata matokea mazuri maana kuna video ya miaka 4 nyuma umesema huria ndio njia bora kwa kuku kienyeji?
Brother me n shabik wako sana
habari za leo,nina swali moja nalo ni nina kuku wa kienyeji ,yaani tetea wana acha firanga wakiwa na miezi miwili lakini sasa firanga vinavyo kuwa si chini ya 6Je nifanye nini ili nipate mavuno mazuri .
nini tetea 8 na wote na sifa hiyo
Naweza pata nakili hizi za ufagaji kwani ni mzuri. niko kenya
Oya rashid me nakusanya mayai ya kuatamishia ila kpindi namwekea mayai ili ayaatamie baada ya siku 8 nikiangalia mayai nakuta mayai labda 5 ndyo yana mbegu ila kama saba nakuta hayaonyeshi dalili yoyote ya kifaranga naukifikiria nko na jogoo je broo hapo changamoto n kitu gan?
Habari wana changamukia furusa natamani kujiunga naomba munisaidie kuku wakienyeji anakura giramu ngapi kwasiku mukubwa natafuta Hera nijiunge
Kiongozi nimetuma pesa naona sms zinafeli na pesa nimetuma
Kwahyo lazima uwe na banda jengne kwaajil yakutamia
NAPATAJE NAMBA YAKO NDUGU?
Naanza kutotolesha nilipata vifaranga 80 ila juzi yaliingia mafua ijapokuwa nime chanja 3 moja lkn vifaranga vingine vimekufa
Pole kwa changamoto hiyo
Ahsante mwalim
Tatu mara moja sio dawa nzuri...