Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Asante kwa elimu
Hongera sana
Iko vizuri
Shukran
Hongera kwa mafunzo yako.
Jike linakua Kwa miezi mingapi Hadi kuanza kutaga. ? Maswali yangu hayo mawili
uko vzur mkuu
9naweza kupata vifaranga
Nitapataje mayai yanayofaa kutotoleshea Kwa mashine ?
Kaka kwema samahani et kuku upanga wakekuwa mweusi niugonjwa gan
Kuku wa kienyeji wanakua Kwa muda wa miezi mingapi kutosha kuliwa...?
Je km una matete kumi
Kuku anauwezo wakutotoa vifaranga vingapi? Na je unaweza kutumia icubetar ukatotolesha mayai ya kienyeji na vifaranga vikaanguliwa vikiwa na afya tofaut na mama yao????
Niunge ktk darasa kaka
Pongezi mwalimu kwa kua na kuku wengi,,Nakushukuru sababu ulinifanya nikawa nakuku wengi kwa mda mfupi kwa kutumia kuku wawili tu
Asante sana kwa mrejesho
Kuku awa ni wa kiswahili ndugu au chotara ndugu
@@zaidukongwa513 Wakiswahili
Na we za kuwapa vifaranga wangu wa mwezi mmoja, kumbi kumbi waliokaangwa ??
Mkufunzi nitapataje darasa la mwezi. Wa Tano?
Hiyo chanjo ya 3_, 1 ni chanjo gani?
Ni chanjo ya magonjwa yafuatayo,kideli,mafua na ndui
Nasubiri hilo darasa kwa hamu sana
Nitumie namba yako
0656528455
Good. Job
Mwalim naomba kusaidiwa iv ni kipind gan kat ya masika na kiangaz chenye magonjwa mengi
Nitafanyaje nipate vifaranga wengi kwa wakati ninamajike matatu tu
Je group wasap
Samahan mi ninaswali, Unapotumia dawa ya tatu moja je unatumia kwa kifaranga cha muda gani? Na utaweza kuwapa dawa pia kwa muda gani ukishawapa hiyo??
Asante kwa elimu
Hongera sana
Iko vizuri
Shukran
Hongera kwa mafunzo yako.
Jike linakua Kwa miezi mingapi Hadi kuanza kutaga. ? Maswali yangu hayo mawili
uko vzur mkuu
9naweza kupata vifaranga
Nitapataje mayai yanayofaa kutotoleshea Kwa mashine ?
Kaka kwema samahani et kuku upanga wakekuwa mweusi niugonjwa gan
Kuku wa kienyeji wanakua Kwa muda wa miezi mingapi kutosha kuliwa...?
Je km una matete kumi
Kuku anauwezo wakutotoa vifaranga vingapi? Na je unaweza kutumia icubetar ukatotolesha mayai ya kienyeji na vifaranga vikaanguliwa vikiwa na afya tofaut na mama yao????
Niunge ktk darasa kaka
Pongezi mwalimu kwa kua na kuku wengi,,Nakushukuru sababu ulinifanya nikawa nakuku wengi kwa mda mfupi kwa kutumia kuku wawili tu
Asante sana kwa mrejesho
Kuku awa ni wa kiswahili ndugu au chotara ndugu
@@zaidukongwa513 Wakiswahili
Na we za kuwapa vifaranga wangu wa mwezi mmoja, kumbi kumbi waliokaangwa ??
Mkufunzi nitapataje darasa la mwezi. Wa Tano?
Hiyo chanjo ya 3_, 1 ni chanjo gani?
Ni chanjo ya magonjwa yafuatayo,kideli,mafua na ndui
Nasubiri hilo darasa kwa hamu sana
Nitumie namba yako
0656528455
Good. Job
Mwalim naomba kusaidiwa iv ni kipind gan kat ya masika na kiangaz chenye magonjwa mengi
Nitafanyaje nipate vifaranga wengi kwa wakati ninamajike matatu tu
Je group wasap
Samahan mi ninaswali,
Unapotumia dawa ya tatu moja je unatumia kwa kifaranga cha muda gani? Na utaweza kuwapa dawa pia kwa muda gani ukishawapa hiyo??