*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA* TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo. wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
Ni vitu vipi vinahitaka katika kuchanganya chakula, nimeshafunga mara mbili lakini sikufanikiwa.nilikuwa nikinunua vyakula.Sijakata tamaa nataka kurudi tena kwenye kuku wa chotara naomba mbinu tafadhali, ahsante.
Kuku wangu nawapa vitamini ya Alpha Aminovit na antibiotic ya Oxytetracycline 50% je natakiwa bado niwape na Amprollium na inasaidia nini hii Amprollium?,Asante.
Mimi nafuga ila nawatoa nje na kuwafungia ndani, lkn bado wapo wengine wanaumwa wamejikunja kama mtu anaehisi barid (wamevaa makoti) na kuna dawa nimetumia ila kwa jina nimeisahau lkn bado wanakufa. Na wana miezi kama mitatu hivi. Sasa nifanyeje?
*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA*
TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo.
wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
IPO vzr
Kwakweli naendelea kujifunza vema sana Hongera sana mkufunzi:
Asante sana mtaalam,naomba kujiunga na darasa la kujifunza njia mbali mbali za ufugaji wa kuku,napenda sana.
Asante sana mtaalamu Mungu akubariki.
Thanks sanaa kakaaaa....tumejifunza somo la muhimu sanaaaaa...
Tuko pamoja
njia gani naweza kumfanyia kuku wangu kutaga mayai mengi na maani vifaranga vingi
Habari yko mwalimu
Mie ni mwana changamkia fursa naomba kufahamu hekima ya kukata mbawa vifaranga
Nimejifunza mengi asante
I love it good job
Nimefurahi nimejifunza kitu. Ubarikiwe sana na mimi nimeanza sasa kufuga kuku wa kienyeji.
Asanteni sana
Ahsante sana
Somo zuri kaka
kazi poa
Assante saana, mwalimu.
Pamoja
Masha allah
Allahu Akbar
@@changamkiafursa boss vifaranga vyangu mmoja kafariki na WA pili naona anaelekea so sababu itakua nini na ni dawa gani naweza kuwapatia
Wanaonyesha dalili gani kabla ya kufa
Sijaelewa vizuri kuhusu chanjo ya tatu moja.naomba kujua jina lake
Vifaranga mshawapa chanjo ya tatu moja
Ndio wamebakisha chanjo ya wiki ya 8
Safi sana kaka zangu
Tuko pamoja
Nimeipenda sana hii🌹😋🌹
Asante Mwalimu!
Mbona unakata mapawa ya vifaranga?
Lazima nitoboe naanza na kienyeji kwanza baada ya -apo chotara MUNGU aendelee kukupa hekima
Tuko pamoja
Nimependa darasa, nataka kkuanza kufuga kukuu wa kienyeji
Nipenda sana nipo nje ya nchi vipi niweze kutuma pesa ili nipate elimu ya ufugaji wa kuku?
Mi naviranga lakini kila siku wanakufa sijui tatizo nini
Napataje video hizo za ufugaji wa kuku na vifaranga kwa pamoja
Naomba mawasiliano yako
Mbona unawakta mabawa?
Swali hili limeulizwa na wengi lakini bado hujajibu Mwalimu.
Avante sana mimi niko Congo ni fanye je? Ili ni endeleye ku jifunza na nyinyi?
Naomba topia namba ya simu
Ni vitu vipi vinahitaka katika kuchanganya chakula, nimeshafunga mara mbili lakini sikufanikiwa.nilikuwa nikinunua vyakula.Sijakata tamaa nataka kurudi tena kwenye kuku wa chotara naomba mbinu tafadhali, ahsante.
Naweza pata hiyo chanjo ya tatu moja
Mbinu ya kwanza kwenye kuku chotara ni kununua chakula cha kampuni hasa kwa vifaranga
Inapatikana
Nitumie namb yako nikutmie whasap vitu vya kutengeneza chakula
Unapatikanaje naomba no yako
Unapokaa mabawa sijaelewa unamaana gani?
Namba ya simu
Asante
Mbona hujibu maswali hasa lakuta mbawa?
Dr Sina namba zako
Wapi nitapata vifaranga vya kroiller original , nipo kigoma @ chamgamkia fursa
Wasiliana na huyu
[Name] Anthonia Lymo
[Mobile] +255 620 440 863
[Mobile] 0755 117 360
Naweza pata?
Mabawa ya vifaranga yanakatwa kwa ajili ya nini?
Vip hawa vifaranga ukiwakata mabawa inasaidia kitu gani.
Na ukiwalea hao kuku wa kienyeji wanakua Kwa muda Gani kutosha kuliwa...
How do I join the WhatsApp group from Kampala
Kwa Nini mnawakata mbawa vifaranga?
Nimeona mtalamu unakata mabawa ya kuku hiyo inasaidia Nini?
Nilianza na kuku wa 4 sasaivi wamefika 47nafatilia sana vipindi vyako
Mafunzo yanatupa moyo
Mimi Niko Mombasa nataka vifaranga wa mwezi mmoja aina ya sasso
Kuhusu sasa watafute silverland kwenye mtandao uchukue mawasiliano yao
Pia nahitaji kuku Aina ya kuche, nawapataje mkuu
Kuna hekima gani ya kukata mabawa ya vifaranga
Naitwa kamawe nipo bukoba nimeona mnakata mabawa sijajua maanayake
kutoka Kenya nimeshukuru.
Pamoja sana
Kuku wangu nawapa vitamini ya Alpha Aminovit na antibiotic ya Oxytetracycline 50% je natakiwa bado niwape na Amprollium na inasaidia nini hii Amprollium?,Asante.
habari
Kaka naomba uniambia jina ya hiyo chanjo ya tatu moja natokea kenya
Inaitwa hivyo hivyo tatu moja
Kwanini unakataka manyoya ya mabawa,
Naomba majina ya hizo antibiotics
Na hiyo chanjo ya tatu moja huku kwetu Kenya sijaskia he naeza ipataje kwenu huko
Kuhusu chanjo wasiliana na hawa qasambazaji.
[Name] Farmer Center
[Mobile] 0627 565 656
Antibiotiki nimeziandika kwenye description ya hii video
Kaka tatizo la vifaranga kukosa nguvu miguuni shida inakuwa wapi hapoo
Ilo group bado lipo nataka kujiunga
Hivi ukiulizwa swali kuhusiana na uleaji wa kuku waweza kujibu au tuwe tunaandika tu maswali yetu
Uliza, likihitaji majibu marefu huwa naanda video kabisa
Mimi nafuga ila nawatoa nje na kuwafungia ndani, lkn bado wapo wengine wanaumwa wamejikunja kama mtu anaehisi barid (wamevaa makoti) na kuna dawa nimetumia ila kwa jina nimeisahau lkn bado wanakufa. Na wana miezi kama mitatu hivi. Sasa nifanyeje?
Naomba nipe njia ya kufanya maana ndio hali yangu ni mbaya
Huwa unawapa chakula gani na wanajisaidia kinyesi gani?
Ahsante sana