Dadaangu Mimi Nimekupenda sana ambavyo hauko mchoyo wa Elimu, Haujivuni kwa kipato chako na zaiid umenifanya niipende sana Kroila. Yaani Mungu azidi kukuweka hai na kukuinua Zaidi. Nipo mbioni kukamilisha banda nichukue vifaranga kwako
Mama Lyimo nimekutafuta kuanzia mwezi wa sita 2024 nataka vifaranga kila siku unapiga tarehe mara mwezi wa nane juzi mwezi wa kwanza. Sasa mnatoa matangazo kama haya kwenye mitandao basi muwe na uhakika wa kutoa huduma kama mnavyojitangaza.
Nafikiri ulivyopiga simu umepewa sababu ni kwa nini imekuwa mwezi wa kwanza badala ya mwezi wa 8. Au ulitaka tukudanganye kama mnavyodanganywa sehemu zingine utume hela halafu usipatiwe vifaranga ndio ungeridhika?
Tafuta kwanza elimu ndio uanze UFUGAJI, na elimu unaweza kupata kupitia kuhudhulia semina mbalimbali za ufugaji, kusoma makala za ufugaji kupitia kwenye mitandao, kusoma vitabu au hata kujaribu kufuga kidogo ili kupata uzoefu zaidi
Mungu aizidishe company yako shem langu ili tuendelee kujifunza.🤝🤝💪💪
Asante kwa Somo nzuri ninataka kufaga nimeamasika
Nakufuata kutoka Rwanda, nawezaje kupata vifaranga Mimi! napenda jinsi unafafanua mambo kbs... Hongera dada!
Asante Sana. Tunakamilisha baadhi ya taratibu za kusafirisha nje ya Tanzania. So soon tutawafikia
Barikiwa sana kipenzi nakuja huko
Dadaangu Mimi Nimekupenda sana ambavyo hauko mchoyo wa Elimu, Haujivuni kwa kipato chako na zaiid umenifanya niipende sana Kroila. Yaani Mungu azidi kukuweka hai na kukuinua Zaidi.
Nipo mbioni kukamilisha banda nichukue vifaranga kwako
I've fallen in love with your birds and subscribed already so that I follow you. Great work. 👏👏❤❤👌👌
From Uganda
Thank you
Hongera kwa mafinga iringa kunawakala nahitaji vifaranga
Hongera mama Limo. Me mwenyewe naagizaga vifaranga kwake vipo vizur sana
Asante Sana mpendwa wangu
Yes madam...elimu ni bora
Very Beautiful indeed i am from Kenya and i admire Your farm its very neat, are there F1 generation chicks
Thank you for compliment.
Yes F1 generation
Safi.
Nitakutafuta karibuni
Mama Lyimo nimekutafuta kuanzia mwezi wa sita 2024 nataka vifaranga kila siku unapiga tarehe mara mwezi wa nane juzi mwezi wa kwanza. Sasa mnatoa matangazo kama haya kwenye mitandao basi muwe na uhakika wa kutoa huduma kama mnavyojitangaza.
Nafikiri ulivyopiga simu umepewa sababu ni kwa nini imekuwa mwezi wa kwanza badala ya mwezi wa 8. Au ulitaka tukudanganye kama mnavyodanganywa sehemu zingine utume hela halafu usipatiwe vifaranga ndio ungeridhika?
Dada kwa sasa vinapatikana ili niweke oder?
Mama limo hongera sana je kwa maeneo ya arusha vifaranga vyako vinapatikana wapi
Asante Sana, Arusha hatuna tawi ila mikoa yote tunasafirisha
Vifaranga wa mwezi 1 napata?
Only two videos!!!!
Ongeza videos bwana boss mama
Soon zinakuja za kutosha
Jambo dada mimi ninamipango ya kufuga kuku za kweila Niko Congo nichunge kwenye groupe la WhatsApp ili tuhongeye zaidi
Niko Arusha,nitapataje vifaranga mfano nikitaka kununua kwako
Ongera San madam
Asante sana
Hongera mama rimo niko pamoja nawe by Ally kongo from pemba
@@MohdOmar-tt4ki asante Sana
Mama limo upo vizuri sana
@@SamwelNdaoo asante Sana
Vifaranga unauzaje
Dada habari? Je ninaweza kufuga kwa kuzalisha vifaranga vya kuroila?
Salama kabisa. Ndio unaweza
Xahaman naweza kupat utaratib wa elimu Kam Muna group nitapta wap utaratib wa kujiunga
Mm nahitaji kufuga lakini sina elimu ya kutosha
Tafuta kwanza elimu ndio uanze UFUGAJI, na elimu unaweza kupata kupitia kuhudhulia semina mbalimbali za ufugaji, kusoma makala za ufugaji kupitia kwenye mitandao, kusoma vitabu au hata kujaribu kufuga kidogo ili kupata uzoefu zaidi
Hbl yasiku mamalimo
Salama kabisa ndugu
Nice breed
Thank you
Hamsni bei gan
Kuku 50.unauzaje my
Je naweza kupata vifaranga vya mwezi mmoja?
@@witnessmallya5114 hapana Vifaranga wa mwezi hatuna
Na ni bei gani kwa kifaranga?
1500 tsh
🔥🔥🔥
Nahitaji vifalanga nipo chimala vifalanga Miya shingapi
My mentor mama lymo good job
Asante sana
Following from Kenya , how can i get your day old chicks
Je nikihitaji vifaranga naoataje na mimi nipo arusha?
Tunasafirisha mikoani pia.
Bei ya kifaranga ni sh 1500 na order inaanzia Vifaranga 100 na kuendelea.
Karibu sana
@@kimeyfarm nahitaji vifaranga 100 nipo Arusha
Naeza pata aje vifaranga
Vifaranga vinapatikana kwa kuweka order.
Tupigie 0620440863/0653939232
Niko busia Kenya ndio maana nauliza ni jinsi gani naeza pata kuku wenu
Je nchini kenya mupo?
Hapana
Na je ni janjo ipi ambayo nawesa kujancha vifaranga wa siku moja
@@climentombui-zx5vc Marek's
@@kimeyfarm Marek's ni janjo ya sindano ama mchanganyo wa maji
@@climentombui-zx5vc sindano
Am from Uganda I want to buy from farm day old chicks how much for chick
💪💪💪👏👏👏🙆🙆💥💥
hongera kipenzi ❤❤❤
Asante Sana mpendwa
Hongera dada limo niko dodoma nimependezwa na ufugaji wako pia nahitaji vifaranga kutoka kwako napataje
Asante Sana,
Vifaranga vinapatikana na Dodoma tunatuma. Karibu sana
Nahitaji vifaranga 1100
Vinapatikana,
Wasiliana nasi 0620440863/0653939232 Kwa kupata utaratibu wa kuweka order.
@@kimeyfarm ok ahsante
Niko kenya naomba number yenu ya watsapp
0620440863