Ni mdada ninaye tamani kujifunza jinsi ya kufuga kuku je m naweza nipatia elimu hiyo,{2}je kutengeneza mabanda na vifaa vyote ikiwemo pesa ya kununulia vifaranga I naweza gharimu kiasi gani? Nimependa nikirudi tz nitakuja chanika naomba mnipokee 🙏🏼.
Kazi nzuri , nlishawahi kufuga kuku chotara , nlichowapendea wakishakua hawasumbui magonjwa na wanataga kulingana na ubora wa chakula unachowapa . Swali! Kuku wa kuroiler wananunuliwa kwa order kwa ajili ya nyama kama broiler?
Kazi nzuri sana....!!!!
Hongera Sana Mungu akusaidie inshallah
Amin
Mungu awatangulie ishaallah 👏🏼🥰
Amin
Oo chanikaoyee aise nimeipenda ufugaji Nami nitaomba muongozo
Kazi njema mamangu na dadangu Mungu awasimamie kwa mradi mzuri
Amin
Asanteni kwa kutumegea kile mlicho kuwa nacho.
Sharing is caring
Ahsanten kwa kutupa motisha
Pamoja sana
MUNGU AZIDI KUWABARIKI SANA, NA KAZI YENU IZIDI KU ENDELEYA MBELE.
NINA WAFATA TANGU DRC HAUT-KATANGA PROVINCE MTAA WA LUBUMBASHI.
Tubarikiwe sote
Maashallah nitakuja ta nitawatafuta
Karibu sana
Asanteni saana
Pamoja sana
Hongera xn mama
Mayai Tshngap mama trey nikitaka
Tumewapenda sana
Asante
kazi nzuri sana
Shukrani
HONGERA SANA MAMA
VIPI HAO KUKU WANATOKA NJE?
Ni mdada ninaye tamani kujifunza jinsi ya kufuga kuku je m naweza nipatia elimu hiyo,{2}je kutengeneza mabanda na vifaa vyote ikiwemo pesa ya kununulia vifaranga I naweza gharimu kiasi gani? Nimependa nikirudi tz nitakuja chanika naomba mnipokee 🙏🏼.
Karibu sana dada
Chukua namba tuwasiliane
Ongereni sana je unakuku wa miez 3 ni kias gan?
Safi sana
Mnategeneza chakula cha kuku wenyewe ama mnanunua ?
Aisee mmeniongezea jambo moja kubwa
Hongera sana mama mungu akubariki ila nilikuwa naomba unisaidie mashine ya kutotoresha ulinunua bei gani
Chukua namba yake mcheki what's app
Nice
Je tetea wa chotara anaweza kupandwa na jogoo wa kienyej?
Tupo mkoani tunapataje kuku aina ya kloila?
Natakakujiunga na frusa.tena nilikuwepo zamani nasasa natakakurudii naomba zinazopatikana.
Asante kwa hayo
Pamoja sana
@@changamkiafursa Naomba kujua dear Ni majani ya Sina gani hayo au yoyote tu na Mimi ndo nimeanza
Pia vifaranga mnauz Bei gani
Wape vinasa nguo, au mchicha au mlonge
Chukua namba mcheki DM
Naomba namba za huyo mama
Nice one
💪🏽
Kazi nzuri , nlishawahi kufuga kuku chotara , nlichowapendea wakishakua hawasumbui magonjwa na wanataga kulingana na ubora wa chakula unachowapa . Swali! Kuku wa kuroiler wananunuliwa kwa order kwa ajili ya nyama kama broiler?
Ndio ni muhimu kuweka oda ila oda huwa haichukui muda mrefu
Majogoo nao wanataga ??😮
Navipaje vifaranga
Ktk hao wanaotaga mojawapo ni majogoo, jogoo nalo linataga😀😀😀
😅😅😅
Safi sana kijana mwwnzangu changamkiaa firsa una zidi kupasua anga kaka now subscriber 103000 ongera sana kaka
Asante sana kiongozi, Mapambano yanaendelea
Ukwel nimepemba sana hii, kitu
Je wanatoa elimu juu ya ufugan, na msaada wako kwa mtu anaye anza ni upi?
Wanatoa pia, wasiliana nao
Vifaranng
Tatizo soko la mayai limekuwa gumu sana.Unaokota mzigo halafu unakosa pakuyapeleka
Mbona namba zenuazipatikani
Dada vifarnga unauza shingap
Mm nitakuja jmn nataka elimu na vifaranga
Karibu sana
MIMI NAHITAJI NIPO PEMBA
Jambo nahitwa shukuru Niko DRC napenda na mimi munifu dishe jinsi ya kufuga kuku.
Munapatikana mukoa gani
Penda nyie jamani
Penda pia
Nimewapata nitawatafuta nipate vifaranga wa mwezi mmoja. Je tatizo la kuku kudonoana unaiondoaje changamoto hiyo.
Wape vyakula vyenye calcium au madini joto. Ama wakate midomo
🙏🙏🙏
💪🏽💪🏽💪🏽
Wa. Mayai. Shngp
je sisi wafugai wa congo tutapata vifaranga je?
Biashara inayolipa ni ya gongo.na.bangi
😅😅😅😅
Nice