- Видео 2
- Просмотров 16 402
KIMEY FARM PRODUCTS
Танзания
Добавлен 24 фев 2022
Ufugaji wa kuku wa kroiler ni mojawapo ya shughuli za ufugaji wa kisasa ambayo imekuwa ikipata umaarufu mkubwa katika sekta ya kilimo. Kuku wa kroiler ni aina ya kuku waliozalishwa mahsusi kwa ajili ya nyama, na huwa na sifa za kipekee zinazowafanya kuwa chaguo bora kwa wafugaji wengi. Hapa chini ni maelezo kuhusu ufugaji wa kuku wa kroiler
Видео
siri ya uzoefu wa zaidi ya miaka tisa katika ufugaji wa kisasa wa kuku, Kimey farm product
Просмотров 16 тыс.Год назад
Kimey farm product tunafuga kuku aina ya kuloiler pia tunatotolesha Vifaranga Bora kabisa, Tunapatikana Buza sigara karibia na Chuo cha Veta. Wasiliana nasi kwa namba 0620 440 863.
Nitakutafuta karibuni
Congratulations
Barikiwa sana kipenzi nakuja huko
Vifaranga unauzaje
Jambo dada mimi ninamipango ya kufuga kuku za kweila Niko Congo nichunge kwenye groupe la WhatsApp ili tuhongeye zaidi
Vifaranga wa mwezi 1 napata?
Nahitaji vifalanga nipo chimala vifalanga Miya shingapi
Hongera kwa mafinga iringa kunawakala nahitaji vifaranga
Mama Lyimo nimekutafuta kuanzia mwezi wa sita 2024 nataka vifaranga kila siku unapiga tarehe mara mwezi wa nane juzi mwezi wa kwanza. Sasa mnatoa matangazo kama haya kwenye mitandao basi muwe na uhakika wa kutoa huduma kama mnavyojitangaza.
Nafikiri ulivyopiga simu umepewa sababu ni kwa nini imekuwa mwezi wa kwanza badala ya mwezi wa 8. Au ulitaka tukudanganye kama mnavyodanganywa sehemu zingine utume hela halafu usipatiwe vifaranga ndio ungeridhika?
Dada kwa sasa vinapatikana ili niweke oder?
Niko Arusha,nitapataje vifaranga mfano nikitaka kununua kwako
Umeshaanza kuzalisha vifaranga? Naomba namba yako tagadhali.
Je naweza kupata vifaranga vya mwezi mmoja?
@@witnessmallya5114 hapana Vifaranga wa mwezi hatuna
Hamsni bei gan
Kuku 50.unauzaje my
Dada habari? Je ninaweza kufuga kwa kuzalisha vifaranga vya kuroila?
Salama kabisa. Ndio unaweza
Asante kwa Somo nzuri ninataka kufaga nimeamasika
Dadaangu Mimi Nimekupenda sana ambavyo hauko mchoyo wa Elimu, Haujivuni kwa kipato chako na zaiid umenifanya niipende sana Kroila. Yaani Mungu azidi kukuweka hai na kukuinua Zaidi. Nipo mbioni kukamilisha banda nichukue vifaranga kwako
Safi.
Only two videos!!!! Ongeza videos bwana boss mama
Soon zinakuja za kutosha
Mungu aizidishe company yako shem langu ili tuendelee kujifunza.🤝🤝💪💪
Very Beautiful indeed i am from Kenya and i admire Your farm its very neat, are there F1 generation chicks
Thank you for compliment. Yes F1 generation
Naeza pata aje vifaranga
Vifaranga vinapatikana kwa kuweka order. Tupigie 0620440863/0653939232
Niko busia Kenya ndio maana nauliza ni jinsi gani naeza pata kuku wenu
Xahaman naweza kupat utaratib wa elimu Kam Muna group nitapta wap utaratib wa kujiunga
Am from Uganda I want to buy from farm day old chicks how much for chick
Mambo How much for chick
Antonia ni nomads big up
Thank you
Mimi ni Shabiki namba moja wa project yako madam..stay Blessed
Amina
Mambo madam? Je hamna mpango wa kuanzisha madarsa ya elim ya ufugaji
Salama kabisa, mwezi wa nne tutaanza darasa ila nitawatangazia
@@kimeyfarm darsa ni muhim Sana ,tunahitaji kujifunza zaidi kupitia ww madam,ili tuimprove Zaid kma ww
Hongera mama Limo. Me mwenyewe naagizaga vifaranga kwake vipo vizur sana
Asante Sana mpendwa wangu
Mm nahitaji kufuga lakini sina elimu ya kutosha
Tafuta kwanza elimu ndio uanze UFUGAJI, na elimu unaweza kupata kupitia kuhudhulia semina mbalimbali za ufugaji, kusoma makala za ufugaji kupitia kwenye mitandao, kusoma vitabu au hata kujaribu kufuga kidogo ili kupata uzoefu zaidi
Niko kenya naomba number yenu ya watsapp
0620440863
Je nchini kenya mupo?
Hapana
Na je ni janjo ipi ambayo nawesa kujancha vifaranga wa siku moja
@@climentombui-zx5vc Marek's
@@kimeyfarm Marek's ni janjo ya sindano ama mchanganyo wa maji
@@climentombui-zx5vc sindano
Mama limo hongera sana je kwa maeneo ya arusha vifaranga vyako vinapatikana wapi
Asante Sana, Arusha hatuna tawi ila mikoa yote tunasafirisha
Hbl yasiku mamalimo
Salama kabisa ndugu
hongera kipenzi ❤❤❤
Asante Sana mpendwa
Nahitaji vifaranga 1100
Vinapatikana, Wasiliana nasi 0620440863/0653939232 Kwa kupata utaratibu wa kuweka order.
@@kimeyfarm ok ahsante
Na ni bei gani kwa kifaranga?
1500 tsh
Je nikihitaji vifaranga naoataje na mimi nipo arusha?
Tunasafirisha mikoani pia. Bei ya kifaranga ni sh 1500 na order inaanzia Vifaranga 100 na kuendelea. Karibu sana
@@kimeyfarm nahitaji vifaranga 100 nipo Arusha
My mentor mama lymo good job
Asante sana
Following from Kenya , how can i get your day old chicks
Nakufuata kutoka Rwanda, nawezaje kupata vifaranga Mimi! napenda jinsi unafafanua mambo kbs... Hongera dada!
Asante Sana. Tunakamilisha baadhi ya taratibu za kusafirisha nje ya Tanzania. So soon tutawafikia
Hongera dada limo niko dodoma nimependezwa na ufugaji wako pia nahitaji vifaranga kutoka kwako napataje
Asante Sana, Vifaranga vinapatikana na Dodoma tunatuma. Karibu sana
Nice breed
Thank you
I've fallen in love with your birds and subscribed already so that I follow you. Great work. 👏👏❤❤👌👌 From Uganda
Thank you
Ongera San madam
Asante sana
Hongera mama rimo niko pamoja nawe by Ally kongo from pemba
@@MohdOmar-tt4ki asante Sana
Mama limo upo vizuri sana
@@SamwelNdaoo asante Sana
Yes madam...elimu ni bora
💪💪💪👏👏👏🙆🙆💥💥
🔥🔥🔥