Mimi nimependa kipindi chako kaka Hajji, ni furaha,vichekesho😅😅😅 na kujifunza pia kama Jimmy anajua Masha ana mzazi mwezie doctor Kumbuka bado wana mahusiano ya kimapenzi lakini akamfata Masha na kukubaliana kuwa wapenzi''' Pia Jimmy ana mke na familia lakini anamsaliti mkewe basi ndiyo maana Mungu kampiga na kitu kizito.
Wanatuchosha wakitoka hapo wanaenda kudinyana... Jimmy anampenda sana Masha love mume wa mtu anakiri mbele za watu maneno hayo ya tuachane ni wazi alimpenda...sema Masha Kitasa nangai sana
Wababa muwe mnajiheshimi Mafufu na umaarufu wako wote heshima yako malizia na familia umejiaibisha Bora hata angekua mwanamke mwingine lakini makontena ya maziwa looooo!!
Manara bro we ni shida sana ... Yani Kila unachobuni kinaenda sanaaaàa 😀😀😀😀😀
Manara umetuweza Leo dooo utazani comed🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋😋jinsi wanavyo jikanyagakanyagaaaaaaaaaaa
😂😂😂😂ka Hajji...yaani i m dying kwa kucheka....who are these guys??
Iyo mimba ya nani ya kwako awe koma wee jimi mafufu 😂😂😂😂😂
Sikuwah kujua Masha ni mpole hivi she is humble
Mimi nimependa kipindi chako kaka Hajji, ni furaha,vichekesho😅😅😅 na kujifunza pia kama Jimmy anajua Masha ana mzazi mwezie doctor Kumbuka bado wana mahusiano ya kimapenzi lakini akamfata Masha na kukubaliana kuwa wapenzi''' Pia Jimmy ana mke na familia lakini anamsaliti mkewe basi ndiyo maana Mungu kampiga na kitu kizito.
Noma sanaaa kmbe ad umekir ushalala du atar kwelkwel jmy anafurahisha
Nipeni na Mimi like 😢/2024
Za shingapi unataka?
Part 2 jaman Nayapenda haya mambo 😂from Rwanda
Ahaha🤣🤣🤣🤣 Tumesha jua, Nyie kumbe mnapendana🤣🤣🤣
Leo imegundulika nimecheka sanaa duu fufu leo kawa mpole anampenda sana Masha 🎉😂😂😂 duu bonge la comedy
Unajishusha eshima kabisa wewe Jimy mafufu
Eti nimelala mara mbili
Kipindi kizuri shida kpensi tu
@@issanjukwai1632Shida kipensi kweli 😮
Part 2 sasa 😂😂😂😂
Wanatuchosha wakitoka hapo wanaenda kudinyana... Jimmy anampenda sana Masha love mume wa mtu anakiri mbele za watu maneno hayo ya tuachane ni wazi alimpenda...sema Masha Kitasa nangai sana
😅😅😅😅😅😅
Mashaa sio mkubwa ni kweli ❤😊miaka 27 ni sahihi kabisah ❤️
Kweli Masha ni mdogo
atajua yy
Ni muongo tuuu
ata Kama niuongo mtupu ikiwa mdogo wake mai anahio 27 yeye atakupa mingapi wasanii waache uongo
Masha bhana,wanatakiwa wachange Kodi 😀😀
Mguu wa kulia wa manara unadeka sana jmn unakaa juu juu tu unamtesa mguu mwenzie😀
Mpaka Mutangazaji anakosa lakusema ana ishiwa big up Haji manara TV
nimecheka sana 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Wababa muwe mnajiheshimi Mafufu na umaarufu wako wote heshima yako malizia na familia umejiaibisha Bora hata angekua mwanamke mwingine lakini makontena ya maziwa looooo!!
Hawa wanapendana sana sema mashlove tu chetu ila Jimmy anampenda sana
Usijitetee mafufu,kama unajua anawanaume wengi ulianzaje kulala bila condom
Hahahahahahahahahahah manaraaaaaaaaaa leta part two banaaaaa
Eti kumbuka kavaa t-shirt yangu 😄 🤣 😂
Manara wacha nikupe coment yangu mic you
Afu mafufu anaonekana anampemda sana mashalove😆😂😂😂😂
Sana yan wanapendana hawa 😂
Kweli wanapendana
Hajj weka bodyguards ..kipindi kitamuu sanaa tuu
Mtumishi wa Mungu Pole sana jamani, Mungu akuimarishe
Sasa manara nawe umevaa nini😂😂 cjapend😢
As aleikum kaka manara samahani mimi nilikuwa naomba kazi za kusafisha
Sasa mafufu kuniblock istagaram ndiyo nini kumbe upo na kipenzi changu bwana,
😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣 uwiiiiiiiih nimejua kucheka jamani kha
Aisee maisha plus
Part tu masha acha Kona nyingi😂😂😂
Uyu jamaa anampenda Sana masha
Ihi lazima Haji uirudie part 2 3. 4
Awa watu wana pendana saaana mno❤😂😂😂
Hahaha hwa watarudiana nipo hapa nimekaaa🤣🤣🤣🤣mafufu anampenda
Yaani manage asantee sanaaa hakika umeifanya siku yangu imekuwa ndefu
Part 2 please 😄😄
😂😂😂😂😂😂Watanzania aisee nyie mnatesa sana mitandaoni 😂😂😂😂😂
😆😆😆😆mecheka kwa sauti kubwa kwenye kuchanga kodi aseeh🙌 ety kwann tuschnge mm na kumbuka, Alf sijuh mke wa jimmy anajisikiaje Jmn akiona hivi
Nimecheka sana aisee
Mpaka raha
Mbavu zangu jamaaaani 😂😂😂😂😂😂kumbuka njoo uku 😂🤣🤣🤣🤣
Interview safi kabisa Bugatti 🔥🙌😂😂
Hii interviewe iwekwe part 2 jaman😅
Haa mzigo bado nautakaaa😂😂😂😂
Masha I like it😍😍😍😍😍
Hatimaye mafufu sasa hb anamjua mashalove,,maana alituambia hamjui hyu anayeitwa mashavu🤣🤣🤣🤣
Masha umendeza ulivyojistiri
😀😀😀😃😄😁 bongo movies bna
Kumbe Ni kweli jamani!!!!¡!
😂😂😂nawapenda nyote
Hadi Raha
Hongera kwa ubunifu wa kipind
singali jamani 😂😂😂big up Manara more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hana mimba
Wewe unajiita mutumishi wa mungu unahaibu kabisa 😭😭
Ahahaaaaaaaaaaaa khaaaa jamn uyu si alikataa huyu ahahahaaaaa nimecheka mim jamn harafu wanapendana hawa 😂 😂 😂😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Mana kwanza ncheke😂😂😂
Masha mbn aupo serious jaman na maisha darasa la sita na darasa la saba kweii
Tunaitaji number 2
Akuna mimba. Masha acha. Kumuomgopea bba wawatu
😂😂😂😂endelee jaman mapenzi ww
🤣🤣🤣🤣 manara shikamooo big up niko paleeee na subiri party 2😅😅😅
Nimecheka jamani Ila mbona Kama bado mnapendana
Hawa wanaigiza hakuna kitu hapo wahuni hao
MAFUFU bado mzigo anautaka huo😂😂😂
Namuonea huruma mwanamke mwenzangu kuwa mwenye mume Mafufu
Wote ni malaya hao kaka Manara
Jamani siyo kwavichekesho jamani
Mafufu bado anapenda masha
😂😂😂😂🤣🤣leo nitachekaaa
Mwanzo ulkataa kazi ipo🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu atusaidie Sana sisi wanawake
Changudoa huyo
Mmh mafufu anampenda masha tena sana
Mafufu anampenda Masha 😅😅
😅😅Nicheke tu mana mambo ni mengi
Eti kumbuka kavaa tishet yangu 🤣🤣🤣🤣
Hii intaviu sisi wambea tunaomba part 2 Ahahahaaa
Manara umetuweza.......😂😂😂😂😂
Wote mnapendan masha na jimi munajuana ni ubishi tu .
Kwani Kodi aombwe yy 🤣🤣🤣🤣🤣
Awa bado wanapendana sana
Haji mtoto wa mjini
Eshe mai sasa ebigael😂😂😂😂
Hii kali
Hahaha interview tamu ila fupi jamani natamani kuendelea kuangalia
Party 2 inatika lini
Hongeren kwa kutuibia mabando yetu kwa maigizo yenu,,Mwenye Tv chale ma wagen wake wote machale
😂😂😂machele dabo 3
🤣🤣🤣🤣 et chale dar Ila kweli chale🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅😅 eti chale😂😂😂😂😂😂😂ila chale hiv alifanyaga nn had akawa chale😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣hivi hii ni kweli jaman mbona pambee mafufu huoni kama ndiyo umejidharirisha sana na mkeo sjui kama Kuna maelewano nfani
🤣🤣🤣 eti aah we koma huyu mjanja mjanja sana
😂😂😂😂😂😂nawomba part 2 manala
Manara shikamoo jimmy anasema kwako nimelala mara mbili😂😂😂😂 interview bora kabisaaaa
Masha love wanaumee 2😂😂😂
Kwann tusichange mm na kumbuka
Manara Leo umepatikanq😂😂😂ety kwnn umwagie ndanii
Nahisubili kwa hamu iyo ep2
😀😀😀😀 hii ni comedy bila Chenga kkkk
Nime suscribe haraka😂
Mashalove kajtuliza km sio yeye vile kkkk
Huyu JiMM Mafufu hajielewi mbona ulikataaga kama hawukupendana naye?? Mm jamani yajayo yanafurahisha😮😮 MASHA sema kweli hawuna mimba una danganya KUMBUKA uko wapi mke wako leo mtazichapa kumbe ungaliki😂unaenda kwa masha?? Mmm
Mafufu ukishindana na masha utaibika mwanamume haongei sana
Jmn jmn hivo mke wa jimmy mafufu huko anajiskiaje 😢😢😢😢😢😢😢 wanaum hawa
Itakuwa movie inakuja😂😂😂😂
Masha love endelea kumpa hako kamjaa chini ya tumbo😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣OOOH MIMI SIYO MWENYE PICHA NYIEEE