WEMA ATAJA MWANAUME ALIYEMSUUZA MOYO KULIKO WOTE KABLA YA CHIBABA- MANARA HOUR PART 2 WEMA NA HAJI

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 264

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 3 дня назад

    Mwanangu Wema, unajibu maswali vizuri na kwa busara kubwa.Hata U-DC unauweza, natamani mama angekuona.

  • @shikoshania953
    @shikoshania953 Год назад +35

    Wema hachoshi,yaani kama vile naangalia movie😍😍😍😍😍😍😍🔥

  • @ivannelson6847
    @ivannelson6847 Год назад +15

    Ila tuache masiara huyu dad ni bonge Moja la mrembo M/Mungu awalinde wale wooooooooote walio jaliwa kumleta Dunia

  • @AthumanAlfan-vb8mn
    @AthumanAlfan-vb8mn Год назад +41

    WEMA usipende kusema huna mtoto !!!mtoto unaye sema foleni yako haijafika utapata mtoto mungu niwetu wote tumaini one day yes

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +34

    Wema Wema..anaonekana mkweli kwa maisha... nimempenda Wema..

  • @EmmanuelKunzugala
    @EmmanuelKunzugala Год назад +15

    ukweli kwamba mondi aliwaka baada ya kutoka na Wema a alimfundisha....... wengi wakipita kwa Wema wanang'ara kinomaaaaaaaaaaaaa 😉😉🙌🙌🙌🙌 Wema najua kutunza mambo hatoi hovyo hovyo🤝🤝🤝

  • @ruthamoit657
    @ruthamoit657 Год назад +22

    Nmependa ii interview,for sure Wema is real

  • @gatimarwa7525
    @gatimarwa7525 Год назад +34

    Moja ya kipind Bora Sana cha Manara......Wema is Soo real hata akiongopa unajua tu anaepusha jambo fulan😝😝

  • @esaukalanje5378
    @esaukalanje5378 Год назад +10

    Huyu Dada Yupo real sana she's not acting in her life, namfahamu sababu namtibu Mbwa wake(Manunu) till today

  • @halemmmbarak16
    @halemmmbarak16 Месяц назад +1

    Bugati mm ni shabiki yako napenda kazi zako nakuombea ufanisi katika kazi zako.Nasaha yangu kama shabiki yako : Jitambue ww ni mtu maarufu mnoo na hadhi yako iko juu. Unapokua katika mahojiano kua imara katika kuliza maswali yako na pia ondoa umaskani kazini.Uimara nizungumziyao ni uwe na kumbukumbu zote za maswali unayo uliza. Isifike mahali wauliza kitu ambacho mwenyewe hukikumbuki.Job well done kip it up.

  • @marciawambui1965
    @marciawambui1965 Год назад +16

    Wema is being honest. Diamond clearly his true self is coming out. He is unbearably annoying. He treats women as objects. Sweetheart, wema keep shining gal. You are a lovely woman. Much love❤

  • @annarulanyaga
    @annarulanyaga Год назад +10

    Ila Wema Mungu atakulipa leo uko na Wozu watu wanaanza kuona kama uko na mtu mdogo sana ki level ila wakumbuke Diamond ukianza naye akiwa level ya chini sana kwako tulia mtainuka tu na Mungu awafikishe mbali huyu awe mpenzi wako sasa wa maisha yote

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek Год назад +6

    Nimependa sana mahojiano yk,zaidi nimefarijika KUACHA KILEVI na kukemea MAADILI MACHAFU/POTOFU ktk maadili ya Dini/kiafrika.
    M'Mungu azidi kukuongoza njia sahihi.

  • @asshfaynahassan4942
    @asshfaynahassan4942 Год назад +11

    Nampenda huyu mdada jmn uwiiiiii m/mungu akupe hitaji la moyo wako mumy

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Год назад +23

    WEMA KWA MARA YA KWANZA KACHEKA KICHEKO CHAKE CHA ASILI CHEZEA HAJJI WEWE😂😂😂😂😂

  • @jacklinemhagama5372
    @jacklinemhagama5372 Год назад +7

    Wema mama angu c mtu wa wasanii ila anakupenda sana aise kweli wewe ni Tanzania sweetheart nyota yako Kali❤️

  • @faiqaanwar7268
    @faiqaanwar7268 Год назад +14

    Na Kupenda sana wema.hajj uge fanya siku uwaalike wote ki baba na chi mama.

  • @erlindabernard9878
    @erlindabernard9878 Год назад +13

    Kuna watu wana nyota jamani 🙌🏽🙌🏽

  • @SamyRanyKadokihe-sj8zt
    @SamyRanyKadokihe-sj8zt Год назад +38

    Ila huyu dada ni mrembo sana si utani hachoshi kumtazama♥️

  • @saidsultan1927
    @saidsultan1927 Год назад +2

    Wema umezungumza kitu Cha kweli wewe humpendi mtu kwa pesa zake ila ulimpenda Idris kwa vile alivyo Idris na SIO pesa Hongera sanaaaaaa wema

  • @chinischinis6371
    @chinischinis6371 11 месяцев назад +2

    Daah nimeinjoy sana kwa skia zile slengs za wema hakika kwa upande wa wanawake wema ndo rolmodel wangu bigup wema,
    Ila haji uko vizur sana kumbe haji unajuaga kuchokonoa namna iyo das gud kumbe ata ukiacha mpira haji hukosi kazi wewe tukikuleta kwenye udaku na ubuyu uku aaaaaah tunakusaha uwanjani kwa baraka mpenja😂😂😂hongera haji

  • @miriamchirwa7659
    @miriamchirwa7659 9 дней назад

    Mimi Miriam yaan nampenda aunt Wema jins alivyo na kasaut kake kazuri na hasa akicheka.
    Nataman kuskia akiimba nifrahi. ❤️❤️

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 Год назад +12

    Wema waTanzania tunakupenda sana

  • @sandyk4966
    @sandyk4966 Год назад +14

    Penda sana wew Wema Sepetu ❤🫶

  • @chiconinde8135
    @chiconinde8135 Год назад +5

    Sema katika yooooote,, napenda Haji anavyosema "ukaweka hapa ukashusha chini..".😀🙂😀

  • @njuka3515
    @njuka3515 Год назад +6

    Ila wema yaani bado ni mzuri na mrembo kweli yaani sauti pia tishio

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 Год назад +21

    Wemaaa jamani hakuna asiyejua umempaiza Diamond! I love your humbleness hapo angekuwa mwanamke mwingineeee lol. Diamond huyu dada naomba umuangalie kwa jicho la 6 na la 7 na la 10 na la 200 na la 1000 na la million moja, na mara laki 1. Alikupenda kwa dhati na uliumiza moyo wake! But anyway ya zamani hayo nawatakia maisha mema nyote wawili katika current r/ship zenu

    • @salmaqueen4382
      @salmaqueen4382 Год назад +2

      Yani umeongea ukweli ambao watu hawapend kuusikia,yani wakati mwingine mpaka namwonea huruma Wema natamani apate mume bora na mwenye mahela kuliko hao wote waliopita mana wamemfanya anakejeliwa na watu halafu sioni chochote walichomuongeza kwenye maisha yake zaidi ya kumvuruga😢nampenda huyu dada jaman

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 Год назад +3

      @@salmaqueen4382 diamond hana shukrani Yule.

    • @stamelistameli8461
      @stamelistameli8461 Год назад

      😅😅

    • @malianonicass7029
      @malianonicass7029 Год назад

      Mond ni mond tu jaman

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 Год назад

      @@malianonicass7029 kwahiyo?

  • @user-pw2bl4qd8w
    @user-pw2bl4qd8w 13 дней назад +1

    Nakupenda sana wema ❤❤❤mungu akupe hitaji la moyo wako

  • @priscargodwel3794
    @priscargodwel3794 Год назад +6

    Manara unauliza maswali mazuri

  • @shangwefisima3993
    @shangwefisima3993 Год назад +10

    Wema walipendana sana Kanumba..nakupenda Wema

  • @agnesschaote5583
    @agnesschaote5583 Год назад +6

    Idris mbona alisha sema alipoteza pesa zote kwenye madini

  • @swalehesaad1143
    @swalehesaad1143 Год назад +5

    Ni manara pekee ambae anaweza fanya intavyu na maselebriti wengi kasoro konde boy hapa tanzania

  • @yusuphmakhahala6570
    @yusuphmakhahala6570 Год назад +9

    Brother hiki kipindi ni kizuri sana tunafurahi sana watazamaji wako .mbaya zaidi una hoji watu mashuhuri sana.

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Год назад +6

    Hata mm nampenda saana Kemmy jamani.i miss her soo much.huyo dada alienda wapi?Manara ikibidi tutafutie huyo dasa.

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 Год назад +4

    For sure wema upo very content!

  • @user-rv7zt6tj3d
    @user-rv7zt6tj3d Год назад +11

    Ila diamond alikuw anataka kula ujana tu ndo maan anaachana na wengi na ukiangalia alikuw anagrow ktk mziki basi alikuw na hekaheka za kutaka kuona dunia zaid so ndo maan anaachana na wanawake kila mara coz si mwanaminifu. Angalia hata wengn amewaacha kwa kuwacheat na mwingn yaan ujana ulimvaa na jini la mapenz lilikuw mkonon mwake na aliendekeza ujana zaid, so amelost waliokuw na kheri na yeye ndo maan saiv haelewk yupo na zuchu mara nn na saiv star hawez pata mwenye mapenz ya kweli wataangalia zaid pesa kuliko alivyoangalia wema kipind hana hata pesa yupo rafu hata kuongea mbele za watu alikuwa hajiamini so ni funzo by the way.

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Год назад +4

    👊👊👊 manara kipindi kijacho mlete chibu

  • @MrsgloryPacian-yl2qr
    @MrsgloryPacian-yl2qr Год назад +10

    Jamani wema nampenda

  • @4hestatecompany20
    @4hestatecompany20 Год назад +4

    Wema n mke mwny cfa ya kua mke tatz hajagundua aina ya mme anaemfaa

  • @Baba_Ben.
    @Baba_Ben. Год назад +15

    Manara mbona unaguna baada ya Wema kusema hakuanza kucheat bali yeye ndo alisalitiwa

  • @chiconinde8135
    @chiconinde8135 Год назад +5

    Manara hichi kipindi kimekuzidi uwezo, yani una kifua chepesi kiasi kwamba hichi kipindi kinahitaji mtu fulani awe mvumilivu na amtege mgeni ili aingie kwenye mtego mwenyewe.
    Kaka wewe unabutua tu😀😀😀,, by the way safi sana. Kipindi kizuri, inabidi ubutue tupate faida.

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Год назад +9

    Kipindi kizuli manala Tv napenda wema

  • @annarulanyaga
    @annarulanyaga Год назад +6

    Wema leo ndio nimegundua uko kitu kikubwa sana sana

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Год назад +11

    Idrissa mbona alisha jibu saaana kuhusu pesa zake kwenye interview ya SNS alisema alitapeliwaga kwenye bisshara ya Madini

  • @norahprotas1769
    @norahprotas1769 Год назад +3

    Love you my Sis Wema

  • @edenilyimoedenilyimo-we6dg
    @edenilyimoedenilyimo-we6dg Год назад +8

    Moja kipind Bora Tanzania manara tv

  • @perpsgiovanna1933
    @perpsgiovanna1933 Год назад +19

    Her name should be East African sweetheart

  • @Jehufamily
    @Jehufamily 14 дней назад +1

    Haji kazi nzuri brother

  • @mwajumamohamed6426
    @mwajumamohamed6426 Год назад +4

    Ila wema alimsumbua sana dai nakumbuka timu wema wakina matikibokoyao walivyokuwa wanamtukana dai na mama wema kwenye kipindi cha take one cha zamaradi alikuwa anamsema vibaya dai

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo Год назад +8

    Nice interview

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 Год назад +1

    M nnacomment wapi? Bt wema she is so smart.

  • @joycemollel7698
    @joycemollel7698 Год назад +6

    ❤❤❤❤wema sepetu

  • @mvanomtangazaji2205
    @mvanomtangazaji2205 Год назад +6

    Idris Sultan ameshazungumzia kuhusiana na hii inshu ya Pesa kwenye kipindi cha SNS. Wema Sepetu hahusiki na chochote. Kwa ufupi Idris aliwekeza kwenye biashara ya Dhahabu ila alipa hasara.

  • @purityelias4825
    @purityelias4825 9 дней назад

    Wema I love you my sister, wewe ni mrembo Sanaaaa.

  • @SaitotiAlaisMollel-ou6nb
    @SaitotiAlaisMollel-ou6nb Год назад +1

    Pole sana wema kwa hilo hata na mimi niliwhy jiulza hivyo unavyoo sema

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free Год назад +7

    Daaah mkiachana na demu anakuita “Yule Kijana”😜 Leo Wema anamuita yule kijaana 😜

  • @PhacmGhalib-om4ux
    @PhacmGhalib-om4ux Год назад +6

    Daaah Ila Manara kakaangu ktk vipindi vimewah kutokea ama intavyuu nzuri wewe unaongoz una maswal mazur in short kipindi kina mvuto saaan hakichosh

  • @hydo8027
    @hydo8027 Год назад +10

    Wabongo kwa kupenda umbea ,, hapa wanainjoi kipindi kwa ajili ya umbea😆😆😆 Ata Mimi hivyo hivyo

  • @user-sn6dc9gh8k
    @user-sn6dc9gh8k Год назад +11

    Manara anamlazimisha ili amtaje diamond 😢😢😂😂

    • @reginamluviji9405
      @reginamluviji9405 6 дней назад

      😆😅😅😅😅😅😅😅na mimi nimeona maan s n rafiki ake

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 Год назад +1

    Wema ni mtu mmoja makin sana, anaishi maisha yote ni mtu mmoja Safi sana.

  • @hamidawamba
    @hamidawamba Год назад +8

    Nmetafta weee sehem ya pili kumb ilikuwa bado

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 8 дней назад

    Naomba mungu amkumbuke a pate watoto

  • @eliakejijoseph1422
    @eliakejijoseph1422 Год назад +9

    Nice interview ❤❤

  • @marymolel616
    @marymolel616 Год назад +6

    Hapo kwa wema kusema hajakula pesa ya Idrisa mimi ninaweza nikaamini japo kwa 50 pacent maana kuna muda wanawake unakuwa kwenye mahusiano na mtu mwenye pesa lkn hata hutaiona ilienda wapi kitakachobaki ni watu wapembeni wanakutupia lawama nakumbuka hata mimi imenitokea inakera sana

  • @pendomarco8928
    @pendomarco8928 Год назад +3

    Mrudiane na Diamond

  • @user-mu9uf5le6j
    @user-mu9uf5le6j Месяц назад

    Wema nakukubali sana ipo cku ntafanya moves nawewe mungu akupe umlifu

  • @MawazoMwamba-fz5hr
    @MawazoMwamba-fz5hr 7 месяцев назад +1

    Alimpenda sana Mondi ,
    Asidanganye watu Eti Kanumba ndo mwanaume Alie mpenda zahidi kwa sababu hayupo hai.

    • @abigailkimanzi4655
      @abigailkimanzi4655 5 месяцев назад

      Nakubaliana na wema penzi lao na kanumba ilikuwa life ila.... Rip kanumba wetu

    • @ireenramsey951
      @ireenramsey951 19 дней назад

      Unamsemea na moyo wake

  • @linahkweka5492
    @linahkweka5492 Год назад +9

    Wemaa❤

  • @noellahappy512
    @noellahappy512 Год назад +7

    Nilitamani sanaa kuona interview hii na maswali nilio tamani kupatajibu kwa wema

  • @KaresmaAyubu
    @KaresmaAyubu Год назад +4

    Mbona issue ya hela kupotea za Idris alishaelezea ukweli kwenye kipindi cha salama na

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад +2

    Eti mbona unafanya vituko❤❤❤❤👍👍

  • @allymansur8845
    @allymansur8845 Год назад +2

    Nakupenda sana dada yangu

  • @zakiaibrahim8338
    @zakiaibrahim8338 Год назад +4

    Safi sana mlete diamond ❤

  • @catherincharles345
    @catherincharles345 Год назад +4

    Ndiomaana tunaambiwaga hakuna ulafiki kati ymwanaume namwanamke jmn

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 Год назад +2

    Yn wema akuna nguo avae alafu isimpendeze jmn afamu yangu uyu dada

  • @javierbosman5919
    @javierbosman5919 Год назад +3

    Manara mi mkenya shabiki wako mkuu mi upenda sana jinsi unavyo hojii 😂😂

  • @zamzamhaji1229
    @zamzamhaji1229 Год назад +5

    Kwanza acha nicheke mie 😂😂😂

  • @cizasharif6225
    @cizasharif6225 Год назад +10

  • @FVK07
    @FVK07 Год назад +2

    Huliza more About Steve Kanumba

  • @Mutesujeanne-hd5nm
    @Mutesujeanne-hd5nm 3 месяца назад

    Wema nakupenda saaaaana unasema ukweli kbx ❤❤❤😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @naufalmustafa565
    @naufalmustafa565 Год назад +6

    😁😁😁😁manara chokoz

  • @fredymwengela6763
    @fredymwengela6763 8 дней назад

    Mm msanii niyempenda kwenye tanisinia ni kanumba lose Rose ndauka

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Год назад +4

    Ila Haji hajui kuhoji kabisa. Zama na Salama is the best

  • @alimanana7564
    @alimanana7564 Год назад +5

    Manara bhana😅we unajuwa kufufuwa mambo

  • @khalifasaidi7001
    @khalifasaidi7001 7 дней назад

    Vipi alipokuwa na mheshimiwa wa pipoooooo!( people),,,,,,,,,,,,!teheteheteheeee

  • @rashidywandwi1543
    @rashidywandwi1543 Год назад

    Manara umekera unauliza swali unalitega vizuri alafu unabadirisha politician quation unetubania

  • @ChristinaOnditi-el3xo
    @ChristinaOnditi-el3xo Год назад +3

    Sipendi manara unamgasi wema Kwa maswali tata

  • @gracemwaura18
    @gracemwaura18 Год назад +3

    Wema don't stop drinking because of a man the day he takes off you will be so diverstated do it for you!

  • @maryaika9645
    @maryaika9645 Год назад +2

    Pretty humble

  • @christinenicholas4047
    @christinenicholas4047 Год назад +3

    Huyu bado anapenda naseeb Sana

  • @DuncanPhilip-xs9ug
    @DuncanPhilip-xs9ug Месяц назад

    Beautiful ❤❤❤❤

  • @anitakamene4656
    @anitakamene4656 Год назад +3

    Nice

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar4336 Год назад +2

    NA KUNA MAJAHILI WENGINE ATI MASHAAALAH WAAALANIF WAKUBWA WASHENZI LAANATU LAH

    • @mussamgonela
      @mussamgonela Год назад

      Umeona ee ndugu yangu khaki imekuwa batili na batili imekuwa khaki ( Inna Lillah wa inna illah rajuon)

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 Год назад +5

    Ukikaangalia kabugati kana meza mate daah 😂😂😂😂

  • @greysonmalila1296
    @greysonmalila1296 11 месяцев назад +1

    Kesho utaskia manara anamdate wema😂😂😂

  • @SaidihusseinAthumani-dy9kw
    @SaidihusseinAthumani-dy9kw Год назад

    Mungu atakupa mtt kwake akuna linalo shindikana endelea kumuamini tu

  • @naimamarijani5332
    @naimamarijani5332 Год назад +2

    Manara hujui jinsi ya kuhoji......unalazimisha mtu ajibu maswali kwa vile unavyotaka wewe......acha mtu aseme vile anajiskia yeye.....then subiri mtu amalize kuongea then ndo uulize swali.

  • @masika.zubeda.430
    @masika.zubeda.430 Год назад +16

    Couldn't stop checking your channel 😂😂😂❤❤🎉

  • @nooromar6233
    @nooromar6233 Год назад +15

    Kama kweli Wema unataka kupata mtoto omba uolewe upate kwa halali mngu pia atakuwa radhi na wewe

  • @user-qt4pc3lq5l
    @user-qt4pc3lq5l Год назад +1

    Heee manara hajakujibu hilo swali amelizonga tu