AHMED ALLY ATUPA KIJEMBE KWA YANGA/MAHAKAMA ZOTE KUTAKUA NA KESI ZANGU/WANAJITEKENYA TU/ALLY KAMWE..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 54

  • @LisaDequte
    @LisaDequte 7 часов назад +5

    Nimekupenda bure semaji letu ❤❤❤eti timu kubwa Tz ni moja tu Simba sc, limeisha hilo swali lingine 😂😂😂😂🎉🎉

  • @SuleimanAlly-c9p
    @SuleimanAlly-c9p 8 часов назад +1

    Tunakukubali baba 🎉🎉🎉 na Tunakupenda

  • @samochristopherroche9953
    @samochristopherroche9953 5 часов назад +1

    Ushajuwa unaenda kuchezea...😅😅😅

  • @MohammedLiyawile
    @MohammedLiyawile 8 часов назад

    Nakubali semaj ubaya ubwela tu💪💪💪

  • @HAMISMNAGA
    @HAMISMNAGA 6 часов назад

    Big up sana semaji la CAF

  • @SaleheAhmad
    @SaleheAhmad 8 часов назад +3

    Kiukweli ukiacha unaafiki! Huyu jamaa anajuwa! Nimsemaji mwenye kujitambua! Mimi ni mshaabiki wa YANGA! Lakini AHMED ALLY Namkubali mno!!! Big up"

  • @IddiNgulu-x9h
    @IddiNgulu-x9h 10 часов назад +1

    Pole kwa majukum

  • @FatumaIbrahim-u5k
    @FatumaIbrahim-u5k 5 часов назад

    Tunakupenda sana raisi wa mashabiki.

  • @AyubuAudax
    @AyubuAudax 12 часов назад +4

    Hayupo vizul kichwani Billion 10 zinamchanganya😅😅😅

    • @elishagwivaha
      @elishagwivaha 8 часов назад +1

      Zimchanganye kwa shepu gani hiyo ni midomo tu pelekeni kesi mahakamani muone fifa wakiwapiga na kitu kizito kwa ushirikina wenu

    • @LisaDequte
      @LisaDequte 8 часов назад +1

      ​@@elishagwivahaNilijua na ww hamnazo kumbe unajitambua pokea 🎉🎉🎉 yako ❤

    • @makamesaid9137
      @makamesaid9137 4 часа назад

      Atakoma ubishi mwaka huu siku zote huwa anaropoka tuu sasa ameingia kwenye mtego

    • @SamwelikazimbayaKitahenga
      @SamwelikazimbayaKitahenga 54 минуты назад

      Sisi utopolo akili zetu wote zinafanana😊

  • @FaridaAlly-m7r
    @FaridaAlly-m7r 2 часа назад

    Timu kubwa inacheza kombe la uwan😂😂😂 wanaume wapo barazani ukuu

  • @radhiamtindi7809
    @radhiamtindi7809 3 часа назад

    lipa bilioni kumi zetu maneno ya nin 😅😅😅😅

  • @MohamedIbrahim-bn1gz
    @MohamedIbrahim-bn1gz 5 часов назад

    Ahmed na Ali wamekua wapole sana tangu waanze kudaiwa mamilioni ya pesa

  • @athanaskabujanja5792
    @athanaskabujanja5792 5 часов назад

    Sio ya afrika ya shirikishooo😂😂

  • @westserengeti5608
    @westserengeti5608 5 часов назад

    Ila huyu jamaa bonge la comedian 😂😂😂

  • @ShaibuAwadhi
    @ShaibuAwadhi 5 часов назад

    Hilo ndio tatizo la Simba hawajiandai kushinda uganini hebu badirikeni sasa tafuteni ushindi ugenini hapo nipo tutaona u Bora hii stori Kwa mkapa hatoki mtu tumechoka sasa

  • @FrenkCharles-g4u
    @FrenkCharles-g4u 8 часов назад +1

    Nawatakia ushindi simba yangu

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 6 часов назад

    Ukubwa wa ni timu kumbe ni kufika robo fainali mimi nilikuwa najua ukubwa wa timu ni kuchukuwa makombe mengi !

  • @makamesaid9137
    @makamesaid9137 4 часа назад

    Naona leo uko hoi bin taaban
    UTOKOMA KUROPOKA😂

  • @UmayyaMunisi
    @UmayyaMunisi 5 часов назад

    Sauti nzur maneno ya busara semaji letu

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je 12 часов назад +1

    Ni usingizi au ni stress za bil 10?

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 часа назад

    Kweli adabu sasa inakuja.

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 4 часа назад

    Wewe unanayemsifia si yanga, wewe walewale wa design yao, yanga hawasifii watu kinamna hiyo, kazi unayo.

  • @salumissa7237
    @salumissa7237 7 часов назад

    Kwani waandishi lazima muulize masuali ya kichonganisha? Nyie ndio mnachochea utani ugeuke uhasama

  • @careemdulla1629
    @careemdulla1629 6 часов назад

    Amekuwa mpole unacheza na faini ya Billion 10 atajuta kuujua Yanga

    • @litimbaify
      @litimbaify 6 часов назад

      Azam nao wanataka billion 20 kwa kamwe kuichafua brand ya Azam complex kwa kauli ya Kamwe kwamba kuna Mtu maalam amewekwa kupunguza taa kwa dube
      Wanataka amtaje kudadadeki, Yanga mmejitekenya kwenye Ubaya Ubwela! 😀😀😀😀

  • @justinekamala9703
    @justinekamala9703 9 часов назад +1

    Sasa adabu imeanza kuonekana kumbe mnakuwa na heshima pale mahakama inapokuwa kazini, mkuwe mnazungumzia timu zenu acheni utoto mkafuate maadili yenu ya kazi

    • @careemdulla1629
      @careemdulla1629 6 часов назад

      Ujumbe mzuri sana wawe wanaongelea Vilabu vyao

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 6 часов назад

    Mbona anaongea kama aliekunywa jamani

  • @dullahmkomboce1394
    @dullahmkomboce1394 7 часов назад

    Wapelekee moto

  • @ShelyboyshelyShelyboy
    @ShelyboyshelyShelyboy 7 часов назад

    Ubaya ubwela

  • @Emmanuelbuyamba8037
    @Emmanuelbuyamba8037 7 часов назад

    Mimi ni yanga,ila Ahmed Ally anajua

    • @musamshema7838
      @musamshema7838 3 часа назад

      Kwani mpaka ujiite yanga?
      Nani alikwambia kunashabiki wayanga anaeliwa kiboga?

    • @AdrianvianusAdrianvianus
      @AdrianvianusAdrianvianus 52 секунды назад

      Yanga aina wapumbavu kama wewe

  • @SuhaMakame
    @SuhaMakame 8 часов назад

    Mbona semaj kama limepow ?

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 9 часов назад

    Yaani huko mkadidimizwe migoli 8 nitafurahi sana maana una mdomo sana tena domo hadi likuning'inie wewe Ahmed ally

    • @KumimbiliPlatnumz
      @KumimbiliPlatnumz 8 часов назад

      Anakukera

    • @LisaDequte
      @LisaDequte 8 часов назад +1

      Pole sana makasiriko fc 😂😂😂😂tuachie timu yetu tuachie semaji letu 😊

    • @NeemaMushi-wj1zn
      @NeemaMushi-wj1zn 7 часов назад

      Makasiriko fc

    • @mkanyafamily
      @mkanyafamily 7 часов назад

      Ninyi ndo wajuaji mlikifuru mkaletewa malaika mkachenyetwa na TABORA😅😅😅

    • @yohanakananika3586
      @yohanakananika3586 6 часов назад

      Simba ipi hyo unaota wewe😂😂😂