Nyimbo nzuri power of anointing ila next time hakikisha dancers wanakuwa na style nzuri ya kucheza , hao wakaka wamepoteza maudhui ya wimbo ila Big up kwa wimbo mzuri 🙏🏆 #KARIBUNI -NJOMBE #MAKETE , KIPENGERE , IMALINYI, ILEMBULA , tumewapata vizuri
Wewe hii ni pambio haina mwenyewe yani tenzi pambio haina mwenyewe hizi ni nyimbo za walokole wote walianzaga kuimba wakina mzee lazalo wakina Moses kulola muambie mchungaji wako hizi pambio hazina mwenyewe asijimilikishe mali za walokole akajua ni zake peke yake
Mchungaji Ubarikiwe sana naandika haya kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu,nafatilia sana mafundisho yako..nilibarikiwa sana na wimba wako na mdogo wako wa Mawazo ya moyo wangu na maneno ya kinywa changu yapate kibali mbele zako.. familia nzima mmebarikiwa... Christopher Mwahangila nyimbo zako ni maombi kwako hasa ule wa Petro na Yohana walikuwa wakikwea majira ya saa tisa kwenda hekaluni kusali...wimbo huu umebadilisha mpaka ratiba yangu ya maombi Kila ikifika saa tisa lazima niingie maombi naona wazi Kuna muujiza katika maombi ya saa tisa kamili mchana na usiku
Barikiwa sana mchungaji wangu
Ubalikiwe
Hakika Yesu Kristo ndiye mwamba,I love this song so much.
Mungu akubariki Sana
haujawahi kosea mchungaji
Ubalikiwe sana
Ubalikiwe
Tia bidii postor kile unachokipata kiwe baraka Kwa familia yko ,mungu akuelimishe, akuzidishie na akubaliki zaidi❤ tunakupenda sana
Amina sana, hata mimi kwangu YESU ni mwamba mpaka sasa
Mwamba mwamba yesu ndie mwamba UBARIKIWE sana pastor Wangu
Amina
Ubalikiwe
kamtupe huyoooo
@@masterkey536 Naam
@@nikodemmwahangila3334the
Nyimbo nzuri power of anointing ila next time hakikisha dancers wanakuwa na style nzuri ya kucheza , hao wakaka wamepoteza maudhui ya wimbo ila Big up kwa wimbo mzuri 🙏🏆
#KARIBUNI -NJOMBE
#MAKETE , KIPENGERE , IMALINYI, ILEMBULA , tumewapata vizuri
Nyimbo inabariki sana ubarikiwe pastor
Nimebarikiwa sana na nyimbo zako , Mungu akujunge
Barikiwa mtumishi wa mungu hakika yeye ni mwamba wetu
Pst Mwinjrist wa kimataifa Burudoza la injili
Yesu ndiye mwamba hakuna kam wew Mungu
Nashindaga hapa kuchukua upako barikiwa pastor nikodem
Asante kwa ujumbe mzuri mrishi, Mungu aendelee kukuinua viwango vya juu mtumishi wake
Chini ya director Malafyale..... Ndani ya Shogaa
Hahahahaha umeona shoga
YESU wewe ni mwamba wangu, Mimi nitashinda
Kabisa mkuu hongera sana
Mungu ni mtakatifu tumchezee kitakatifu. Kanisa limepotea linafuata mitindo ya Dunia ilhali Dunia inatawaliwa na shetani.
Sawa mtakatifu wewe
Barikiwa san Mchungaji na barikiwa sana na huduma yako Mungu akuinue zaidi
.
Wonderful.....,yesu ndiye mwamba💪💪
Barikiwa Sana Pastor Wangu
Amina
@@nikodemmwahangila3334 asante sana kwa ujumbe mzuri
Nakuelewa Sana Kamanda Karibu Tena Kazuramimba Kigoma Tumeshakukumbuka Tena Mungu Akubariki Sana.
Hakika yesu ndiye mwamba wetu ubalikwe mtumishi
Wimbo wa pastor wetu haiyaa
Amina kazi nzuri ubarikiwe mtumishi
Amina
@@nikodemmwahangila3334 watumishi hawa niliowataja mwamba uliwatetea
Ubalikiwe Mtumishi wa Mungu 🙏 nabarikiwaa na wewe sanaaaa
Mungu akuzidishie vingi vizur pasta wangu
Amina Amina baba angu,
Uliomba ruhusa kwa mwenye wimbo
Hii wimbo mwenyewe Ako tu
Wewe hii ni pambio haina mwenyewe yani tenzi pambio haina mwenyewe hizi ni nyimbo za walokole wote walianzaga kuimba wakina mzee lazalo wakina Moses kulola muambie mchungaji wako hizi pambio hazina mwenyewe asijimilikishe mali za walokole akajua ni zake peke yake
Sasa mbona unamseme mwenye wimbo japokua angali hai?
Amen Mwamba ni Yesu kristo wimbo mzuri sana Mungu akubariki sana mtumishi wa Bwana
Ubalikiwe sana.mtumishi
@@nikodemmwahangila3334 nabii Eliya mlima kalmel
Hakika Yesu ni mwamba
Hey mwamba mwamba hii ni ya uhakika
Amen amen.yesu ni mwamba atanisaidia
NEema iwajalie mtumisha WA mungu
Baba moto umewaka
Hatari
Hata kwenye huduma ni mwamba barikiwa
barikiwa na Mungu wetu aliye hai ❤❤❤❤💪
Amazing song ..I really love it😢
mwahangila juuu by mwakalanje
Yesu ndiye mwamba anipiganie wakati napitia ugumu katika ndoa yangu. Siko ready kuacha ndoa yangu kuaza tena ingine.Yesu mwamba anipiganie
Ubalikiwe sana awe mwamba ktk ndoa yako usibanduke hapo
Mchungaji Ubarikiwe sana naandika haya kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu,nafatilia sana mafundisho yako..nilibarikiwa sana na wimba wako na mdogo wako wa Mawazo ya moyo wangu na maneno ya kinywa changu yapate kibali mbele zako.. familia nzima mmebarikiwa... Christopher Mwahangila nyimbo zako ni maombi kwako hasa ule wa Petro na Yohana walikuwa wakikwea majira ya saa tisa kwenda hekaluni kusali...wimbo huu umebadilisha mpaka ratiba yangu ya maombi Kila ikifika saa tisa lazima niingie maombi naona wazi Kuna muujiza katika maombi ya saa tisa kamili mchana na usiku
Ubalikiwe sana tena sana
Hey moto sana... Yesu ndie mwamba maishani mwetu...
Ubalikiwe
@@nikodemmwahangila3334 kiukweli nakubali ❤❤ yesu ni mwamba
Haleluya Yesu ndiye mwamba
wacha mungu akutiye nguvu
We have Only one Rock 🪨 be blessed Man of God I'm very very proud👏 of this song OMG be blessed🙌
Barkiwa sana
Kwa yesu kunaraha hakika mwamba barikiwa sana mtumishi
Amina
@@nikodemmwahangila3334 chunya tunakufuatilia yamkini ni magonjwa sugu au wahitaji mtoto nyamaza atakusaidia
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏 murakoze
Hakika yesu
Mwamba
Powerful song...I feel blessed, it touches the broken ❤️ & the evil spirit. Keep it up!!!!!!!!!!!!
These song bless me so much Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Good song Man of God, may God expand all your territory in Jesus mighty name.
Ubarikiwe Sana pastor
Ubarikiwe
Be blessed man og God
Be blessed Pastor powerful song
I feel blessed with your voice
Wimbo mzuli babangu barikiwa
Amen and amen
Safi sana catterpiller:
Sauti ya mamlaka mchungaji
Ubalikiwe
Ubalikiwe
I love this song
I love the song
Be blessed my pastor
Truly the living rock ( God)
Amen
Ubalikiwe
Amina
🔥🔥🔥
thanks God bless you and your family 🌹🌹🌹
Saf Baba
Blessed
AAAMENI
❤️
Ameeeen
🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤
👏👏👏🇰🇪🇰🇪👂👂👂🔊🔊
🤷♀️🤷♀️💋💔
Amen
Amen
Amen