Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
❤❤❤❤❤
Mungu akubariki mchungaji, nabarikiwa sana na injili yako
Pastor washa moto kwa manabii feki wote maana ni mashetani wenyewe hao Tena waanguke gafla
Safi sana mchungaji kwa habari njema ninaimani imewafikia
Ubalikiwe
YESU NI MWANAUME
Barikiwa ujumbe umefika ❤
Kweli kamanda... Waambie ukweli
❤🎉 ubalikiwe sana kwa ujumbe mzuli sana pasta good my friend uzidi kusema kwe mungu atakulipa baba
Amina
Manabii feki ,mungu atuponye
Wimbo bora wa mwaka!!!
Eee Mungu wangu na wengi wanatafunwa si mchezo duuuuh
Wang'olewe hao meno bila ganzi kwa Jina la Yesu, Safi mtumishi wa Mungu.
Kabisa
Umeimba vzur mtumish huo ndo UHAMUSHO, alie kuwa anauongelea mch.Magembe, viongoz wako wakamfukuza
Wow wimbo mzuri sana na message mzuri mno ubarikiwe saidi na mungu na nimebarikiwa na huo wimbo amen lord amen
hii ni nyimbo inatakiwa iitwe koleo la kungolea jino nimekuelewa mtumishi
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana mutumishi wa mungu ni ukweli kabusa🇨🇩🫸🇨🇩
Amen Mtumishi wa Mungu,ubarikiwe sana kwa ujumbe mzuri.
Big bless
Waterehaaa mtumishi wa Mungu
Indaga
Hakika umewapasua Mungu akupe nguvu zaidi
Jesus Christ is my mentor, spiritual father my everything 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
BARIKIWA
Kanyagia hapo hapo mchungaji na bado mpaka kieleweke
Kabisa ubalikiwe
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 fireeeeee chuma kizito hiki
Amina babaaaaaaa
NABII FEKI MOTO UMEWAKA 😂😂😂😂
Kumekucha
Hakika umehubiri mtumwa wa Bwana yanayo endelea duniani ni kelo sana
Hakika ujumbe mzuri sana
Kweli kbs hawa manabii wa uongo ni shida sana, na mandazi ya upako,
Be blessed Man of God it's true I have new song hitting on 🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all
Mtumishi nataman kufika kanisan kwako ila sielewii lipo wap
@@Migapogospel678 mbeya air port ya zaman mwangonela
Hii imeenda
Haleluyaaa moto umewaka
Merci beaucoup pour cette merveilleuse et fortifiante chanson. 🙏🙏🙏
God bless you
Safiiii kamanda haleluyaa
Sindano bila ganzi safi
Aimen ❤❤❤❤❤
Balikiwa san baba
Moto unawaka😅😅😅
Hakikaa🎉🎉🎉
Sasa hizi ni nyimbo gani jamani,huburi injili watu waokoke bhna acha kuimba vituko
Vumilia tu ganzi haipo
Kwan hapo hajahubir
Waimbaji wanaotokea TAG hawajawahi kuwa na mafanikio kwa sababu nyimbo zao ni kupambana na watu sio shetani ,sasa huyu ni MTAG mwingine mpumbavu sana
Haahhaha
Ila mimi ninamafanikio sana kama ni hera hizi magali majumba hivyo Mungu amenipa kama vyote
@@nikodemmwahangila3334 hata hao unaowaimba na kuambatanisha picha zao kwenye video yako ,ni mungu anawapa hivyo walivyo navyo ,
Anasema kweli mbona uwe mtumishi wa Mungu unauzia watu maji na mafita Kuna wengine Hadi vitamba hizi ni siku zilizo tabiriwa za manabii wa uongo Yesu njoo utusadie
😅😅😅😅😅
Moto umewaka kwa manabii fake
❤❤❤❤

Be blessed Man of God it's true
I have new song hitting on 🔥💯 NAONA MBALI by STELLAH NDUKU get it and God bless you all