Mwanzo Mwisho alichozungumza Lissu Morogoro Aprili 30, 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 апр 2024
  • Alikuwa akizungumza na wananchi wa Morogoro katika mkutabo wa hadhara uliyofanyika baada ya maandamaono yaliyofanyika mkoani humo yenye lengo la kuishinikiza Serikali kusikiliza kero za wananchi ambazo ni pamoja na Katiba Mpya na Maisha magumu ambapo kwa mujibu wa CHADEMA ndio hoja kubwa za kitaifa kwa sasa na ni vyema wananchi kusikilizwa.
    Katika mfululizo huu wa maandamano mheshimiwa Tundu Lissu amabaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ameongoza maandamao kwenye Mikoa mitatu ambayo ni Manyara, Dodoma na leo Morogoro.
    Hata hivyo CHADEMA wamesema maandamano haya hayano kikomo mpaka pale Serikali itakaposikiliza hoja zao ambao ndio matamanio ya wananchi wengi wa Tanzania.

Комментарии • 28

  • @jacksonmwakosha3655
    @jacksonmwakosha3655 Месяц назад +13

    Kwa maoni yangu naona itakuwa jambo jema sana. Tundu Lissu ajengewe sanamu kwa kazi nzuri ya kuitetea Tanganyika yetu. Basi Kama tutakubaliana mm nitachangia 100000

  • @edwindezidery632
    @edwindezidery632 Месяц назад +9

    tundu lissu unaibua mambo mazito kwenye nchi hii mungu aendelee kukupa,ujasili na afya

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 Месяц назад +4

    Sawa MH tundu Antipace lissu

  • @SleepyRedRose-lt2vj
    @SleepyRedRose-lt2vj Месяц назад +3

    Daaha, huyu Mwamba ana madini mengi kichwani.

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u Месяц назад +2

    VIVA CHADEMA....VIVA COMRADE LISSU....WATANZANIA BILA KUJALI TOFAUTI ZETU TUWAUNGE MKONO....WANAPIGANIA NJIA KUU ZA UCHUMI NA RASILIMALI ZA NCHI KUWA CHINI YA UMMA....NA SIYO KUWAPA WAGENI NA MAWAKALA WAO NA MAKUWADI WAO WA NDANI.

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Месяц назад +5

    Hapo sawa. Nimekuelewa kweli kweli.

  • @kenedysimon3566
    @kenedysimon3566 Месяц назад +3

    Hotuba hii ni nzito

  • @ERNESTSuleiman
    @ERNESTSuleiman Месяц назад +1

    Haya madai ya katiba niyamsingi sn,ila watanzania wengi hatuna ufahamu,hapa unatupa Elimu,Mungu akubariki na akupe nguvu uendee kutuelimisha.

  • @mussaissa8355
    @mussaissa8355 Месяц назад +5

    Nakubaliana na ww tuna shinda ya mfumo ambao msingi wake ni katiba yetu , rushwa imeanzia kwenye chama cha ccm ambacho ni chama tawala , inakuwa ngumu rushwa kuisha wakati iko ndani ya chama tawala ambacho ndo kinaunda serikali

    • @elibarikimollel7149
      @elibarikimollel7149 Месяц назад

      Mussaisa mzimu wa Nyerere(katiba) ndio unatutafuna kupitia midomo ya warithi wake ccm...

  • @trynjunwa6057
    @trynjunwa6057 Месяц назад

    ccm daima..... ccm mbele mbele yaoooo.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Месяц назад +4

    Sasa hivi tuko barabarani, tunaletewa abuud kuwatisha bodaboda wasiandamane watanyang'anywa Toyo walizopewa kwa mkopo kama kiziba mdomo wasidai haki zao za kudai katiba mpya!.

  • @praiseandworshiptemple9166
    @praiseandworshiptemple9166 Месяц назад +4

    pambana jembe letu tupo nyuma yako

  • @amosbuzaniye2331
    @amosbuzaniye2331 Месяц назад +3

    uongozi ni kubeba mizugo ya watu

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Месяц назад

    Hata Marekani Rais anaweza kupinga mswada au kuukubari. Hivi ndani ya chadema unaweza pitisha chochote pasina Mbowe kuruhusu?

  • @gm003
    @gm003 Месяц назад +1

    Mzee Lissu, wakumbushe kuwa Kati ya wale waliopita bila kupingwa yupo Job Dungai, Spika aliefukuzwa pungent kama Spika kwa dhiaka kubwa, na hili lipo ktk katiba, RAIS MFALME!!

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Месяц назад +1

    Mzimu wa Nyerere(katiba) unatutafuna kupitia midomo ya warithi wa serikali ya chama chake ccm! Huyo ndiye chanzo tumwache namnagani?! Hii ni laana ya baba zetu,nao hawapo tena, tunapigwa tu!

  • @jumashimba9620
    @jumashimba9620 Месяц назад

    Kuzalisha nni

  • @piusprospa8832
    @piusprospa8832 Месяц назад

    hasa nape haana akili kupewa uwazili imekua kila anacho zungumza nikumkingia kufua mzanzibari huyu. hivi tunajuaje kama nape sio mzanzibari kweli? huyu.

  • @rommelmauma8081
    @rommelmauma8081 Месяц назад

    *Punguza uzito kwa kutembea; punguza kiasi cha mlo wa siku!*

  • @joscamwoshezi2986
    @joscamwoshezi2986 Месяц назад

    Acha kudanhanya watu,acha wakafanye kazi ya kuzalisha waweze kula,hajawahi tokea kwa nchi yoyote ile ikawawwkea pesa mfukoni.

    • @user-ti5ik2le1i
      @user-ti5ik2le1i Месяц назад

      Kikokotoo unakijua ww au ww sio mtumishi wa umma

    • @mustafaalli4698
      @mustafaalli4698 Месяц назад

      Mmh itakuwa umeandika hyo sms ukiwa wodin pale milembe sio bure.

    • @mbwanahasan2971
      @mbwanahasan2971 Месяц назад

      Jitu moja akili zimehamia nyuma hujitambui kabishane kwenye mipira huko

    • @mathiaszakaria7052
      @mathiaszakaria7052 Месяц назад

      Ww ni punga hujielewi,unafanya kazi huku katiba imeweka mirija ya unyonyaji utanufaika na nini

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 26 дней назад

      Chawa ztoo😂😂