Is true Pastor 👍 .mume wangu ni kimwambia stop ✋ mataa mekundu inaingia sasa eti funga kinwa. Mimi mtoto wa mjini kwa kute beza gari. Alipo tembeza gari mwenyewe akapita mbio mu redligh. Police 🚔 wakamtumia fine. Akabishana nao. Wakamuonyesha mu kamelayao hili gari kubwa jeupe Honday ODYSY ni la nani?? Eti.langu. alipa fine ya hela tangu hapo akapata fundi eti Africa tafauti na America 😳😳😍😍 nami napata kitu.kwa hili Somo be blessed. nice. 🏩🏘💝
Mahubiri Kiswahili Tv Niko Nairobi Kenya,,,utakuwa makambi gani?? At Nairobi Niko Westland ,Kangemi SDA Church call me 0711192114,,,nikusalimie tafadhali mahubiri yako yamenisaidia Sana
Mchungaj nimefurah San maan manen yote unayoyaonge mim yananipat kila ck lkn nashindw nikwambiej! Na muda huu nampigia Mme wangu cm nimuonjesh manen hayo maan wakati uliokubalika nimekujibu
Nakupenda mtumishi mungu akuzidishie upako
Hallelujah amen mungu akulinde akupe hekima na busala huokoe rohoro zawatu wake amina
Pasteur Mungu akubariki kwa kazi unayo ifanya.
Mungu akibariki songa mbele upo duniani kwa makusudi furani Tunakuombea ....leah Isaack Mwita wa ufunuo Amani.
Mchungaji ubarikiwe mnoo.Mafundisho yako yananigusa mnoo.
asante sana mtumishi kwa kua naendelea kuku fuatilia sijaiona tena simu mkononi mwako ukiwa mazabauni,asante kwa kutusikiliza.
Nabarikiwa mno na haya maubiri Pastor
Pr David Mmbaga Ubarikiwe na BWANA mafundisho yanabariki ajabu
Is true Pastor 👍 .mume wangu ni kimwambia stop ✋ mataa mekundu inaingia sasa eti funga kinwa. Mimi mtoto wa mjini kwa kute beza gari. Alipo tembeza gari mwenyewe akapita mbio mu redligh. Police 🚔 wakamtumia fine. Akabishana nao. Wakamuonyesha mu kamelayao hili gari kubwa jeupe Honday ODYSY ni la nani?? Eti.langu. alipa fine ya hela tangu hapo akapata fundi eti Africa tafauti na America 😳😳😍😍 nami napata kitu.kwa hili Somo be blessed. nice. 🏩🏘💝
Bwana Yesu asifiwe; Mungu awabariki sana watumishi wake katika kazi yake takatifu,nabarikiwa sana na mafundisho pamoja na mahubiri yenu, Amina?
Amen
mtumishi ubarikiwe na mungu kwa kazi njema
Asante sana. nawe Ubarikiwe pia
Amen barikiwa sana pastor
Mahubiri haya yamenibariki kwa kunifumbua n kunipatia mtazamo mpya mpana.....Barikiwa Pr Mbaga
Amen Mungu atukuzwe
David Bwana asifiwe.mafundisho yenu nayafuata vizuri.Mungu atuangazie. kutoka UTURUKI.
saf
Amina
Amen Mungu niongoze kuijua hii science Amen
Pastor barikiwa sana
Barikiwa Sana pastor ✔️✔️
Nimerudia kuingalia tena 2021 November 21..🙏🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi
Thanks for your time and give us nice word from Kenya
Dennison Mogire Nyabaro Am coming there soon next month I will be in Nairobi and Nakuru
Mahubiri Kiswahili Tv Niko Nairobi Kenya,,,utakuwa makambi gani?? At Nairobi Niko Westland ,Kangemi SDA Church call me 0711192114,,,nikusalimie tafadhali mahubiri yako yamenisaidia Sana
I will be in kenya Next month. Kiti camp meeting and Nakuru
Rudi tena 🇰🇪 wakenya wanapenda mafundisho yako
Mahubiri ya Uhuru hatimaye yamenibariki sana, ubarikiwe Mchungaji
gingers sana
Asnt mchungaj
Amina mungu atukunzwe milele
ubarikiwe mtumishi
Nimebarikiwa sana na ujumbe huu
Kweli nimebarikiwa mchungaji
Haiya..sikujua mengine hapa..nimejua sasa
Asante sana. ubarikiwe na Bwana
Asante mchungaji nimejengeka kiroho acha Mungu akufunulie zaidi
Ubari kiwe sanaaa
Naomba kukutana na wewe mchungaji masomo yako nayapenda sana hadi nmetamani kufika uko nishiriki nanyi
DF
Vema
Great.
mungu akubariki sana pastor
Mchungaj ubarikiwe sana kwa somo zuri
Amen amen amen 🙏🙏🙏
Thanks again for your time to give heavenly support,,,
Dennison Mogire Nyabaro Amen
@@MahubiriPrMmbaga hakika kumcha mungu nichanzo chamaalifa
Uhuru wa hatimaye
paster mumgu azd kuupatia afya na uzima kwani tunabarikiwa san
amen
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌.
Waooooo
Mchungaj nimefurah San maan manen yote unayoyaonge mim yananipat kila ck lkn nashindw nikwambiej! Na muda huu nampigia Mme wangu cm nimuonjesh manen hayo maan wakati uliokubalika nimekujibu
Ahsante sana mchungaj mbanga nakupenda San Mme wangu akikusikiliz anachek kam vile hatak kuchek lkn anachek
Nataman ck moj ufike chato
uhuru , uhuru, uhuru!