Sifa kwa Mungu!Mungu azidi kukupa nguvu tokea mimi na familia langu tume kugunduwa,na zaidi ivi corona bado sisi tungali nayo apa Canada 🇨🇦 watu awaendi saana kanisa .ndio maana ume kua baraka kwetu sababu tunasikiliza mahibiri tv nasiwezi eleza ni mara ngapi ina tusaidia...
Mungu atukuzwe mtumishi wa Mungu nilikuwa nasumbuliwa na maumivu ya kifua Mungu amesikia maombi nimepona sasa ivi ashukuriwe Mungu wetu
Amen mtumushi Mungu azid kukubarik
Amen
Barikiwa Mchungaji
Amen
Ubarikiwe mtu wa MUNGU
Amen amen pr umenifurahisha na hiyo sitor Mungu akubariki
Sifa kwa Mungu!Mungu azidi kukupa nguvu tokea mimi na familia langu tume kugunduwa,na zaidi ivi corona bado sisi tungali nayo apa Canada 🇨🇦 watu awaendi saana kanisa .ndio maana ume kua baraka kwetu sababu tunasikiliza mahibiri tv nasiwezi eleza ni mara ngapi ina tusaidia...
Bwana Yesu asifiwe pastor. Nipo dar es salaam nahitaji vitabu vya siri ya maombi yaliyojibiwa na vingine.
Napenda sana neno la Mungu,barikiwa mchungaji.
Ameen
Mungu akubariki kwa neno nzuri
Amen
Nimekuwa na hofu kwa miaka kumi,ila kuanzia leo naenda kuishinda kwa jina la YESU.
Siwez lala bila kusikiliza maombi kil siku izi apa nipo kitandani nasikiliza uku nasinzia..
Nina uhitaji wa vitabu vyake nita vipateje