Jman kwann yule kaka kamwingiza kubaya vile half yule msimamiz wa nyumbq na yeye ni tapeli kumbe walikuwa wana kuangalia kwa jicho la umeingia cha kike
Hansi akitapeliwa badae atakuwa kitu kimoja na Clara kupambana na hao majambazi.. na ndo crala atapata haki na hiyo mijambazi itakuwa ndo mwisho wao ila injinia kaudandia mtumbwi wa vibwengo kitamkuta kitu..atasaidia polisi
Jamanii nani anaona kma hance katapeliwaaa😢kwa ku Saini mkatabaa
Mimi hapa ashatapeliwa kabisaaaaa wale nimatapeli
Namba mbili kalizwa uyo
Jman kwann yule kaka kamwingiza kubaya vile half yule msimamiz wa nyumbq na yeye ni tapeli kumbe walikuwa wana kuangalia kwa jicho la umeingia cha kike
Hance kaingia cha kike jamani
Nimeshtuka kumuona yule mama wa roho mbaya
Clara atakuja kuwa na msaada mkubwa sana kwa hance sema nayeye ameshaanza kujistress kwenye mahusiano hachomoki😢
Hongera kazi nzuri sana mauwa yenu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Uwiiii hanse hapo unatapeliwa na hao matapel tena wana haramu wakubwa hao nakuonea huruma sanaaa
Yaaaani namuoneya huruma sana hanche katapeliwa mchana kweupe atalijuwa jiji Lipo je
Natasha umeyakanyaga hahahhah mdomo utakuponzaaa jirekebishe angalia sasa umekanwa tena unaitwa takatak ndoujuw hawa wanaume ni to much
Kazi nzuri MashaaAllah 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Dr Hance atapigwa na kitu kizito madame Jane sio mtu ni tapeli aliye kubuhu halafu hata hakamatwi nashangaa
Jamni naomben like namim❤
Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘
Tabu chizi et ahaa mridanganyana😂😂😂😂😂
Jamn wakwanza mimi naombein ❤
Ila Tabu wanifurahisha sana😂😂
Wakwanza nipewe like zangu
Mimi Naona Grace kapotea😂😂😂😂😂😂😢😢😢
Nmependa vyenye davy anamuliwaza mwenziwe,,ama kweli undugu n kufaana n sio kufanana
Kazi yenu nzuri naipenda kutoka RDCONGO 🎉🎉🎉🎉🎉
Hance ako na Annah nko nauhakika hawezi kutapeliwa maan annah anajua kikosi chote ni matapeli
Lazima atapeliwe kwanza kwasabu ashasaini mkataba manake ashatia pesa kwenye ujenzi wa jengo ilo
Daah doctor hance ywasign mkataba na majambazi huyu kwisha, hance umeisha
Goood sana hii move
Hansi akitapeliwa badae atakuwa kitu kimoja na Clara kupambana na hao majambazi.. na ndo crala atapata haki na hiyo mijambazi itakuwa ndo mwisho wao ila injinia kaudandia mtumbwi wa vibwengo kitamkuta kitu..atasaidia polisi
Ht hao matapeli mwisho wao utafika tu
Maskini hance hao matapelii
Nawapenda wote ❤❤❤❤❤
Eee Mungu amusaidie
Masikin hanc utajuta Amakwel kusom siyo njo Akili Wal ujaja😢😢😢😢😢😢
Leo niko wa pili
Kazi tamu
Nice movie from Drc congo
Muko poa sana
❤❤❤❤❤❤
Nzuri Ila duma kiboko 😅
Hemedi asa fundi yaani anavaa Kisha anajuwa kuect
Jaman ❤❤❤
Watu wakivurugwa na wanawake Ndio wanakumbuka ndugu zao ila mambo yakiwa Sawa hawajuani bize bize ila Mapenzi ni balaa
Daaar 😮
Mtu na wifi yake wameshare huku😅😅
Kweli kabisa katepeliwa
Hans katepiliwa hao sio watu
Kikosi chote cha wizi kipo😢
Mm ten vibay
Munipe likes ama ni wapige haraka
Mambo ni damshi
Ninzuri sana naomba like namim❤
mbona siku hizi mwacelewesha sana Filam nzuli
Ukitekwa wewe ita ninogea tekwa bwana
🎉🎉
Next plzz ya 19
🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉
❤❤❤🎉
🙏🙏🙏🎄🎄🎄
❤😂❤❤❤😂
Kazi yenu nzuri naipenda kutoka RDCONGO 🎉🎉🎉🎉🎉