MAJI YA SHINGO SE01 Ep 19

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 91

  • @AminaMwavita
    @AminaMwavita 3 дня назад +1

    Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘

  • @mariammwinyiali
    @mariammwinyiali 15 дней назад +9

    Mzee Ahmed na methali yko umenigusa sana,,KWELI KABSA BINADAM JINSI ALIVYO SIVYO ALIVYO NA TUMUONAVYO SIVYO ALIVYO NA NDIVO ALIVO😂😂😢 THAT'S TRUE.MAUA YKO DAD🎉🎉🎉

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 15 дней назад +4

    Tabu waeza fanya mtu alie wallahy 😂😂😂😂

  • @KapendFiston
    @KapendFiston 15 дней назад +3

    Kazi nzuri sana ya maji shingo ongereni Sana timu Yote nzima ila da zubeda napenda kicheko chako dah

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 16 дней назад +6

    Mwatum na tabu mtigita mm siwawezi haki 😂😂😂

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 15 дней назад +4

    Kweli huyu kaka maty kiboko daa anapanga kama mafugu dada wansi ana mimba naye kaachwa

  • @EliAriong
    @EliAriong День назад

    Martin kibiriti ngoma.Nani anabaliana nami apige likes hapo chini

  • @JanetWaswa-hq8zh
    @JanetWaswa-hq8zh 16 дней назад +4

    Wa tano kutoka 🇰🇪

  • @jullostephen9090
    @jullostephen9090 15 дней назад +4

    Likes za kicheko cha tabu 😂😂😂

  • @IreneLonjino
    @IreneLonjino 14 дней назад

    Nyie mkute duma Malaya kweli 😂😂😂

  • @AminaBashiru-qh8fo
    @AminaBashiru-qh8fo 7 дней назад

    Crace kimekuramba😂😂😂😂😂

  • @khadijamoss293
    @khadijamoss293 15 дней назад +1

    Safisan docte khansi❤❤❤❤ kwakumpenda Anna clara

  • @AnithaNahimana
    @AnithaNahimana 13 дней назад

    Hongera sana docitl hansi muko saw na anna🎉❤

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 16 дней назад +1

    Jaman anavyoongea huyu Zubeda a.k.a Tabu mtibgita😂😂😂😂😂huni bamba sna mwenzenu

  • @justinemukunde-xh8uj
    @justinemukunde-xh8uj 16 дней назад +1

    Naipenda sana

  • @ThimammyKisupi
    @ThimammyKisupi 15 дней назад +1

    Jmn m naipenda hii siriz natamani anaendelea kila sku yani❤

  • @Mercy-pq4ye
    @Mercy-pq4ye 14 дней назад

    😂😂uyu mama kiboke wa hotelini yuabamba kwa kwel ❤🎉😂😂😂

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 15 дней назад +1

    Tabu ajamani acha uchokozi eti jikaze eee jikaze tu 😅😅 tabu unacheko mbaya yauchokozi ila mtamchukiya Bure tu huyo wanajuwana Toka zamani muacheni kilara 😂😂😂😂

  • @UnrulyHope-e9j
    @UnrulyHope-e9j 13 дней назад

    Ila Tabu nyieee😂😂😂inamaana ndio ameshapeperuka kweli…😂😂😂aaah jikazee jikazee sio kwa ubaya 😂😂😂

  • @FannyMugisha
    @FannyMugisha 15 дней назад

    Leo Hansi kakutana na Anna Clara❤❤❤❤

  • @kalistarkwamboka
    @kalistarkwamboka 16 дней назад +1

    Wow that's great nime watch na taika 6

  • @MarryLalu
    @MarryLalu 15 дней назад +2

    Grace umeacha mwanaume wamaana kabisa, ulichokitafuta umekipata sas wachakikulambe

  • @SharletNibuni
    @SharletNibuni 15 дней назад

    Weee hii maji ya shingo bnaa😂😂😂mbna napenda

  • @fatimaumazi166
    @fatimaumazi166 15 дней назад +1

    Tabu mtingita wewe unachekesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 15 дней назад +1

    😂😂😂😂tabu acheni kumcheka mwenzio

  • @GalaxyA-ve8tu
    @GalaxyA-ve8tu 15 дней назад

    Mnajua mno🎉🎉🎉

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 15 дней назад

    Mashallah ❤❤❤❤mungu awajalie sana washilika ❤❤❤❤mbona autumi linki jamani 😢😢😢

  • @janeismael6044
    @janeismael6044 13 дней назад

    Hemedy maua Yako haya🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JosephinaMaiga-v2u
    @JosephinaMaiga-v2u 15 дней назад +2

    Wa kumi na Sita kutoka oman 😅

  • @GetrudeNyanje
    @GetrudeNyanje 15 дней назад +1

    Nzuri Sna hv JOTO ilienda wp

  • @GrolykamolaMwakapangala
    @GrolykamolaMwakapangala 14 дней назад

    Tabu kweli chizi

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 15 дней назад +1

    Duma kiboko😮

  • @fatimaumazi166
    @fatimaumazi166 15 дней назад +1

    Nlikua natamani sana hawa wawe wapenzi

  • @saidmohd2931
    @saidmohd2931 15 дней назад +1

    Maria bundala ndan ya baltazarito nation 😂😂

  • @Zeinabmea
    @Zeinabmea 15 дней назад

    Jaman musiwe mkitucheleweshea maana Mambo moto❤❤

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 15 дней назад +1

    Nyie Tabu ataniuwa na hawa wasichana wake😂😂😂

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 14 дней назад

    Tabu na wenzio😂😂😂😂mtaniripa mbavu zangu

  • @AnswerMongane
    @AnswerMongane 16 дней назад +2

    Nami wasita kutoka Congo

  • @thomaswanje1368
    @thomaswanje1368 15 дней назад

    Hapo Adam umecheza saf

  • @ShofaShofaa
    @ShofaShofaa 13 дней назад

    Tunasubiri mwendelezo

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 15 дней назад

    Kazi tamu

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 16 дней назад +9

    Happy Christmass and happy New year everyone i love you ❤🥰

  • @SusanWangoi-l3r
    @SusanWangoi-l3r 15 дней назад

    Kumeanza kuchangamuka😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 13 дней назад

    Umepatikan crec 😂😂😂

  • @felicienismail3199
    @felicienismail3199 16 дней назад +1

    Na Burundi tupo🇧🇮🇧🇮

  • @reymahdan4707
    @reymahdan4707 16 дней назад +1

    Wa kwanza leo 😂

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 15 дней назад +1

    Ila tabu 😂😂😂😂😂

  • @AminaIfani-ge7sm
    @AminaIfani-ge7sm 15 дней назад

    Kwani mna tufanyia ivi mngekua mnatuma ata vipande vi wili jmn

  • @NurartmamiiNurart
    @NurartmamiiNurart 15 дней назад

    Aki mm kazi ninayo ju natoka kwa mkude simba kittle move ya samaani saii nipo kwa maji ya shingo😂😂😂😂

  • @ZenaHemmy
    @ZenaHemmy 15 дней назад

    Ukute hy Martin kuna mwanamke ndo anamueka mjini

  • @mariammwinyiali
    @mariammwinyiali 15 дней назад +1

    Grace this tym umepatkana ULIDHAN MARTIN NI MUME SAHIHI WAKUMTESA KAMA MATEI NA KIBWANA😂😂MAUA YKO MARTIN maana grace anavyomtesa MATEI be bad😢

    • @HalimaAdam-r5e
      @HalimaAdam-r5e 13 дней назад

      Kunin tena usiniambie hata crac kaachwa na martin😂😂😂

  • @aligermano3615
    @aligermano3615 15 дней назад

    Kweli kuchelewa ndi fupi lakin

  • @CabaisaCabaisa-c6q
    @CabaisaCabaisa-c6q 15 дней назад

    Mbn munatuchelewesheya move hii ni mzur sn musiicheleweshe sn

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 15 дней назад

    ASANTENI KAZI NZULI

  • @SalmahLuvuno
    @SalmahLuvuno 15 дней назад

    Doctor hancy na Anna kwisha😂

  • @ShofaShofaa
    @ShofaShofaa 15 дней назад

    😂😂😂tabu jamani hicho kicheko

  • @HalimaAdam-r5e
    @HalimaAdam-r5e 13 дней назад

    Zubeda umenikata mayini

  • @mwakaathuman5637
    @mwakaathuman5637 9 часов назад

    Jamani matin kiboko🤣

  • @RetisiaDeogratiasMashauri
    @RetisiaDeogratiasMashauri 15 дней назад

    Grace umepigwa na kitu kizito tena za shingo😢

  • @NassrahMohamedi
    @NassrahMohamedi 15 дней назад +2

    Mnachelewesha jmni 😢arafu nikafupi Sanaa why

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s 15 дней назад +1

    Makubwa hii inamafunxo hatari kumbe Kuna wengine wanawake jamani akaa hii hatari kamkata hasi kukata na kitungu kitamliza machozi gredi yamekukuta makubwa

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 15 дней назад

      Una ambiwa asio na hili ana lile Muhim kuvumilia ukisha mpata tu Mapungufu kila mtu Anayo Wallah

  • @NeyratZubeiry
    @NeyratZubeiry 16 дней назад +3

    Grace kayakanyaga 😅😅

  • @MwanamkuuHamadi
    @MwanamkuuHamadi 15 дней назад

    Jaman tabu wewe😂😂😂

  • @EdinaIvan-q8g
    @EdinaIvan-q8g 16 дней назад +1

    Wa 14 leo

  • @neemabarua7760
    @neemabarua7760 15 дней назад +1

    Martin Martin Martin

  • @NeemaBaya-e3d
    @NeemaBaya-e3d 14 дней назад

    Tabu 😅😅

  • @magrethntare
    @magrethntare 15 дней назад

    Mwantumu kwani we ni mtu wa mtwara au umeigiza tuu?

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 15 дней назад +1

    Next plzz ya 20

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 15 дней назад

    🙏🙏🙏

  • @BeniHavyarimana
    @BeniHavyarimana 14 дней назад

    🎉🎉🎉

  • @mary-cm5je
    @mary-cm5je 15 дней назад

    K😂😂😂😂❤❤❤❤❤

  • @fannymunezero-m5c
    @fannymunezero-m5c 11 дней назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @AyishaOman-cw4xs
    @AyishaOman-cw4xs 15 дней назад +1

    ❤❤❤❤🎉

  • @NduwimanaRehema-qi4hc
    @NduwimanaRehema-qi4hc 16 дней назад +1

    Mbon fupi jaman

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe 16 дней назад +1

    🎉🎉

  • @NduwimanaRehema-qi4hc
    @NduwimanaRehema-qi4hc 16 дней назад +1

    ❤❤❤❤

  • @RamadhaniKatanzi
    @RamadhaniKatanzi 15 дней назад +1

  • @slokidog
    @slokidog 15 дней назад

    ila Martin ni kiboko duuuh

  • @FaizaKabibi-tb2dj
    @FaizaKabibi-tb2dj 15 дней назад +1

    Hemed muoe annah plzzz

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 15 дней назад

      Huwenda akawa kweli kumbuka wema haupotei hemed alimsadia mama ake Anna kuenda kutibiwa india ss tusubri Majibu Tu Mwish wake nn

  • @fannymunezero-m5c
    @fannymunezero-m5c 11 дней назад

    ❤😂😂😂

  • @TabbyJeff-y8e
    @TabbyJeff-y8e 15 дней назад +1

  • @SitraKafunta
    @SitraKafunta 15 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @MsMd-y4k
    @MsMd-y4k 15 дней назад

    ❤❤❤🎉