@@Deborahdepsy-qh4rj Mpaka kachukua maamuz ya kuondoka ina maanisha kuna kitu kikubws sana kati yao coz sheyshey ni mtu mzma na anajielewa . ila apo tu sheyshey ungefanya ukatumalizie plan b ulikua unaichangamsha now imepoa inaboa japo aliyechukua nafas yako anajitahidi ila ndo ivyo hakuna awezae kuliziba pengo la mtu exactly ❤❤🎉🎉
Sheilla dada yetu ongela sana,lakini sie wa fans wako tunakuomba urudiane na team yenu ya kp ,na huku tutaendelea kukufatilia mpendwa.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
Kiukwel nasikitika sanaaa nkitizama plan B bila kumuona sheyshey (komando kipens)😓team inapowaa sheyshey na diboz kiukwel mnaumuhimu wa kuwepo kwny team yenu km mwanzo tunawapnda na tunafurah tukiwaona pamoja km kuna kanguvuuu flan ivi kanaongezeka mkiwa pamoja jmn🥰 Tizameni Sonaaa Bint nyoka Na last card Tunamisss jmn iwe km vileee😢😢😢
Kwel jaman sheyshey na diboz mm Huwa naumia nisipo waona kwenye tim yenu .jaman msiruhus shetan atawale ongeen muwe pamoja tena.mfikishien na diboz manuva
Mimi kama nafatiliya vizuri filamu ya Plan B n'a Mr money, Sheila hawakukosana,ni kama tu aliachiya muli b kazi kwenye plan b,n'a kwenye Mr money karama yake iliishiya hapo kwenye alipora pesa za Huyo Mzee Likoma,kama wana vitu ambao haviendeki basi watuambiye,lakini musiachane sababu mumekuwa kama jamaa🎉
Shey shey nimefuatilia movie zote ulizo cheza mkiwa na KP pamoja ni nzuri Sana leo hii umetoka plan B pengo lako limeonekana kubwa sana nakuomba urudi mfanye kazi pamoja kama mwanzo 🙏🙏🙏
Shey shey kwani kuna nn mbn sikuoni kwa plan B ....alf kama kuna kitu mlikoseana yaongeenii tafadhalii itakua Vizurii sanaa urudii kwa plan B tumekumis sanaaa
Shey shey mtoto akukua anajenga kwake ila usijenge kabla ujajua kujitegemea kutokana na umaarufu uliopata toka kwa baba. Please atujui shida ni nn ila kamalizie plan b mama dhaaa unatokaje kwa Kp. Mbona wabongo mnagawana Gawana mkishakua na majina. Kicheche. Ruta man. Mkojani. Chado. Mkojani. Chumvi nyingi Kp. Shei shei Au hawawalipi vzr 😂
Tafadhali happy usiwe mbaya kama kw bad friend,,,,,usifanye nikuchukie bure 😂😂😂😂😂hata kama ni acting,,,, otherwise team sheyshey you are doing well i love it👏👏
Sheila nmependa hii keep going darling 🎉🎉🎉🎉🎉mtu asikuulize about kwa kp hata mmi siku moja ntatoka kwa mwarabu na nkue boss wangu mwenyewe,kwan utafanyia mtu kazi milele??i like your decision sheila mmi na wewe hdi kifo nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Ushauri,,,,Naomba mshirikiane kwa pamoja jamani. Mpange ratiba zenu vizuri ili kubakiza ladha ile ile tamu. Isitokee msanii mmoja asionekane kwenye kazi flani. Mfano,Shey shey kutoonekana kwny baadhi ya episode za MR.Money na Plan B. na Dibozi pia kwa sababu ya kufanya kazi zaidi ya moja kw wakati mmoja. Hali hii inapunguza utamu wa muvi zenu. Wekeni mpangilio mzuri wa ratiba zenu tafadhali.❤❤❤❤
Kama kuNa kitu mmekoseana na kp yaongenii yaishe tu mfanye kazi pamoja itakua pw Sanaa kama unakubaliana na me like hapo
Kwn mbona yupo
Mpaka episode tulofikia huyo komando kipenc haonekani 😅😅😅😅 ndiyo @@hildakalenga6801
🎉
Plan B shei shei ndo mkubwa wake yule nesi😅
Ndio@@AshaJuma-dz6hq
Mwenye anataka sheyshey akuwe kwa plan B like hapa.
@@Deborahdepsy-qh4rj Mpaka kachukua maamuz ya kuondoka ina maanisha kuna kitu kikubws sana kati yao coz sheyshey ni mtu mzma na anajielewa . ila apo tu sheyshey ungefanya ukatumalizie plan b ulikua unaichangamsha now imepoa inaboa japo aliyechukua nafas yako anajitahidi ila ndo ivyo hakuna awezae kuliziba pengo la mtu exactly ❤❤🎉🎉
Mimi apa bila shey shey plan B hainogi
@@fatumasophu5855iwish sheyshey alijue Hilo sisi kama mafans wake anetuangusha achana na walio kosana wao ila sisi mafans wao
Kwanini alikosekana
Shey Shey Rudi Kwa plan b tunakumiss hio si poa lakini Mimi hata nimewacha ku watch plan b sasa
Sheilla dada yetu ongela sana,lakini sie wa fans wako tunakuomba urudiane na team yenu ya kp ,na huku tutaendelea kukufatilia mpendwa.love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮
Wakwanza tumeanza tena na dada sheyshey kama tulikuwa pamoja kwenye Sheila mpaka mwisho gonga like ❤❤
❤
❤❤
❤
Jamani na mmi nipo kutokea kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 like na mmi🎉🎉🎉
Sheyshey movie tatu sana🎉❤,hongera🎉🎉
Love manyanya
Mama fanya uanze Kaz zako nauwe naakunt yako ytb mda ndo huu usijikute unafaidisha watu badae ukaja kujilaum kufanya Kaz nzul alafu huna manufaa
@@Wazimamoto una wivu au
Vp kwa kp 😢hatukuoni, mkiwa na kp mnafanya vizur sana
Naona kama saizi yupo na dar kid kwenye movie zake
Atarudi tuh,, tulia😂
@@liliy-u3nyes, atarudi chapter yake haijafika bado
Kiukwel nasikitika sanaaa nkitizama plan B bila kumuona sheyshey (komando kipens)😓team inapowaa sheyshey na diboz kiukwel mnaumuhimu wa kuwepo kwny team yenu km mwanzo tunawapnda na tunafurah tukiwaona pamoja km kuna kanguvuuu flan ivi kanaongezeka mkiwa pamoja jmn🥰
Tizameni
Sonaaa
Bint nyoka
Na last card
Tunamisss jmn iwe km vileee😢😢😢
Kwel jaman sheyshey na diboz mm Huwa naumia nisipo waona kwenye tim yenu .jaman msiruhus shetan atawale ongeen muwe pamoja tena.mfikishien na diboz manuva
Kwenye sonaa, diboz hayupo. Sema wamangushi, last card na bint nyoka
Mimi kama nafatiliya vizuri filamu ya Plan B n'a Mr money, Sheila hawakukosana,ni kama tu aliachiya muli b kazi kwenye plan b,n'a kwenye Mr money karama yake iliishiya hapo kwenye alipora pesa za Huyo Mzee Likoma,kama wana vitu ambao haviendeki basi watuambiye,lakini musiachane sababu mumekuwa kama jamaa🎉
Tumeanza pamoja na tutamaliza pamoja nakupenda sana sheyshey 💙💙💙💙
Walio furahi kumuona Braiton since last card toeni hata like mbili.
Shey shey nimefuatilia movie zote ulizo cheza mkiwa na KP pamoja ni nzuri Sana leo hii umetoka plan B pengo lako limeonekana kubwa sana nakuomba urudi mfanye kazi pamoja kama mwanzo 🙏🙏🙏
Yote kwa yote ushirikiano ni mzury......... Sheira rud KWA plan b❤❤❤❤ .....
Yesu akutunzee sanaaaa una kituuu🎉
Shey shey KAZI nzuri unaeza endelea but kama inawezekana Niko sana na kp msamehane na mrudikufanya KAZI pamoja
Namkumbali sana huyu dada sheyshey ebu mnipe likes za wakenya Jameni 🎉🎉❤❤
Shey shey kwani kuna nn mbn sikuoni kwa plan B ....alf kama kuna kitu mlikoseana yaongeenii tafadhalii itakua
Vizurii sanaa urudii kwa plan B tumekumis sanaaa
Hongera kamamaa mauwa yako ila rud kwenye plan b
Sheyshey umeua Sasa umeyatimba Leo 😂shauriako
🔥🔥shey shey we ni WA moto dada daah na hii nayo kali Aya tunaongoja episode 2 tujuane
Kazi nzuri dada ila kwann hauko na team
Nawapenda sana aki wow kipindi ni tamu❤❤❤❤❤❤❤
kazi nzuri sana sema rudi kwenye kundi lako itakuwa poa zaidi
Nakupenda sheyshey wangu 🥰🥰
Tunakuomba basi na kwenye plan b uwepo kama mna mzozo na kp tunaomba mmalize maana kule kumepoa atari😢😢😢
Nimewahii 😂😂❤❤❤❤ shey shey nakupenda bure
❤❤❤❤ movie nzuri saana shy shy rudi kwa plan b pls
❤❤nzuri sana jaman adi laha nimependa sana
Team Sheishei mpitie hapa tumpe maua yake🎉🎉🎉🎉❤
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Jamanai shey shey ludiii kwaaa kp nakuombaa sana dada yangu
Shey shey mtoto akukua anajenga kwake ila usijenge kabla ujajua kujitegemea kutokana na umaarufu uliopata toka kwa baba. Please atujui shida ni nn ila kamalizie plan b mama dhaaa unatokaje kwa Kp. Mbona wabongo mnagawana Gawana mkishakua na majina.
Kicheche. Ruta man.
Mkojani. Chado.
Mkojani. Chumvi nyingi
Kp. Shei shei
Au hawawalipi vzr 😂
Waaa!!! wahenga walisema hasira hasara😢😢
Sheyshey binafs nitafatilia move zako lakin kitendo cha kutoka kwa KP umefanya vibaya, mngesubili mmalize Plan B ndio utoke
Shey shey wewe ni master plan nakuangalia wewe je utafanyaje hapo
Itabidi wauwe na huyu dem pia, last hivyo watakosa plan b
Tafadhali happy usiwe mbaya kama kw bad friend,,,,,usifanye nikuchukie bure 😂😂😂😂😂hata kama ni acting,,,, otherwise team sheyshey you are doing well i love it👏👏
Shaila tumemiss kaz yako happy kukuona😂😂😂wapa leta kuleta....
much love from Kenya, shey shey cheza kama vile ulicheza Kwa last card na plan b, we love you mwaaa
Nakupenda sana shey shey iyii movie Kali sana tunasunga ya 2 iko mafundisho mazuri kusisi wa kiyana kabisa
Sheila nimekumiss sana kwenye plan B 🎉🎉🎉
Ongera sana sheyshey nakukubali sana ila tumekumisi sana kwenye plan b❤
Sheilla rudiyana na kp mutupe vi2 vikari😃👌😘❤🇧🇮🇸🇦
Jamanii move nzurii❤❤❤
Shey wew ni Mwalimu wangu najifunza Kwako unajua Sana by Gadisa
Gadisa wa deboze mtu mbad
Pamoja sana mpaka dakik ya mwisho
Shey shey naomba 🙏 🙏 kufanya Kaz na wew
Naomba kazi niungane na wew dada naahidi sitokuangusha
Hongera shey shey move kali sana ina sisi mua yani mpaka najikuta naogopa
Shey shey asante kwa kutuwakilisha kama wakenya kuvaa bendera ya Kenya kwa mkono.wakenya tuwapenda majirani zetu Tanzania
Wakenya na upendo wapi na wapi
Nyinyi roho mbaya ndiyo zenu
Jamani shey shey mbona umeondoka kwenye plan b
Safi sana sheyshey huwa hauniangush kwenye uigizaj wako usisikilize hao wanaosema kwa kp we nawe unahitaj kuinua vipaji vya wengine good job
Nenda kama lize kwanza plan b unawahalibia wenzio movie yinakuwaga mbaya wakim balisha muntu🎉❤
Shey shey mtu asikuulize eti plan b ,,,wewe fanya kazi yako twakupenda
Wewe acha uchochezi yafaa kuwapatanisha waliokosana Wala sikuwafaraganisha 😢😢
Madam sheira hongera sana kazi nzuri sana mungu azidi kukupa huo uwezo mzidi kuleta vitu vitamu vitamu et 🙏
Jmn tumekumiss kwa plan b jmn imeponzaaa
Sheila nmependa hii keep going darling 🎉🎉🎉🎉🎉mtu asikuulize about kwa kp hata mmi siku moja ntatoka kwa mwarabu na nkue boss wangu mwenyewe,kwan utafanyia mtu kazi milele??i like your decision sheila mmi na wewe hdi kifo nakupenda sana ❤❤❤❤❤❤❤
Ushauri,,,,Naomba mshirikiane kwa pamoja jamani. Mpange ratiba zenu vizuri ili kubakiza ladha ile ile tamu. Isitokee msanii mmoja asionekane kwenye kazi flani. Mfano,Shey shey kutoonekana kwny baadhi ya episode za MR.Money na Plan B. na Dibozi pia kwa sababu ya kufanya kazi zaidi ya moja kw wakati mmoja. Hali hii inapunguza utamu wa muvi zenu.
Wekeni mpangilio mzuri wa ratiba zenu tafadhali.❤❤❤❤
Sheyshey kakimbia kundi uyo Yani kajichenga na akina kp
@@MartinaAgustino-fp5eombona yuko vzry tu, na hata kp alianzia hukuuku
Shey shey hatukuoni kwenye plan b tumekumic mama
Polee shey shey kwa kuuea😮😮
Wadau tuko na huku shey shey the master amerudi😂😂😂😂😂🍼😩😩🤣🤣🤣🤣
Nimependa ubunifu uriowekekwenye movihi umepunguza makererere mriokua mnaweka na kp mim napongeza kazinzuri dondosha raik ap tujuane
Mhhh funzo toxha kwaote kw maisha tunayopitia ndani ya mausiano,,,,😂😂😂😂😂 I
Mnaojuwa kuhusu suraji na Sheila gonga like zakutosha na mnaotegemea diboz atoe naye tieni mauwa yakutoshaaa
Diboz keshatoa nyingi mbona@diboz manuva
Sheila ❤❤Jamani yakitupata kama haya tuwe na subra shukrani Sheila nifozo tosha
Very nice sheyshey, D.R.CONCO🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tumekumic kwenye plan b hatukuoni
Mutusaidiye mutuletee shaila vraiment
Shey shey namkubali sana mrrmbo😊
Hii nayo ni noma🎉🎉🎉🎉🎉 keep it up 🎉
Tunakuomba rudi plan b
Kweli jaman arudi nimemic sana yule nec abak hocp namadrip yake
Sheyshey please please usimuache kp tafathali Plan B aina kufu akh 2nakupenda sana.
😂😂😂😂😂 Akuna kitu umekosea kama kupokea simu ya mama ake
Hasira hasara, siwez pigana na mwanamke sabbu ya mwanaume
Mbona imeanzia patam hongera shey
Kazi nzuri sana dada shy shy❤❤❤❤❤❤
Shey shey tunakupenda sana dada
Ongera sana seira kasi suri kutoka kenya❤❤❤
Hongera crushy wangu... Ubunifu wa hali ya juu Sana.
Nmefurah kumuoa Happy hapa🎉🎉🎉🎉
Piga kazi dada achan na kina Kp. Nakukubali sana tunakusapoti❤❤
We hola kweri ww sheyshey anakubalika na akinakp bhana Ile ndisaiz Bomba sana
Sheyshey kwa ubora wake ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera kazi safi ❤❤
Kazi nzuri san 😂😂😂🎉🎉
Jamani sheyshey tumekumis kwenye plan b😢
sheyshey please rudi kweny plan B yani usipokuwepo hainogi kabisa
Makopa kopa kwa dada shey shey❤❤❤❤❤
kama unamukubali sheyshey gonga link hapa ❤❤
Naomba KAZI
Usimuache KP tafadhali madam Sheila
😂😂😂mapenzi nikome mie
Waaah hii nayo ni moto😂😂🎉
Shey shey, wewe ndiye nyoka ama😂😂😂nilikupenda sana ukiwa plan b na last card,, kenya rep
Mbona atukone kwa kp? ce jean from Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Gonga like kama unamkubali shey shey mdada mtulivu wa ki singda ❤❤
Sheyshey plz rudi kwa pln b plz kumeboa sn❤❤❤
Nice film shyshy Rudi bxii kwenye plan B please 🙏🙏 Amen nakuomba tafadhari
Sheshei ur the best kwanza kwa series ya wamangush u did good job
Shey shey had plan B inaisha hatujakuona mwee kuna nn kwan
Nakupenda sana shey
Ameanza kutoka Darkid,,, kafata diboz sasa shei shei,,,,haya acha maisha yaendelee but kazi nzuri my
Shey shey niunge kwenye chama lako kipaji ninacho🙏🙏
Watching from kenya❤❤❤
Sheyi sheyi mupenz wangu