PATA POTEA _episode 01

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 255

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 6 дней назад +21

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kisai❤

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 3 дня назад +6

    Wow congratulations kisai nimeipenda movie❤❤❤🎉🎉🎉🎉alafu apo kwa mtoto itabidi mkeo akubali juu haukuzaa ukiwa kwa ndoa alafu imetoke gafla pia wew haukutarajia i like it🎉🎉🎉❤❤

  • @SubiraMussa-f3y
    @SubiraMussa-f3y 4 дня назад +7

    Napend muvi zenu jmn kwasababu nyiye majn yamuvi zenu huwa yakipekee hyafanan namuvi yeyote ile❤❤❤❤

  • @MakiniGold-rl5wf
    @MakiniGold-rl5wf 7 дней назад +47

    Huw nawakubali nyie ote mnao igiza n'a kp sema tuu kisai ww kwenye plan b hukunifurahisha

    • @KelvinRombosia
      @KelvinRombosia 6 дней назад +4

      Ungetazama hadi last card

    • @NicholasKenga-h7m
      @NicholasKenga-h7m 6 дней назад +5

      Tatizo nkua uli watch na hisia na matarajio yako,,but ukiwa careful,,kisai was the best one nlipenda sana,,part yake aliicheza vzr sana,,hivo ndo jangil astahilivyo kufanya

    • @joseph-jg7uz
      @joseph-jg7uz 6 дней назад +2

      Alicheza vizuri sana role yake 😅

    • @jameskalugo4583
      @jameskalugo4583 4 дня назад

      ​@@NicholasKenga-h7m😂😂

    • @AtanasiaVicent-nu3il
      @AtanasiaVicent-nu3il 4 дня назад

      Yupo vzr kisai akichez kweny roho mby anakuw nay kwel kwel😊​@@joseph-jg7uz

  • @SamairaMaira-i5j
    @SamairaMaira-i5j 7 дней назад +17

    Woow kazi nzuri mr kisai natumai kp na zebuu nao wapo njiani kutuburudisha na kigongo kipya ✊ nawapenda sana🥰🥰🌹

  • @ShalomPictures
    @ShalomPictures 6 дней назад +29

    Uyu jamaa Alo shut hi movie ndy anatakiwa kishut movie zenu zote Anajuwa 💯💯

  • @Thepoulfamily
    @Thepoulfamily День назад +3

    Wanaume duh 😅😅😅 Yani kisai ni bora uanguke kwa stairs ukikujia simu ..😂😂😂😂😂 kutoka bafu miguu tupu aya ...je ugeanguka upoteze mguu na kisasi tayari una 😂😂😂😂😂😂😂 enyway love from Kenya 🎉

  • @SADIKOMARRAMADHAN-e9y
    @SADIKOMARRAMADHAN-e9y 22 часа назад +1

    Namm ningeweza kuigiza ingekua bomba sana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 День назад +1

    Wanaume salute kwenu mana ukiwa nampenxi kijijini unakua mpole kama kuku kanyeshewaa hayaa umeendaa mjini umemsahau mpenzi wsko halafuu umeendaa kuoa loooo.umeoa hamjajaliwaa mtoto 😢😢😢😢hii nayoo kali

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 7 дней назад +7

    Nimewai jaman naombeni like 🎉 from mozambiqui 🇲🇿

  • @EmmanuelBaraka-t9z
    @EmmanuelBaraka-t9z 4 часа назад

    Huyo babake Norah hajakuwa vizuri kwa ubunifu bado nikama anasoma kwa karatasi

  • @Faithkamutheu-if5ng
    @Faithkamutheu-if5ng 4 дня назад +6

    Nora wewe ni mzuri sana ❤

  • @MadamngumaNguma
    @MadamngumaNguma День назад +1

    Kisai kwa kuzengua wewe nakuaminia kaka 🎉🎉🎉🎉

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 2 дня назад +2

    Hongera kisai kazi mzuri sana

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva День назад +1

    Safi Sana wapedwa wote niliwamiss kuwaona wote😂😂😂

  • @gloiregloirekamirigado
    @gloiregloirekamirigado День назад

    Nawakubali saaaana kweli wote🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @lindauma982
    @lindauma982 7 дней назад +11

    Kisai ambia Nora ukweli atakuelewa juu ulipata hyo mtoto kabla ya kumuo then muish naye Naira kacheshi hako😂😂

  • @LizzyBeb-m6s
    @LizzyBeb-m6s День назад

    Congratulations kisai 🎉🎉 movie nzuri ❤❤😊

  • @GeorgeMongi-u3h
    @GeorgeMongi-u3h 21 час назад

    ❤❤❤❤❤❤ pamoja Nora nakupenda unavyokasiraka ukisema ahaaa

  • @Lobbie001
    @Lobbie001 2 дня назад

    Sema huyo demu wa kisai wa kijijin anajua kuigiza soo poa Very well

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 5 дней назад +4

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

  • @DM.2200
    @DM.2200 4 дня назад +2

    Kisai jitahidi na wewe uinue vipaji vya wasanii wapya kama sheishei ili kukuza sanaa 🎉🎉

  • @Mdscanah
    @Mdscanah 7 дней назад +6

    Kisai siku zote ni jambazi tuu😂😂😂😂

  • @JeanBoscoHavyarimana-y2i
    @JeanBoscoHavyarimana-y2i 2 дня назад +1

    ❤Nawapenda xan ndugu zangu hongereni xan

  • @DianaNelima-i5i
    @DianaNelima-i5i 3 дня назад +3

    Kazi safi Bw Don Kisai🎉🎉🎉🎉

  • @MAISORI-w7z
    @MAISORI-w7z 21 час назад

    aah. me wote nawapa marks mko vizuri

  • @NorbertNdayambaje-d7z
    @NorbertNdayambaje-d7z 7 дней назад +6

    Simwamini kisai kwakuwa ni mkorofi mon Niko DRC goma

  • @BrayanCzon-r6r
    @BrayanCzon-r6r 2 дня назад

    Nawapenda sana mv zenu zinanifurahisha sana ila kisai ananichanganya mimi

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla 3 дня назад

    Family ya KP WA OQWINO oyoooooo nawakubali sana

  • @FatmaMusaifa
    @FatmaMusaifa 7 дней назад +1

    Dah iko poa sanaaaaa ebu msichelewe kutoa muendelezo

  • @shakwikindolo
    @shakwikindolo 16 часов назад

    hii ND maan halisi ya pata potea😂😂😂😂

  • @SimonBundala-s6j
    @SimonBundala-s6j 2 дня назад

    Nawakubali wakali wa kaz kaz iendelee iko pw sana

  • @MelinaMerlins
    @MelinaMerlins 5 дней назад +1

    Kaz nzuri kisai Much love from kenya

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 дня назад +3

    Kazi ni nzuri wapenzi🎉🎉🎉,support zetu mnazo❤...norah unapigia dad simu bila ata salamu😮

  • @ValDavy-i2n
    @ValDavy-i2n 6 дней назад +1

    Wow na WA peda ❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kimaromarry643
    @kimaromarry643 4 дня назад +1

    Kazi nzuri sana Kisai Mungu akubarik❤❤

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 День назад

    naira 😂😂😂😂anaheshima sana kwa baba yake

  • @mwinyiomari9339
    @mwinyiomari9339 3 дня назад

    Nampenda sana zebuu na kp nawakubali sana.

  • @CYLUSMOTEMA
    @CYLUSMOTEMA 3 дня назад +1

    Kisai acha kujichekea chekea ovyo sio tabia nzuri. Kaza.

  • @jeanpierrelouisfilskalunga425
    @jeanpierrelouisfilskalunga425 2 дня назад

    Nilijuwa tu kisaï mzee wa usaliti😂😂😂

  • @Tabitha-y4f
    @Tabitha-y4f 7 дней назад +2

    Much love from kenya 🇰🇪

  • @MwanaidiAmanzi
    @MwanaidiAmanzi 2 дня назад

    Umeanza vzri mno🎉 hata ile kuongea kama mnasoma mnapunguza ssa!

  • @JameesJuma
    @JameesJuma День назад

    Nora ume kuwa mke wa kisai hahahahaha

  • @FahadiDuran
    @FahadiDuran 2 дня назад +1

    Jamani mbona hiki kimchezo kama kisa kilichonikuta mimi😢😢 ctaki hata kukumbuka mwanaume alivokujaga kutufilisi na wazazi wangu

  • @faustajoveen4664
    @faustajoveen4664 2 часа назад

    Asa ndo umkamate Leo Leo 😅😂

  • @jameskalugo4583
    @jameskalugo4583 4 дня назад +1

    Mashallah gd job team PATA potea

  • @JoackimEnery
    @JoackimEnery День назад

    Team kp nawakubali sana❤

  • @متعةالمشاهدة-خ2ظ
    @متعةالمشاهدة-خ2ظ 3 дня назад +2

    M wamwisho leo from Oman 🇴🇲 naomben like ata 5 to 🎉🎉🎉

  • @EliethEmmanuel-q2i
    @EliethEmmanuel-q2i 10 часов назад

    Yaan kisai anavocheka najua Kuna wizi hapo

  • @RettyMulefu
    @RettyMulefu 7 дней назад +3

    Ila kwenye movie Zote wee ni kisirani sana 😅😅😅unatesa nafsi mnoo😅😅😅 big up broo❤❤

  • @gloiregloirekamirigado
    @gloiregloirekamirigado День назад

    Bumekucha bumekucha 🥱🥱🥱🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 4 дня назад

    Wow asante sana kwa kazi yenu nzuri 🎉🎉❤❤

  • @LuciaTiofili
    @LuciaTiofili 4 дня назад

    Hata si naimani kmatamaliza vzr, ataenda kuwa mchungutu.

  • @Amina-d1v
    @Amina-d1v 7 дней назад +1

    Kisai nakpenda sana❤🇰🇪🇰🇪

  • @ZuwenarashidiLukanga
    @ZuwenarashidiLukanga 4 дня назад +2

    Kisai hapendezi akiwa na furaha

  • @SALUSAGUDA
    @SALUSAGUDA 3 дня назад

    Kisai ana vitu vingi sana vy kujifnza hajakomaa bado

  • @LucyJumwa-w6t
    @LucyJumwa-w6t 4 дня назад +1

    Kazi nzuri sana kisai wangu😂😂😂😂

  • @JacobMarco-r2t
    @JacobMarco-r2t 7 дней назад +4

    Good Job kisai

  • @AliCasa-h4l
    @AliCasa-h4l 4 дня назад

    Kazi mzuri sana kaka kisai❤❤❤

  • @AfonsoMarquiola
    @AfonsoMarquiola 3 дня назад

    Nawapenda Sana nyinyi wa kina kisai kwa sababu kp zebuu filme zenu napendaga Sana na sana

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 4 дня назад

    Mchezo mtamu huu.kitaalamu tunauita mchezo mpambano😂😂😂😂kisaiiiiiii

    • @MELVINBBY
      @MELVINBBY 3 дня назад

      Umeanza kuleta story za MR MANYANYA hpa za kitaalam hivi na hivi😂😂😂😂

  • @TeshmonyAntonio
    @TeshmonyAntonio 6 дней назад +1

    kazi nzuri sana all the best

  • @DelvinChepkorir-t1d
    @DelvinChepkorir-t1d 4 дня назад +1

    Yaani uyu Kizai aliwelekelea Nora ndo hana kizazi baada ya ajali kumbe ni yeye jameni 😂😂😂tena umeshindwa kumwambia ukweli Sasa umepatikana😅😅

  • @jamessimpungwe6140
    @jamessimpungwe6140 3 дня назад

    Mwanangu unakitu bora sana , never give up 💪

  • @JosephKibawa-s4h
    @JosephKibawa-s4h 6 дней назад +2

    Noma sanaaaaaaa 🎉🎉🎉🎉

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 23 часа назад +1

    Alaas😂😂😂😂

  • @OrisNkulu-o6x
    @OrisNkulu-o6x 4 дня назад +1

    Niye hawakubali sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MaikoMaikowillmkagine
    @MaikoMaikowillmkagine 6 дней назад

    kisai wewe nijambazi2 kaka?ilove ilana kupenda cana na madipozi yako😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 4 дня назад

    Waoooo nice 😂😂😂😂😂 sabuni itaingia kwa macho😂😂😂

  • @brianjohthebleesedone3375
    @brianjohthebleesedone3375 7 дней назад +4

    Nice 👍 job my pple

  • @usterbae
    @usterbae 3 дня назад

    Kazi nzuri san may God bless you together with your team❤

  • @MwajumaSingano-m5f
    @MwajumaSingano-m5f 7 дней назад +1

    Jaman mimi norah namkubali sana❤

    • @Baba_ZEBUU
      @Baba_ZEBUU 6 дней назад

      @@MwajumaSingano-m5f yupo kwa ajili ya kukupa burudani

  • @ShamilaAbdul-n8b
    @ShamilaAbdul-n8b 2 дня назад +2

    Kisaiii🎉🎉

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy 2 дня назад

    Kisai ni zamu yako na wewe kutuonyesha Ubola wako tunajua umekiwasha kwenye plan b ya KP umeona na wew utengenezee series Yako

  • @mohamedisabri6874
    @mohamedisabri6874 4 дня назад +1

    Hapa ndio muna feli sijui kwa Nini hamudumu katika kazi

  • @winniemwaka3202
    @winniemwaka3202 3 дня назад

    Nawapenda🎉🎉nyote❤❤❤

  • @Frola-ym2nq
    @Frola-ym2nq 7 дней назад +5

    Hutaki kuzaa mtoto asipate shida ,kwanini ulikubali kujiachia bila kuwa na Kinga ukujua uliyenae ni maskini?

  • @EliasChimera-l2e
    @EliasChimera-l2e 2 дня назад

    Nko Kenya Mombasa kazinzuri kaka

  • @CharityAnubi
    @CharityAnubi 3 дня назад

    Kisai bora ungeambia tu nora ukweli angeelewa.

  • @HappyHappy-yp9ov
    @HappyHappy-yp9ov 4 дня назад

    Jaman movie I really liked it.

  • @PatricioArninoAbuchir
    @PatricioArninoAbuchir 2 дня назад +1

    Boa trabalho🎉

  • @Francine99Francine
    @Francine99Francine 6 дней назад

    Nawapenda sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 6 дней назад

    😂😂😂😂nimeipenda asilimia zote

  • @Vyizigirocyriaque-u8v
    @Vyizigirocyriaque-u8v 4 дня назад

    Furahayangu nikuona tabasamu haripungui usonimwako

  • @WinfridaMasanja-e7m
    @WinfridaMasanja-e7m 7 дней назад +2

    Kazi nZuri

  • @NinoJack9
    @NinoJack9 3 дня назад +3

    Yan nyie amjawah toa Kaz mbovu at sik moja

  • @OswardGeorge-f1l
    @OswardGeorge-f1l 5 дней назад +3

    kp Si uwe unaandika wewe hizi seriez mbona ukiandika wewe Huwa ni nzuri kabisa lakin wengin ni uongo bhan

  • @MwanakomboNdikira
    @MwanakomboNdikira 7 дней назад +1

    Mbon deal LA Kuwa kisai una mtoi nje kagundulika mapemaa

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 4 дня назад

    Haya kisai na Norah
    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 День назад

    Kisai nawee movie zote unakuanga tu mkora 😅😅

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 7 дней назад +2

    😂😂😂😂😂kisaii na norah ❤❤❤

  • @JulienBaguma-y2s
    @JulienBaguma-y2s 7 дней назад +1

    Waooo kazi nzuri sana nawakubali sana❤❤❤

  • @LydiaEmmanuel-d3j
    @LydiaEmmanuel-d3j 7 дней назад +1

    Bas mfanye harakaharaka muache kuchelewa

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 3 дня назад

    Kazi nzuri kisai❤❤

  • @SAUMUHAMISI-l3z
    @SAUMUHAMISI-l3z День назад

    Kisaii😂😂

  • @Mnyazi-km9if
    @Mnyazi-km9if 6 дней назад

    Musharudi tena wow raha tu jamani

  • @NaomyJohn-e4j
    @NaomyJohn-e4j 2 дня назад

    Jaman kwenye hii movie musimusahau kumuweka sheishei

  • @AimeeRuti-p3i
    @AimeeRuti-p3i 4 дня назад

    Sisi mashabiki tunawakubali sana

  • @DM.2200
    @DM.2200 4 дня назад

    Sijui sijaielewa hii muv, sijui utunzi imekaa vibaya 🥱🥱🥱 anyway lete part nyengine huenda nikaelewa zaid

  • @LuisAkilimali
    @LuisAkilimali 6 дней назад

    Good djob mr kisai🎉🎉🎉🎉❤❤❤