PATA POTEA _02

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 215

  • @PatrickRuwa
    @PatrickRuwa 3 дня назад +7

    Kazi nzuri brother kisanii no 3 nipe like fro Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 3 дня назад +4

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team kisai❤

  • @Amina-d1v
    @Amina-d1v 3 дня назад +3

    Naira n mtoto mzuri sana ❤❤naomba kila movie niwe tu namwona ❤🇰🇪🇰🇪

  • @PacifiqueNdayihimbaze
    @PacifiqueNdayihimbaze 3 дня назад +8

    Kazi safi bro

  • @LazaroThomasnghumbila-ir5ol
    @LazaroThomasnghumbila-ir5ol 10 часов назад +4

    Kwisha habar 😅😅😅kisai jmn kisai kila move yeye ni tapeli maana hata hii move anaonekana anampango wa kuja kutapel hii kampuni ya babaake Norah

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 3 дня назад +12

    Episode ya kwanza ilikuwa na watu watatu tu. Leo watu wanne na mtoto mmoja 😂 usiulize mtoto sio mtu 😂😂😂🎉 kazi nzuri Mr Kisai ❤ 🎉🎉

    • @LuisAkilimali
      @LuisAkilimali 3 дня назад +1

      Wewe naira ni star mkubwa sana kwahiyo usi mzarau

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 3 дня назад +6

    Hii kitaalamu inaitwa penzi mgandano❤❤mambo ni moto.waliostuka kama kisai tujuane kwa presha🎉

    • @SharifuAlbughuli
      @SharifuAlbughuli 8 часов назад

      😂😂😂😂Wajifanya manyanya au. Sio

  • @SergeKambale-mz5tn
    @SergeKambale-mz5tn 4 часа назад

    Sema ukweli bro kisai

  • @SalomeMkosamala-m4i
    @SalomeMkosamala-m4i 3 дня назад +3

    😂😂❤❤Nmefurah kumuona mtt wa kp na zebuuu🎉🎉❤❤❤much love

  • @OmbenBalagomwa
    @OmbenBalagomwa 3 дня назад +6

    Ukiitwa tu baba na huyo mtoto😂😂😂😂 kosa kubwa,tafta jembe la kwenda nalo Kijijini😅

  • @RadjabuManirumva
    @RadjabuManirumva 3 дня назад +3

    Kazi nzuli bwan kisai i m from burundi

  • @Ayanda_actress
    @Ayanda_actress 3 дня назад +1

    Wow congratulations 🎉kisai❤

  • @Madline-tz8mf
    @Madline-tz8mf 3 дня назад +2

    Kazi nzuri sana much love from Kenya likes zikuje sasa ❤❤❤❤

  • @jamessimpungwe6140
    @jamessimpungwe6140 3 дня назад +3

    Daah!! Kisai tupige kazi matajiri shida😢😢😢

  • @NdayishimiyeJeannette-e8r
    @NdayishimiyeJeannette-e8r 2 дня назад +1

    Kazi nzuri sana kisai hapo kimekuramba bora ungesema ukweli mwanzo ona sasa mda sio mlefu utarudi kijijini kulima😢

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 3 дня назад +1

    Huyu mzee babake na Nora anaweza,ya kwako baba🎉🎉🎉🎉 chukua...nora nmependa outfit yako kwenye hii tamthilia, simple bt smart and descent ❤

  • @SalomeMkosamala-m4i
    @SalomeMkosamala-m4i 3 дня назад +2

    😂😂😂😂😂😂😅😅Ila kisai huo mwili punguza,,piga mazoez😅😅😅😅😅ila si kwa ubaya

  • @MadamngumaNguma
    @MadamngumaNguma День назад +1

    Waaaaaa kazi sasa ukweli ndio mzuri kazi nzuri team KP na zebuu

  • @gloiregloirekamirigado
    @gloiregloirekamirigado День назад +1

    Muko fréch kabisa...nawakubali kinoma yani...Ila uongo KISAI waga unamwisho🤣🤣🤣🤣🤣akuna Siri APA chini ya juwa🥱🥱🥱🥱🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @thomaswekesa8156
    @thomaswekesa8156 День назад +1

    kp Ako mutaa, anyway much love from Kenya

  • @BintiMweluhanga
    @BintiMweluhanga 3 дня назад +2

    Semaa kimeumanaa😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mwinyimvuaamani7-h3g
    @mwinyimvuaamani7-h3g 3 дня назад +2

    Safi sana damu yangu kisai Jiniiii

  • @Marty-z8q
    @Marty-z8q 3 дня назад +42

    Hellow wapendwa naitwa Matilda Niko katika Tamthilia ya Dunia nawapenda sana wapendwa 🙏 naomba mnifollow wapendwa

  • @mohamedKudura
    @mohamedKudura 6 часов назад

    Mistari yakisai aliyomwambia mkewe nimeichukuwa hahaaha hiyo nimistari mikubwa

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 11 часов назад +1

    Kisaya weye niwamanyanga tu mkeho awe makini yeye na baba yake 🎉🎉🎉

  • @DannysWambi
    @DannysWambi 3 дня назад +1

    Mimi ndo wakwanza kabisa kutoka Congo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kukutane hapa wa congo

  • @usterbae
    @usterbae 3 дня назад +2

    Wakwanza 😂 good job may God bless all of you🙏

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p 2 дня назад +1

    Kazinzuri nduguzangu nimefurahi kumuona naira🎉🎉🎉🎉mauayake

  • @SophiaPaulo-w4i
    @SophiaPaulo-w4i 3 дня назад +2

    Love Norah ubarikiwe

  • @Khadijah-p8v
    @Khadijah-p8v 3 дня назад +1

    Waziiiii kisai waweza kipenzi chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mambo fire 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @METRINEOKELLO
    @METRINEOKELLO 2 дня назад +1

    Waaaah 🤔 baby mama jamani simkuange ata n ekima jamani imgne umezaa mtoto n mtu ujawai mwambia isitoshe akakuambia kua ameoa alafu unaenda hadi kwa boma hapa ata kama n nani atamwelewa kisai waa apo naona kikiumana 😢n vile baba mkwe n mkali jamani anyway congratulations 👏🎉🎉🎉❤yani hii movie natamani kuona kila siku ila nikungoja to c nawapenda wote

  • @MaegaOne
    @MaegaOne 2 дня назад +4

    Ukisema ukweli kaka apo unaenda kua mkulima

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 3 дня назад +1

    Next itakuwa fire 🔥 msicheleweshe

  • @GwagwagwaMkaliwao
    @GwagwagwaMkaliwao 4 часа назад

    Kisai siku ikifika ya kulud kijijini nipitie tuludi wote kaka 😅😅❤

  • @KWIZERAAlbert-ob4bi
    @KWIZERAAlbert-ob4bi 2 дня назад +1

    Nafurahi sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @TumaMatenga
    @TumaMatenga 3 дня назад +1

    Kazi nzur bwana mdogo

  • @ThierryNduwayesu
    @ThierryNduwayesu 3 дня назад +2

    ❤❤kazi nzuli

  • @JacobMarco-r2t
    @JacobMarco-r2t 3 дня назад +2

    Dk za mwishoni kimeumana ila big up kazi nzuri

  • @bertha57
    @bertha57 3 дня назад +2

    Nahipenda ❤

  • @QuintoCosta-r3r
    @QuintoCosta-r3r 3 дня назад +3

    Booom job

  • @aminaramadhan9731
    @aminaramadhan9731 2 дня назад +1

    Msimtoe huyo mtoto atanogesha sn hii movie 🎉🎉🎉

  • @ErickJonhfredy
    @ErickJonhfredy 2 дня назад +2

    Umetixha xana brother 🤜🤛 unajua unachokifanya ndo maana umetumia ubunifu mkubwa ili mashabiki tuinjoy 🎉🎉🎉

  • @AnaliceBonephace-x8i
    @AnaliceBonephace-x8i 3 дня назад +3

    haka kanaira katakuja kuwa kasanii kama wazazi wake kweli mtoto wa nyoka ni nyoka

  • @OrisNkulu-o6x
    @OrisNkulu-o6x 3 дня назад +2

    Kazi nzuri muliyofanywa ❤❤❤❤❤❤

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 День назад +1

    mmetisha mnoo

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 3 дня назад +3

    Wakwanza jamani nipe like

  • @Francine99Francine
    @Francine99Francine 3 дня назад +2

    Nawapenda sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Lobbie001
    @Lobbie001 6 часов назад

    Kisai hii story umeua lakn usiwe unachelewesa kutoa

  • @NuunNduwimana
    @NuunNduwimana 3 дня назад +2

    💃💃💃💃Kaz nzur

  • @lindauma982
    @lindauma982 3 дня назад +2

    Nko ndani kisai ambia Nora ukweli😂😂

  • @eliudmugendi9619
    @eliudmugendi9619 2 часа назад

    Nora anamuita mmewe Ramso, ila KP anamuita kwa jina la Kisai 😢😢😢

  • @WariaellucasNanyaro-z2j
    @WariaellucasNanyaro-z2j 3 дня назад +4

    Angalia TU usiwaze kumuua bab mkwe wew coz we jamaa nakuelewaga San stahil zako

  • @Mwanah-cg3ie
    @Mwanah-cg3ie 3 дня назад +5

    Sasa ayoo masimango kwaiyoo apo kisai ampendi mkewe sasababu tu pesa

  • @Emily-k98
    @Emily-k98 День назад +1

    Kisai jitahidi uzae na Nora itakua bora na kwa mtoto wako 😂😂😂😂

  • @QueenAmanda254
    @QueenAmanda254 3 дня назад +1

    Kazi safi saana🎉🎉

  • @gloiregloirekamirigado
    @gloiregloirekamirigado День назад +1

    Ukweli umweka mtu huru...Ila iyi baba 🥱🥱utarudithu kijijini baba 🥱🥱🏍️🤣🤣🤣

  • @Cymiss3
    @Cymiss3 3 дня назад +2

    Kazi nzuri kisai

  • @JudithNyangasi-r1f
    @JudithNyangasi-r1f 2 дня назад +1

    Eagerly waiting for next part

  • @MonicaMkombwe
    @MonicaMkombwe 3 дня назад +3

    Kumbe hiki kibebi cha zebuu 😅😅

  • @FelistusKimanzi-f2g
    @FelistusKimanzi-f2g 3 дня назад +1

    Kazi njema

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 3 дня назад +1

    Good work kisai❤❤🎉🎉

  • @CatherineSakari
    @CatherineSakari 3 дня назад +3

    Tujifunze kusema ukweli Kila mara

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva День назад

    Mamaneee uwiii Jamani kisayi sasa si ungesema wenda ungemchuwa mtoto 😂😂😂 nora mchukue tu ❤❤

  • @kura.the.boy-
    @kura.the.boy- 3 дня назад +1

    Kazi nzuri san

  • @MariaMaroa-c8m
    @MariaMaroa-c8m 2 дня назад

    Kumbe kiasi alikuja akabadika jamani babamkwe achunge Sana kupeana talaka ak atauwawa ak n vile kisai n roho mbaya waaah

  • @jamessimpungwe6140
    @jamessimpungwe6140 3 дня назад +1

    Big brain kisai 😅

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 17 часов назад +1

    Tunao furahia kuona kisai na yy anapitia magumu tujuane hapa❤❤❤

  • @isaiebizimana8935
    @isaiebizimana8935 3 дня назад +2

    Norah nakukubal kinoma wanj,wasikundanganye naweye ukamuaca kp

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 дня назад

      Nkweli nakuunga mkono, ata akitaka awe na account waendelee tu kushirikiana

  • @WendeMposola
    @WendeMposola 3 дня назад +2

    Naomba like jamani nimewah ila msinizodoe nataka kurudi tena hapa 🎉🎉🎉

  • @RAJUBAIBAHUBARI
    @RAJUBAIBAHUBARI 2 дня назад +1

    Walete 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @LuisAkilimali
    @LuisAkilimali 3 дня назад

    Ongereni sana kwa kazi nzuri pia nime furaishwa na kitendo kia ku mpa nafasi naira kwenye muvi yetu asanteni sana❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @LyidiaRupia
    @LyidiaRupia 3 дня назад +14

    Ukwel umweka mtu huru kisai

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 3 дня назад

      Ila watu wengi hawafahamu

    • @EuniceKayila
      @EuniceKayila 2 дня назад

      N kwel bna angesema tu ukwel kila kitu kingekuwa sawa

    • @LyidiaRupia
      @LyidiaRupia 2 дня назад +1

      @EuniceKayila ndo apo sasa

    • @LyidiaRupia
      @LyidiaRupia 2 дня назад

      @@aishaomar2287 ndio ivyo

    • @LyidiaRupia
      @LyidiaRupia 2 дня назад +1

      @@EuniceKayila sasa ukiendelea kudanganya na huongo uwa haudumu milele

  • @RukiahNadhiru
    @RukiahNadhiru 3 дня назад +5

    Naomba like zenu ❤ naangalia nikiwa Arusha chuga enyewe apa

  • @CollisBill-mu3zp
    @CollisBill-mu3zp 3 дня назад

    Kisai 😂😂😂😂 mzeee wa majangaaa

  • @RizikiMchome-l5s
    @RizikiMchome-l5s 3 дня назад +5

    naombaaa mben laik jaman kazii nzury🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bellahryan
    @bellahryan 3 дня назад +2

    Kazi nzuri ❤❤❤nawapenda sana❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @JacobMarco-r2t
    @JacobMarco-r2t 3 дня назад +1

    God Job kisai

  • @MPANGEKUTAMU
    @MPANGEKUTAMU 3 дня назад +1

    Kaziii nzuriii sanaaa

  • @RahelAmosi
    @RahelAmosi 13 часов назад +1

    Jama raik at mja bas

  • @Hoel19LulesA
    @Hoel19LulesA 3 дня назад +3

    Kisai afadhali ukue. Mkweli ili muishi kwa amani na ndoa yako

  • @JibranMursali
    @JibranMursali 2 дня назад

    Mnachelewa bana saana 🎉😢😢😢😢😢

  • @JoslineKavugho
    @JoslineKavugho 9 часов назад

    Kisai wewe huna kosa ila kosa lako ni kutokusema ukweli. Nawapenda toka RDC

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 2 дня назад +1

    Kisai kimeumana😂😂😂😂😂

  • @FahimuFarao
    @FahimuFarao 3 дня назад +2

    Jamani uyo mwanamke kapajuaje apo Kwa kisai au kp kamsaliti mwenzie😂😂

  • @TausiMokiwa
    @TausiMokiwa 3 дня назад +3

    Duuu kisai imekula kwako nibola tu ungesema ukweli mwazo ona sasa 😂😂

  • @SuarezbyaombeComijek-k9b
    @SuarezbyaombeComijek-k9b 2 дня назад

    Kumehanza kuchangamka sasa, kazi nzuri kijana ❤❤❤❤

  • @LightnessNyimbo-oz6fv
    @LightnessNyimbo-oz6fv 3 дня назад +1

    Kisai mwizi mwizi na tapeli, me sikuamini hata kidogo.😂

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla 14 часов назад

    Kilasiku ukweli umueka mtu huru kisai muelezee Nora ukweli mungu atakusaidia

  • @marykachisa
    @marykachisa 3 дня назад +1

    Hadi mkachukua mtoto wa zebuu sasa

  • @fabiansululi7511
    @fabiansululi7511 3 дня назад

    🎉🎉🎉 Nawakubali sana

  • @Tweve_jr
    @Tweve_jr 3 дня назад

    Kazi ipo kisai😂😂😂

  • @HusnaJuma-ee3lg
    @HusnaJuma-ee3lg 2 дня назад +1

    Kisai awe tu mkweli

  • @BarakanchagwaBarakanchagwa
    @BarakanchagwaBarakanchagwa 2 дня назад +1

    Hatali san kisai

  • @celestinkenga9212
    @celestinkenga9212 4 часа назад

    😂😂😂😂 Ramso katoka na sabuni

  • @FatmaMusaifa
    @FatmaMusaifa 3 дня назад

    Dah pole kisai

  • @ShamilaAbdul-n8b
    @ShamilaAbdul-n8b 3 дня назад

    Kisaiiiii🎉

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance 3 дня назад

    Kazi nzuri kabisa 🎉🎉🎉🎉

  • @KorethaWillson
    @KorethaWillson 3 дня назад +2

    Nzuri

  • @AllyJumapili-lc3qf
    @AllyJumapili-lc3qf День назад

    Oya kisai kaza jali maokoto achana mtoto mkanetu

  • @ThomasKibutwa
    @ThomasKibutwa 9 часов назад

    Hatari sana hiyo. Bora aharubu ndoa ya watu na mtoto awe wake kweli, ila kama ndo wa mchongo tena duh.
    Tunasubiri cha 3 tuone mama mtoto kaja na lipi?