SIDE CHICK (Mchepuko) EP 07 || S01 || LOVESTORY

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • #nollyfoxtvlatestnigerianmovie #bongomovies #love #sigma #sidechick

Комментарии • 126

  • @zaujikha
    @zaujikha Месяц назад +1

    Khaaa!! Sania ni mnaafkii humuu 😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma Месяц назад +8

    Ila Sania ni karembo jaman nani mwingine anaona km mm😊😊

  • @AdelaideWanyonyi
    @AdelaideWanyonyi Месяц назад +4

    Sania nakupenda mum uko karembo 🎉

  • @ShadiaIdrissa-r2f
    @ShadiaIdrissa-r2f Месяц назад +2

    Jaman munatuleteya muvi nzuri sana hongereni❤❤

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin Месяц назад +2

    Chiko kuanzia Leo wee kifuruge ww na candy bb mmoja mama mbalimbali

  • @maryjohn3291
    @maryjohn3291 Месяц назад +2

    Yaani chiko kila nikiona sura yako nahisi kufa maana sipendi nakuchukia na hata sijui ni kwann nakuchukia 🥹🥹🥹

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g Месяц назад

    Zuu, unajua tu una uja uzito wa Chiko alfu unaenda kukimbilia kuolewa na Tasha, yaani huruma tuu😢😢

  • @SalmahLuvuno
    @SalmahLuvuno Месяц назад +12

    Vta vya chiko na Mr Tasha tena

  • @ZitocrisantoMakaba
    @ZitocrisantoMakaba Месяц назад +15

    Léo nimewai jamani like apa

  • @esterNsemwa-l4r
    @esterNsemwa-l4r 26 дней назад

    Zuuu kataa kabisa we ni mke wa mtu

  • @esterNsemwa-l4r
    @esterNsemwa-l4r 26 дней назад

    Chiko ninakuchukia kweli maana hata karata yako siipendi hats kidogo

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi Месяц назад +4

    Leo nimewai wa 5 leo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤kazi nzuri sana 😂😂😂😂😂chiko ushapokonywa tena mke na mr tasha 😂😂😂😂😂 hukomi humu tu 😂😂😂😂

  • @SophiaMabula
    @SophiaMabula Месяц назад +2

    2liingoja Kwa hamu xna jmn axanten xna❤❤❤

  • @hellolloheloo9743
    @hellolloheloo9743 Месяц назад

    Hivi anaye mvalishaga zuuh ndo anawavalishaga ote jamani hapana ukija kichwani sasa mtume 😂😂😂

  • @CateeKimotyo
    @CateeKimotyo Месяц назад +1

    Movie ni 🔥🔥🔥 sana, ila chiko anaboo

  • @graceasako5691
    @graceasako5691 Месяц назад +1

    Makubwa duniani tasha ahuna bahati kweli 😢 huruma tu

  • @StellaShirima-t4x
    @StellaShirima-t4x Месяц назад +12

    Chiko Kila anapoingiza ni msengemsenge tuu

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso Месяц назад

    Chiko upo unamuandama tena Mr tasha

  • @EDITHASABINIAN
    @EDITHASABINIAN Месяц назад

    Kumb zury baada ya tendo anakunywaga maji 🎉🎉🎉

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث Месяц назад

    😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤mama ushauri sania😂😂😂

  • @AdveraElias
    @AdveraElias Месяц назад +3

    No 2 guys kaz nzuri sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s Месяц назад

    Sema Tasha yupo makini sana. Anaakili sana uyo kichwa chake kipo vizuri ila zuu kunanini tena kwa Tasha

  • @GinaFaruqueFaruque-e6j
    @GinaFaruqueFaruque-e6j Месяц назад +2

    Duuu mambo ni moto kikweli ❤❤❤EP muendelezo

  • @FatmaMohammed-b4g
    @FatmaMohammed-b4g Месяц назад

    Uyu lafiki wa Sania ndomzuli

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy Месяц назад

    Sania ❤❤❤❤ wewe nikiboko kwenye ushaur uko good kz nzur 🎉🎉🎉🎉

  • @MiriamuMuro
    @MiriamuMuro Месяц назад

    Embu zuu jitengeneze Bwana huwendani na Tasha Wala chiko 😂😂

  • @FrankKyando-z1i
    @FrankKyando-z1i Месяц назад +2

    Daaa NAhi tamu sana

  • @JustinMhonda
    @JustinMhonda Месяц назад +1

    Mmmmh jamn Kwan Chiko hujuagi kubembeleza

    • @AnnaBura-p2g
      @AnnaBura-p2g Месяц назад

      Ukimpata mwanaume ka chiko umeisha

  • @Officialmoyo-l1d
    @Officialmoyo-l1d Месяц назад

    Ila sania😅😅😅😅😅😅

  • @MekiAli-ub4ld
    @MekiAli-ub4ld Месяц назад

    Chiko uko n ubora Gani mbn ulikimbia mimba Kwa zuu🎉🎉

  • @FzvvzChhxgdgd
    @FzvvzChhxgdgd Месяц назад +2

    Sania jmn nakupenda buree

  • @OdethaMudugu
    @OdethaMudugu Месяц назад

    Jaman zuu hizooo nyweleee!!!!!!!

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 Месяц назад

    Mh mmefel bhana n hku nako chiko n tasha tena woooooiiiiiii

  • @MiriamuNdihokubwayo-l9g
    @MiriamuNdihokubwayo-l9g Месяц назад

    Ciko mukorofi sana

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri Месяц назад

    Kwanini kila movie chiko msumbufu2 mtoeni bhana😅😅😅😅yani vita nivile vile mmekosa plani nyingine mnatuletea kama vita vya mapenz kama house girl 😢me sioni utofauti chaajabu hata house girl yenyewe haijaisha

  • @StelaSamson-c1r
    @StelaSamson-c1r Месяц назад

    Kweny house girl walisema Hana uwezo wa kuzalisha

  • @KudraRahe
    @KudraRahe Месяц назад +3

    Sania una ushauli mzur sana

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 Месяц назад +3

    Zuu nimepata siri yako kumbe baada ya tendo unataka mmaa😅

  • @RahmaMariki-o1t
    @RahmaMariki-o1t Месяц назад

    Jamani sania kalembo

  • @mansoursilima6620
    @mansoursilima6620 Месяц назад

    Aaaaa jamn uyu chiko ana keraaa kinomaa kuingiliaa ndoa za watu😢

  • @Haleema-dg5bo
    @Haleema-dg5bo Месяц назад +2

    Zuuu leo umechemsha hpo alafu huyo Madevu chiko mbona kakutan ten na Mr Tasha wetu duuuuuh 😂😂😂😂

  • @Farida-p8l
    @Farida-p8l Месяц назад

    Mbona kama Tasha ana bahat mbaya hum jmn😢

  • @LovenessElias-c4e
    @LovenessElias-c4e Месяц назад +3

    Zuu we mjinga kmb

  • @JohariMakinda
    @JohariMakinda Месяц назад

    ❤❤❤❤jamani Mr Tasha na chiko

  • @GloryMollel-po7ho
    @GloryMollel-po7ho Месяц назад +1

    Mnacheleweshaa hadii najaribu kuvuta kumbukumbu iliishiajee hata sielewii tena

  • @FaidaYoreki
    @FaidaYoreki Месяц назад

    Zuu una nikera moyo kwanini ukamate funguoo😢😢😢😢😢

  • @SophiaJoseph-n4o
    @SophiaJoseph-n4o Месяц назад +3

    Humu na zuri naona kachangamka ila ushauri wangu asichangamke sana kam candy ataharibu

  • @TommyAli-s1b
    @TommyAli-s1b Месяц назад +2

    Nlidhan chiko hyupo😂😂😂

  • @CelinaBeda
    @CelinaBeda Месяц назад

    Zuuu achakuwa fala

  • @Amina-u8l
    @Amina-u8l Месяц назад +1

    Sania mama wa kushauri wenzake 😂

  • @MariaSalim-u5z
    @MariaSalim-u5z Месяц назад +4

    Chiko kila mahali wew nikivuruge Tu kama candy

  • @munalove-x4u
    @munalove-x4u Месяц назад

    Naona chiko anaaribu ndoa

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r Месяц назад

    Ckiko mbona hupendi kumuona Mr Tasha akiwa na furaha jmn.. kwanini lakini 😢😢😢

  • @MiriamuMuro
    @MiriamuMuro Месяц назад

    Ila chiko Ni mvurugaji wa move . Haya kwenye house girl ulimganda zatiti na Tasha hapa Napo Ni zuu na Tasha tena . Chiko una Nini na Tasha wewe.....😂😂😂

  • @RachelBulonza-d9p
    @RachelBulonza-d9p Месяц назад +1

    Muna muleta tena chiko filme ineda arabika wangapi wana nikubali

  • @RehemaJuma-o3r
    @RehemaJuma-o3r Месяц назад +2

    😂😂 wa kwanza kutoka istani bul utuluki 😂😂😂

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe Месяц назад +1

      Uturuki ya iringa njombe😢😅😅

  • @ShakilaOma
    @ShakilaOma Месяц назад +2

    Sania😅😅😅

  • @McT-m1m
    @McT-m1m Месяц назад +7

    Zuu usiende geto tutaonekana wanawake wasenge hatujielewi

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe Месяц назад +1

      Yaaani mh 😢

    • @WistoniSiliveri
      @WistoniSiliveri Месяц назад +2

      House girl vita vya mapenzi chiko. Na tasha hii tena vita. Vya mapenz chiko na tasha mmekosa cha kubadilisha au

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe Месяц назад

      @@WistoniSiliveri sema wewe kipenzi

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow Месяц назад

    Tasha umeingiliwa umeo kicheche

  • @DevothaMbedule
    @DevothaMbedule Месяц назад

    Mmh hii mv sas haielewek

  • @GladMarko
    @GladMarko Месяц назад +4

    Mbona Kila move Tasha nachiko wanagongana kwa wanawake

  • @Kadii-o9s
    @Kadii-o9s Месяц назад +3

    Wamwishi jmni na mm nataka like ata 10 jmni

  • @OmanBd-s7z
    @OmanBd-s7z Месяц назад

    Move mlianza vizur sasa mnaharib khaa sasa kwann zuu arudi kwa x wake

  • @JoyceMbaixi
    @JoyceMbaixi Месяц назад

    Mkimaliza uku muingie kwa ingine inaitwa MAPENZI NI GAME watch thank me latter 😂😂😂😂😂😂

  • @LouiseMwito
    @LouiseMwito Месяц назад

    Muliaza muvie vizuri munaenda kuiaribu

  • @djanfarmoulay6865
    @djanfarmoulay6865 Месяц назад

    Nauza mafuwa Kwa bei nafuu 😢😢😢 tena ni Yale makalii 😢😢ila naitaji mnunuzi mwenye uhakika 0:56

  • @MrsMariam-x2s
    @MrsMariam-x2s Месяц назад

    Chiku kwakujiaminj hua ana nifurahisha sana kwakujiaminj Tasha maskini katoka kendy kaingiya zuu nikazani atamfurahisha kumtowa mawazo maskini Tasha kaigiliwa tena na chiku jamani

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p Месяц назад

    Chiko hunanga bahati ya mke wewe

  • @averinamtani
    @averinamtani Месяц назад +2

    jamani chiko tumpuzishe kidgo

  • @KudraRahe
    @KudraRahe Месяц назад +2

    Ila huyo dada mbeya sana

    • @MonicaMkombwe
      @MonicaMkombwe Месяц назад

      Ndiyo maana Mimi sitakagi urafiki na madem yaani duuuh

  • @dadatanzania
    @dadatanzania Месяц назад +1

    Zuuu na ww pendeza ata kidogo izo nywele zilivyo kaa

  • @Fatma-e5q6f
    @Fatma-e5q6f Месяц назад +1

    Zuuuu😮😮😮

  • @janeburu6538
    @janeburu6538 Месяц назад

    ❤❤❤

  • @JanetKamene-i4y
    @JanetKamene-i4y Месяц назад +1

    Wow wakumi leo

  • @EditaMalaki
    @EditaMalaki Месяц назад

    Mulianza vizuri ila inaharibika

  • @HappyNass-mu3lu
    @HappyNass-mu3lu Месяц назад +2

    Chiko kila sehemu unalibu

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq Месяц назад +1

    Yani wandengerekwa bwana shkamoni eti mume bora mhmhmhmh ata mume wangu aliwahi niambie sitapata mume bora kama yeye cha ajabu sasa uuuuwiiiii nimempata aliye bora mala kumi

  • @VictoriaNzyela-ud4vv
    @VictoriaNzyela-ud4vv Месяц назад

    ZUU ACHA UJINGA MWAMBIE MUME WAKO UKWELI

  • @LinahTesha-tr6ei
    @LinahTesha-tr6ei Месяц назад +6

    Wapili jamani hata like 10 tu😊

  • @LouiseMwito
    @LouiseMwito Месяц назад

    Yaani huyu zuu nilikuwa namchukulia kama anajieshimu mwazo wapicha

  • @DzameHamisi
    @DzameHamisi Месяц назад

    Zuu umechemsha wewe ni bibi ya mtu usikubali kumsikiliza huyo chiko

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ErastoMsemwa
    @ErastoMsemwa Месяц назад

    Kipala mtelezo upo

  • @EvethaSimba-i1c
    @EvethaSimba-i1c Месяц назад

    Sania ndiyo mshauri wenu wote nawe chiko kila unaingia unapokonywa tonge mdomoni kwani una shida gani

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh Месяц назад

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂

  • @mourinemusungu-w5c
    @mourinemusungu-w5c Месяц назад

    Maskini Tasha,Hana bahati kendy alimcheat pia naona zury akiwa worse

  • @MiriumWajey-lr1tq
    @MiriumWajey-lr1tq Месяц назад

    Mashoga uyoga wa hivi 😢

  • @MaryamIssa-x5z
    @MaryamIssa-x5z Месяц назад

    Uyo shoga yake zuu mmbeya

  • @Pamela-gc3vb
    @Pamela-gc3vb Месяц назад +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Getrudemgonda
    @Getrudemgonda Месяц назад

    Kama Zuuh ndo amekua na tabia za ovyo ivo anakubali kusaliti ndoa yake mm sifatiloo tena hii movie

  • @saadaally5705
    @saadaally5705 Месяц назад

    Mpemba Yuko wapi

  • @BerthaMaganga-i4i
    @BerthaMaganga-i4i Месяц назад +1

    Tumemic na muvi ya wandema

  • @tonykonki1437
    @tonykonki1437 Месяц назад

    Chiku sijajua kwanni unakua mkorofi ple

  • @HabibaMwanamisi
    @HabibaMwanamisi Месяц назад

    Hii movie ilikuwa nzr hapo mwanzo ila inakoelekea Ina inayoka inaonekana kuwa mbya

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p Месяц назад

    Mr umbeya nani kama wewe ungekuja kenya ungefanya kwa mass media ya damu

  • @JosephMaxe-tt7zw
    @JosephMaxe-tt7zw Месяц назад

    Sasa ita wezekana vipi mke WA Kai awe na ujauzito WA mwanaume mwengine wakati tayari wana mtoto na kai??? Hapo mmetu changanya

  • @mariammuslim2987
    @mariammuslim2987 Месяц назад

    Tunaoku baliana muda uongezwe like hta moja

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo Месяц назад +1

    😂😂

  • @JosephineJacob-zo8sq
    @JosephineJacob-zo8sq Месяц назад +1

    Chiko nq tasha wana nini

  • @SalhatMisagi
    @SalhatMisagi Месяц назад +2

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤