KIMEUMANA:(MZEE LIKOMA,DIBOZI,SHEILA,KP &ZEBUU)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии • 325

  • @MerryMerry-g1j
    @MerryMerry-g1j Год назад +18

    Mze Likoma penda sana wewe from Burundi

  • @haluwahavla9740
    @haluwahavla9740 Год назад +3

    😂😂😂😂duuu imetixha xna hii movie aky Mzee likoma na dibosi mau kwenu❤❤❤❤❤

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Год назад +45

    Yani Uyu Kijana Wallah Anapendeza Akianti Mzeee Kweli Likoma❤❤❤❤

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 Год назад +18

    Yani mm nampenda huyu mzee likoma ,nmeipenda sana ❤❤❤

  • @Getrudakitandala
    @Getrudakitandala 6 месяцев назад +4

    Mzee łikoma usiseme ivyoooh😂😂

  • @Thepoulfamily
    @Thepoulfamily Год назад +11

    😅😅😅😅😂😂😂nimefutwa kazi sasa mipee kazi sababu nimecheka kama sijielwi niko kazini 😂😂😂😂

  • @Soda-c9x
    @Soda-c9x 11 месяцев назад +1

    Mzee likoma nakupenda Bure ❤❤❤❤napenda hilo majabu

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Год назад +16

    Mze wangu waamana mze likoma

  • @Belyse-gs4wd
    @Belyse-gs4wd Год назад +4

    Leo Wapiri vrt 🥰🥰🔥👌

  • @Family-i2d
    @Family-i2d Год назад +4

    Wazee mnanichekesha❤❤❤ 🇰🇪 mzeee likoma u make my day

  • @nashmirihamisi2417
    @nashmirihamisi2417 Год назад +5

    watu wangu roho za Mungu nawafatilia sana aise kipaji mnacho kp na zebuu nawapendaraaa nyote na vibabu vyangu❤

  • @steadfastlove646
    @steadfastlove646 Месяц назад

    Yani hi movie tamu munge endelesha nime repeat several times very nice 👍

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao Год назад +13

    Mbona mnachelewa kutuletea WAMANGUSHI jitahidini kila siku iwe tayarii tunaboeka 😔😔😔

    • @KimKim-xs6sh
      @KimKim-xs6sh Год назад +1

      Aki waambie 😂😂😂walete wamangushi buana😂😂😂

  • @NoelaKk
    @NoelaKk 6 месяцев назад +2

    Yani Uyu kijana Wallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Mamazgirl099
    @Mamazgirl099 Год назад +6

    Nimeipenda iyo❤❤❤

  • @esthermuthoni-i9o
    @esthermuthoni-i9o Год назад +8

    Wooow inzuri sana❤❤

  • @allymtalika9839
    @allymtalika9839 Год назад +3

    yaan nampenda sn mzee likoma, ilipoisha binti nyoka nlijiuliza sn kuwa titamwona wapi mzee likoma

  • @MathaSnkono
    @MathaSnkono 7 месяцев назад +2

    😮
    ❤wao nawombea mwaka huu ni wenu

  • @mwanamisikadongo8596
    @mwanamisikadongo8596 Год назад +3

    Na wapenda sana Kwa vipindi vyenu vya kuchesha nakufuraisha Na mafundisho pia🎉🎉❤❤😂😂😂😂

  • @roshni-t5f
    @roshni-t5f 6 дней назад +1

    likoma nadibozi munacheza vizuri sana

  • @ZARILADY-kz1ii
    @ZARILADY-kz1ii Год назад +7

    Likoma unapendeza ukiwa mzee

    • @MathaSnkono
      @MathaSnkono 7 месяцев назад

      Wa nangu maisha ndiyo hali vyo vumilia

  • @hoticetyggarz6632
    @hoticetyggarz6632 Год назад +7

    Mzee Likoma forever Guys 🇿🇦🇿🇦

  • @HamdhiSaid
    @HamdhiSaid 2 месяца назад +1

    Mze likoma ana chekesha

  • @mwanaishasaid1516
    @mwanaishasaid1516 Год назад +2

    Mzee likoma bwana ua wanicheksha auboeshi 😅😅 nakupenda bure❤

  • @DIanah-q1k
    @DIanah-q1k Год назад +4

    ❤❤❤❤Nimefurshia vya kutosha

  • @EvahJaphet-v9q
    @EvahJaphet-v9q 4 месяца назад

    Jamaniiii hongereni kwa kazi nzuriiii 🙏🙏🙏

  • @KuluthumuJuma-b3d
    @KuluthumuJuma-b3d Год назад

    Yan nyie mh kiboko muko vizul na uyo likoma unampendeza uzee tofaut na ujana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ishimweclarise2020
    @ishimweclarise2020 Год назад +1

    Likoma aca uwongo umeona vita yapili yaduniya😅😅😅😅😅 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @Yulita-c5j
    @Yulita-c5j Год назад

    Naipenda it wazee tuuko pamoja muendelee iviv❤❤❤😢🎉😮😊

  • @EstherGraceGrace
    @EstherGraceGrace Год назад

    Muzee likoma you are the best comedian so that I like you so much

  • @janetymwakupha4784
    @janetymwakupha4784 Год назад +1

    Weeh nzuri💯💯💯💯✍️

  • @stephenkivindu2648
    @stephenkivindu2648 27 дней назад

    Well activated kenya ..mkoa wa kati...nafuraia vipindi vyenu sana

  • @ZaldaM.ramadhani
    @ZaldaM.ramadhani Год назад +2

    😂😂😂😂 akiii nimecheka kwa sauti

  • @WinfridaZakayo-mj7co
    @WinfridaZakayo-mj7co Год назад +5

    Kaz nzur

  • @halimasaid3246
    @halimasaid3246 Год назад +6

    Huyu likoma muwe mnamuweka mzeee hapendez kuigza kawaida

  • @Saidosaid-n7b
    @Saidosaid-n7b Год назад

    Wallah umenichekesha Sana kwenye bint nyoka ad nimekupenda bule imebid nifatilie move zako

  • @Swedisound
    @Swedisound Год назад +2

    Wakwanza KBs 😢🎉

  • @raiyaaaraiyaa6054
    @raiyaaaraiyaa6054 Год назад +1

    Yaan mzee Likoma usipo cheka uko na roho ngumu km andazi la Jana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂❤aki mzee likoma nilikuwa nimekumiss

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 Год назад

    Wow iko nzr san wallah❤❤❤

  • @LagusyaMwaipopo
    @LagusyaMwaipopo Год назад +1

    Waoooh mzee likoma hadi raha ❤ 😂 😂.

  • @halimamohammedsuleiman5159
    @halimamohammedsuleiman5159 Год назад +2

    Mzee likoma uko juu😂😂😂

  • @innocentbishinaba6681
    @innocentbishinaba6681 Год назад +1

    Nawapenda sana nduguni zangu. Mnafanya nilale niko salama kwa furaa

  • @AminaAli-y6s
    @AminaAli-y6s Год назад +1

    Dibozi usi seme hivyooooo🖒🖒😂😂😂 Alafu zebuu hilo dera ulivo lieka 😁😁😂😂

  • @mapenzikazunguzia415
    @mapenzikazunguzia415 Год назад +2

    Leo kimeumana 😂😂😂😂😂😂😂

  • @denisiampangile6308
    @denisiampangile6308 Год назад +1

    Namukubalii sanaaa huyo kijana anaeingiza mzeew da anafanya move inoge kinomanomaa sanaaaaaaa🔥🔥🔥kiufupi nawakub@liiiiiii woteee🔥🔥💓💓💓

  • @princejames-jt8mq
    @princejames-jt8mq Год назад

    Kwakweli mungu azid. Kukuza kijaj. Chenu penda buureee❤❤❤

  • @rahmashuruti4824
    @rahmashuruti4824 Год назад

    Napenda sna movie zenu❤❤

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Год назад +1

    Likoma upo vzriii mzee3 kijana

  • @Kalalambeemagwendela
    @Kalalambeemagwendela 4 месяца назад

    Likoma nakuelewa Sana ❤❤❤❤

  • @Bintluckas3918
    @Bintluckas3918 Год назад

    🤣🤣🤣🤣 likoma unapendezea uzee na hyo saut huikosei🙌

  • @NeemaPaschal-kr2ue
    @NeemaPaschal-kr2ue Год назад

    Duuh jamn mnajua kutuvunja mbavu kwakweli 💯💯💯

  • @annitawamboi9645
    @annitawamboi9645 7 дней назад

    Akieipi. Napenda❤❤❤❤

  • @FloraAkihetani
    @FloraAkihetani 4 месяца назад

    Nakupenda san mzee likoma ❤❤❤❤❤❤

  • @mesiabajaka4635
    @mesiabajaka4635 Год назад

    Sina pumzi mwenzenueeee😂😂😂lkoma uko juu baba

  • @Emmydaquite-p7x
    @Emmydaquite-p7x Год назад

    😊😊😊mnaweza sn

  • @ProsperityPulse-ge6un
    @ProsperityPulse-ge6un 7 месяцев назад +1

    Mzee likoma the best

  • @MarthaFaraji
    @MarthaFaraji 8 месяцев назад

    Jamn niliwas sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda

  • @Hugacontractors
    @Hugacontractors Год назад +1

    Kazi nzuri😂

  • @aishakassim75
    @aishakassim75 Год назад +1

    😂😂😂 naanzaje kua na stress

  • @Judith22sianoi
    @Judith22sianoi Год назад

    😂😂😂 my likoma ❤❤❤

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 5 месяцев назад

    Sheila m. Kenya 🇰🇪 bint likoma ila dibozi na likoma wamechambana alafu eti wa mpe ushauri wa mapenzi 😂😂😂🎉🎉

  • @marynamachanja1836
    @marynamachanja1836 Год назад

    Nawafwata kila mahali 😅😅😅😅😅😅keep it up guys

  • @Milcah-hb5uw
    @Milcah-hb5uw Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤ unauma sana

  • @VivianeCosmas
    @VivianeCosmas 9 месяцев назад +2

    Yan likoma unanimalizia bando mpuuz. Ww

  • @Chinyavunyae-ll6iy
    @Chinyavunyae-ll6iy Год назад

    Waaa mwaniuw chausiku😂😂😂😂😂😂

  • @SakinaHassani-xm7ti
    @SakinaHassani-xm7ti Год назад +1

    Mme Tisha SEMA mzee likoma badilisha shat🤣🤣🤣🤣

  • @chantalnishimwe6506
    @chantalnishimwe6506 Год назад +1

    Next episode full plz 😂😂😂😂😂

  • @Swaibahubibu
    @Swaibahubibu Год назад

    😂😂😂mzee likoma🌹🌹🌹🌹ma ua yake❤❤

  • @ChadiaIrankunda-ye7ri
    @ChadiaIrankunda-ye7ri Год назад

    Love from chadia irankunda to burundi

    • @magdalenamgoji5263
      @magdalenamgoji5263 Год назад

      Hongelen sana jamani nawapenda🌹❤️❤️❤️❤️💖💕

  • @GustaveKabila
    @GustaveKabila 11 месяцев назад

    Mzee likoma napenda ma vidéo zako sana Niko 🇨🇩

  • @HamdhiSaid
    @HamdhiSaid 2 месяца назад +1

    Nilikuwa likoma

  • @ZipolaChibago-r1c
    @ZipolaChibago-r1c Год назад

    Mzee wa Giza jmn ep25. I won't forget. I❤ you all

  • @bettylove254
    @bettylove254 Год назад

    You nailed it 😂😂😂😂

  • @FaidaClarisfaida-cz7ru
    @FaidaClarisfaida-cz7ru 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂kumekucha jamani

  • @alisaida4080
    @alisaida4080 Год назад

    Mzee likoma uko Sawa kabisa na dibozi twakupenda sana

  • @ELIMINAKIGELULYE
    @ELIMINAKIGELULYE Год назад

    Mzee likoma unajua kunifurasha sana 🎉🎉

  • @rosewafula915
    @rosewafula915 Год назад

    Eeeh nimejeka yangu yote walai 😂😂😂😂😂❤❤

  • @DaniebwanachuiArtist
    @DaniebwanachuiArtist 9 месяцев назад

    Nakupenda Chey la drcongo

  • @obadiahmjeshi7933
    @obadiahmjeshi7933 Год назад

    Nakukubali kinoma mwanangu xvanny unajua kinoma

  • @mamanyassri313
    @mamanyassri313 Год назад

    Waoooo iko poa🥰😍🤩

  • @Jali-et8py
    @Jali-et8py Год назад +3

    NAWAPENDA SANA MZEE LIKOMA, DIBOZI,KP&ZEBUU ❤❤❤❤❤❤

  • @attoumaniomar1775
    @attoumaniomar1775 Год назад

    mzee likoma upo vzr sn

  • @estaphone
    @estaphone Год назад

    😂😂😂😂 nzuri kweli?

  • @LukimbaEster
    @LukimbaEster Год назад +1

    Vipi wapendwa😂😂😂😂

  • @MarcIlunga-k4q
    @MarcIlunga-k4q 7 месяцев назад

    Mzé likoma n'a dibozi msiachane endeleeni Ku shuti kwa pamoja 🤣🤣🤣

  • @hasnajuma5567
    @hasnajuma5567 Год назад +3

    Wee mpuuz simama unipe iPhone yangu 😂😂boss hakikisha unalipa hio hela 😂😂Diboz hakikisha unapata hio hela😂😂😂 mmetisha sanaaaa yani like zao nipeni mimi

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Год назад

    Mnatisha sana , naombeni namba ya Sheila sasa

  • @JosephMsabaha-ww6zw
    @JosephMsabaha-ww6zw 9 месяцев назад

    Kp na kikundi chako mnatisha asee hongeleeni sana

  • @Fransiscagodwini-zz9vx
    @Fransiscagodwini-zz9vx 6 месяцев назад

    Nawakubali sana..
    😂❤

  • @LillianSarange
    @LillianSarange Год назад

    Ingekia kama episode ingepambasana but nko sawa

  • @Michaelgulaka551
    @Michaelgulaka551 Год назад

    Likoma na Mzee mwenzake wananfurahishaga sana wanavotanian

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 4 месяца назад

    😂😂😂😂Wazeeee kp pombe noma

  • @mwanaathumani9594
    @mwanaathumani9594 Год назад

    😂😂😂😂mbav zangu et anakaka ostabei mtoto wakishua😂😂😂

  • @zainabosefo
    @zainabosefo Год назад +8

    Kp vê todo momento com novas informações❤❤❤

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 Год назад +1

    Kilamtu anamkimbiza mdaiwa wake 😂😂😂😂😅

  • @rusinaflow7239
    @rusinaflow7239 Год назад +1

    jaman mm atasielew likoma ndo uyo mzee nikajua ni yule dogo chiz chiz

  • @Ally-yw3qf
    @Ally-yw3qf 7 месяцев назад

    Very good ❤❤❤❤

  • @gladysriziki2442
    @gladysriziki2442 Год назад

    Nawapenda sana jamani ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @metrinealiviza-vh3gm
    @metrinealiviza-vh3gm Год назад

    Aki ww mzee likoma 😂😂😂😂😂