BEST FRIEND ❤️ | 5 |

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 2,9 тыс.

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +72

    Wangapi tumeumia na kifo cha charming charlz. Mwenyez Mungu ampe makazi mema amen 🙏🏼🙏🏼

  • @DrNick-hg6il
    @DrNick-hg6il Год назад +1153

    Hivi ni nani mwingine aliyegundua kuwa kutoka episode 1 mpaka hii ya 5 dakika ya 7 sekunde ya 51 ilikuwa ni ndoto😂. Clam katupiga chenga matata season ilivyoanza na inavyokwenda hakuna mtu anayeweza kupredict😂. Sasha alivyo kufa na mwamba alipolipa kisasi nilijua anapoenda jela itakuwa mwisho lakini kumbe ndiyo chuma linaanza. Clamvevo tumpe maua yake

  • @NajmaMohammedy-u4y
    @NajmaMohammedy-u4y Год назад +183

    Kaka clam big up 🥳yaan leo nmefatiliya kwa makini 😂hii ep no 5 nmetuliza akili na masikio na macho ,,,lkn kaka mwarabu ulipokosea kusema huyu sio tahira ni rafk yake na Sasha baada ya kusema sanura 🙈nipeni like zanguu🤭💃🏼💃🏼💃🏼

  • @niyofaxofficial2693
    @niyofaxofficial2693 Год назад +2

    Clam mkari waooooooo big up sana Bro waua sana kijana tunakupenda zaidi ya saana tuko nyuma yako❤

  • @noorshanawaz7167
    @noorshanawaz7167 Год назад +1

    Mbona mbaya nzuri kidogo😢😢😂😂😊😊

  • @directorkakoso
    @directorkakoso Год назад +4

    Kila safari huwa na mwisho na huu ndio mwisho wa BEST FRIEND It was ameizing work

  • @phynojamix7086
    @phynojamix7086 Год назад +176

    Nipeni like zangu mashabiki wa clam mimi wakwanza leo

  • @brianongeso5091
    @brianongeso5091 Год назад +32

    Wazi Clam series ya ngumu. Aminia .🇰🇪🇺🇬imepokelewa kwa uzuri na uzito. 💪

  • @RamadhaniSaidi-y8x
    @RamadhaniSaidi-y8x Год назад +1

    Salute sana kwak clam unaweza chukua maua yak🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MauaSelemani-up6rx
    @MauaSelemani-up6rx Год назад +1

    Duuuh nyieeee .... Hiii ndotooo atariii . Uyoo mtot wa mlandiz katuwezaa😁😁

  • @shabsoomary2514
    @shabsoomary2514 Год назад +23

    Hii ilikua series tamu sana nimeifuatilia na kuwa na shauku ya lini itatoka dah kumbe ilikua ndoto big up kwako clam vevo natokea los angeles naombeni like zenu watanzania wenzangu🇱🇷🇱🇷🇱🇷

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +57

    Clam vevo wewe ni next level kwenye comedy. Wangapi tunakubaliana na hii 👏🏼👏🏼🙌🏼

    • @Kabeya410
      @Kabeya410 Год назад +1

      We bwege upewe like kwa lipi kwani umecheza sini gani hapo kwenda

    • @lilianalmas5911
      @lilianalmas5911 Год назад

      @@Kabeya410 🤣🤣🤣🤣 Mxiiuuuuu 🤨😏

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc Год назад +3

      Liliana nani anakuchokoza tumshape😂😂😂👍👍👍👍👍👍👍👍

    • @lilianalmas5911
      @lilianalmas5911 Год назад +2

      @@SophlaJackson-nt1nc 🤣🤣 si huyo Hussein ananiambia me bwege. Afu ukiangalia ni Mtoto wa kiume Tena wakiislamu🤗🙊

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc Год назад +2

      @@lilianalmas5911 wamezoea safii sista langu liliana kaipata hiyo🙏🥰🥰🥰🥰👍👍👍

  • @faieshikoo6955
    @faieshikoo6955 Год назад +119

    Kenyan tuned❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 was eagerly waiting for this wa Kwanzaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯

  • @director_jadu1
    @director_jadu1 Год назад +1

    Umenichosha kaka 🎉🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🥳🥳🥳

  • @YunusAhmed-k4u
    @YunusAhmed-k4u Год назад +17

    Sema kaka CLAM hii episode ya 5 umetuchinja dakika 10 , just fanya kama zilizopita angalau kuanzia dakika 20. Ila umeupiga mwingi sana kaka . Proudly much to you.

  • @somalianking
    @somalianking Год назад +8

    Umeua Sana Mzee wangu VEVO🔥🔥👑👑 REVOLUTION OF BONGO MOVIE🙌

  • @babynaash
    @babynaash Год назад +25

    Daaaaaaah jamani best friend imeisha vizuri sanaaa tuliokua tunafatilia hii series toka episode ya kwanza hadi ya mwisho tupite tukimpongeza clam🎉🎉🎉🎉❤❤❤ kwa kazi nzuri na kumuweka mbele za mungu azidi kuinuka zaidi

    • @samwelngilangwa1227
      @samwelngilangwa1227 Год назад

      Heeeh inaishaje kifupi hivyo

    • @PeterMbago-t2q
      @PeterMbago-t2q Год назад

      Yan kila mara wanangu wananiambia baba angalia kama amesharusha Mpyaaaaa...
      Real nilianzia kmfuatilia na BIG BOSS

    • @babynaash
      @babynaash Год назад

      @@samwelngilangwa1227 hiyo imeenda my wangu

    • @babynaash
      @babynaash Год назад

      @@PeterMbago-t2q ni fire

  • @pamelaemmy8180
    @pamelaemmy8180 Год назад +8

    GOD BLESS YOU YOUNG MONEY ! HUU MCHEZO SITAKI NIUKOSE HATA KIDOGO NORA TU NIGOMBANE NA WAARABU RAKINI SIYO KUKOSA HAKA KAMCHEZO

  • @dimoclassic_tz8334
    @dimoclassic_tz8334 Год назад +1

    Clam fara kweli😂😂😂 daaah🙌🏻…..kaka unajua balaaa 😂😂😂

  • @feyzullahhezron1079
    @feyzullahhezron1079 Год назад +1

    Daah nmecheka kwa sauti..... Lakin huku c tulipita guys asee 🔥 🔥

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. Год назад +127

    Oyah we nani umenitangulia mimi hapa kwa sababu huwa kila mara mimi ndo wa kwanza 😢😢😢❤❤❤... ila kilichobaki nataka like zenu hapa...😂😂😂

  • @ABASIOFFICIEL
    @ABASIOFFICIEL Год назад +23

    Eeeeeeeeeeeeeh bro for really wewe ni baharia idea ni nyingi kweli ata nyimbo inamaana yake katika episode sasa kweli wewe ni number moja, tume zani best friend inaelekeya kuisha kumbi ivi sasa njo mwanzo upya ongera kwa ndoto yako naku fanya promotion ya wa sani wote.
    Together we gonna do it clam vevo family 🎉🎉🎉🎉

  • @jeshibonii8946
    @jeshibonii8946 Год назад +42

    Let me show love to this guy , amebarikiwa huyu na kipawa❤❤ much love from Kenya 🇰🇪+254

    • @YoungsHilary-xd2ml
      @YoungsHilary-xd2ml Год назад

      Afu clam unazingua😂😂😂😂😂😂😂 kumbe siku zote unaota,,,,,,,,,umetieha akili zako azifikii mtu yeyote kwa bongo yetu

    • @jeshibonii8946
      @jeshibonii8946 Год назад

      @@YoungsHilary-xd2ml baana tunapambika huku Kenya 🇰🇪

  • @GisubizoErica-e5z
    @GisubizoErica-e5z Год назад

    😢namfuatilia huku Rwanda 🇷🇼😮😂😂😮😮 mwamba huyu ni mkali sana hongera kbs kuwa na motisha

  • @AsumaniMajesty
    @AsumaniMajesty Год назад

    Wahi wahi bwana mdogo Clam vevo we kiboko moja moja vp ndg yng ongeza basi ziwe 3❤❤❤ unatuacha namautamu kinomaaaaaaaa😊😊😊😊

  • @omarympondi5143
    @omarympondi5143 Год назад +4

    Daaah..!!! umetisha mzeeh inamaana matukio yote yalikuwa ndoto

  • @BigTownTV_Rwanda
    @BigTownTV_Rwanda Год назад +19

    Clam vevo you’re genius nimeweka nukta. Yaani sijawahi kuona creativity ya namna hii kwa kizazi hiki na hata kichopita. Yaani kuanzia epidode one hadi five ni ndoto apa sasa picha lina anza. Respect brother and all the directors 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @Churchofecclesia
      @Churchofecclesia Год назад +1

      Sio yeye mwenyewe sema yeye na team yake hizi kazi zinaushirikiano pamoja na ideas wanatoa kwa pamoja, kwenye sanaa hakuna nguvu ya peke yako

  • @JamesHinzano-vn6rk
    @JamesHinzano-vn6rk Год назад +7

    Much love❤❤ from +254🇰🇪 lakini sema Clam ume2cheza sana movie yote kumbe ndoto salute bro

  • @directorbelle_btz8438
    @directorbelle_btz8438 Год назад +1

    Clam unajua kaka nataman nimjue anekutungia story ni clever sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @joycefuraha76
    @joycefuraha76 Год назад

    Nimekuelewa ❤❤❤❤❤🎉🎉 nimeipenda ndoa kama imeanza nko mkao wa kula bgap sana

  • @timotheojackson3021
    @timotheojackson3021 Год назад +22

    Jomba unatisha unatisha Sana mpaka unatisha Clamu ❤️❤️❤️❤️ unawakimbiza mbaya 2023

  • @jesusiscoming237
    @jesusiscoming237 Год назад +28

    This is what we call extra ordinary talent you can't predict the end of movie, huge of congratulations to this Tanzanian talent

  • @mericobkenya.4653
    @mericobkenya.4653 Год назад +24

    Kuna mafeelings flani vile,Pale mwamba kuonekana tahira,Baada ya yote haya....
    Big love to you clam vevo
    Unatisha kinoma.

  • @markarim-ux9dd
    @markarim-ux9dd Год назад +1

    Namuona Steven kanumba ndani ya clam bro big up san🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @JorvinVedasto-ic3su
    @JorvinVedasto-ic3su Год назад

    Nilivyotarajia iishe na imevoisha vitu tofaut kabisaa kiufupi umetishaaaa💥💥💥💥

  • @princehenry7113
    @princehenry7113 Год назад +27

    Jamaniii eeeeh, kama hujauelewa mwisho wa hii story tujuane kwa like.... la like zikiwa nyingi basi bwana clam aangalie namna ya mwendelezo wa story hii😢

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 Год назад +16

    Habari zenu wana group hangera sana clam vevo kwa movie nzuri ya best friend pia tupoeeni kwa msiba wa ndugu yetu chammi tuseme innallilah wainna ilayhi rajuun 😭😭😭😭🇴🇲🇹🇿

  • @Youngstev_tz.
    @Youngstev_tz. Год назад +44

    Bongo movie ya kwanza kwa huu mwaka 2023 nimeikubali Sana 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥 msicheleweshe kutoa mwendelezo basi wakuu 🔥💯💯💯

    • @Johanah7721
      @Johanah7721 Год назад +1

      Ushaambiwa mwisho mwendelezo gani tena unaoutaka😂

    • @LYOKA_JR
      @LYOKA_JR Год назад +1

      @@Johanah7721 😂😂😂 usimuumbue mwenzako sasa

    • @abelmsumba6649
      @abelmsumba6649 Год назад

      Mwendelezo gani tena? 😂

    • @kahindianthony414
      @kahindianthony414 Год назад

      Huckii imeisha😂😂

    • @JulianaCharles-g6u
      @JulianaCharles-g6u Год назад

      Ndo imeisha hyo,akuna ten cha mwendelezo

  • @ViolaValerian
    @ViolaValerian Год назад

    Uwiiii unajua mpak unajua tenaa nashukuruu ujatuacha njiani clam Bomba limeeleweka chukua maua yakoo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FrenkMagendo
    @FrenkMagendo Год назад +2

    Huyu mwamba alitumia akiri sana hapo mwanzo alianza kama commedian lengo lake kukamata kwanza masikio ya watu yaan wawe na intention na yeye ili afanye anachokifanya sashivi ,hongera sana na pole pia kwa ajari iliotokea i lv mor clam vevo

  • @tomke5953
    @tomke5953 Год назад +16

    Wakwanza kuangalia leo ❤❤❤ clam vzur sana kwa uwepo wako kaka. Nipeni likes leo❤❤

  • @richvannyrichie
    @richvannyrichie Год назад +4

    Mimi hiii sikosi clam vevo best friend to the moon wapi love ya Clam vevo wadau ♥️♥️♥️

  • @SamynandoSuker-kw3bl
    @SamynandoSuker-kw3bl Год назад +4

    Waoh nilikuwa naisubili kwa ham nikiskia tuu ile nyimbo iiiii aaaaa kifungo huruu ❤❤

  • @GraysonMpenzu
    @GraysonMpenzu Год назад

    Yuko vzur sana huyu mwamba 🎉

  • @mtalammathayo5184
    @mtalammathayo5184 Год назад

    Uyu vevo mbona katuchanganya jameni tena vya ndoto, Eeeeeeeee kumbe ndoto umetupiga chenga yahaina yote, vevo kuwa mzee kashika fiti sana. Wakati niliona kashituliwa na baba ye mwakatobe nilishituka tena sana, tena byama ndoto kumbe, vevo weeeeeeehhhhhhh
    Chukuwa 🎉🎉mahuwa yako kk❤❤❤

  • @jordanjonas8009
    @jordanjonas8009 Год назад +4

    Mimi Leo nimekuwa wakwanza naomba like ata mbili tu 😅😅🔥🔥🔥🔥

  • @KassimMbwana-m6i
    @KassimMbwana-m6i Год назад +17

    Yan umakini nilioweka kwnye movie hii ilikua Zaid ya chumba Cha Mtihan umetupatia kk Ila kazi nzuri sana Allah awatie nguvu kwenye Kazi zenu🙏🙏❤️

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Год назад +4

    Big up clam. Mola akupe afya na umri utafika mbali. Na usiache kumuomba mungu sana

  • @Dellybcomedian
    @Dellybcomedian Год назад +1

    Clam wewe umetuchezea bn ndoto😂😂😂😂😂❤ tulitaka uangaike baba

  • @kanymr661
    @kanymr661 Год назад +1

    Kazi hih Huna hiweza mbona hachatu hupewe🎉 yako tu nipo Cong 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @semaafrica
    @semaafrica Год назад +4

    big up tu sana ila sijatarajia itaisha hivyo tempo kidogo imeshuka ila kazi nzuri

  • @mimikibaa
    @mimikibaa Год назад +4

    The best actor in Africa , clam vevo is number 1

  • @catherinemutheu6725
    @catherinemutheu6725 Год назад +4

    Wow💕❣️.
    Clam jameni 🔥🔥🔥🔥🔥
    Yafaa utunzwe kama best actor wa mwaka jameni 🤣. Hongera sana 🥰.

  • @NaomiDaudi-n8k
    @NaomiDaudi-n8k Год назад

    Kumbe toka mwanzo mwisho ilikuwa ndoto😅😅 chukuwa maua yako kaka🎉🎉🎉🎉

  • @sharonchemutai7375
    @sharonchemutai7375 Год назад +1

    🤣🤣🤣clam hii ndoto yako ni kali saana🤣🤣🤣itabidi nirudi kuitazama vizuri juu hii ni kali saana

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 Год назад +5

    Clam mpùuzi sana...Yaani yote haya yamekuwa maoto tuu😂

  • @mohamedywally-sw6sh
    @mohamedywally-sw6sh Год назад +6

    Form 3 tulivyofundishwa sana tuliambiw igizo linawez kuanzia mwanzo kwnd mwisho au Mwisho kwend mwazo ndio ichi clam kafny😂😂🎉🎉

  • @HassanCoyo
    @HassanCoyo Год назад +21

    *Best friend ni on fire 🔥 kwa kweli Clam VEVO unajua sanaaa gonga like kwa team Clam VEVO na kwangu pia ❤*

  • @dullysoo9231
    @dullysoo9231 8 месяцев назад +1

    Clam ni mwamba Sana hapa amejua kuzishika akili zetu yan namkubali Sana God bless you broo clam vevo

  • @othmanshabani5856
    @othmanshabani5856 Год назад

    dah mama eeee huyu jamaa ni noma alinivuruga kabisa hii kichwa 😂😂😂😂😂

  • @BenitaArnobe
    @BenitaArnobe Год назад +12

    Kilamutu niwa kwanza apana kwajisi hiyi movie nikali na mimi nita kuwa wa kwanza atakama niwa mwisho 😊😊 ,naomba like za watu wa mwisho 😅😂😊❤

  • @Dir.Boireezy
    @Dir.Boireezy Год назад +4

    Wakwanza kabisa like za wakenya🇰🇪 nipeni😢😢😢

  • @JamilaAbdallah-i4v
    @JamilaAbdallah-i4v Год назад +12

    Hahahahah kuna watu hawajaskia usikute, binti wanasema anaitwa sanura ila kaka mtu kajichanganya kamwambia mama " huyu so taira ni rafkiake na sasha" na sasha mwenyew kadakia siyo rafkiangu kumaanisha mmejichangany😂

  • @HamadiSaladi-iz5jx
    @HamadiSaladi-iz5jx Год назад

    Yaani alivyo tuacha marehemu charming idea ya best friend imekosa muendelezo
    Imeisha kimandazi sana.
    Yaani mwanzo mzuri mwisho mmbaya

  • @morvinemcoguta4685
    @morvinemcoguta4685 Год назад +1

    Hapa clam amenipiga chenga, hadithi ndani ya hadithi, hadithi yenye kisengere mbele 👍👍👍

  • @benjanaikuni
    @benjanaikuni Год назад +68

    The along awaited episode is finally out nipeni likes zangu Jameni kutok kenya🎉🎉

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Год назад +15

    Clam hii imekaa vizuri sana!! Natamani kuona namna story itavyoconnect na maana ya hii reincarnation ya Sasha. Yes ni ndoto but I wish nijue connection na maana yake

  • @immanuelcharles2699
    @immanuelcharles2699 Год назад +111

    No one can predict what follows in a continuation. Big up ClamVevo❤
    Watching from Simiyu Tanzania🇹🇿

    • @adamsingaile2870
      @adamsingaile2870 Год назад +1

      Oya simiyu pande zp I am from this region too

    • @Saushkay-e3c
      @Saushkay-e3c Год назад +1

      Khaaaa ndoto Tena 🤣🤣🤣🖖

  • @elsanane8721
    @elsanane8721 Год назад +11

    Voce é um cara, tem talento enorme, criatividade magica. Acho voce é um novo Kanumba ❤❤❤❤

  • @johzamafrica55
    @johzamafrica55 Год назад +1

    .mamaee clam kawanyoosha bongo movie maan wanalla kma kuku mdondo saf san tkutane sheli 😅😅😅😅😅

  • @bernardmathengendumia8458
    @bernardmathengendumia8458 Год назад +6

    Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tuko tuned sana twakupenda sana clam VEVO 🎉🎉

  • @saxprince10
    @saxprince10 Год назад +4

    Wa Kwanza naomba like zang team Clam Vevo

  • @roi2554
    @roi2554 Год назад +4

    Ni series nzuri sanaaa ila jambo dogo 2 mulifanyie kaz
    Kuweni makini munapoigiza ona uyo blaza anasema tena Sasha wakat ni sanura 03:34
    Ongezeni umakin clavo... nakutakia kaz njema kaka

  • @desmondplanets
    @desmondplanets Год назад +1

    Aah babekiiiii uyu clam ni genius Jiniiiiii😂😂😂🙌

  • @alphamaginyo7461
    @alphamaginyo7461 7 месяцев назад

    Clam wewe ni hero kama hii yote ndoto you 😂😂😂😂 basi usingizi ulikuwa mrefu sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hari_meshi
    @hari_meshi Год назад +74

    I stopped watching bongo movies because it was so easy to predict what will happen next , but this guy has finally made a very big difference and a unique way of bringing new staff. shout out to all participated and bring unpredictable . Watching u from Canada 🇨🇦🇨🇦

    • @nazaeljohn7143
      @nazaeljohn7143 Год назад +1

      Ahahahhaha he is bravo

    • @divinapeter9125
      @divinapeter9125 Год назад +1

      Very true, most bongo movies are easy to predict but this guy is just, wow

    • @francismtonga6801
      @francismtonga6801 Год назад

      Daaah clam unatisha me mwenyew huwa sipendi kucheki movies za nyumbani lkn kwako🙌🏾🙌🏾

    • @MaulanainsaAmissecassamo
      @MaulanainsaAmissecassamo Год назад

      ​@@nazaeljohn7143😂😅

  • @evansmutuma-jo7cx
    @evansmutuma-jo7cx Год назад +4

    Mimi wa Kwanza apa Kenya tafadhali wapi likes zenu

  • @Jali-et8py
    @Jali-et8py Год назад +21

    Much support from Uganda 🇺🇬 ❤️, much respect Clam 🙏 🫡

  • @farajimgunya6468
    @farajimgunya6468 Год назад

    Clam unatuchanganya kaka ngoja tukupe maua yako🎉🎉🎉❤❤❤ second the great 👏👏👏👏

  • @mosesashikoye3288
    @mosesashikoye3288 Год назад

    Tokea jirani zenu huku Kenya, naweza sema tu Clam ni chizi mkubwa na Mungu atamkumbuka ipo siku tu. Yaani katupiga chenga toka mwanzo wa kipindi hadi mwisho bila kufahamu anakoelekea😂😂😂

  • @THOMASNYAGIROTV
    @THOMASNYAGIROTV Год назад +87

    These guys took the industry by storm...much love. Waiting for part 6. Kindly drop them haraka haraka. From KISII,KENYA.

    • @exavery3082
      @exavery3082 Год назад +2

      Ndo imeisha Mzee 😂😂😂

    • @tryzahshii318
      @tryzahshii318 Год назад +2

      imeisha

    • @THOMASNYAGIROTV
      @THOMASNYAGIROTV Год назад +2

      Inaishaje sasa na ndo ata imeanza kunoga..daah!

    • @LYOKA_JR
      @LYOKA_JR Год назад +1

      This is the end

    • @kevinnasibu7284
      @kevinnasibu7284 Год назад +2

      Uyu clam ni hatari naomba hapa Kenya tungekuwa na mwigizaji hodari kaa yeye,,anyway mi mkenya kutoka kakamega bro

  • @mbeviemmanuel017
    @mbeviemmanuel017 Год назад +33

    🎉🎉 fan number one from 254🇰🇪 (kenya) it's lit 🔥🔥 guys 👏👏

  • @Jamesmurikimelvin
    @Jamesmurikimelvin Год назад +17

    Wakwanza Nipeeni like mashabiki wa clam vevo from Kenya ❤❤❤❤

  • @OsiasMuhindo
    @OsiasMuhindo Год назад

    Mungu akulinde clam kazi unafanya kweli❤❤❤❤🇦🇽🇦🇽🇦🇽

  • @brightontheogenes5093
    @brightontheogenes5093 Год назад +1

    apa bwana clam anatupiga na anatumalzia mb ndoto tangia movie inaanza ndoto gan hyo

  • @tovinent1414
    @tovinent1414 Год назад +10

    mbona hii filam yanichanganya walai hadi pia mie nimesaau 🤣🤣😹😂 but much love from 🇰🇪

  • @kitambarahamidah2809
    @kitambarahamidah2809 Год назад +5

    The way clam is taking us just for granted .. can u imagine that we r just starting it we have been dreaming all those days

  • @gloriamutula9492
    @gloriamutula9492 Год назад +6

    Aaaaaaa jamani jamani hii haiwezi kuwa mwisho , CLAM tafadhali kabisa ongeza episode ya 6 plz. Much love from ZAMBIA 🇿🇲🇿🇲❤️❤️❤️

  • @COMECHRISTZ-zh3pr
    @COMECHRISTZ-zh3pr Год назад +1

    Nilikuwa nasubiri kwaamu nakukubali sana clam vevo❤❤❤❤

  • @mulongominda8284
    @mulongominda8284 Год назад

    🤣🤣🤣 nimesahau
    Uyu mwamba ni fundi wa filamu atapeperusha bendera ya tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @pascalernest2226
    @pascalernest2226 Год назад +13

    Hii ni Episode Bora sana kwangu 🥳 nakupa Maya yako Clam🎉🎉🎉🎉🎉🎉🙌😅

  • @Dollar_Fx
    @Dollar_Fx Год назад +35

    Please Clam vevo together with the team the episodes are really good. I always take time to learn something from your videos for the reason being please Next time we are here for it please.
    Congratulations all to what you are doing for your funs
    More Love From Kenya

  • @DamianBenedict-vb3gq
    @DamianBenedict-vb3gq Год назад +4

    Likes nying kwa Vevo Clam🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ankotemba7369
    @ankotemba7369 Год назад

    We mpuuzi nimenyoosha mikono juu kijiti Cha kanumba chukua kaka🙌🙌🙌🙌 love u broh

  • @RomainLoshanga
    @RomainLoshanga Год назад

    Vraiment si fahamu mwisho ya ile filamu Best friend kama ulikuwa ndoto unge onesha toka mwazo lakini si furaie mwisho kabisa apana parfois il faut arranger les choses Mr Clam vevo

  • @zeinabathman5875
    @zeinabathman5875 Год назад +5

    Clam mm naomba unipe jina la iyo nyimbo tafadhali🔥🔥

  • @shadyarif653
    @shadyarif653 Год назад +22

    Wakwanza kutoka kenya..Naombeni Likes zenu jamani for the love of Marehem wa scene 4😭😭

  • @PiusJames-l6h
    @PiusJames-l6h Год назад +4

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 unatangaza vyema sana Tanzania katika uigizaj❤

  • @STOPERHUNTEDOFFICE
    @STOPERHUNTEDOFFICE Год назад

    Duuùh atali kweli kona kubwa tmupe maua clamu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bashirapongwa4412
    @bashirapongwa4412 Год назад

    Duuuh hii Sasa hatar maan CYO kwa ndoto hii daah wabongo nyoso daadeck zako clam 🤣😃🤸🏃